Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Bahati nzuri mimi nakusoma siku nyingi kwa kukumbusha tu nimeanza kusoma toka pale Nyerere alipokuwa anampigia kampeni Mkapa pale Mwanza kwenye uwanja wa Nyamagana, mie nilikuwa nipo kwenye jengo la Posta pembeni ya uwanja. Nilisoma ulichoandika wakati huo bado upo CCM ujaenda Chadema.
Mzee Mohamed,WC,
Inawezekana umetoa kauli hii kwa kutojua.
Hayo maneno ni MATUSI MAKUBWA.
Abdu Sykes ni baba yetu na mama yake
Kleist ni mama yetu.
Tufanye mjadala wa historia ya TANU na
tuchunge murua na mipaka ya adabu.
MM,
Tatizo si hilo.
Uislam upi alooupiga vita Mwalimu? Huu wa akina Rashid Kawawa, Salim Ahmed Salim, Abdulrahman Moahamed Babu, Amani Abeid Karume, Harith Bakari Mwapachu, Jakaya Mrisho Kikwete, Mohamed Gharib Bilal, ..., au huu wa akina Mohamed Said, zomba, Ritz, Ponda Issa,...
Uasisi wa TANU ni kule Burma, kwenye mafaili ya Abdu, Vichwani mwa akina Abdu au 1953- 7.7.1954?
Nlisema uko kama kipepeo.. unaruka ruka kila ukikamatwa unakimbilia kwingine. Kama hakuna ushahidi wowote wa Nyerere kuagiza lolote au kusema lolote dhidi ya Uislamu na Waislamu wewe unapata wapi ujasiri wa kusema alikuwa anapiga vita Uislamu?
Hitler alipoamua kuwaua Wayahudi na kutafuta ile "final solution" hakujificha. Lakini angeonekana kama kituko kweli kama wakati huo huo anasema wayahudi ni kansa ya dunia halafu anawapa madaraka, anawaachia uongozi na kula na kunywa nao. Ahmedinajad naye anapowapiga vita Wayahudi hawapigi kwa kificho. Verwoerd na sera yake ya Ubaguzi wa rangi hakufanya hivyo kwa kificho. Angekuwa mnafiki wakati huo huo akitukuza watu weupe halafu awape nafasi na madaraka kwenye serikali yake watu duni - weusi.
Nyerere hajawahi kuwa na njama dhidi ya Uislamu au Waislamu. Asingeweza kuwa hivyo na wakati huo huo kuamini maisha yake mikononi mwao. Ushahidi wa hili ni kitabu chako cha Abdulwahid Sykes. Ni katika kitabu hiki umeweza kwa umahiri mkubwa kumuonesha kuwa Nyerere tangu kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru amekuwa ni rafiki wa Waislamu. Hajawahi kusema neno baya kuhusu Uislamu (angalau hakuna ushahidi wowote juu ya hilo) wala dhidi ya Waislamu.
NONE.
Na hata kwa wale unaowaita wazee wako hutampata hata mmoja ambaye anaweza kukuambia aliwahi kumsikia Nyerere akiulalamikia Uislamu au akisema maneno ya kejeli dhidi ya Waislamu waliokuwa wanamzunguka. NONE.
Utarukaruka tu kama kipepeo lakini mwisho utatua tu na itabidi ukubali ukweli wa historia tu.
Mohamed Said
Unaweza kututhibitshia kuwa Mwalimu alipiga VITA uislamu baada ya Uhuru?
Acha kudanganya watu kweupe hivi, nimekwambia zaidi ya mara 20 hapa jukwaani kuwa baada ya uhuru Mwalimu alianza mageuzi makubwa ya kufuta UDINI katika NCHI, sio kufuta uislamu bali kuufuta udini!
Ndio sababu za kulivunja baraza la wazee wa TANU baada ya kubainika limeingiza UDINI ambao ni hatari kwa ustawi wa Taifa, kumbuka nilikuuliza swali hili hapo nyuma kwa lengo maalumu lakini ukapepea kama kawaida yako!
Ok lets talk about the facts if you will...
a. Kuna wakati wowote ambapo Wakristu hawakushiriki katika harakati za Uhuru au katika vyama mbalimbali vya kupigania haki za Wakristu?
b. Kuna wakati ambapo Wakristu hawakuwa viongozi wa juu katika vyama hivyo mbalimbali na hivyo kuwa aktika "centre stage" ya shughuli za vyama hivyo?
It is absolutely absurd and silly to suggest - even remotely - that the names such of those of John Rupia, Dr. Mwanjisi, Dr. Kyaruzi, Stephen Mhando, Clement, na wengine wengi only appear in 'dramatis personae' sijui hata kama ulimaanisha hivyo maana "dramatis personae' ni characters wa mchezo - na haihusishi watu ambao hawakuwa na centre role. Hivyo kina Dossa Aziz, Abdulwahid, Nyerere, Titi Mohammed wote wako kwenye orodha ya characters tu na katika hao walioshika nafasi kuu of course ni Nyerere (star of the show) akiwa na supporting cast kama kina Abdul, Rupia na wengine.
Mchango wa Wakristu katika harakati za uhuru na nafasi zao haiwezekani kupuuzwa, kubezwa au kudunishwa. Kama walivyofanya ndugu zao ndivyo hivyo Wakristu nao walishiriki bega kwa bega na kulipia gharama ile ile ambayo wengine walilipia katika kupigania uhuru. HIstoria inatufundisha jinsi wazee wetu walivyoshirikiana kumpinga ukoloni licha ya tofauti zao za mahali, dini, kabila, na hata hali (status).
Those my dear one are the indisputable facts. You DO NOT have any facts to the contrary. No you don't.
Nafahamu unajua kuwa TANU lilikuwa ni miongoni mwa majina kadhaa yaliyokuwa mezani ili kuibadili TAA. Jina lolote kati ya hayo lingeweza likakubaliwa. Uasisi lazima uwe na tarehe, mahali na wahusika wa tukio lenyewe. Kama RAIS wa KWANZA wa TANU sio MUASISI wake basi neno lenyewe hata maana ni nyingine inayowafaa ninyi akina Mohamed!WC,
Uasisi wa TANU Burma usikupuuze.
Kuna kitabu cha Maurice Duverger "Political Parties."
Anasema vyama vya siasa vinaanza kwenye fikra
ya waasisi wake.
Kwa Abdu chama kilikuwa nyumbani kwao pale Kipata
toka 1929.
Anapata fahamu baba yake anamchukua Mtaa wa Kariakoo
na New Street siku ya Jumapili kwenye ujenzi wa ofisi ya
African Association.
Abdu kashuhudia haya kwa macho yake.
Tuje kwenye mafaili ya Sykes.
Hii ni hazina ya pekee ingawa inaonyesha mafaili haya
yanakuudhi.
Nyaraka ndani ya mafaili haya kwa hakika ndiyo yenye
historia nzima ya siasa katika Tanganyika.
Hayo mengine siyagusi.
Wakuu pg # 258 Mohamed Said kashindwa kutoa majibu kila tukimuuliza maswali rahisi kabisa anayakwepa sasa sijui tuwaombe Mods waandae mdahalo kama ule wa Matola na zomba labda tunaweza kupata majibu tunayotarajia vinginevyo sioni sababu ya kuendelea na huu mnakasha.
Mods mnaweza pia kuandaa utaratibu kama mlivyofanya kwa mheshimiwa Zitto Kabwe .
Nakala Invisible Paw ....
Hivi ndugu yangu unamatatizo ya AKILI?
Mada nzima nimeieleza kwa kirefu nikihusisha ukoloni wa Kijerumani na ukoloni msonge wa Kiingereza lakini kumbe wewe upo ahera kabisa?
Unakosa kusoma mada nzima kwakuwa unatawaliwa kwa hisia na ushabiki katika mada hii,
Tuliza moyo,akili na mwili wako anza upya kuisoma makala hapo juu utaona tunachokijadili tangu 12/01/2013 mpaka leo hii!
