Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Are you really serious? Kweli M Said kawaweza; kawaaminisha kuwa watu hawa wote yeye ndio kawataja kwa mara ya kwanza katika historia. Na la kusikitisha zaidi ni kuwa mpo mnaoamini kabisa kuwa Mohammed Said ndiye mtu wa kwanza kuwataja watu hawa na nafasi yao katika historia. That is really sad. Ukiondoa majina machache ambayo labda yanahusiana na watu wa Gerezani na Kariakoo majina ya washirika wa harakati za Uhuru kutoka sehemu mbalimbali nchini yanajulikana kwa muda mrefu yameandikwa kwa kiasi kikubwa tu.

Alichofanya Mohammed Said katika kujaribu kuiandika upya historia hiyo ni kuwagawa wazee wetu kwa misingi ya dini (Waislamu Vs. Wakristu). Anafanya kile ambacho baadhi ya wazee wake wa Kariakoo walijaribu kukifanya mwaka 1958 walipojaribu kuzigawanya harakati hizo za uhuru kwa misingi hiyo ya dini na matokeo yake wakatimuliwa miaka michache baadaye.

Kama unaamini kuwa Mohammed Said ndiye anawataja hawa - tena kwa dharau kuwa hawakuwa na central role kwenye harakati hizo ila wanatajwa tu kama waigizaji kwenye mchezo wa kuigiza - it is in itself tragic.

Wewe kweli Nyerere kakuweza. Hebu tuambie wewe hao wazee wametajwa kwenye historia ipi ya Tanzania.

Tena Mohamed Said kafanya la maana sana kuwaandika kwenye kitabu chake mpaka wale wazee waliokuwa viongozi wa TANU majimboni miaka mwaka 1955.

Hawa wazee wametupwa kabisa ikiwa Kambona hatambuliki mchango wake wa TANU watakuja kuwa hawa wazee.
 
Kibaya zaidi hasemi ukweli wakilicho wasibu hapo wazee wake mpaka wakafukuzwa na wengune kufungwa jela

Yericko,

Sahib yangu karibu sana.
Lete vitu tusome...

We ndiye tunaekutegemea humu maana wewe ni mtoto
wa Baba wa Taifa bila ya shaka umepokea mengi ''over the
diner table.''

Tuko hapa kusoma kwako.
Tupe darsa.
 
Wewe kweli Nyerere kakuweza. Hebu tuambie wewe hao wazee wametajwa kwenye historia ipi ya Tanzania.

Tena Mohamed Said kafanya la maana sana kuwaandika kwenye kitabu chake mpaka wale wazee waliokuwa viongozi wa TANU majimboni miaka mwaka 1955.

Hawa wazee wametupwa kabisa ikiwa Kambona hatambuliki mchango wake wa TANU watakuja kuwa hawa wazee.

Kwahiyo mlitaka kila mwanachama wa TANU aandukwe kwenye historia?

Kambona sio muasisi wa TANU bali alikuwa mwanachama tu aliyeshawishiwa na Nyerere kujiunga na kukitumikia chama kwa kujitolea bila masurufu
 
Mohamed Said,

Naona saizi umekuja kwa mtindo mwingine kabisa.

Hizo nondo za British Colonialism umezitoa wapi tena.

Umeingia mpaka kwenye viwanja vya kina Sir Donald Cameron.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,

Sahib yangu karibu sana.
Lete vitu tusome...

We ndiye tunaekutegemea humu maana wewe ni mtoto
wa Baba wa Taifa bila ya shaka umepokea mengi ''over the
diner table.''

