Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed, habari zako hazina uthibitisho hivyo haziaminiki! waambie wafuasi wako, mimi hapana.
Gwalihenzi, kuna usemi moja unasema hivi, "if facts dont fit your theory, change the facts". Toka mwanzoni kabisa katika maandishi yake, Mohamed Said alijua analenga nini na kwa watu gani. Research anayodai aliifanya haikuwa na nia ya kutafuta ukweli bali kuthibitisha yale anayodai alisimuliwa na watu ambao wameshatangulia mbele ya haki na anajua fika hatuwezi kuwahoji. Wote wale ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine lakini bado wako hai, hathubutu kabisaa kuwanukuu wala kuwahoji, sababu? Njia ya muongo na mchochezi ni fupi sana.

Mohamed Said amepata mshtuko mkubwa sana baada kuwekewa pingamizi na wanajamvi wa JF ambao hawako tayari kumeza ngano zake na yaonekana kaamua kukesha humu JF kujitetea. Tatizo alilonalo ni kuwa anajaribu kujitetea kwa kutumia ushahidi wa maandiko yake yale yale ambayo yamemuumbua...makes no sense, does it?

Great spirits of leaders like Mwalimu will always encounter violent opposition from mediocre minds the likes of which we are witnessing here...fanatics driven by inferiority complex, jealousy, hatred and religious fundamentalism!
 
Usijifanye rais wa JF wanajamvi gani wa JF wamekutuma uwe msemaji wao jiongelee nafsi yako.
 
Mjuvi wa histotia unashidwa kujibu maswali yangu lakini wewe unauliza maswali unajibiwa na Mohamed Said.

Kumbe anachofanya Mohamed Said wakati mwingine kutoyajibu maswali yenu yupo sawa.

Jua kuwa huu mnakasha unafuatiliwa na watu 40000; sasa mtu kama mwanakijiji akianza kujibu hoja mfu kama zako mnakasha utapoteza maana.

mohamed mwezako angalau hata anajua kupangilia histohisia zake..
Sasa ww Ritz una nini? Hoja gani? hasa ya kujibiwa na M.M

mwezako the big show aliambiwa na Nguruvi akacheze chandimu
 
Allah hawape rehema zake hawa Wazee wa Uswahilini Wazalendo waliojitolea maisha yao mali zao pamoja na utu wao kuipigania Tanganyika.

kweli Allah kwa mwendo huu anakazi..

Mmh! Vp wale wazee wa kule moshi, bukoba, mbeya n.k ambao pia walijitolea muda na fedha zao kwa ajili ya uhuru; Allah AWALAANI au!?
 
Jua kuwa huu mnakasha unafuatiliwa na watu 40000; sasa mtu kama mwanakijiji akianza kujibu hoja mfu kama zako mnakasha utapoteza maana.

mohamed mwezako angalau hata anajua kupangilia histohisia zake..
Sasa ww Ritz una nini? Hoja gani? hasa ya kujibiwa na M.M

mwezako the big show aliambiwa na Nguruvi akacheze chandimu

Wewe ni Futuhi wa JF endelea kutupa burudani wakati tunafanya munakasha wewe ni wakukusoma na kukupuuza kukujibu wewe ni kujidhalilisha nimejishusha sana kukujibu kauzu kama wewe.
 
Gwalihenzi, kuna usemi moja unasema hivi, "if facts dont fit your theory, change the facts". Toka mwanzoni kabisa katika maandishi yake, Mohamed Said alijua analenga nini na kwa watu gani. Research anayodai aliifanya haikuwa na nia ya kutafuta ukweli bali kuthibitisha yale anayodai alisimuliwa na watu ambao wameshatangulia mbele ya haki na anajua fika hatuwezi kuwahoji. Wote wale ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine lakini bado wako hai, hathubutu kabisaa kuwanukuu wala kuwahoji, sababu? Njia ya muongo na mchochezi ni fupi sana.

