Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

mkuu kwanza naomba uniondoe kwenye hilo kundi la wakristo wasomi, siifaham vyema hiyo elimu ya kikristo, vivyo hivyo elimu ya kislam,
vita ya umaskini, maradhi, ufisadi na ujinga ni vita yetu sote tukiongozwa na serikali tunazozisimika, vivyo hivyo Dini nazo zina vita yake kubwa kupambana na Shetani, labda uniambie leo Dini ya uislam ipo kundi gani?

Naona unayakana maneno yako nafsi yako inakusuta.

Bahati nzuri Uislam kama dini unajisimamia wenyewe ni dini ya haki ni dini inayokuwa kwa kasi duniani.

Wewe siyo mtu wa kwanza kukejeli Uislama toka karne ya saba watu walikuwa wanaukejeli Uislam bahati mbaya wote wameondoka wameucha Uislam unakuwa kwa kasi.

Hakuna tatizo wewe uweke Uislam kundi lolote upendalo hizo ni fikra zako.
 
Mohamed, usiingilie uhuru wangu kwa vitisho na porojo zako. Habari zako hazina uthibitisho wowote zaidi ya wewe kunukuu kitabu chako, sasa kama unadhani hao watu 43,000 wanafuatilia na kupokea porojo zako ni hiari yako lakini mie niondoe kwenye hiyo idadi.

G,

Ikiwa umehisi nimekutisha halikuwa kusudio langu niwie radhi.
Nanukuu kitabu changu kwa kuwa ndiyo maneno yangu.

Ikiwa na hilo linakukera niwie radhi pia.
 
Mkuu inasikitisha sana. Kuna akina mama wanaamka karibu kila siku ya Mungu saa tisa/kumi usiku kwenda kariakoo kutafuta mbogamboga na matunda, wapo wanaookaanga samaki/chapati/vitumbua nk. Yoote hayo ni katika kupambana na maisha magumu tuliyonayo. Wanapambana. Sasa hapa JF tunaona mijanaume na 'mikia' yao ikilialia eti inaonewa na Mfumo Kristo. Sasa sijui ndiyo inataka ipewe maisha bora kwa upendeleo bila kuhangaika. Upumbavu mkubwa...

Matusi ya nini sasa ukitulia ukaandika vizuri watu watakuelewa tu JF hakuna medali za matusi.
 
Inakera sana mkuu wangu. Nimemuuliza Ritz, wakristo na wapagani wanaotaabika na maisha haya wamlaumu nani?
Wewe unaweza kutusaidia kwa hilo?

Kila mtu analalamikia matatizo yake...unaniuliza mimi matatizo ya wapangani na wakirstu.
 
Kila mtu analalamikia matatizo yake...unaniuliza mimi matatizo ya wapangani na wakirstu.
wakristo na waislam wana matatizo yanayofanana ila matatizo ya waislam yanasababishwa na wakristo, ama sivyo?
 
wakristo na waislam wana matatizo yanayofanana ila matatizo ya waislam yanasababishwa na wakristo, ama sivyo?

Tatizo lako unapenda sana kuwasemea Waislam nani kakuambia Waislam na Wakirstu matatizo yao yanafanana.
 
Mag3,

Ingawa naiona kejeli lakini mimi nimeandika historia ya TANU na yale yaliyotokea
baada ya kuundwa kwake.

Nimeeleza asili ya TANU kutokea African Association na mchango wa kina Sykes
katika siasa za mji wa Dar es Salaam kuanzia miaka ya 1920 hadi uhuru ulipopatikana.

Nimeeleza Nyerere alipofahamiana na Abdu siasa zilikuwa katika kiwango kipi cha hamasa.
Nimeeleza matatizo yaliyojitokeza ndani ya TANU na nimeeleza vilevile mafanikio ndani ya
TANU na mchango wa Baraza la Wazee wa TANU.

Hili baraza kwa kweli ndilo lilipokea ule mzigo wa ufadhili wa TANU kutoka kwa wafadhili wake
wa asili Dossa, Mzee Rupia na Sykes brothers - Abdu na mdogo wake Ally.

Hapa ndipo walipoingia matajiri wengine: Mwinjuma Mwinyikambi, Mohamed Jumbe Tambaza,
Kiyate Mshume na wengine.

Hili la Mshume Kiyate na Nyerere la ''mboga'' kama Mag anavyokebehi ni kwa kuwa kwake yeye
ni shida kupata ile ''mood of the times.''

Wazee wangu wameishi katika nyakati hizi na ndiyo wamefanya mambo haya.
Ukiwasikia wenyewe wakihadithia ''sarcasm'' hii ya sasa itakusikitisha.

