Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
mzee mohamed hiyo lugha uliandika dullah haielewi
mzee mohamed hiyo lugha uliandika dullah haielewi
Na hakika kwa majibu yako haya tutakuwa hatujaelewana. Kwenye reply yako ulisema kikwete aliuogopa mfumo kristo wakati wa uchaguzi, sasa hivi uchaguzi umeisha na hautokuwepo tena uchaguzi wa kumchagua kikwete, je sasa anaogopa nini kuchukua hatua?
Labda mniambie nyie waislam ndio mnauendekeza huu mfumo, kwa sababu kipindi hiki, mwislamu mwenzenu yupo madarakani, je anashindwa nini? basi nyie wenyewe kwa wenyewe mna nafikiana.
Turudi sasa kwenye mada.
Mimi nakubariana na mzee mohamed asilimia 100 kwamba kuna historia imeachwa nyuma au imefichwa huo ni ukweli...
Labda nikufahamishe juu ya binadamu kuitwa mwenye heri ama mtakatifu,
Hilo halina mafungamano na siasa za nchi au serikali yoyote ile bali ni la KANISA katoliki na waamini wake tu!
Hivyo kanisa linavigezo vyake mpaka liamue kumpa mtu heshima hiyo,
Kwakukujuza zaidi kwa Tanzania wapo wengi waliopewa heshima na kanisa Katoliki ya kuwa wenye heri, mfano,
Julius Nyerere ni mwenye heri, Mkuu wa mkoa wa Mtwara wa sasa hivi ndugu Simbakaria ni Mwenye heri!
Hao wote wanasubiri kutawazwa kuwa WATAKATIFU!
Kwahiyo ya kaisari tumwachie Kaisari na ya Mungu aachiwe Mungu!
Hajaandika ameiakisi tu
Mkuu tofautisha hoja yako na mada ya Mohamed Said,
Nimeijibu mada yako kwa maelezo yakinifu kwakuwa haihidaji ushahidi wa vielelezo kama tunavyotaka Mohamed afanye,
Ukurasa wa tatu tu kutoka hapa tulipo nimerudia kujibu, na mada kuu yangu hapo juu nimejibu pia, sijui unataka majibu yapi mkuu?
Mbona swali lako nilijibu?
Kikwete ktk Uchaguzi wa 2010 ndio alishtuka sana kuhusu mfumo Kristo
baada ya kupata 60 asilimia kulinganisha na 85 ya uchaguzi wa 2005! sasa
Hana budi kuutii mfumo huo ili aweze kutawala mpaka 2015! na baadae
aishi kwa raha na mafao yake ya uzeeni!
Kilichomshtua Kikwete ni matamko mfululizo ya Kanisa dhidi ya Serikali
yake na Uislamu na ilibidi Serikali kuongeza fedha inazowapa Kanisa
chini ya Mkataba wa MOI toka sh/ bilioni 300 hadi 600 na kuondoa ushuru
wa forodha kwa Mashirika ya dini (Kikristo) maana Waislamu wao
wakiingiza bidhaa zinaambiwa ni za Magaidi, au ni Majambia toka
Uarabuni! na ndipo Serikali yake ikapata afueni kidogo na matishio
kupungua!
Kama unakubariana na mzee mohamed asilimia 100 kwamba
kuna historia imeachwa nyuma au imefichwa huo ni ukweli, jee, unaweza
kutuambia hapa kuwa ni historia ipi hiyo iliyofichwa ili
tufaidike!
Mada ni yako au mada ni Kitabu Cha Mohamed Said, wewe umeleta copy na paste na wewe ndiye unarusha shutuma bila ushahidi halafu ushahidi unataka alete Mohamed Said, wewe ahh ahh ahh. Hivi, samahani sana, wewe ulienda shule ipi na uliishia darasa la ngapi? inaonesha upeo wako wa kuelewa ni mfinyu sana.
Nikijuwa kuwa hayo ya uwenye heri na utakatifu wanapewa wafu tu. Sasa Mkuu wa mkoa wa sasa ni marehemu? Duhh, unauhakika na uyasemayo?
Mada ni yako au mada ni Kitabu Cha Mohamed Said, wewe umeleta copy na paste na wewe ndiye unarusha shutuma bila ushahidi halafu ushahidi unataka alete Mohamed Said, wewe ahh ahh ahh. Hivi, samahani sana, wewe ulienda shule ipi na uliishia darasa la ngapi? inaonesha upeo wako wa kuelewa ni mfinyu sana.
Zomba,
Nimeweka post mbili naonyesha siasa zilikuwa katika hali gani 1950
kabla hata ya TANU kuundwa.
Nikukosoe kidogo ndugu yangu, miaka hiyo hakukuwa na siasa Tanganyika bali harakati!
