Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Naona unayakana maneno yako nafsi yako inakusuta.

Bahati nzuri Uislam kama dini unajisimamia wenyewe ni dini ya haki ni dini inayokuwa kwa kasi duniani.

Wewe siyo mtu wa kwanza kukejeli Uislama toka karne ya saba watu walikuwa wanaukejeli Uislam bahati mbaya wote wameondoka wameucha Uislam unakuwa kwa kasi.

Hakuna tatizo wewe uweke Uislam kundi lolote upendalo hizo ni fikra zako.
 
G,

Ikiwa umehisi nimekutisha halikuwa kusudio langu niwie radhi.
Nanukuu kitabu changu kwa kuwa ndiyo maneno yangu.

Ikiwa na hilo linakukera niwie radhi pia.
 
Matusi ya nini sasa ukitulia ukaandika vizuri watu watakuelewa tu JF hakuna medali za matusi.
 
Inakera sana mkuu wangu. Nimemuuliza Ritz, wakristo na wapagani wanaotaabika na maisha haya wamlaumu nani?
Wewe unaweza kutusaidia kwa hilo?

Kila mtu analalamikia matatizo yake...unaniuliza mimi matatizo ya wapangani na wakirstu.
 
Kila mtu analalamikia matatizo yake...unaniuliza mimi matatizo ya wapangani na wakirstu.
wakristo na waislam wana matatizo yanayofanana ila matatizo ya waislam yanasababishwa na wakristo, ama sivyo?
 
wakristo na waislam wana matatizo yanayofanana ila matatizo ya waislam yanasababishwa na wakristo, ama sivyo?

Tatizo lako unapenda sana kuwasemea Waislam nani kakuambia Waislam na Wakirstu matatizo yao yanafanana.
 
Mohamed,
Kama ni hotuba aliyotoa UN nina hakika imo katika mojawapo ya vitabu alivyoandika Nyerere, nadhani ni Freedom and Unity. Humo kuna makala zote alizoandika tangu ile ya Race Problems in East Africa 1952.
 
Nguruvi,

Hukumu umesema wewe mie siwezi wala sina uwezo wa kuwa hakimu wa Allah.

Kuhusu kuwasemea Waislam ni kwa kuwa wewe huwajui Waislam.
Ungetujua basi ungeijua nafasi yangu katika umma.

Ijumaa iliyopita nilialikwa kuzungumza katika moja ya misikiti mikubwa
Dar es Salaam.

Katika kila msikiti kila taasisi ya Kiislam ukiondoa BAKWATA ya utakuta
maandishi yangu au DVD.

Kila hafla ya Kiislam naalikwa na Waislam wananiweka kukaa kinarani.

Unataka ushahidi gani zaidi ya huu?

Waislam wanawajua wazushi, waongo nk. nk.

Ningekuwa katika hao nisingekuwa miongoni mwao na kila siku namuomba
Allah hatma njema.

Mfano wa waja wema ndiyo huu leo Sheikh Hassan bin Amir anakumbukwa
na kurehemewa kila msikiti na maadui zake wanalaniwa.
 
Ritz bwana! wakati mwingine unachekesha sana. Kama mkristo huyo ameamua kujifunza uislam kitamshinda nini kuufahamu na kuyafahamu mafundisho ya uislam? Nani kakupa wewe Ritz hati miliki ya mafundisho ya uislam? wakati mwingine uwe unafikiri kwa ubongo badala ya moyo!
 
Huwez kuyaelewa mafundisho ya uislam kwa uhalisia wake kama unausoma kwa dhumuni la kuukosoa,mwishowe utaamua kuacha kwa kuuona ukweli na kuhofia kuihama dini yako na kuhofia kutengwa na Wagalatia Wenzako
 
yani UPOFU wakidini muufanyao ww na kina mzee said, ritz n co.....
Hata ungekuwa unaendeshwa na radical yeyote wa kikristo ningemdharau na kumpuuza to the extent.

Na ndio kusema na namaanisha uhuru wa Tanganyika ulipatkana kutokana na juhudi za watanzania na sio wamanyema wa kariakoo gerezani aua waislamu sijui wa waoi huko
 
Huwez kuyaelewa mafundisho ya uislam kwa uhalisia wake kama unausoma kwa dhumuni la kuukosoa,mwishowe utaamua kuacha kwa kuuona ukweli na kuhofia kuihama dini yako na kuhofia kutengwa na Wagalatia Wenzako
Akili yako haina akili, bakia na ujinga wako milele! Tofautisha kuelewa na kuamini!
 
Mohamed,
Kama ni hotuba aliyotoa UN nina hakika imo katika mojawapo ya vitabu alivyoandika Nyerere, nadhani ni Freedom and Unity. Humo kuna makala zote alizoandika tangu ile ya Race Problems in East Africa 1952.

Jasusi,

Unadhania nilikuwa sijui?
 
akili yako haina akili, bakia na ujinga wako milele! Tofautisha kuelewa na kuamini!

idiot...!

Huwez kuamini kitu pasi na kuelewa,
thats why nakueleza hujielewei elewi upo upo tuh,kaa kando na mjadala huu,unajaza jaza mashudu tuh..
 
idiot...!

Huwez kuamini kitu pasi na kuelewa,
thats why nakueleza hujielewei elewi upo upo tuh,kaa kando na mjadala huu,unajaza jaza mashudu tuh..
Wewe mashudu achana na mimi, kwa akili yako finyu na kushauri usi "quote" michango yangu humu, hujafikia kiwango cha kujadili na mimi! kichwani wewe ni mtupu na ndio maana upo hapa kutetea upuuzi!
 
Sawa tumekusikia! unalingine?
 
The government has turned a blind eye on the matter!

Hapo ndo tulipokwama. Je unaweza kutusaidia kutatua hili tatizo?
MoU ya makanisa na Ujerumani chini ya ushahidi wa serikali ya Tz unaifahamu? Na ndio njia iliyopitia ambamo nanyi mnapita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…