Mohamed Said amepata mshtuko mkubwa sana baada kuwekewa pingamizi na wanajamvi wa JF ambao hawako tayari kumeza ngano zake na yaonekana kaamua kukesha humu JF kujitetea. Tatizo alilonalo ni kuwa anajaribu kujitetea kwa kutumia ushahidi wa maandiko yake yale yale ambayo yamemuumbua...makes no sense, does it?

Great spirits of leaders like Mwalimu will always encounter violent opposition from mediocre minds the likes of which we are witnessing here...fanatics driven by inferiority complex, jealousy, hatred and religious fundamentalism!

Mag3,

Ningepata mshtuko ndugu yangu ningekuwa hivi?
Hapana hakuna hasad wala siasa kali katika hili.

Ni kueleza historia ambayo wengi hawakuwa wanaijua.
 
Ooh boy! Nyerere huyu huyu Muungwana? ambaye alikuwa amewasahau kabisa wazee waliompokea Dar; yeye ambaye hakuwakumbuka washirika wake wa uhuru. Nyerere huyo huyo ambaye unatuambia alikuwa na chuki na Waislamu. Nyerere huyu huyo ambaye alikaa mbali na wazee wa Dar baada ya kuingia Ikulu. Huyu huyu alimkumbuka Bi. Mluguru. Akaangaza njia, na kusimamisha gari, akatoka na kumuamkia mama huyu; wakazungumza na kujuliana hali kabisa.

Na unasema hili lilitokea lini?

Abdulwahid amefariki mwaka 1969; kwa hiyo tuchukulia miaka 'michache' itakuwa katikati au mwanzoni mwa miaka ya 1970.

Mtu yeyote anaposoma hili kama alikuwa ana chuki na Nyerere na kama alikuwa anaamini Nyerere alikuwa hawakumbuki wapigania uhuru wenzie na kuwa aliwasahau yampasa ajiulize tena: Kweli Nyerere aliwasahau wazee waliompokea DAr hivyo? Kama hadi miaka ya sabini anawakumbuka na mitaa yao; kweli anaweza kuwa aliwasahau kabisa?

Kwa simulizi hili la kumfanya mtu alengwe na machozi Nyerere siyo tu alikuwa Muungwana kwa kweli sijui ni kiongozi gani mwingine amewahi kufanya hivi tangu Nyerere.

Asante Mohammed Said kwa kutuonesha ile roho ya wema iliyomkaa Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere. Asante kwa kuwafungua macho vijana kuwa Nyerere hakuwa na chuki na Waislamu wala hakuwasahau washirika wake wa harakati za Uhuru. Long Live the Memory of Baba wa Taifa.. hiki kisa inabidi kichapwe na kurudiwa sehemu nyingine na kwa vizazi vingi vijavyo... kama kile kisa cha Mshume Kiyate na Nyerere...

MM,

Mbona ninazo nyingi kama hizi?
 
MM,

Mbona ninazo nyingi kama hizi?

Najua sana; na zote zinamuonesha Nyerere kama kipenzi cha Waislamu. Wakati wote wa maisha yake mamilioni ya Waislamu walikuwa na mapenzi naye. Maandishi yako yanashuhudia hili. Binafsi naamini kitabu chako kinapaswa kusomwa na kila na kila mtu ili wajue ni jinsi gani Baba wa Taifa alivyokuwa muungwana, mkweli, mwenye heshima na aliyependwa na watu wa kila rika. Kwa kile nilipokisoma kitabu chako na kuondoa zile "inasemekana" na "huenda" na "ilisemwa" basi kuna mambo matamu na manono kweli kweli mle. Masimulizi mengine of course yanakuja na ndimu na limau lakini kwa vile mtu wa pwani wewe natarajia lazima kuwe hivyo si ndivyo inavyokuwa kwa wote ambao tumekulia pwani.