Tuko hapa kusoma kwako.
Tupe darsa.
Nilikuuliza sababu za kulivunja baraza la wazeela TANU ni nini? Lakini hukujibu,hilo ndilo lingetupa mwanga wakujadili sababu hasa za wazee wako amakuachwa katika historia ama kukumbana na mkono wa dola ya kiraia ya Mwalimu.
 
facts hizo,na history imewasahau hawa-tunawajua sasa hivi sababu one Mohamed Said anatulazimisha twende deep
"Nyerere's second visit to the United States was sponsored by Maryknoll. Instrumental in arranging it were Fr. William Collins, Fr. Al Nevins and Fr. John Considine. Maryknoll paid for his passage from Europe to America and back. His air line ticket from Tanganyika to Europe and back was bought by money raised in Tanganyika from a number of sources including Fr. Richard Walsh W.F. The purpose of this trip was to enable Nyerere to appear before the Fourth Committee of the U.N. on December 20, 1956. Maryknoll also arranged a lecture tour for Nyerere to visit various universities to acquaint himself with the American educational system and to seek scholarships for Tanganyikans. He also made an appearance on television with Eleanor Roosevelt on the Mike Wallace show
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Naona saizi umekuja kwa mtindo mwingine kabisa.

Hizo nondo za British Colonialism umezitoa wapi tena.

Umeingia mpaka kwenye viwanja vya kina Sir Donald Cameron.

Mkuu inaonyesha hujasoma maandiko menginkuhusu hustoria ya nchi hii, kuwa mtafiti na mdadisi utayapata mengi sana ndugu
 
Last edited by a moderator:
facts hizo,na history imewasahau hawa-tunawajua sasa hivi sababu one Mohamed Said anatulazimisha twende deep
"Nyerere's second visit to the United States was sponsored by Maryknoll. Instrumental in arranging it were Fr. William Collins, Fr. Al Nevins and Fr. John Considine. Maryknoll paid for his passage from Europe to America and back. His air line ticket from Tanganyika to Europe and back was bought by money raised in Tanganyika from a number of sources including Fr. Richard Walsh W.F. The purpose of this trip was to enable Nyerere to appear before the Fourth Committee of the U.N. on December 20, 1956. Maryknoll also arranged a lecture tour for Nyerere to visit various universities to acquaint himself with the American educational system and to seek scholarships for Tanganyikans. He also made an appearance on television with Eleanor Roosevelt on the Mike Wallace show
Mambo kama haya ndugu Mohamed na kundi lake hawapendi kabisa kusikia wala kuona
 
Last edited by a moderator:
kumbe baada ya kuacha ualimu alirudi Musoma-sasa hawa akina Mshume kiatu kuumpa hela ya mboga vipi-ngano persee
"
It was on his return from this meeting in New York that he had to make an important personal decision. Previously, Governor Twinning had made a law which forbad civil servants from being members of any political organization. Nyerere as a member of TANU had to make a decision to either resign from TANU or to resign from teaching. Since his salary as a teacher came from government even though he was teaching in a Catholic School, he was considered a civil servant. He resigned his teaching position at St. Francis, Pugu. He also realized that because of the increasing amount of time and energy he was devoting to TANU he could not do justice to his students as their teacher.
He returned to his village of Butiama with his wife Maria and his two children, Andrew and Anna. It was just at this time that Msgr. Grondin decided to open a new mission in Zanaki. Fr. Art Wille was assigned the job of starting this new mission. He and Msgr. Grondin went to see Nyerere in Butiama. He and his family were living in the small mud brick house that he had built and given Maria as a wedding present. He was delighted when Msgr. Grondin asked him to teach a priest Kizanaki and Julius immediately accepted the offer. He made arrangements to move into Mwisenge, a suburb of Musoma Town. He and his family moved in with his old and close friend Oswald Marwa. Oswald at this time was in charge of public works under Musoma District Council. Julius accepted a small salary of 600 shillings a month from Fr. Wille who came under criticism from some of his conferees for paying such a high salary. Years later Julius would jokingly introduce Fr. Wille as his former "boss". This was the beginning of a long and close friendship between Fr. Wille and Julius Nyerere and his family.
 
Kwahiyo mlitaka kila mwanachama wa TANU aandukwe kwenye historia?

