Ndugu yangu, UISLAM ni zaidi ya mzee Mohamed. Ukiangalia mabaraza ya EID yanavyopendeza na misikiti hii yote inavyojaa waumini utajua tu hakuna mtu anaweza kuwaburuza Watanzania kwa jambo lolote. BAKWATA ni taasisi nzito sana kwa WAISLAM wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 40 sasa.Hivi kwenye misikiti ya Bakwata huwa anasali peke yake tu au kuna waumini wengine pia?
Hivi kwenye misikiti ya Bakwata huwa anasali peke yake tu au kuna waumini wengine pia?
Chaguo la Waislam ni EAMWS? Kuna watu pia wanaamini Kikwete na CCM sio chaguo la WATANZANIA( zomba nipe like!).Kugawana misikiti unayasema wewe Bakwata siyo chaguo la Waislam.
ni wagalatia wanaojifanya waislam au?Wewe hujui chochote nenda kaone wanaoswali.
Kumbe na misikiti mmegawana! Ndio nafuu yetu hiyo tusiohangaika na DINI. Anavyoandika Mzee Mohamed humu ni kama vile anamiliki WAISLAM wote wa NCHI hii! Anasikilizwa na Waislam wote wa nchi hii!
yaani kwa vile tu yameandikwa na Mohamed Said ndo uyaamini na mpaka umeamua kuyapigania kwa nguvu zote yaonekane ni ya kweli? sasa hapa ukiambiwa una akili za kushikiwa utasema umetukanwa?..........Matokeo yake tunayaona leo kwa macho yetu, tunayasoma yalivyoandikwa na Mohamed Said, tunahakikisha ni ya ukweli. Aaaah huyo ndie Nyerere. ..........
Ndugu yangu, UISLAM ni zaidi ya mzee Mohamed. Ukiangalia mabaraza ya EID yanavyopendeza na misikiti hii yote inavyojaa waumini utajua tu hakuna mtu anaweza kuwaburuza Watanzania kwa jambo lolote. BAKWATA ni taasisi nzito sana kwa WAISLAM wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 40 sasa.
uhalisia ukoje sasa? mbona nyinyi kila mkiulizwa swali mnajibu kiuwepesi wepesi tu bila kutoa ufafanuzi?Hizo i fikra zako,na hazipingwi,
Ni haki yako kikatiba kueleza kile kilicho ndan ya fikra zako,
Ila uhalisia hauko ivo..
Leo tunawajuwa wazee wa Kiislaam walivyokuwa mstari wa mbele kupigania Uhuru, kupigania haki zao za msingi, walivyo asisi vyama vya kujiunganisha pamoja watetee maslahi yao iwe vya anasa au vya siasa tokea 1920s, lengo lake ndio muhimu.
Leo tunajuwa kuwa Nyerere alikaribishwa na hawa wazee, akala nao, akalala nao, majumbani mwao, ashaakum si matusi, wakamuenzi na hata kumfulia nguo zake kwa dhanna yao ya kuwa ni Mwaafrika mwenzao tena msomi hatokuwa na madhara kwao wala kwa dini yao, walifanya yote kwa nia safi kabisa kudhani kuwa watakuwa nae bega kwa bega.
Matokeo yake ni kusahau yote, hajui hata aliyemkaribisha kwake, pamoja na wazee wake na mke wake. Hivi Kariakoo ya miaka hiyo, ufunguwe duka la mafuta ya taa mtaa wa Mchikichi, hata Kiswahili vizuri hujui utakuwa huna msaada uliopewa na wenyeji? akafuliwa nguo zake na mama'ke Abdul Sykes, akila nae chakula chake, akamjulisha kwa wazee wake, akamuenzi kwa hali na mali, na wazee hawakurudi nyuma wakijuwa wamepata msomi mwenye muono, mwenye kujuwa kuongea, mwenye busara, oohh oohhh oooohh.
Matokeo yake tunayaona leo kwa macho yetu, tunayasoma yalivyoandikwa na Mohamed Said, tunahakikisha ni ya ukweli. Aaaah huyo ndie Nyerere.
Wanakuja humu na kejeli na viroja, leo hii hata wao wanawajuwa hao wazee waliompokea Nyerere, isingekuwa Mohamed Said wangewajuwa?? kwa historia ipi? Inashangza sana, badala ya wao kuona kuwa wameletewa upande wa historia waliokuwa hawaujuwi na watoe sifa kwa Mohamed Said wao wamekazania kulalama na hoja zisizo na msingi wala mshiko. Wanachotetea ni nini? hakijulikani.
Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes
Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
Rudini muisome hii historia kwa muono wenye manufaa, kwenu na kwa wenzenu. Itawafunguwa katika ubaguzi wa ujinga mliojifunga nao. Hakika mioyo yenu ina maradhi.
sasa kama nyinyi kundi dogo mufilisi mnaudhalilisha Uislam na Dini ya Mnyezi Mungu, msiambiwe ukweli?Cha kuchekesha wale wale wanaokesha JF kuwadhihaki na kuwakejeli Waislam ndiyo wanaowasemea Waislam ni vituko vitupu.
uhalisia ukoje sasa? mbona nyinyi kila mkiulizwa swali mnajibu kiuwepesi wepesi tu bila kutoa ufafanuzi?
umeulizwa misikiti ya BAKWATA wanasali viongozi wa BAKWATA tu au?
uhalisia gani?Wanajitoa ufaham wao kwa makusudi,ila mioyoni mwao wanakiri uhalisia huu..!
Sisi hatuna muda wa kuwabembeleza,wakitaka waamini wasipotaka wachukue time zao..
Leo tunawajuwa wazee wa Kiislaam walivyokuwa mstari wa mbele kupigania Uhuru, kupigania haki zao za msingi, walivyo asisi vyama vya kujiunganisha pamoja watetee maslahi yao iwe vya anasa au vya siasa tokea 1920s, lengo lake ndio muhimu.
Leo tunajuwa kuwa Nyerere alikaribishwa na hawa wazee, akala nao, akalala nao, majumbani mwao, ashaakum si matusi, wakamuenzi na hata kumfulia nguo zake kwa dhanna yao ya kuwa ni Mwaafrika mwenzao tena msomi hatokuwa na madhara kwao wala kwa dini yao, walifanya yote kwa nia safi kabisa kudhani kuwa watakuwa nae bega kwa bega.
Matokeo yake ni kusahau yote, hajui hata aliyemkaribisha kwake, pamoja na wazee wake na mke wake. Hivi Kariakoo ya miaka hiyo, ufunguwe duka la mafuta ya taa mtaa wa Mchikichi, hata Kiswahili vizuri hujui utakuwa huna msaada uliopewa na wenyeji? akafuliwa nguo zake na mama'ke Abdul Sykes, akila nae chakula chake, akamjulisha kwa wazee wake, akamuenzi kwa hali na mali, na wazee hawakurudi nyuma wakijuwa wamepata msomi mwenye muono, mwenye kujuwa kuongea, mwenye busara, oohh oohhh oooohh.
Matokeo yake tunayaona leo kwa macho yetu, tunayasoma yalivyoandikwa na Mohamed Said, tunahakikisha ni ya ukweli. Aaaah huyo ndie Nyerere.
Wanakuja humu na kejeli na viroja, leo hii hata wao wanawajuwa hao wazee waliompokea Nyerere, isingekuwa Mohamed Said wangewajuwa?? kwa historia ipi? Inashangza sana, badala ya wao kuona kuwa wameletewa upande wa historia waliokuwa hawaujuwi na watoe sifa kwa Mohamed Said wao wamekazania kulalama na hoja zisizo na msingi wala mshiko. Wanachotetea ni nini? hakijulikani.
Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes
Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
Rudini muisome hii historia kwa muono wenye manufaa, kwenu na kwa wenzenu. Itawafunguwa katika ubaguzi wa ujinga mliojifunga nao. Hakika mioyo yenu ina maradhi.
kweli HOJA zikiisha kunabaki VILOJA.Ok,well,
What if kama nikikujibu wana swali viongozi wote,so what?ishu si misikiti ya kuswalia pekee,ishu ni misimamo ya wahusika wenyewe kulingana na mafundisho ya dini hii TUKUFU ya ALLAH s.w
uhalisia gani?
mnambembeleza nani? ili afanye nini?
mnabembeleza serikali ije kuwakamata kwa nguvu vijana wenu waende shule waachane na nyavu na makokoro baharini au?
Ndugu yangu, UISLAM ni zaidi ya mzee Mohamed. Ukiangalia mabaraza ya EID yanavyopendeza na misikiti hii yote inavyojaa waumini utajua tu hakuna mtu anaweza kuwaburuza Watanzania kwa jambo lolote. BAKWATA ni taasisi nzito sana kwa WAISLAM wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 40 sasa.
Ha ha haaaaa....sipati picha ikatokea mtoto wa kike wa Mzee Mohamed Said kafall in love na mvulana wa kigalatia na wanataka kuona kwa masharti ya binti wa kike(mtoto wa Mzee Mohamed Said) abadili dini na kuwa mgalatia ili wafunge
ndoa ya kikristu kanisani. Duuh yaani sipati picha hilo timbwili litakalotokea hapo!...hebu nisaidieni jamani.
ni wagalatia wanaojifanya waislam au?
na shule za BAKWATA wanasoma wagalatia tu?