Kuhusu ile hotuba ya UNO kwa hakika ile document ni ya 1950 na iliandikwa na TAA Political Sub
Committee wajumbe wakiwa Sheikh Hassan bin Amir, Abdu Sykes, Dk Vedasto Kyaruzi, Hamza
Mwapachu, Steven Mhando, Said Chaurembo na John Rupia.

Hii document kwa sasa haipatikani popote.
Imepotea kote haipo Maktaba ya CCM Dodoma wala Nyaraka za Taifa.

Haya ya EAMWS na BAKWATA ni historia ambayo ina maelezo na yaliyotokea wengi wazee wa Dar
es Salaam wanayafahamu na ni katika doa kubwa sana katika historia ya maendeleo ya Waislam.

Propaganda nyingi ilisambazwa ya EAMWS na Sheikh Hassan bin Amir kula njama dhidi ya Nyerere nk.

Lakini leo hii Waislam tumepata fursa ya sisi nao kueleza upande wetu wa nini khasa kilisababisha
sintofahamu kati ya Nyerere na Waislam mara tu baada ya uhuru kupatikana.

Uzuri ni kuwa kila upande umeeleza kile kilichojiri.
Ni juu ya wasikilizaji sasa kupitisha uamuzi wao.

Msema kweli ni yupi.

Mohamed,
Kama ni hotuba aliyotoa UN nina hakika imo katika mojawapo ya vitabu alivyoandika Nyerere, nadhani ni Freedom and Unity. Humo kuna makala zote alizoandika tangu ile ya Race Problems in East Africa 1952.
 
Na wala nilikuwa simjui Sheikh Ilunga na mihadhara ya shari.
Nimekueleza wasoma riwaya na ngano this is top notch, kwa sisi tunaotumia medulla Oblangata this is another Puzo, fictitious novel base on true story over time.

Mohamed, kama una maoni ni yako si waislam.
Hakuna, narudia hakuna mahali kikao au ushauri uliowahi kutolewa kuwa maneno yako na Ilunga ndiyo maneno ya waislam.

Hayo umejivika maana hata waislam naamini wapo wengi jamvini wakisoma maneno na baadhi ya tungo na ngano zako wanakereka sana.

Mathalani tuhuma za namba za mitihani, umewafundisha watu huko vijiweni kumbe wewe mwenyewe umesikia kijiweni. Matokeo yake kila mtu anaimba namba za mitihani wakati huo huo mtoto amelaa ndani shule zimefungwa.
Watu wanaimba Ponda na mfumo kristo halafu wanakwenda chumba cha mitihani!!!

Mohamed, maneno yako si ya waislam, please narudia ngano kutoka kwa malenga na wahenga wako wa Tandamti na kipatwa ni zako wewe si za waislam.
Hakuna mahali upoteuliwa kusemea waislam na hivyo maoni yako yabaki kuwa yako na yaheshimiwe kama yako.

Ninyi ndio mumefanya dini kama chama cha mpira kwamba mumehodhi hata mafundisho, mumehodhi hadithi na sunna hata kuzifanyia dhihaka huku mkijinasibu ni waislam. Dini ya Uislam haifundishi uongo, unafiki na uzushi.

Narudia, Mohamed kama unaongea kwa niaba ya watu wa Narung'ombe(siyo waislam) well and good na tutaheshimu maoni yako. Lakini usiongee kwa niaba ya waislam, who are you Mohamed katika imani za watu.

Ilunga naye aseme anaongea kwa niaba ya waislam, Ponda, akina Halifa achili wachumia tumbo wengine.
Dini ya mwenyezi mungu ibaki kuwa dini na wala Wewe na kundi lako hamna umiliki wa kumwita mtu haram , kafir, BWAKTA n.k. Wewe ni nani mbele ya mwenyezi mungu Mohamed hadi kuhumu wenzako!

Nguruvi,

Hukumu umesema wewe mie siwezi wala sina uwezo wa kuwa hakimu wa Allah.

Kuhusu kuwasemea Waislam ni kwa kuwa wewe huwajui Waislam.
Ungetujua basi ungeijua nafasi yangu katika umma.

Ijumaa iliyopita nilialikwa kuzungumza katika moja ya misikiti mikubwa
Dar es Salaam.

Katika kila msikiti kila taasisi ya Kiislam ukiondoa BAKWATA ya utakuta
maandishi yangu au DVD.

Kila hafla ya Kiislam naalikwa na Waislam wananiweka kukaa kinarani.

Unataka ushahidi gani zaidi ya huu?

Waislam wanawajua wazushi, waongo nk. nk.

Ningekuwa katika hao nisingekuwa miongoni mwao na kila siku namuomba
Allah hatma njema.

Mfano wa waja wema ndiyo huu leo Sheikh Hassan bin Amir anakumbukwa
na kurehemewa kila msikiti na maadui zake wanalaniwa.
 
Wewe ni Mkirstu huwezi kufahamu mafundisho ya Uislam labda kama umeamua kujifurahisha.