Kambona sio muasisi wa TANU bali alikuwa mwanachama tu aliyeshawishiwa na Nyerere kujiunga na kukitumikia chama kwa kujitolea bila masurufu

Nani kakuambia Kambona muasisi wa TANU.

Nimekuambia mchango wa TANU haujulikani hata wewe hujui Oscar Kambona alikuwa na cheo gani TANU.
 
MM,

Ndugu yangu mimi huniwezi katika historia hii.
Mimi hawa watu wazee wangu nimewaona na nimewasikia wakizungumza.

Mimi hawa ni watu wangu.
Vipi wewe uwajue hawa na historia yao unishinde mie?

We si unaona nilivyokubadilishia dawa?
Sasa nakupa vidonge vipya.

Unasikia mzee anavyosema katika ''Under the Shadow of British Colonialism...''

We hayo utayapata Kivukoni College?
Kutokujua mambo si ujinga.

Shughulilka na wengine.

Aah wapi mkubwa wangu; kwenye masimulizi ya mezani sikuwezi hata kidogo; lakini kwenye historia naweza kabisa kusimama na wewe mano a mano.. Kwa muda mrefu umeweza kuwapigisha stori vijana wa Kiislamu ambao maskini wa Mungu baadhi yao hawajui mantiki wala jinsi ya kujenga hoja - na bila ya shaka kwa maneno mengi umewatisha vijana wa Kikristu nao ambao hawajui mantiki wala kujenga hoja na hivyo wanaamini unapottaja majina, miaka na matukio kwa umahiri wa lugha (oratory skills) unaweza kuwa unasema kweli.

Bahati mbaya (kwako) ni kuwa utawala wako wa hoja zisizothibitika ushafikia kikomo. Kwenye thread hii wananchi wetu Waislamu na Wakristu, Wazee na Vijana , wanawake na wanaume wamefunguka macho. Wamegundua kuwa huleti historia yoyote ambayo ilikuwa haijulikani na kwa hakika hata yale ambayo unayeleta mengi yamechangamana na hisia zako na hivyo kuvunja misingi mingi ya uandishi wa kihistoria.

Mimi wewe saizi yangu katika suala la hoja; hata ukimbie vipi nitakupata tu na nitazidi kuwafungua minyororo ya hadaa ambayo umewafunga wengi wanaokusikiliza. Nimekupa kila namna ya kujisahihisha katika uandishi wako wa Kihistoria lakini bado mgumu, In Shaa Allah - siku moja utafunguliwa na kutambua kuwa chuki kubwa inayoendelea leo nchini kati ya Wakristuu na Waislamu sababu kubwa ni hadaa yako ya histohia.
 
Mkuu inaonyesha hujasoma maandiko menginkuhusu hustoria ya nchi hii, kuwa mtafiti na mdadisi utayapata mengi sana ndugu

Yericko Nyerere,

Mimi au wewe ambaye anatakiwa kupinda mgongo kusoma historia ya Tanganyika nimepata wasiwasi kidogo na ufahamu wako.

Unasema kwamba Oscar Kambona alikuwa mwanachama tu wa kawaida TANU.

Unasikitisha wewe ndiyo tunakutegemea tusome kwako hujui hata Kambona alikuwa na cheo gani TANU.
 
Last edited by a moderator:
Ritz nasubiri jibu,Sewa Haji paroo katoa hela hospitali ikajengwa1897,sasa huyo Tambaza ali own hii ardhi ya muhimbili lini??????????????? Au na wewe mdomo unaenda kinywani kwa "hear say"
 
