Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wala usiogope chochote Mtanzania mwenzetu! hakuna atakae kudhuru! Wewe ungana na Waislamu kudai haki TZ na amini usiamini atakae kulinda wewe na vyako si mwingine ni Muislamu! sababu sisi ni watu wa amani na mfano ni pale mauaji ya kimbari Rwanda yalipotokea, Wakristo wa kitusi walipokimbilia Makanisani kuokoa maisha yao hakuna alietoka hai! wote walichomwa moto! lakini Watusi hao hao walipokimbilia Misikitini ambayo ilikuwa ya Waislamu wengi wa Hutu walipata uslama wa kutosha!

Hivyo usiogope na Mohamed Saidi hajengi chuki miongoni mwa wa TZ bali anajaribu kutukumbusha jukumu letu la kuondoa maovu, dhuluma, uadilifu mbaya nk! Kama atanyamaza na kufumbia macho tu, basi bila shaka amani na usalama wetu hautakuwa wa kudumu kwa sababu nchi itaangamia kwa kukosa maendeleo na sababu ni zaidi ya nusu ya idadi ya raia kukosa elimu!

Mimi na wewe tushikamane kuungoa huu Mfumo kristo TZ na hapo ndipo tutapoweza kuishi kwa amani ya kweli! na mfumo kristo hauwahusu nyie wakristo wa kawaida ambao mko wengi sana bali mfumo kristo unawahusu Vigogo Makanisani, Serikali, Chama tawala, baadhi ya vyama pinzani na washirika wao Toka Ulaya na Marekani!

Niwe wa kwanza kukupa like

Umeongea some very important points. Wenzetu wanadhani kwa kusema huku tutaweka mfumoIslam. La hasha. We should stand united for a prosperous Tanzania.
 
Shekh Mohamed Said, napata matumaini unapoelezea fitna na chuki za Mfumo Kristo Alla akupe kila la kheri! pia naomba unimalizie yale ya Wapigania uhuru wa huku Moshi ambao wengi ni Waislamu kama wameingia ktk historia ya nchi hii!

Na jee, kuna ukweli wowote kuwa Nyerere alitaifisha nyumba za Watu 1967 kupitia azimio la Arusha kwa sababu za udini? inasemwa kuwa nyumba nyingi zilizotaifishwa zilikuwa za Waislamu wenye asili za Asia!
 
Dada zubeda,
Tutaziepukaje DINI kwenye serikali na vyama vyetu vya SIASA na ASASI za kiraia.
 
Last edited by a moderator:
hivi unataka kutuaminsha wapgania uhuru hapo moshi waislamu tu; wewew dada ni MPOFU wa dini

Sawa mimi ni mpofu wa dini kwa kuwa nimewataja wapigania uhuru wetu wa Moshi ninao wajua! wewe mwenye macho nani kakunyima kuwatataja hao wa kwako unaowajua!

Nyerere wakati wa kupigania uhuru alikuwa akija Moshi na kuteremkia nyumbani kwa Bibi Mariam Baiskeli mwanamke wa kwanza jasiri kuendesha baiskeli hapa Moshi na kuendeshwa na gari la Osman Farah, Msomali aliekuwa mfanyi biashara Moshi mjini! nyumba alizokuwa akifikia mojawapo ni ya Liwali Musa Mwinyijanga na dua akisomewa ktk Msikiti wa Ijumaa!

Sasa wewe wataje basi na hao wa kwako ambao walimpokea Nyerere na kumuombea dua Kanisani!
 
Kulijenga taifa moja ilikuwa kazi ngumu sana, hasa kwa nchi yenye makabila zaidi ya 120, dini zaidi ya tatu, nk.

Lakini kulivunja taifa hilohilo ni jambo la kalamu na karatasi tu!
 
Ikiwa hivi ndivyo Mwalimu alivyojichanganya na kuishi na WAISLAM kote alikokwenda nchini, hizi chuki kwa UISLAM na WAISLAM zilianzaje? Zilitokana na nini? Au mlitaka kumtumia kama c.... kisha mumtupe uhuru ukipatikana?

Waislamu wa Kariakoo akawasahau, Waislam wa Moshi akawasahau. Waislam wa Tabora akawasahau. Hadithi nyingine bwana.....
 
