zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
soma kwenye mstari halafu angalia alichojibu Muhammad Ali...
Oprah: But I understand. If you hadn't become a Muslim, you might not have had the concentrated spiritual power that sustained you. Did your greatness have to do with more than just your ability in the ring?
Kimsingi anachosema Ali ni kuwa wakati ule watu weusi walikuwa hawajiamini. Ilikuwa ni vigumu kusikia mtu mweusi akisema vile lakini mafundisho ya Yule Kiongozi dini ya Kiislam, Elijah Muhammad yalimjengea kujiamni na kujiona yuko bora na hivyo kuperform vizuri kwenye ulingo.
Na mimi nikasema baadhi ya waislam wa watanzania mko kama wale waamerika weusi waliokuwa hawana confidence yeyote, walijiona watu wa chini kama baadhi yenu mnavyojiita second-class citizen. Mkifeli mfumo kristo, ukikosa kazi, mfumo kristo, maisha magumu, mfumo kristu. Mnachotakiwa ni kuchukua mafundisho ya dini yenu ili yawajengee confidence kama Ali alivyofanya. Hata mkifeli mseme nitarudia tena na nitafaulu...hata mkikosa kazi mseme nitaapply mara 100 sehemu nyingine na kujiboresha zaidi kwenye interviews nk
Siyo hali mliyonayo baadhi yenu mnaosingizia kila kitu Mfumo Kristo hali inayowalemaza kabisa kifikra...
Muhammad Ali:
"No, no, no. It was just me. You're not forced to believe or to be a follower. You just have to do what's in your heart."