Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapana. Kwenye chapter moja kabla ya mwisho p474 , Malcom x anasema hivi alipokuwa Ghana,
The next morning , a Saturday , I heard that Cassius Clay and his entourage had arrived. There was a huge reception for him at the airport. I thought that if Cassius and I happened to meet, it would likely prove embarrassing for Cassius, since he had elected to remain with Elijah Muhammad's version of Islam. I would not have been embarassed, but I knew that Cassius would have been forbidden to associate with me. I knew that Cassius knew I had been with him, and for him, and believed in him, when those who later embraced him felt that he had no chance. I decided to avoid Cassius so as not to put him on the spot.
 

Nguruvi,

Nia yangu haijapata kuwa nikae humu kujibu maswali.
La hasha.

Nimeingia humu kwa nia ya kukuelezeni upande wa Waislam.
Nia si kuwa mkubali kuwa lipo tatizo hapana.

Nia ilikuwa kukufahamisheni la kwanza kuwa ipo historia nyingine
nje ya ile mliyofundishwa shule kwa zaidi ya miaka 50.

Hili naamini mshalijua.

Pili ilikuwa kueleza mfumokristo.
Hili mshalijua.

Kwetu nyie kuamini kuwa lipo tatizo si muhimu sana kwa sasa.

Tunaweza tukafanga mjadala ikiwa mtapenda.

Wasikizaji 45,000 plus...
Si haba.
 
Mkuu, 'mkenge' mbona ni lugha safi tu huku mitaani?
Nitakitafuta hicho kitabu. Vipi ile paternity suit dhidi Elijah Muhammad wameielezea ilivyokwenda?
 
Unapoitwa nchi za nje huwa unakwenda kuwaelezea upande wa waislam tu au huwa unapokea na maswali kidogo pia?
 


Anaestahili kuangaliwa kwa mshangao naona ni wewe,

kumbe unajua umuhimu wa kuleta uthibitisho?vipi kuhusu wewe mwenyewe?
unashangaza sana.
 
Nguruvi3, ni kwamba inapofikia hapa ndio mimi humwita huyu mchochezi Mohamed Said mpuuzi na yeye kuhamaki kwa kudai eti katukanwa. Hicho kipande alichokinukuu hapo ukikisoma kwa umakini utadhani ni kama vile wakati wa hicho kinachoitwa Mwembechai killings serikali haikuwa na Kiongozi! Baadaye na bila hata aibu wala soni tunashuhudia jina la Mkapa, aliyekuja kukamata Uongozi miaka mingi tu baada ya tukio hilo, likitajwa! Sasa hapa lengo hasa ni nini? Halafu mtu mwenyewe anadai kafanya utafiti muda mrefu! ... na wenye uelewa finyu wanampigia makofi, what the heck!

Mohamed Said, bila ajizi, ananukuu hayo maandishi ya Prof. Ngozi eti kama kielelezo cha kuzipa nguvu ngano anazozimwaga bila kupumzika hapa JF! Jamani hata kwa kutumia akili kidogo mtu angejiuliza, hiyo inayotajwa kama The government ilikuwa chini ya nani? Kanisa? Ni lini kanisa lilichukua fomu kugombea Uraisi wa nchi hii, likachaguliwa na likaunda serikali? Halafu hao hao kama vile hawana akili nzuri bado mpaka leo wanadai ni kura za Waislaam ndizo ziliikosesha Kanisa Uraisi mwaka 2010! Lakini pamoja na Kanisa kushindwa, mfumoKristo bado ukaweza kuendelea hadi leo.

Wanajamvi, wanaoamini haya hadi kufikia kuandika kitabu, sitasita kuwaita wapuuzi na wachochezi...kwamba vitabu walivyoviandika kuna watu wanavinunua, wanavisoma na wanaviamini ni ishara tosha kuwa tuna tatizo kama jamii, tatizo kubwa. Hivi sasa Sheikh Ponda yuko ndani, viongozi wa UAMSHO wako ndani lakini hakuna anayemnyooshea kidole Kikwete...sana sana anazidi kumwagiwa sifa na watu wale wale waliochoshwa na MfumoKristo na kwa humu JF ndio watetezi wake wakubwa. Pamoja na yooote viongozi wote wakuu wa Taifa katika mfumo huu ni Waislaam.
 

