zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
sasa hil jina la Yericko Nyerere linahusiana vipi na mada? kwanini msijibu hoja zakemanajadili jina lake? utajuaje huenda Yericko Nyerere ndo endrew NyerereMods wasipokuwa makini watawapiga ban watu wengi sana kuhusu huyu Yericko.
Yeye mwenyewe anasema Nyerere ni baba yake anaenda mbali zaidi na kusema akienda likizo Butiama ataleta ushahidi wa picha za Mariale.
Watu wakimuuliza wewe ni mtoto wa ngapi wa Julius Kambarage hataki kusema mama yako ni Mama Maria hataki kusema.
Mtoto mkubwa wa Julius Kambarage, Andew Nyerere kasema wazi hamjui Yericko basi na yeye apigwe ban.
Last edited by a moderator: