kichwakigumu
Senior Member
- Oct 10, 2008
- 122
- 52
Wala usiogope chochote Mtanzania mwenzetu! hakuna atakae kudhuru! Wewe ungana na Waislamu kudai haki TZ na amini usiamini atakae kulinda wewe na vyako si mwingine ni Muislamu! sababu sisi ni watu wa amani na mfano ni pale mauaji ya kimbari Rwanda yalipotokea, Wakristo wa kitusi walipokimbilia Makanisani kuokoa maisha yao hakuna alietoka hai! wote walichomwa moto! lakini Watusi hao hao walipokimbilia Misikitini ambayo ilikuwa ya Waislamu wengi wa Hutu walipata uslama wa kutosha!
Hivyo usiogope na Mohamed Saidi hajengi chuki miongoni mwa wa TZ bali anajaribu kutukumbusha jukumu letu la kuondoa maovu, dhuluma, uadilifu mbaya nk! Kama atanyamaza na kufumbia macho tu, basi bila shaka amani na usalama wetu hautakuwa wa kudumu kwa sababu nchi itaangamia kwa kukosa maendeleo na sababu ni zaidi ya nusu ya idadi ya raia kukosa elimu!
Mimi na wewe tushikamane kuungoa huu Mfumo kristo TZ na hapo ndipo tutapoweza kuishi kwa amani ya kweli! na mfumo kristo hauwahusu nyie wakristo wa kawaida ambao mko wengi sana bali mfumo kristo unawahusu Vigogo Makanisani, Serikali, Chama tawala, baadhi ya vyama pinzani na washirika wao Toka Ulaya na Marekani!
Niwe wa kwanza kukupa like
Umeongea some very important points. Wenzetu wanadhani kwa kusema huku tutaweka mfumoIslam. La hasha. We should stand united for a prosperous Tanzania.