Umeshikwa patamu, unatokwa povu. Ukweli unauma!
 

"Kauli zenye makosa kibao zinazosemwa kuhusu Uislam zinatokana na ujinga na wakati mwingine ni kupakana matope tu." Maurice Bucaille
 
Nimeingia humu kwa nia ya kukuelezeni upande wa Waislam.
Nia si kuwa mkubali kuwa lipo tatizo hapana.
...uliulizwa hivi, ni nani alikutuma uje kuwasemea waislam?

Nia yangu haijapata kuwa nikae humu kujibu maswali.
La hasha.
kumbe ndo maana ukiulizwa maswali majibu yako ni kama haya, waulizeni wao..., soma kitabu changu,.... etc

Nia ilikuwa kukufahamisheni la kwanza kuwa ipo historia nyingine
nje ya ile mliyofundishwa shule kwa zaidi ya miaka 50.
historia ya wazee wako? na kila mtu akiweka historia ya wazee wake jinsi walivyopigania uhuru wa nchi hii zitakuwa historia ngapi nje ya hiyo tuliyofundishwa miaka 50?

Hili naamini mshalijua.
kwenye utetezi wako mwingi sana hili neno naona unalitumia mno, kila kitu unasema tushaakijua, hii ni jibu la hoja mufilisi kabisa.

Pili ilikuwa kueleza mfumokristo.
Hili mshalijua.
umeulizwa toa mfano wa mfumo kristo hujibu, hivi kweli kungekuwa na mfumo kristo ungekuwa hai kweli wewe na huu upotoshaji wako unaojenga ufa wa kidini kwenye jamii ya mfumo kristo?

Nguruvi,
Wasikizaji 45,000 plus...
Si haba.
nimeshajua lengo lako, kumbe lengo lako ni maelfu ya watu wasome na kusikia ngano zako ndo raha yako?

Baba katika jina la Yesu lipitalo majina yote naamuru pepo la vita, pepo la uchonganishi litoke kwa mtu huyu amani yako ipate kutawala tena kwa watu wako, aaamen.
 
Huyo hana anachojuwa unajihangaisha bure, ni mpiga parapanda tu.


Basi ajifunze adabu na heshima kwa watu wenye elimu kama MOHAMED SAID..
Asijitie kujua jua sana ili hali anaungua jua tu hapa jijini daresalama..
Nchi imepiganiwa hiii..
 
Basi ajifunze adabu na heshima kwa watu wenye elimu kama MOHAMED SAID..
Asijitie kujua jua sana ili hali anaungua jua tu hapa jijini daresalama..
Nchi imepiganiwa hiii..
na waislam pekee au na wote waislam na wakristo?
 
Umeshikwa patamu, unatokwa povu. Ukweli unauma!
"Kauli zenye makosa kibao zinazosemwa kuhusu Uislam zinatokana na ujinga na wakati mwingine ni kupakana matope tu." Maurice Bucaille
zomba na Ritz, mnazidi tu kumuumbua huyo mchochezi na ngano zake...ningekuwa yeye, ningewafunga LUKU, mnamharibia.
 
Last edited by a moderator:
Sijapata ona wapuuzi wakubwa hapa duniani kama hawa wafia dini wa Gerezani kariakoo.
Kwanza hawajui kujenga hoja bali wanaleta viroja na ubishi usio na mashiko
Pili wanaleta majibu mepesi kwenye maswali magumu kutoka kwa Nguruvi,Mwanakijiji,Mag3,WildCard na Y.nyerere.

Hakika nyinyi ni watega nyoka na ni wapuuzi wakubwa sana hapa duniani...na siku si nyingi huyu Mzee M.S atamfuata Osama bin Ladeni baharini.
 

Uislam ndiyo dini yenye ubavu wa kusimama dhidi ya mawimbi ya upagani na ukiburi wa kutomuamini Mungu tabia ambazo wengi katika jamii za nchi zizoendelea kiviwanda. Uislam unawavutia wengi kati ya wahitimu wa vyuo hasa hasa wale waliyochoswa na hoja zisizo na mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…