Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanahangaika, wanahaha, kuzitafuta kasoro, mwisho wake wanaishia patupu. Jamani msioupenda ukweli, hebu kuleni hili darsa dogo:

Qur'an 17:81

Sahih International

And say, "Truth has come, and falsehood has departed. Indeed is falsehood, [by nature], ever bound to depart."

Swahili

Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!
 
hahahahahaha! acha mambo yako Ritz , niambie nani alifanya au anafanya hizo dhulma dhidi ya waislam na uislam?

zumbemkuu,

Tulizana kaa kitako msome Mohamed Said. Utavuna vingi fungua akili yako pokea vitu vipya.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha! acha mambo yako Ritz , niambie nani alifanya au anafanya hizo dhulma dhidi ya waislam na uislam?

Tuliowakumbatia vifuani mwetu kuwafanya rafiki zetu na ndugu zetu tukawaweka makwetu tukala nao chakula chetu tukalala nao majumbani mwetu tukawapa siri zetu wakavaa nguzo zetu tukawajulisha kwa watu wetu tukiamini kuwa ni wenzetu.
 
Zomba,

Maneno yako yanaliza.
 
Sadakallahu Laadhim.
 
Wewe ni Futuhi wa JF endelea kutupa burudani wakati tunafanya munakasha wewe ni wakukusoma na kukupuuza kukujibu wewe ni kujidhalilisha nimejishusha sana kukujibu kauzu kama wewe.

hahahaaaa kama M.M anavyokupuuza kwa hoja zako mfu za kidini
 
hizo dhulma zilifanywa na nani?

Z,

Hili jambo usilifanyie mashkara.
Jichukulie kuwa hukuwa unajua kama tunalo tatizo hili.

Anzia hapo na anza kutafiti mwenyewe.
Bila shaka utagundua tatizo.

Na kama kweli ulikuwa hujui.
Ukweli huu utakushtua sana.

Watu hawatanii katika mambo
mazito kama haya.

Nchi huangamia.
 
mkuu taifa letu lina miaka 50 sasa hizo habari za dhulma zimeanza kabla au baada ya uhuru?
sorry nimezaliwa katikati ya kundi la waislam na wakristo, sijawahi kuona tofauti zozote za dhulma.
 
mkuu taifa letu lina miaka 50 sasa hizo habari za dhulma zimeanza kabla au baada ya uhuru?
sorry nimezaliwa katikati ya kundi la waislam na wakristo, sijawahi kuona tofauti zozote za dhulma.

Z,

Mimi siko hapa kufanya ubishi.
Umeuliza swali na mie nikakuchukulia kuwa hujui.

Kwa kuwa hujui nimekuelekeza ili upate maarifa.
Ikiwa huamini hili kwangu si tatizo.
 
Z,

Mimi siko hapa kufanya ubishi.
Umeuliza swali na mie nikakuchukulia kuwa hujui.

Kwa kuwa hujui nimekuelekeza ili upate maarifa.
Ikiwa huamini hili kwangu si tatizo.
sawa mkuu!
na mimi sipo kwa ajili ya kubishana, tupo kwa ajili ya kuelimishana.
maadam mimi na jamii yangu tunaishi kwa amani (wakristo kwa waislam) ngoja nikae kimya.
 
Mimi niko humu kufahamisha kile wengi hawakuwa
wanakijua kabla.

Nikishatimiza hilo ninakuwa sina dhima.
 
sawa mkuu!
na mimi sipo kwa ajili ya kubishana, tupo kwa ajili ya kuelimishana.
maadam mimi na jamii yangu tunaishi kwa amani (wakristo kwa waislam) ngoja nikae kimya.

Z,
Hiyo amani haipo tena.

Pitia nyuzi katika mnakasha huu toka tulipoanza
na maaskofu hadi uchochezi wa Mohamed Said.

Watu zaidi ya 40,000 wanafuatilia.
Si bure.

Kuna jambo zito.
 
sawa mkuu, nakutakia kheri katika hiyo dhima yako,
Mwenyezi mungu akupe wepesi na busara ya kutosha ya kuelimisha hao wanaohitaji hiyo ilimu bila kuchukiana na kuwekeana uadui kwani adui yetu sisi ni Shetani.
 
Z,

Jirani yako akikwambia ameona nyoka akiingia uani kwako
jibu lake haliwezi kuwa "mimi sijamuona."

Utamtafuta nyoka huku una gongo mkononi.
Hii ndiyo busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…