Siasa zilianza rasmi baada ya mwanzoni mwa 1953 hadi 1961
Baada ya filosofia ya TAA kubadilika hasa kwa ujio wa Nyerere aliyekuja na filosofia yake kutoka TAWA
Nakujibu mkuu,
Mohamed:
Abdul ndie aliyekuwa anaijua zaidi TAA na filosofia yake ambayo kimsingi haikuwa ya kisiasa na kudai uhuru, bali ilikuwa na filosofia ya kudai HAKI tu,
Ujio wa Nyerere ndani ya TAA ulileta mageuzi ya kimuundo na kisera ikiwepo filosofia yake ambapo TAA iliakisi filosofia/ideology kutoka TAWA
Mkuu wangu Mohamed Saidi, naomba nikufahamishe kwamba mimi ni mdau wa Elimu, nimefanya kazi ya ualimu wa shule za sekondari kwa miaka 38 mpaka sasa. Madai ya vijana wetu wa kiislam kuwa NECTA inawaonea sio ya kweli kabisa. Kwa kuwa wewe ni mtafiti basi na kuomba ufanye utafiti mdogo tu. Wachague walimu waislam waadilifu waliohitimu shahada ya kwanza ya ualimu, wachukue syllabus ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, waende kwenye malengo mahsusi (specific objectives), watunge maswali kwa uadilifu kutoka hapo kwenye specific objectives, wawape vijana hao wafanye mtihani huo na wasahihishiwe na walimu hao hao. Njoo utupe matokeo yake hapa jukwaani!! Mohamed Saidi naamini kabisa kelele hizi unazopiga hapa utaziacha kabisa ndugu yangu. Mfumo wa Elimu umesambalatika, James Mbatia yuko sahihi, Kawambwa wako kaua elimu kabisa sio kwa waislam tu bali kwa Tanzania yote. Mohamed Saidi, ukienda hospitali usikivunje kipimajoto "thermometer" kwa kuwa kimekuonesha kwamba unajoto kubwa, badala yake tafuta nini kimesababisha joto hilo! NECTA ni kipimajoto tu.N,
Sikulaumu hata kidogo kwa kufananisha kitabu changu na vitabu vya
riwaya.
Kwa msimamo huo wako wala sitajishughulisha kukueleza lolote katika
matatizo yanayoikabili nchi yetu kwa hivi sasa.
Ila nitakuwekea hapa habari iliyochapwa katika gazeti la An-nuur la siku
ya Ijumaa iliyopita: "Wanafunzi Waislam sasa waikataa NECTA."
Wanafunzi hawa wamefanya mkutano na wameazimia kuandamana hadi
ofisi za NECTA.
Ikiwa hili litafanyika na polisi kama kawaida yao watapambana na hawa
watoto.
Mungu apishie mbali...
Naogopa hata kufikiria nini kitatokea.
Kauliwa mtoto wa Kiislam kwa kuikumbusha serikali kuondoa dhulma dhidi
ya wanafunzi Waislam...
Hapa ndipo tulipofika hivi sasa.
Haisaidii sana kuwapuuza Waislam na shutuma zetu dhidi ya mfumokristo.
Mkuu nimeupenda mchango wako, hakika umeona mbali sana!Mkuu wangu Mohamed Saidi, naomba nikufahamishe kwamba mimi ni mdau wa Elimu, nimefanya kazi ya ualimu wa shule za sekondari kwa miaka 38 mpaka sasa. Madai ya vijana wetu wa kiislam kuwa NECTA inawaonea sio ya kweli kabisa. Kwa kuwa wewe ni mtafiti basi na kuomba ufanye utafiti mdogo tu. Wachague walimu waislam waadilifu waliohitimu shahada ya kwanza ya ualimu, wachukue syllabus ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, waende kwenye malengo mahsusi (specific objectives), watunge maswali kwa uadilifu kutoka hapo kwenye specific objectives, wawape vijana hao wafanye mtihani huo na wasahihishiwe na walimu hao hao. Njoo utupe matokeo yake hapa jukwaani!! Mohamed Saidi naamini kabisa kelele hizi unazopiga hapa utaziacha kabisa ndugu yangu. Mfumo wa Elimu umesambalatika, James Mbatia yuko sahihi, Kawambwa wako kaua elimu kabisa sio kwa waislam tu bali kwa Tanzania yote. Mohamed Saidi, ukienda hospitali usikivunje kipimajoto "thermometer" kwa kuwa kimekuonesha kwamba unajoto kubwa, badala yake tafuta nini kimesababisha joto hilo! NECTA ni kipimajoto tu.
Mkuu wangu Mohamed Saidi, naomba nikufahamishe kwamba mimi ni mdau wa Elimu, nimefanya kazi ya ualimu wa shule za sekondari kwa miaka 38 mpaka sasa. Madai ya vijana wetu wa kiislam kuwa NECTA inawaonea sio ya kweli kabisa. Kwa kuwa wewe ni mtafiti basi na kuomba ufanye utafiti mdogo tu. Wachague walimu waislam waadilifu waliohitimu shahada ya kwanza ya ualimu, wachukue syllabus ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, waende kwenye malengo mahsusi (specific objectives), watunge maswali kwa uadilifu kutoka hapo kwenye specific objectives, wawape vijana hao wafanye mtihani huo na wasahihishiwe na walimu hao hao. Njoo utupe matokeo yake hapa jukwaani!! Mohamed Saidi naamini kabisa kelele hizi unazopiga hapa utaziacha kabisa ndugu yangu. Mfumo wa Elimu umesambalatika, James Mbatia yuko sahihi, Kawambwa wako kaua elimu kabisa sio kwa waislam tu bali kwa Tanzania yote. Mohamed Saidi, ukienda hospitali usikivunje kipimajoto "thermometer" kwa kuwa kimekuonesha kwamba unajoto kubwa, badala yake tafuta nini kimesababisha joto hilo! NECTA ni kipimajoto tu.
Kitu pekee ambacho Bw. Mohammed Said ameshindwa kukionesha hadi hivi sasa japo anakidai kwa maneno ni kuwa wazee wa Kiislamu na Waislamu kwa ujumla walipigania uhuru peke yao bila ushirika wa ndugu zao Wakristu. Amejitahidi sana lakini mara zote anajikuta historia inamkatalia...