Usisite kutuwekea visa hivi vya uungwana, heshima aliyokuwa nayo Mwalimu kwa wazee wote - bila kuwabagua na ukarimu wao kwake muda wote wa maisha yake na utumishi wake wa umma. Asante sana mzee kwa kutuonesha yale ambayo hatukuyajua kuhusu Baba wa Taifa. Kwa hili ubarikiwe sana.

Naomba uniruhusu swali moja hapa: Katika utafiti wako wote na katika mazungumzo na wazee wako wote kuna yeyote ambaye aliyemfahamu Nyerere kwa karibu amemtaja Nyerere kama mtu asiye na heshima, aliyekosa uungwana, na katili?
 
Ndugu yangu Zomba,
Turudi kwenye mukhtadha. Nilichomaanisha kusema ni kumtaarifu Ritz kuwa hakujawahi kuwepo mkutano Camp David baina ya Moshe Dayan na Arafat, kama alivyodai kwenye bandiko lake la kwanza. Sikumfikiria Begin kwa sababu hakuhusiana na mukhtadha wa alichokuwa amesema Ritz. Angezungumzia mkutano wa Begin na Sadat nisingekuwa na issue. Lakini Ritz alizungumzia mkutano kati ya Moshe Dayan na Arafat katika Camp David. Kipi usichoelewa hapo?

Nimekubali yaishe, kwa kuwa tu, sitaki kuuharibu mjadala. Na "mukhtadha" na dhumma na shedeh zote ulizozipachika zimenifanya nipagawe.

Tuendelee na jingine, tusigande kama gramafoni inayotaka kubadilishwa sindano.
 
Najua sana; na zote zinamuonesha Nyerere kama kipenzi cha Waislamu. Wakati wote wa maisha yake mamilioni ya Waislamu walikuwa na mapenzi naye. Maandishi yako yanashuhudia hili. Binafsi naamini kitabu chako kinapaswa kusomwa na kila na kila mtu ili wajue ni jinsi gani Baba wa Taifa alivyokuwa muungwana, mkweli, mwenye heshima na aliyependwa na watu wa kila rika. Kwa kile nilipokisoma kitabu chako na kuondoa zile "inasemekana" na "huenda" na "ilisemwa" basi kuna mambo matamu na manono kweli kweli mle. Masimulizi mengine of course yanakuja na ndimu na limau lakini kwa vile mtu wa pwani wewe natarajia lazima kuwe hivyo si ndivyo inavyokuwa kwa wote ambao tumekulia pwani.

Usisite kutuwekea visa hivi vya uungwana, heshima aliyokuwa nayo Mwalimu kwa wazee wote - bila kuwabagua na ukarimu wao kwake muda wote wa maisha yake na utumishi wake wa umma. Asante sana mzee kwa kutuonesha yale ambayo hatukuyajua kuhusu Baba wa Taifa. Kwa hili ubarikiwe sana.

Naomba uniruhusu swali moja hapa: Katika utafiti wako wote na katika mazungumzo na wazee wako wote kuna yeyote ambaye aliyemfahamu Nyerere kwa karibu amemtaja Nyerere kama mtu asiye na heshima, aliyekosa uungwana, na katili?

Waislaam wana mapenzi na kila kiumbe. Uislaam haumbagui Nyerere wala Manyerere kwa muono wake au kwa Imani yake.

Hijra ya kwanza ya Waislaam wakati wa Mtume Muhammad SAW ilikuwa Habashi, ambayo kwa sasa inajulikana kama "Afrika". Jee, unajuwa mfalme wa huko akiitwa nani?

Hakuwa Nyerere.

Nnauhakika mapema leo hii umeona Maalim Mohamed Said akimkaribisha Yericko Nyerere kwa kumuandalia halwa za lozi na kumtandikia kashda yake kwa heshima na taadhima ya kutomuona tu kwa muda. Seuse mgeni?

Uislaam haukubagui ila utakapo ubaguwa utakuanika. Nyerere leo hii anaanikwa kwa ubaguzi wake wa ujinga.