Dada zubeda,
Tutaziepukaje DINI kwenye serikali na vyama vyetu vya SIASA na ASASI za kiraia.

Tutaweza kuepuka kama tutaweza kuwa waadilifu, kuvumiliana na kuheshimiana kwa tofauti za kidini, kisiasa, kikabila, jinsia nk.
Tukipata katiba mpya na iliyoandikwa na Wataalamu waadilifu huenda ikawa ni mkataba mzuri tutakayo kubaliana wa TZ ni vipi tunaweza kuishi sote hapa TZ kwa misingi ya haki na uadilifu na kutuepusha na machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama kwingine duniani!
 
Kulijenga taifa moja ilikuwa kazi ngumu sana, hasa kwa nchi yenye makabila zaidi ya 120, dini zaidi ya tatu, nk.

Lakini kulivunja taifa hilohilo ni jambo la kalamu na karatasi tu!

Kabla ya Uhuru hizo kabila 120 zilikuwa zinaishi nchi zipi?
 
Ikiwa hivi ndivyo Mwalimu alivyojichanganya na kuishi WAISLAM kote alikokwenda nchini, hizi chuki kwa UISLAM na WAISLAM zilianzaje? Zilitokana na nini? Au mlitaka kumtumia kama c.... kisha mumtupe uhuru ukipatikana?

Waislamu wa Kariakoo akawasahau, Waislam wa Moshi akawasahau. Waislam wa Tabora akawasahau. Hadithi nyingine bwana.....

Ni kweli kabisa Nyerere alikuwa anajichanganya sana na Waislamu wakati wa kupigania uhuru na hata alisha funga Swaumu ili Mzungu aondoke! hapo Waislamu hawakanushi hilo! ila Wanashangaa imekuwaje tena baada ya uhuru Wao kusahaulika? nchi nzima ni mfumo kristo unaongoza! kwanini Nyerere aliwaahidi 1962 kuwapa Waislamu upendeleo maalum ili nao wasome kufikia kiwango cha wakristo na badala yake alikuja kuwafunga Mashehe na kuuwa jumuiya zao muhimu?

Mbona Nyerere huyo huyo aliwapa upendeleo maalum kabila la Wabarbeig na kuwalazimisha Wasome? kwanini kwa Waislamu iwe ni udini?

Kwa sasa Waislamu hawataki tena upendeleo maalum bali haki sawa kwa wote!

Hapo ndipo Kizungumkuti kinacho wasumbua Waislamu kwa sasa!
 
Kabla ya Uhuru hizo kabila 120 zilikuwa zinaishi nchi zipi?
Kabla ya uhuru hatukuwa na TAIFA. Tulikuwa na NCHI. Tukitawaliwa tu. Ndio maana unaona hata Mwalimu aliingia Dar mshamba wa kawaida tu. Tulipoanza kujenga Taifa moja sasa lisilo na DINI wala KABILA....
 
Ni kweli kabisa Nyerere alikuwa anajichanganya sana na Waislamu wakati wa kupigania uhuru na hata alisha funga Swaumu ili Mzungu aondoke! hapo Waislamu hawakanushi hilo! ila Wanashangaa imekuwaje tena baada ya uhuru Wao kusahaulika? nchi nzima ni mfumo kristo unaongoza! kwanini Nyerere aliwaahidi 1962 kuwapa Waislamu upendeleo maalum ili nao wasome kufikia kiwango cha wakristo na badala yake alikuja kuwafunga Mashehe na kuuwa jumuiya zao muhimu?

Mbona Nyerere huyo huyo aliwapa upendeleo maalum kabila la Wabarbeig na kuwalazimisha Wasome? kwanini kwa Waislamu iwe ni udini?

Kwa sasa Waislamu hawataki tena upendeleo maalum bali haki sawa kwa wote!

Hapo ndipo Kizungumkuti kinacho wasumbua Waislamu kwa sasa!
Hizo "AFFIRMATIVE ACTIONS" alizozifanya Mwalimu kwa jamii zilizokuwa nyuma sana kielimu nchini wengi hawazikumbuki tena dada zubeda. Jamii nyingi zisingekuwa hapa zilipo sasa.