Naomba nikuulize nyie ambao mnajiita wasomi wa Kikirstu ambao mmejaa serikalini toka enzi za Nyerere mmelisaidiaje taifa letu kutoka katika dimbwi la umasikini duniani na kupambana na ufisadi.
Ritz bwana! wakati mwingine unachekesha sana. Kama mkristo huyo ameamua kujifunza uislam kitamshinda nini kuufahamu na kuyafahamu mafundisho ya uislam? Nani kakupa wewe Ritz hati miliki ya mafundisho ya uislam? wakati mwingine uwe unafikiri kwa ubongo badala ya moyo!
 
Ritz bwana! wakati mwingine unachekesha sana. Kama mkristo huyo ameamua kujifunza uislam kitamshinda nini kuufahamu na kuyafahamu mafundisho ya uislam? Nani kakupa wewe Ritz hati miliki ya mafundisho ya uislam? wakati mwingine uwe unafikiri kwa ubongo badala ya moyo!


Huwez kuyaelewa mafundisho ya uislam kwa uhalisia wake kama unausoma kwa dhumuni la kuukosoa,mwishowe utaamua kuacha kwa kuuona ukweli na kuhofia kuihama dini yako na kuhofia kutengwa na Wagalatia Wenzako
 
Sawa mimi ni mpofu wa dini kwa kuwa nimewataja wapigania uhuru wetu wa Moshi ninao wajua! wewe mwenye macho nani kakunyima kuwatataja hao wa kwako unaowajua!

Nyerere wakati wa kupigania uhuru alikuwa akija Moshi na kuteremkia nyumbani kwa Bibi Mariam Baiskeli mwanamke wa kwanza jasiri kuendesha baiskeli hapa Moshi na kuendeshwa na gari la Osman Farah, Msomali aliekuwa mfanyi biashara Moshi mjini! nyumba alizokuwa akifikia mojawapo ni ya Liwali Musa Mwinyijanga na dua akisomewa ktk Msikiti wa Ijumaa!

Sasa wewe wataje basi na hao wa kwako ambao walimpokea Nyerere na kumuombea dua Kanisani!

yani UPOFU wakidini muufanyao ww na kina mzee said, ritz n co.....
Hata ungekuwa unaendeshwa na radical yeyote wa kikristo ningemdharau na kumpuuza to the extent.

Na ndio kusema na namaanisha uhuru wa Tanganyika ulipatkana kutokana na juhudi za watanzania na sio wamanyema wa kariakoo gerezani aua waislamu sijui wa waoi huko
 
Huwez kuyaelewa mafundisho ya uislam kwa uhalisia wake kama unausoma kwa dhumuni la kuukosoa,mwishowe utaamua kuacha kwa kuuona ukweli na kuhofia kuihama dini yako na kuhofia kutengwa na Wagalatia Wenzako
Akili yako haina akili, bakia na ujinga wako milele! Tofautisha kuelewa na kuamini!
 
Mohamed,
Kama ni hotuba aliyotoa UN nina hakika imo katika mojawapo ya vitabu alivyoandika Nyerere, nadhani ni Freedom and Unity. Humo kuna makala zote alizoandika tangu ile ya Race Problems in East Africa 1952.

Jasusi,

Unadhania nilikuwa sijui?
 
akili yako haina akili, bakia na ujinga wako milele! Tofautisha kuelewa na kuamini!

idiot...!

Huwez kuamini kitu pasi na kuelewa,
thats why nakueleza hujielewei elewi upo upo tuh,kaa kando na mjadala huu,unajaza jaza mashudu tuh..
 
idiot...!

Huwez kuamini kitu pasi na kuelewa,
thats why nakueleza hujielewei elewi upo upo tuh,kaa kando na mjadala huu,unajaza jaza mashudu tuh..
Wewe mashudu achana na mimi, kwa akili yako finyu na kushauri usi "quote" michango yangu humu, hujafikia kiwango cha kujadili na mimi! kichwani wewe ni mtupu na ndio maana upo hapa kutetea upuuzi!
 
yani UPOFU wakidini muufanyao ww na kina mzee said, ritz n co.....
Hata ungekuwa unaendeshwa na radical yeyote wa kikristo ningemdharau na kumpuuza to the extent.

Na ndio kusema na namaanisha uhuru wa Tanganyika ulipatkana kutokana na juhudi za watanzania na sio wamanyema wa kariakoo gerezani aua waislamu sijui wa waoi huko

Sawa tumekusikia! unalingine?
 
The government has turned a blind eye on the matter!

Hapo ndo tulipokwama. Je unaweza kutusaidia kutatua hili tatizo?
MoU ya makanisa na Ujerumani chini ya ushahidi wa serikali ya Tz unaifahamu? Na ndio njia iliyopitia ambamo nanyi mnapita?
 
Back
Top Bottom