Nilikupa kisa cha kuku?
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Mzee Mwanakijiji

Abdulwahid amefariki mwaka 1969;

Si kweli. Rudia vitabu vyako vya historia, hapo unapotosha kama kawaida yako.
 
G,

Tuelewane kitu kimoja ili twende vizuri na mjadala.

Kwa hakika yote niwekayo haya ni yangu mwenyewe niliyotafiti na kuandika.

Kwangu mimi huu ndiyo ukweli vinginevyo ninsingekuwa na haja ya kuyaweka
hapa jamvini.

Nasisitiza, nasisitiza nasisitiza tena na tena na tena.
Simlazimishi mtu aniamini.

La hasha.

Miaka mingi watu wamesikia upande mmoja wa mambo.

Nyerere kaanzisha TANU.

Sheikh Hassan bin Amir alikuwa na mipango ya kupindua serikali.
Nk. nk. nk.

Mimi ninachofanya humu ndani ni kueleza upande wetu Waislam historia
ilivyokuwa.

Ni wazi atatokea mtu mwingine hatakubaliana na maelezo yangu.
Hakuna ugomvi.

Yeye ana haki ya kueleza upande wake kama sisi tulivyokuwa na haki
ya kueleza upande wetu
.
Mbona Nyerere alishasema wazo la jina TANU walikuwa nalo akina Abdu Sykes!
hapo tatizo lipo wapi? Lakini si kweli kuwa Nyerere ndiye kiongozi wa kwanza wa TANU!

Upande wa Sheikh Amir mbona hatujausikia! maana tumesoma yeye kuwekwa ndani na jinsi alivyoshiriki katika harakati.
Je, hayo yanatosha kusema kuwa Nyerere alikuwa mwendawazimu kumuonodoa bila sababu?

Sijui kama unakumbuka radical muslim katika kitabu chako na majaribio ya kumuondoa Nyerere katika uongozi mara mbili kwasababu tu ni mkristu. Je hilo kiongozi gani angelivumilia tena wakati wa kuongoza mapambano na baada ya uhuru?

Kuhusu mawazo yako na ukweli wa vitabu vyako, hayo yanabaki kuwa maoni yako. Nisichokubaliana nacho ni wewe kuyafanya kama ni ukweli na kuushindilia miongoni mwa wachache wasiobahatika kupata ufahamu wa kutosha, au wale walioamua kuweka akili zao rehani ikiwa ni pamoja na manazi, mashabiki na wapenzi wako.

Nisichokubaliana nawe ni kuzua maneno, kufinyanga ukweli na kuficha ukweli ulio wazi ili kujenga chuki na farki miongoni wa wananchi. Unafanya hivyo ukielewa kuwa maandiko yako yasiyo na kina (details na specific) yataamsha hisia hasa kwa wasiobahatika na hivyo kuzua vurugu.

Kibaya zaidi ni wewe kujivika joho la kuandika historia ya waislam wa Tanganyika kama ulivyosema hapo juu.
Lini waislam walikaa kitako na kukubaliana nawe kuwa mawazo yatokanayo na simulizi kutoka kwa wahenga na malenga wako ndio msimamo wa waislam.

Kwa vile ni maoni yako na yaheshimiwa, basi heshimu wengine kwa kuepuka na pengine kuacha kutumia maneno ''sisi waislam'' au kwa ''upande wetu''. Upande wako na nani?

Upande gani huku ukiita wengine wasaliti, wanafiki na wenye husda, vijiba na vijuha! wale wa upande wako ni wapi?
Ni nani amekwambia kuwa waislam wanakubaliana na vitabu vyako hivyo usimamie hoja zako kama zao.
 
quote_icon.png
By Mag3
Gwalihenzi, kuna usemi moja unasema hivi, "if facts dont fit your theory, change the facts". Toka mwanzoni kabisa katika maandishi yake, Mohamed Said alijua analenga nini na kwa watu gani. Research anayodai aliifanya haikuwa na nia ya kutafuta ukweli bali kuthibitisha yale anayodai alisimuliwa na watu ambao wameshatangulia mbele ya haki na anajua fika hatuwezi kuwahoji. Wote wale ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine lakini bado wako hai, hathubutu kabisaa kuwanukuu wala kuwahoji, sababu? Njia ya muongo na mchochezi ni fupi sana.

