hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.
Sweke,
Hili ni tatizo kubwa tunalo.
Wala si kitu cha kufanya maskhara.
Ushahidi upo wa kutosha.
Hiki si kitu cha kufanyia maskhara.
Vitu kama hivi vinaangamiza taifa.
Ngoja tusubiri matokeo.
hata baba yangu alipigania uhuru lakini mbona hajulikani , mambo ya udini ni vitu hatari sana. tuwe makini na watu wanaoeneza udini.
Twende hoja kwa hoja na majibu ya hoja husika ndugu zangu!
Nimesoma maandiko mengi sana yanayomuhusu kambona hata katika nadharia nyingi kuhusiana na Vita Ya Biafra kule Nigeria.Kweli katika jambo ambalo najutia na ninalichukia kupita kiasi ni kuimbishwa nyimbo za kumkashfu na kumtukana kambona nikiwa Nursery school.
Halafu kuna tawala nyingine ni za ajabu kweli kweli.hivi makosa ya ndugu inakuaje wakamatwe ndugu halafu wafungwe mika 10 na wengine waendelee kukamatwa na kufungwa hata baada ya mahakma kutoa hukumu ya kuwaachia huru?
Kwangu serikali ya Tanzani hadi leo imeonyesha Usaliti wa hali ya juu kutomuenzi Oscar kambona.Kwangu huyu ni shujaa hata kama nitamuona hivyo peke yangu kama ninavyoamini kwenye Ushujaa wa Kasim Hanga,Abdulrahaman Babu,Muammar Ghaddafi na Robert Mugabe
Thanx. Nimeitafuta, nimeiona. Imekaa kitaifa zaidi siyo kidinidini. Hivi ndivyo walivyotakiwa wazungumze ndugu zetu akina Mohamed Said.Labda anamaanisha ile hoja ya Nasari wa Chadema
Mzee wangu mohamedi.
Tujuavyo, rais ni mtu mwenye madaraka makubwa sana, pia akiamua kuvunjilia mbali mtandao wowote anaweza.
Je, kipindi hiki cha utawala wa Kikwete, amefanya nini kuvunja huu mtandao wa 'mfumo kristo'?
Thanx. Nimeitafuta, nimeiona. Imekaa kitaifa zaidi siyo kidinidini. Hivi ndivyo walivyotakiwa wazungumze ndugu zetu akina Mohamed Said.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...safari-toka-moro-back-to-dodoma-hii-hapa.html
Mi na wewe bado hatujamaliza sifa za kupewa uwenye heri, wewe unasema kwa kuwa nyerere aliutokomeza mfumo kristo na nyingine, mimi nakuwekea na nyingine na wewe uniwekee na nyingine tuone ni sifa zipi haswaa ndio za kweli.
Msome mwenzenu huyu:
Wewe ni mdini uliepikika, hivi hujui kama Nyerere alisema kumwambia rafiki yake wa kiingereza hakujua kama atamuandika kitabuni. Nyere alisema hivi: "If I could tore this Island into the Indiana Ocean, I would do it. Raelly the Island is giving me a big headache". Kasome kwanza kaka usikurupuke kwa mapenzi na ushabiki badala ya uhalisia.
Na wale wadogo zake Kambona waliokaa jela zaidi ya miaka kumi walikuwa na mgogoro na nani.Maandiko ya Ben niliyaona kule kwenye mjadala juu ya Kambona,
Juu ya Kambona na Mwalimu Nyerere watu wengi wamepandikiza hoja na mijadala isiyo sahihi,
Hakuna aliyewahi kumsikia Nyerere au Kambona enzi za uhai wao kuwa wao wanamgogoro,
Ukweli unasimama kuwa Kambona alikuwa na mgogoro na serikali ya Tanzania, hilo lilikuja baada ya kuasi tu na sio Mwalimu Nyerere!
Wenzake Bibi Titi Mohamed siku wapofikishwa Mahakamani yeye aliikimbia nchi na kwenda uhamishoni nchini Uingereza alikoishi hadi 1993 aliporudi tena katika ardhi ya Tanzania hiyo ni baada ya mfumo wa vyama vya siasa huria!
