Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ndiyo maana nakuambia tulizana usome...hawa wazee hawajawahi kuwa CCM wala hawaijui.
hiki ndicho kitu pekee kinachokuweka CCM kumbuka mwenyekiti alishawakana kwamba hataki udini sasa sijui unangojea nini:target:
 
Ninachokusahauri tulizana kwenye huu uzi utajifunza mengi sana ambayo ulikuwa ujawahi kuyasikia kuhusu historia ya Tanganyika.
nisikilize nini mmejaza uongo na husda hasa hao akina ilunga wenu ndo wanawajaza mushkeli mara mfumo kristo mara nini mtatumiwa kama maganda ya muwa utamu ukiisha mtatupiliwa mbali
 
mtu asome minyoo halafu atuambie nini?
 
nisikilize nini mmejaza uongo na husda hasa hao akina ilunga wenu ndo wanawajaza mushkeli mara mfumo kristo mara nini mtatumiwa kama maganda ya muwa utamu ukiisha mtatupiliwa mbali

Mkuu huku anga za AA, TAA, TANU.

Umepotea njia.
 
Tatizo lako linajulikana, ni moyo tu una maradhi, hata unachokipinga hukijui ni nini.
 
Khalifa Khamis na Mohamed Said wapi na wapi...
 
Khalifa Khamis na Mohamed Said wapi na wapi...

Huyo anaejiita Mzee Mwanakijiji nakwambia hata hajui anachokipinga, yeye kishasema sasa kazi yake ni kupinga tu. Wewe tazama anavyojichanganya, mara ooh kitabu umeandika mwenyewe mara ooh sasa anaiona mbegu iliyopandwa "kitaaluma" imeanza kukuwa na kutoa maua.

Mizizi imeshakuwa mikubwa kuliko mti, na imesambaa kote, haioni, yeye anaona mauwa tu. Furaha ya mauwa ni kuchumwa.
 
Ndio tatizo lenu hilo vijana; usidhani hawajuiani hawa...

Mzee Mwanakijiji,

Hao wote mie ninawajua vizuri tena kwa kuongea nao wewe ndiyo hujui tofauti ya Mohamed Said na Khalifa Khamis, Mohamed Saidi siyo mtu wa malumbano.

Halafu usidhani mie mtoto marais wote wanne wa Tanzania nimewaona kwenye utawala wao.

Wewe wa kunifahamisha kuwa Khalifa Khamis na Mohamed wanajuana, lazima wajuane wanakutana miskiti ya Mtoro, Manyema, Kipata, na mingineyo.
 
Last edited by a moderator:
nakuuliza tena Ritz haya unayoshabikia yanakusaidia nini wenzenu wamekazana kujenga vyuo wewe unakazana na history yenye mrengo wa udini nyerere ndiye mkombozo wa taifa hili anastahili heshima ya pekee
 
Last edited by a moderator:

Huyo kutaja majina anataka kuukwepesha mjadala. Kaona inamyeeshea, kujidai kuleta reference ya kitabu akabamizwa nacho cha uso na kuelezwa hiyo ilikuwa ni thesis na ilihusu nini, hiyo ni ngumi fupi halafu nzito, imemtia kisunzwi sasa anatafuta pakutokea. Khalifa Khamis kaandika historia ipi?
 
nakuuliza tena Ritz haya unayoshabikia yanakusaidia nini wenzenu wamekazana kujenga vyuo wewe unakazana na history yenye mrengo wa udini nyerere ndiye mkombozo wa taifa hili anastahili heshima ya pekee

Mkombozi? Usitake kuchekesha watu.
 
Mkombozi? Usitake kuchekesha watu.
nyerere was abled leader hana mfano wake naamini lilikuwa chaguo halisi la mungu kwa watanzania sipati picha hao watu wasiofaa wangetwaa madaraka tungekuwa wapi leo tunatembea vifua mbele kwa misingi madhubuti aliyotuachia baba wa taifa mungu amrehemu mzee wetu
 
Mkombozi, endelea kutupa darsa tunakusoma.
 
Asante sana
 
nakuuliza tena Ritz haya unayoshabikia yanakusaidia nini wenzenu wamekazana kujenga vyuo wewe unakazana na history yenye mrengo wa udini nyerere ndiye mkombozo wa taifa hili anastahili heshima ya pekee

Hizo ni fikira zako na familia yako. Na uwelewa wako.
 
Last edited by a moderator:

Aliitowa hii nchi kutoka Tanganyika iliyokuwa nchi ya kwanza kwa kusafirisha mazao ya kilimo katika Afrika mpaka kuifikisha kuwa Tanzania omba omba aka matonya wa kwanza wa chakula katika dunia. Na hiyo yote katika rikodi ambayo haijawahi kuonekana kabla au baada yake. Ilimchukuwa miaka 7 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…