Huo ni usemi dhaifu unaonasibishwa na Enstein, kwa uhakika si usemi wake, ni usemi wa wafuasi wa Darwin (wote hawana ukweli) kama aliyeuleta.

Enstein was never a theorist, he was a scientist. Can you imagine science with lies?
 
Mbona Nyerere alishasema wazo la jina TANU walikuwa nalo akina Abdu Sykes!
hapo tatizo lipo wapi?

Kwa akili yako timamu mtu yuko Burma afikirie tu jina? TANU au Tanganyika African National Union? kwa kuwa tu alikuwa anawaza jina? Hilo jina ampe nani? mwanawe wa kwanza? amwite TANU! Duh! FIKIRI.

Hivi wewe umeshabuni majina mangapi bila kuwa na maana ya jina?

Kleist Sykes, mtoto wa Abdulwahid ilikuwa uitwe TANU or was it for Daisy?
 
Nyerere leo hii anaanikwa kwa ubaguzi wake wa ujinga.
Na huu ndiyo mfano wa dhihaka kutoka kwa "typical" muumini wa Mohamed Said aliokusudia...Baba wa Taifa hakuwa na akili kama Wazee wa Gerezani...

Walimkaribisha Dar es Salaam, wakamfunda na kumwingiza kwenye siasa, wakaasisi TANU na kumkabidhi akiongoze, wakamsaidia hela za kununulia mboga, wakamchangia hela za safari UNO, wakamwandikia hotuba ya kusoma akifika huko, wakamnusuru dhidi ya baadhi ya wazee wa Dar es Salaam waliotaka kumng'oa...

Baadaye akaanza ubaguzi wa Ujinga, akawanyima elimu, akawazuia kujenga chuo, akavunja jumuiya yao (EAMWS) na kuwasweka ndani, akawaundia BAKWATA bila hiari yao, akafuta historia yao, akajikweza kama mtakatifu...naam, Mohamed Said, malengo yanaonekana kutimia na ma zomba wanaongezeka kwa kasi, hongera sana.
 
Jee, hakukaa kwa Sykes?
Jee, nyumba iliyozaliwa TANU ya nani?
Jee, Nyerere hakuwasaliti Waislaam?
Jee, Mshume hakuwepo?
Jee, kwanini hysteria ya kivukoni imesahau hao Waislaam?
 
Si kweli. Rudia vitabu vyako vya historia, hapo unapotosha kama kawaida yako.

well, 1968... lakini point yangu bado inasimama; miaka 'michache' baada ya kifo cha Abdulwahid Sykes bado inatuleta mwanzoni mwa miaka ya sabini au katikati...
 
Huo ni usemi dhaifu unaonasibishwa na Enstein, kwa uhakika si usemi wake, ni usemi wa wafuasi wa Darwin (wote hawana ukweli) kama aliyeuleta. Enstein was never a theorist, he was a scientist. Can you imagine science with lies?
Yeah? Tell me more about Enstein...I must admit I never heard of him.
 
well, 1968... lakini point yangu bado inasimama; miaka 'michache' baada ya kifo cha Abdulwahid Sykes bado inatuleta mwanzoni mwa miaka ya sabini au katikati...

Wewe si ulijidai hunijibu? Imekuwaje?

Mjuzi wa historia asiyejuwa miaka!

Nakuuliza, ni lini Vasco da Gama, alikanyaga Ardhi hii ya Tanganyika?
 
Yeah? Tell me more about Enstein...I must admit I never heard of him.

Did you expect me to know that you've heard of him?

Expect me to know that you'll admit you've heard about Mshume.
 
Back
Top Bottom