Maandiko ya Ben niliyaona kule kwenye mjadala juu ya Kambona,
Juu ya Kambona na Mwalimu Nyerere watu wengi wamepandikiza hoja na mijadala isiyo sahihi,
Hakuna aliyewahi kumsikia Nyerere au Kambona enzi za uhai wao kuwa wao wanamgogoro,
Ukweli unasimama kuwa Kambona alikuwa na mgogoro na serikali ya Tanzania, hilo lilikuja baada ya kuasi tu na sio Mwalimu Nyerere!
Wenzake Bibi Titi Mohamed siku wapofikishwa Mahakamani yeye aliikimbia nchi na kwenda uhamishoni nchini Uingereza alikoishi hadi 1993 aliporudi tena katika ardhi ya Tanzania hiyo ni baada ya mfumo wa vyama vya siasa huria!
Mzee wangu mohamedi.
Tujuavyo, rais ni mtu mwenye madaraka makubwa sana, pia akiamua kuvunjilia mbali mtandao wowote anaweza.
Je, kipindi hiki cha utawala wa Kikwete, amefanya nini kuvunja huu mtandao wa 'mfumo kristo'?
Na wale wadogo zake Kambona waliokaa jela zaidi ya miaka kumi walikuwa na mgogoro na nani.
Yericko Nyerere
Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"?
In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ.......What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.
-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania
Taarifa za kijasusi ziliainisha usharika wao kati uasi
Hilo la mtu kusimamishwa na kuchukuliwa hatua NECTA nalifahamu sana na waziri wa elimu Dr Shukuru Kawambwa ameshalitolea ufafanuzi. Hili la hoja binafsi bungeni kuhusu suala la NECTA kwangu mimi ni jipya...pengine ungewasaidia na wanaukumbi ambao hawajalisikia hili, ni mbunge gani aliyepeleka hoja binafsi kuhusu NECTA halafu ikazimwa?
Mbona hawakufikishwa mahakamani hata wale wengine waliofikishwa mahakamani kwa kutaka kuipindua serikali ya Nyerere walishinda kesi lakini Nyerere alitoa amri wakamatwe tena. Mwenye heri anakuwa na shari.
Sijakisoma kitabu cha Njozi lakini inaelekea uandishi wake unafanana sana wa Mohamed Said. Anachomoa kitu kimoja na kukiwekea mazingira fulani ili ionekane Nyerere alikuwa adui wa waislam na uislam. Interview nzima ipo wapi? Kabla ya hilo swali Nyerere aliulizwa nini? Tunataka mtiririko wote ndiyo tufikie conclusion.Yericko Nyerere
Au hii inaweza kuwa ndio "Nyingine"?
In an interview with the Christian Century of March 1, 1972, Mwalimu Nyerere was quoted as saying that his efforts to build African socialism in Tanzania represented his determination to translate in practical terms the teachings contained in The Gospel of Jesus Christ.......What is wrong with that? I do not think there is anything wrong with implementing the political and economic teachings of Jesus Christ at a national level, so long as those teachings are consonant with the aspirations of the nation. In this particular case, like in the case of adapting the prayer of St. Francis above, the problem lies in the principle employed not in the details. It is wrong to use the Christian Gospels to guide the political and economic course of an avowedly secular state, even if in many instances the aspirations of the two may coincide. I am not saying it is inherently wrong to use religious books to guide the nation, I am only saying that at present it is constitutionally wrong to do so.
-Njozi, Hamza M.Mwembechai killings and the political future of Tanzania
Kwasisi wakristu tunasema: Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote, Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe(Usawa).SOCIALISM IS SECULAR
Socialisms concern about the organization of life on earth does not involve any supposition about life elsewhere, or about mans soul, or the procedures of fulfilling the will of God or Gods.
Socialism is secular. It has nothing to say about whether there is a God. Certainly it rests on the assumption of the equality of man, but people can reach this conclusion by many routes. People can accept the equality of man because they believe that all men were created by God, they can believe it because they feel that the scientific evidence supports such a conclusion , or the can accept it simply because they believe it is the only basis on which life in society can be organized without injustice. It does not matter why people accept the equality of man as the basis of social organization; all that matters is that they do accept it.
.
.
.
What matters in socialism and to the socialist is that you should care about a particular kind of social relationship on this earth. Why you care is your own affair. There is nothing incompatible between socialism and Christianity, Islam , or any other religion which accepts the equality of man on earth.