Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jina la Nyerere lisikupe taabu sana. Wakazi wa Mkoa wa MARA hawana majina ya UKOO. Au kama yapo hawayatumii kujitambulisha. Muhimu ni hoja iliyo mbele yetu. Imekuwa ni hoja nzito na ya kihistoria pia humu JF.

Kule Mara, jina hili halitumiwi na ukoo wa Mwalimu pekee. Hauwaamini Mods kwa kum-verify? Jina hili hasa ni Nyerre sio Nyerere!
 

Sweke,

Kama ni kusaidiwa wala hilo usiwe na hofu.
Serikali ina kila kitu chetu.
 

Sio kama hatuwaamini mods kwa kumverify,tunachofanya ni kuhoji nyerere huyu ni yupi??

ni kweli yawezekana wapo wengi hao kina nyerere,ila huyu kaja kwa uchungu wa kumpigania JULIUS KAMBARAGE kama yeye ni zao la ukoo ule,ndio kwa maana tunamhoji yeye ni yupi?

unasema jina hili hasa ni "NYERRE na sio NYERERE",,je una uhakika?
na kwa maana hiyo mods je wamekosea?hawaoni umuhimu wa kusasahisha sasa?
umuhimu wa mjadala huu tunaufaham,na tupo katika kuujenga mjadala huu pia..
 
Mkuu Ngongo,

Nimependa uchambuzi wako lakini bahati mbaya ujamalizia idadi ya wabunge wakistu na waislam upande wa Tanzania bara pamoja na asilimia.

Hebu malizia uchambuzi wako tuwekee idadi ya wabunge na dini zao.

Tunasubiri mkuu wangu.
mkuu Ngongo ona mkuu Ritz ameulizwa swali la ajabu kabisa,
sasa mkuu Ritz umeshindwaje wewe kuweka list ya hao wabunge wakristo na waislam?
halafu nataka kujua tu, ikitokea wabunge wakuchaguliwa wengi ni wakristo tatizo litakuwa kwa nani? aliyewachagua au waliojitokeza kugombea?
 
Last edited by a moderator:
hapana, yericko Nyerere ni Yericko nyerere, kuna namba ya simu yake aliiweka mtu hapa ukijaribu kutuma tigo pesa kabla hujafikia hatua ya mwisho inaonyesha jina ni la kwake...
 
hapana, yericko Nyerere ni Yericko nyerere, kuna namba ya simu yake aliiweka mtu hapa ukijaribu kutuma tigo pesa kabla hujafikia hatua ya mwisho inaonyesha jina ni la kwake...


Jibu jepesi na la kitoto hilo Zumbe Mkuu,,

Hoja hii ni kubwa zaid ya unavofikiria..
 
Napitisha tena kisu hadi kwenye mshipa wa damu wa wafia dini wa Gerezani:-

Nyinyi wafia dini wa Gerezani kariakoo,kwakuwa hii dini yenu inayowatieni upofu mliletewa na kutawaliwa na wakoloni wa Kiarabu na the same kwa wakristo walivyoletewa dini yao na kutawaliwa na mkoloni wa kizungu, nachukuwa nafasi hii kuwa
shauri kwanini msifunge safari na kwenda kwenye nchi za Kiarabu na hasa Saudi Arabia na Irani na mukawaulize viongozi wa
juu serikalini na wafia dini wote wa uko Uarabuni maswali haya 3:-

(1) kwanini hamkujenga shule nyingi na kutupa elimu dunia bora kama ilivyo kwa wenzetu wakristo na wazungu wao?

(2)kwanini mlitujengea madrasa na misikiti mingi badala ya kutujengea shule nyingi ili tupate elimu kama wenzetu wakristo?

(3)barani Africa karibu kila wilaya ina hopital bora za mission na vyuo vikuu (wakristo) kwanini na nyinyi msitufanyie hivyo?

Iweje wazungu waliwaletea dini wenzetu wa upande wa pili na wameendelea kwa mafanikio makubwa?

Iweje na nyinyi mlituletea dini lakini tumekuwa watu wa nyuma sana kwenye nyanja zote? Kulikoni?
 


Wewe inaonesha hata historia yako na mababu zako huijui kabisa,

umesahau hizo hospitals wale agents of colonialisms i.e MISSIONARRIES,walijenga kwa ajenda ipi??

hizo shule pia unajua kipindi babu zako wamefanya watumwa zilijengwa kwa mantiki ipi?

au unajitoa ufaham,au huijui historia?hospitals zilijengwa kwa lengo kubwa la kujitibia wao wenyewe,machifu na wanafamilia wa machifu,kuwatibu watumwa wao pindi pale wanapopatwa na maradhi ili wazid kuwazalishia zaid kwa nguvu kazi zao,,

hizo shule babu zako wala hawakuwa walengwa,walilengwa watawala wao wam kizungu ambao ni kama clerks na supervisors wa colonial govements,middle class people like asians,na baadhi ya weusi ambao wangetumika katika kuwasimamia wao interests zao,
so usijitie kimbele mbele na kujihashua na kujiona wa maana eti walikujengea wewe shule na hospitals,wewe nani na wanufaike na nini kutoka kwako??

pia kama hujui,uislam kama dinni tokea mwanzo inakemea biashara ya utumwa tena kwa wazi wazi,wewe endelea kuzubaa zubaa na PISHI LAKO LA UJINGA..
 
Nina uhakika jina hili kule Mara ni NYERRE sio NYERERE. Hawa NYERRE ni viwavi wa panzi au nzige ambao hushambulia mashamba kwa wingi. Nyerere wa mkoa wa Mara ni wengi sana na tunaompigania Julius humu wote hatutoki Mara wala hatuna undugu na Mwalimu.
 
labda unifafanulie, jina lina msaada gani kwenye huu mjadala?


Ili kuondoa contradictions katika huu mjadala,anasemekana kusema anao uwezo wa kuleta audio speech ya nyerere kwa kuwa ni mtu ambae ana uhusiano nae,kashindwa kwa hilo,
ukisoma posts zake huku jukwaani pia kuna mahala kasema ataenda TBC,kuichukua na kuna kias cha pesa kinatakiwa watu wakaahid kumpatia,lakini hadi sasa kashindwa,so tunahoji kama kweli ana uhusiano wa karibu na nyerere anakosa vipi kuwa na ushahid wa vitu kama hivyo?
mbona mwenzake Mohamed Said anazo nyaraka za wazee wake,hasa hasa ukizingatia yeye ndie alieleta allegations hizi hapa ukumbuni..
 
Wakuu tulieni kwenye mada na jibuni hoja, jina langu linamafaa kwangu na familia yangu tu, lakini hoja hizo zina mafaa kwa taifa.

Zingatieni sheria za jf
 
Nina uhakika jina hili kule Mara ni NYERRE sio NYERERE. Hawa NYERRE ni viwavi wa panzi au nzige ambao hushambulia mashamba kwa wingi. Nyerere wa mkoa wa Mara ni wengi sana na tunaompigania Julius humu wote hatutoki Mara wala hatuna undugu na Mwalimu.

WILCARD,,
usitutoe nje ya mstari,tulimalize hili tuendelee na mjadala,
hoja hapa sio hili jina huko mara linatumiwa kama "NYERRE au NYERERE',,na tunajua sote hapa tupo katika kuitafakari kwa kina historia hii,
hoja hapa ni kwamba nyerere huyu ni nyerere yupi??
na iweje aamue kujiverify na jina ambalo halina usiano nae?
na kama hana uhusiano na jina hili kama alivyosema mwanafamilia ANDREW NYERERE,je haoni sasa ni wakti wa kusema yeye ni nani?

na MODS hawaoni sasa ni vema kuliondoa jina hili katika kuwa verified kwa kuwa linaleta mkanganyiko??
 
Umeziona?
 

Nani kaleta hiyo orodha? Nilichofanya nimemkumbusha tu bahati mbaya wewe unaona ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna jambo muhimu sana wenzetu hawa inabidi wafahamu mfumo kristu unavyofanya kazi katika nchi zinazo abudu hivyo kisha wawianishe na mfumo wetu ulivyo sasa.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tulieni kwenye mada na jibuni hoja, jina langu linamafaa kwangu na familia yangu tu, lakini hoja hizo zina mafaa kwa taifa.

Zingatieni sheria za jf

Hakuna mtu anayekuingilia kwenye jina lako tatizo unapojinasibisha na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama baba yako mzazi. Watu ndiyo wanahoji ni kweli ni hayo tu.
 
Hakuna mtu anayekuingilia kwenye jina lako tatizo unapojinasibisha na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama baba yako mzazi. Watu ndiyo wanahoji ni kweli ni hayo tu.


Sawa Sawa..
napata aljumaa kwanza,kisha nitamrudia huyu.
 
Ninakushauri urudi nyuma na usome kwakutulia sheria za jf hasa kuwa verified user, ukijua hilo hutapoteza mda wako hapa kwa kuhoji mimi ni nani ilihali macho yako ya nyama yanaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…