Nlisema uko kama kipepeo.. unaruka ruka kila ukikamatwa unakimbilia kwingine. Kama hakuna ushahidi wowote wa Nyerere kuagiza lolote au kusema lolote dhidi ya Uislamu na Waislamu wewe unapata wapi ujasiri wa kusema alikuwa anapiga vita Uislamu?
Hitler alipoamua kuwaua Wayahudi na kutafuta ile "final solution" hakujificha. Lakini angeonekana kama kituko kweli kama wakati huo huo anasema wayahudi ni kansa ya dunia halafu anawapa madaraka, anawaachia uongozi na kula na kunywa nao. Ahmedinajad naye anapowapiga vita Wayahudi hawapigi kwa kificho. Verwoerd na sera yake ya Ubaguzi wa rangi hakufanya hivyo kwa kificho. Angekuwa mnafiki wakati huo huo akitukuza watu weupe halafu awape nafasi na madaraka kwenye serikali yake watu duni - weusi.
Nyerere hajawahi kuwa na njama dhidi ya Uislamu au Waislamu. Asingeweza kuwa hivyo na wakati huo huo kuamini maisha yake mikononi mwao. Ushahidi wa hili ni kitabu chako cha Abdulwahid Sykes. Ni katika kitabu hiki umeweza kwa umahiri mkubwa kumuonesha kuwa Nyerere tangu kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru amekuwa ni rafiki wa Waislamu. Hajawahi kusema neno baya kuhusu Uislamu (angalau hakuna ushahidi wowote juu ya hilo) wala dhidi ya Waislamu.
NONE.
Na hata kwa wale unaowaita wazee wako hutampata hata mmoja ambaye anaweza kukuambia aliwahi kumsikia Nyerere akiulalamikia Uislamu au akisema maneno ya kejeli dhidi ya Waislamu waliokuwa wanamzunguka. NONE.
Utarukaruka tu kama kipepeo lakini mwisho utatua tu na itabidi ukubali ukweli wa historia tu.
MM,
Mimi nitue mara ngapi?
Nishatua toka siku kitabu kilipoingia mitaani.
Nakusubirini nyie mruke mshuke na kitabu.
Wakuu pg # 258 Mohamed Said kashindwa kutoa majibu kila tukimuuliza maswali rahisi kabisa anayakwepa sasa sijui tuwaombe Mods waandae mdahalo kama ule wa Matola na zomba labda tunaweza kupata majibu tunayotarajia vinginevyo sioni sababu ya kuendelea na huu mnakasha.
Mods mnaweza pia kuandaa utaratibu kama mlivyofanya kwa mheshimiwa Zitto Kabwe .
Nakala Invisible Paw ....
Nafahamu unajua kuwa TANU lilikuwa ni miongoni mwa majina kadhaa yaliyokuwa mezani ili kuibadili TAA. Jina lolote kati ya hayo lingeweza likakubaliwa. Uasisi lazima uwe na tarehe, mahali na wahusika wa tukio lenyewe. Kama RAIS wa KWANZA wa TANU sio MUASISI wake basi neno lenyewe hata maana ni nyingine inayowafaa ninyi akina Mohamed!
Kwani vipepeo huwa wanatulia basi; kwa muda mrefu ulidhani umetua. Well, hoja zako zimefumuliwa sasa yakubidi uruke ruke tena...
Majibu ya Mohamed Said sio mwarobaini wa historia yetu,
Maono na mchango ya wadau hapa inamafaa zaidi kuliko kusubiri ngano za Mohamed Said,
Watanzania wengi sasa wamefunguka na kuelewa kuwa kumbe walirubuniwa na Mohamed Said hivyo sasa wanahitaji fikra mpya ambazo ndizo tunazowalisha hapa mimi, wewe na wale,
Hawahitaji sana majibu ya Shehe Mohamed Said bali yeye kama sehemu ya kutetea ngano zake na aje na hayo majibu hapa hapa!
MM,
Mimi nitue mara ngapi?
Nishatua toka siku kitabu kilipoingia mitaani.
Nakusubirini nyie mruke mshuke na kitabu.