Kinachokumbukwa sasa ni ukatoliki wake. Anaitwa bila aibu kuwa aliasisi mfumokristo! Amefariki hajaandika HISTORIA yoyote nchi hii. Leo anaambiwa kuna watu na dini yao alitaka kwa makusudi wasahaulike!
 
Nguruvi,

We seem to be running in circles.

Umesema mengi nami sitachoka kukujibu.
Historia ya TANU ikiwa utailazimisha ianze
na Nyerere mengi yatakupita.

Humu wengi wamesema wamepata mengi
mapya.

Kuhusu mimi na Waislam.

Wao ndiyo walonitanguliza mbele toka enzi
tu dhaifu tukisoma dua tawakaltu Allahllah
tukizungumza kwenye misikiti ya pembezoni.

Hadi leo tunazungumza Diamond Jubilee Hall
mubashara "live" tunaueleza mfumokristo kwenye
radio.

Tukatembea Tanzani nzima tukionya kuhusu
mfumokristo.

Hawa ndiyo waloniweka mbele niwazungumzie.

Hukupata kumsikia Sheikh Hassan bin Amir kama
ulivyokuwa humjui Abdu Sykes kwa kuwa Nyerere
hakutaka wajulikane.

Hatutafuti shari.
Tunataka dhulma iondoke.
Na wala nilikuwa simjui Sheikh Ilunga na mihadhara ya shari.
Nimekueleza wasoma riwaya na ngano this is top notch, kwa sisi tunaotumia medulla Oblangata this is another Puzo, fictitious novel base on true story over time.

Mohamed, kama una maoni ni yako si waislam.
Hakuna, narudia hakuna mahali kikao au ushauri uliowahi kutolewa kuwa maneno yako na Ilunga ndiyo maneno ya waislam.

Hayo umejivika maana hata waislam naamini wapo wengi jamvini wakisoma maneno na baadhi ya tungo na ngano zako wanakereka sana.

Mathalani tuhuma za namba za mitihani, umewafundisha watu huko vijiweni kumbe wewe mwenyewe umesikia kijiweni. Matokeo yake kila mtu anaimba namba za mitihani wakati huo huo mtoto amelaa ndani shule zimefungwa.
Watu wanaimba Ponda na mfumo kristo halafu wanakwenda chumba cha mitihani!!!

Mohamed, maneno yako si ya waislam, please narudia ngano kutoka kwa malenga na wahenga wako wa Tandamti na kipatwa ni zako wewe si za waislam.
Hakuna mahali upoteuliwa kusemea waislam na hivyo maoni yako yabaki kuwa yako na yaheshimiwe kama yako.

Ninyi ndio mumefanya dini kama chama cha mpira kwamba mumehodhi hata mafundisho, mumehodhi hadithi na sunna hata kuzifanyia dhihaka huku mkijinasibu ni waislam. Dini ya Uislam haifundishi uongo, unafiki na uzushi.

Narudia, Mohamed kama unaongea kwa niaba ya watu wa Narung'ombe(siyo waislam) well and good na tutaheshimu maoni yako. Lakini usiongee kwa niaba ya waislam, who are you Mohamed katika imani za watu.

Ilunga naye aseme anaongea kwa niaba ya waislam, Ponda, akina Halifa achili wachumia tumbo wengine.
Dini ya mwenyezi mungu ibaki kuwa dini na wala Wewe na kundi lako hamna umiliki wa kumwita mtu haram , kafir, BWAKTA n.k. Wewe ni nani mbele ya mwenyezi mungu Mohamed hadi kuhumu wenzako!
 
Mimi hawa akina Mohamed, Ponda, Ilunga & Co hawanipi shida tukimpata Rais anayesimamia KATIBA na utawala wa sheria. Kinachonisikitisha mimi ni huu ukaribu unaojijenga kati ya viongozi wa vyombo vya DOLA na viongozi wa DINI.

