sasa hil jina la Yericko Nyerere linahusiana vipi na mada? kwanini msijibu hoja zakemanajadili jina lake? utajuaje huenda Yericko Nyerere ndo endrew NyerereMods wasipokuwa makini watawapiga ban watu wengi sana kuhusu huyu Yericko.
Yeye mwenyewe anasema Nyerere ni baba yake anaenda mbali zaidi na kusema akienda likizo Butiama ataleta ushahidi wa picha za Mariale.
Watu wakimuuliza wewe ni mtoto wa ngapi wa Julius Kambarage hataki kusema mama yako ni Mama Maria hataki kusema.
Mtoto mkubwa wa Julius Kambarage, Andew Nyerere kasema wazi hamjui Yericko basi na yeye apigwe ban.
Mohamed Said, zitendee haki hoja za Mwanakijiji.
Nimeikumbuka ile paper yako uliowasilisha ujerumani.
Hapa hata Zomba anaweza kutusaidia. Hivi CCM bado ni adui wa Waislam?
Hapa ningependa kujua ni serious petitions ngapi na zinahusu nini zimeshapelekwa ama kwa Kikwete(Huyu mliyempigania aingie ikulu) au waziri mkuu au bungeni tangia kikwete aingie madarakani 2005?
Unaposema serikalini tu haitoshi. Mliyapeleka wizara ipi na ni nani alikuwa waziri kwenye wizara husika wakati mnayapeleka hayo maswali/malalamiko?
Mzee Mohamed,MM,
Nitajibu kwa Kiswahili.
Hayo maswali sasa si kuyaleta kwangu.
Hayo maswali hivi niandikapo yako serikalini.
Tunasubiri majibu.
Huu sasa mwaka wa pili.
Tulizunguka nchi nzima tukifanya mikutano ya
hadhara tukiwaeleza Waislam kuhusu mfumokristo.
Get out of my way you fanaticNo body forced you to believe dear, why don't you go to sleep
Mzee Mohamed,
Tusaidie hayo maswali ili nasi tupate mwanga zaidi juu ya mfumokristo. Maandishi yako mengi umeyanukuu mara kadhaa humu. Tupatie hayo maswali mliopeleka serikalini kwa Jakaya na Mohamed mwenzio.[/
WC,
Vuta subira kama tuvutayo sie tukisubiri kauli ya serikali.
Nguruvi,
Nitayasemea haya ya wasemaji wa Waislam hayo mengine sina haja ya kuyagusa.
Inaelekea hujui mambo yanavyokwenda katika jamii ya umma wa Kiislam.
Hao wote uliowataja ni viongozi wakuu wa Kiislam na wana heshima kubwa
sana.
Hawa ndiyo wanaosikilizwa na Waislam siyo Mufti wa BAKWATA.
Huu ndiyo ukweli ingawa inawezekana nyie ukakutisheni na kuwakera.
Hawa ndiyo wanoswali misikiti yote Dar es Salaam bila hofu.
Unajua Waislam tuna historia yetu na ukipenda nitakujuvya.
Wewe mjinga uliyekubuhu, nikufahamishe kuwa huna mamlaka ya kuniambia chochote. Baki na ujinga wako uliouegesha kwenye imani ya kijinga kwenye dini ambayo hata misingi yake huijui. Utabaki ukilalamika na wajinga wenzako kwamba munadhulmiwa wakati wenzenu wanaendelea kwa kasi.Nadhani ujumbe wangu umeuelewa,
Ukae nje ya mjadala huu kama mtazamaji tuh na kusoma maarifa kuliko kijfannya wewe ni wewe,hali ya kuwa ni MTU MWENYE PISHI LA KILO NYINGI ZA UJINGA,SAWA?
sasa hil jina la Yericko Nyerere linahusiana vipi na mada? kwanini msijibu hoja zakemanajadili jina lake? utajuaje huenda Yericko Nyerere ndo endrew Nyerere
Sweke,
Hayo si ya uwanja huu.
BAKWATA ni chombo kizito kwelikweli. Kama unadhani ni rahisi kukisukuma pembeni jaribu. BAKWATA ni ya WAISLAM, inaongozwa na WAISLAM. BAKWATA ina umri wa zaidi ya miaka arobaini sasa. Mzee Mohamed angefanikiwa sana kuwaunganisha Waislam kwa malengo yake kama asingekibeza na kukidharau chombo hiki na viongozi wake.Assalamu alaykum.
Al Akhiy Mohamed Said mimi nafikiri tuuweke uzi mahsusi kabisa kuanza kuuchambua Uislam wa Tanganyika na kuijua BAKWATA ni nini na kwanini haina anachama bali viongozi tu wa Serikali.
Hiyo mada itatupa mengi sana kwani hata mimi nilipokuwa Tanzania kama kiongozi tulikuwa tunalazimishwa kuswali swala za EID ile inayoendeshwa na BAKWATA na sio taasisi nyingine.
Kwa ihsani yako tunakuomba utuwekee uzi maalum kutusasasambulia hayo.
Maa salaam.
Nduguyo Dr Hamza
Si ndiyo wewe uliyesema mliyapeleka madai yenu kwa Mkapa na Mkapa akasema mpeleke ushahidi wa kisayansi? Kama sikosei baada ya hapo mkampelekea kitabu cha Njozi(Mwembechai Killings) na kingine kimenitoka kidogo!Sweke,
Hayo si ya uwanja huu.
Bw. Said, katika mazungumzo yako na wazee wako toka ujana hadi leo hii na wakati unafanya utafiti wako kuna mzee au mtu yeyote ambaye alikuambia aliwahi kumsikia Nyerere akisema neno baya juu ya Uislamu au Waislamu?
Sasa hapa ndiyo umemjibu nini Nguruvi3? Yaani ulichoandika hapa ni tofauti na alichokuuliza Nguruvi3.
Umeleta majibu mepesi kwenye maswali magumu. Aibu tupu!
BAKWATA ni chombo kizito kwelikweli. Kama unadhani ni rahisi kukisukuma pembeni jaribu. BAKWATA ni ya WAISLAM, inaongozwa na WAISLAM. BAKWATA ina umri wa zaidi ya miaka arobaini sasa. Mzee Mohamed angefanikiwa sana kuwaunganisha Waislam kwa malengo yake kama asingekibeza na kukidharau chombo hiki na viongozi wake.
Mbadala wa BAKWATA ni taasisi ipi? Muulize Mzee Mohamed, maswali yao kwenda serikalini wametumia chombo gani kuyapeleka? Kama hayana baraka za BAKWATA yeye aendelee kusubiri tu kwa miaka mingine 20 ijayo!
Big Show nitasema kitu kimoja ambacho sipendi sana kutumia; unapokejeli imani za watu unafungulia na wewe imani yako kukejeliwa. Suala la utakatifu ni suala la imani ya Wakatoliki (siyo Wakristu wote) na akiwa Mtakatifu hawi mtakatifu wa Tanzania bali wa Wakatoliki. Hivyo, huna sababu ya kukejeli imani hiyo ya wengine ukidhani kuwa una haki hiyo kwani wenzako nao wakianza kukejeli imani yako unaweza kuja juu na kuanza kulia kuwa unakashfiwa.
Tujadiliane kwa heshima.
Tupatie hints angalau kuwa "dhulma" tulizopeleka serikalini ni hizi:Mzee Mohamed,
Tusaidie hayo maswali ili nasi tupate mwanga zaidi juu ya mfumokristo. Maandishi yako mengi umeyanukuu mara kadhaa humu. Tupatie hayo maswali mliopeleka serikalini kwa Jakaya na Mohamed mwenzio.[/
WC,
Vuta subira kama tuvutayo sie tukisubiri kauli ya serikali.
-BAKWATA ifutwe turudishe EAMWS;
-Tugawane vyeo, ajira na madaraka ya NCHI hii kwa uwiano wa DINI;
-Waislamu wasifikishe wala kufikishwa kwenye hizi mahakama za kawaida kwa lolote;
-Mwalimu avuliwe heshima na hadhi yote aliyonayo kwa WATANZANIA;
-MoU na makanisa ifutwe mara moja. Walooisaini wafikishwe mahakamani;
-Ubalozi wa VATICAN ufungwe mara moja;
MfumoKristo kama ilivyo lugha ya Kiingereza, upo dunia nzima. Ndio unaotawala dunia. Tanzania sio kisiwa.
Si ndiyo wewe uliyesema mliyapeleka madai yenu kwa Mkapa na Mkapa akasema mpeleke ushahidi wa kisayansi? Kama sikosei baada ya hapo mkampelekea kitabu cha Njozi(Mwembechai Killings) na kingine kimenitoka kidogo!
Kwanini wakati huu wa Kikwete unashindwa kusema mmeyapeleka madai yenu wapi/kwa nani?
Sasa tupo kwenye madai mliyoyapeleka miaka miwili iliyopita. Mbona unasahau haraka? Ya Mkapa nimekukumbushia tu ili tuwekane sawa kwenye haya madai ya sasa.Sweke,
Ndiyo nikakupa jibu kuwa mbona huko tushapita siku nyingi?
Kitabu cha Prof. Njozi kimeeleza mengi ikiwa hujakisoma kisome.
Kimo katika mtandao.