Last edited by a moderator:
kumbe baada ya kuacha ualimu alirudi Musoma-sasa hawa akina Mshume kiatu kuumpa hela ya mboga vipi-ngano persee
"
It was on his return from this meeting in New York that he had to make an important personal decision. Previously, Governor Twinning had made a law which forbad civil servants from being members of any political organization. Nyerere as a member of TANU had to make a decision to either resign from TANU or to resign from teaching. Since his salary as a teacher came from government even though he was teaching in a Catholic School, he was considered a civil servant. He resigned his teaching position at St. Francis, Pugu. He also realized that because of the increasing amount of time and energy he was devoting to TANU he could not do justice to his students as their teacher.
He returned to his village of Butiama with his wife Maria and his two children, Andrew and Anna. It was just at this time that Msgr. Grondin decided to open a new mission in Zanaki. Fr. Art Wille was assigned the job of starting this new mission. He and Msgr. Grondin went to see Nyerere in Butiama. He and his family were living in the small mud brick house that he had built and given Maria as a wedding present. He was delighted when Msgr. Grondin asked him to teach a priest Kizanaki and Julius immediately accepted the offer. He made arrangements to move into Mwisenge, a suburb of Musoma Town. He and his family moved in with his old and close friend Oswald Marwa. Oswald at this time was in charge of public works under Musoma District Council. Julius accepted a small salary of 600 shillings a month from Fr. Wille who came under criticism from some of his conferees for paying such a high salary. Years later Julius would jokingly introduce Fr. Wille as his former "boss". This was the beginning of a long and close friendship between Fr. Wille and Julius Nyerere and his family.

Julius Nyerere - Wikipedia.

Hizi habari ndiyo unazitoa huko tatizo unachagua habari za kuleta.

Wanaukumbi kuna habari zingine zipo huko Nyerere mwenyewe kakiri siasa zake zimeshindwa unaweza ku-google tu Julius Nyerere Wikipedia.
 
History should be rewritten,hawa wamesahaulika
"One result of Maryknoll's support of Nyerere was a resistance on the part of the local British District Commissioner to grant us plots for new missions. Undoubtedly they had heard from Governor Twining who regarded Nyerere as a rogue and foolish upstart, not to be helpful to us. In these negotiations Msgr. Grondin and Fr. Collins were given good advice by Benedict Mato. This old man held the highest position available at the time under the British Administration. He was Secretary of the Native Treasury. All the chiefs were under him. They made their reports to him. They also handed over to him all the taxes that they collected. Benedict was an outstanding Catholic. He was also a good friend of Nyerere. Julius used to stay in his house when he came to Musoma Town. Benedict told Msgr. Grondin and Fr. Collins when they were turned down on their request for mission plots by the District Commissioner, "D.C's come and D.C's go. Just wait a little and you will get your plots
 
Julius Nyerere - Wikipedia.

Hizi habari ndiyo unazitoa huko tatizo unachagua habari za kuleta.

Wanaukumbi kuna habari zingine zipo huko Nyerere mwenyewe kakiri siasa zake zimeshindwa unaweza ku-google tu Julius Nyerere Wikipedia.

hizi si habari za WIKIPEDIA,zinatoka jikoni Maryknoll sisters
 
Julius Nyerere - Wikipedia.

Hizi habari ndiyo unazitoa huko tatizo unachagua habari za kuleta.

Wanaukumbi kuna habari zingine zipo huko Nyerere mwenyewe kakiri siasa zake zimeshindwa unaweza ku-google tu Julius Nyerere Wikipedia.
Ritz,
For your information Nyerere hajawahi kukiri kuwa siasa zake zilishindwa. Hiyo quote kutoka Wikipedia imepandikizwa na huwezi kuipata popote pale penye authoritative ya kauli za Nyerere, including hotuba zake na Radio Tanzania, na mahojiano na waandishi habari wa mataifa mbalimbali. Simply said, he has never said that or called himself a failure. Halafu hata kazini kwetu tulitahadharishwa siku nyingi kuitumia Wikipedia kama authoritative source kwa sababu mtu yeyote anaweza kupost kitu kule. Nimeona niliweke hili sawa kwa sababu ni mara ya pili au zaidi una claim Nyerere kakiri kuwa siasa zake zimeshindwa.
 
Thanks for your help,sasa anajua hata yeye anaweza ku edit WIKIPEDIA,you never know pengine MS ndio ana edit
 
Back
Top Bottom