Jana ilikuwa zamu ya Edward Hoseah wa TAKUKURU. Viongozi wa dini watamsaidia nini Hosea wakati ZAKA na SADAKA hazilipwi kutokana na mapato halali ya waumini wao? Viongozi wa dini ni wa kuogopwa kama ukoma kwa sasa.
 
wewew nani??
Na una nini?
Waache watu wenye akili zao timamu wapate maarifa..
Mapovu ya nini kaka?kwangu mimi habari za Mohamed hazina uthibitisho, sasa wewe kama unaziamini ni swala lako, wala huna haki kunilazimisha mimi niziamini, wewe vipi!
 
Mapovu ya nini kaka?kwangu mimi habari za Mohamed hazina uthibitisho, sasa wewe kama unaziamini ni swala lako, wala huna haki kunilazimisha mimi niziamini, wewe vipi!

Give us some space,
hatuoni mchango wako,unaharibu mjadala,ok?
 
Gwalihenzi,

Hivi unataka kunambia hadi sasa wewe hujanijua mimi nafanya nini hapa?
Hivi unadhani mimi niko humu kujibishana na wewe?

Wewe ni mtu mmoja tu.

Wanaonifanya mimi nile JF, nilale JF, niamke JF ni hawa 43,000 + wanaonisikiliza
humu.

Hawa ambao hawajapata kusikia taarifa kama hizi ninazoweka hapa.
Unajua kwa siku napokea email ngapi kwa watu ambao hata sura yangu hawaijui?

Siko humu kujibizana na wewe.
Ila nakushukuru wewe ''for getting my mojo working.''

Bila watu kama nyie nisingeweza kueleza haya yote nielezayo humu.
Nikiwa sitting room nina lap top nikenda kulala nina tab.

Nadhani umenielewa.
Mohamed, usiingilie uhuru wangu kwa vitisho na porojo zako. Habari zako hazina uthibitisho wowote zaidi ya wewe kunukuu kitabu chako, sasa kama unadhani hao watu 43,000 wanafuatilia na kupokea porojo zako ni hiari yako lakini mie niondoe kwenye hiyo idadi.
 
Mohamed Said, kitabu chako na maneno yako mengi hapa jamvini nikuwa unawawakilisha waislamu,

Naomba kujua, je unabaraka zao?
 
mkuu Nguruvi3 umeandika kwa hisia kali sana, niajabu huyu mohamed hatoelewa, umenikumbusha chuo (UCLAS) tulipata Suplimentary darasani kwetu watu 5 katika somo fulani, kati yetu waislam walikuwa watatu na walijua hata mimi ni muislam kwakuwa jina langu ni la kiislam (kawaida kwa majina kule tanga), basi jamaa mmoja akasema tumepata sup kwakuwa sisi ni waislam, nikamuuliza na hao wawili wakristo? akasema hao wamepata sup ili mfumo kristo usionekane chuoni, nilichofanya nilimkumbusha tu kuwa mwalimu wa somo ni muislam na mkuu wa chuo (wakati huo ni idrisa kikula) muislam, jamaa bado akawa mbishi akadai eti huyo mwalimu kashinikizwa na idara husika ili atukamate, dah! jamaa sup yenyewe hakufanya na akaacha chuo. ninachoona Tatizo kubwa la Uislam ni mafundisho wanayopeana kwenye mihadhara.
 
Last edited by a moderator:
mkuu nguruvi umeandika kwa hisia kali sana, niajabu huyu mohamed hatoelewa, umenikumbusha chuo (UCLAS) tulipata Suplimentary darasani kwetu watu 5 katika somo fulani, kati yetu waislam walikuwa watatu na walijua hata mimi ni muislam kwakuwa jina langu ni la kiislam (kawaida kwa majina kule tanga), basi jamaa mmoja akasema tumepata sup kwakuwa sisi ni waislam, nikamuuliza na hao wawili wakristo? akasema hao wamepata sup ili mfumo kristo usionekane chuoni, nilichofanya nilimkumbusha tu kuwa mwalimu wa somo ni muislam na mkuu wa chuo (wakati huo ni idrisa kikula) muislam, jamaa bado akawa mbishi akadai eti huyo mwalimu kashinikizwa na idara husika ili atukamate, dah! jamaa sup yenyewe hakufanya na akaacha chuo. ninachoona Tatizo kubwa la Uislam ni mafundisho wanayopeana kwenye mihadhara.
Hayo na mengine ndiyo yaliyo vichwani mwa waislamu wa aina ya Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom