Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Tatizo ni huo ubaguzi usioonekana kwa macho ya kawaida hadi uvae miwani ya 3D. Tumesoma wote mashule hayahaya Wakristo kwa Waislam; Tumesoma wote vyuo mbalimbali; Tumetibiwa wote zahanati na hospitali hizihizi; Tumeajiriwa wote kwenye taasisi za umma; Tumegombea na kuchaguliwa wote katika nafasi na ngazi mbalimbali za uongozi wa nchi hii; Tumegawana wote pato la nchi hii; Tumesota wote vitu na huduma mbalimbali zilipokosekana.
Sasa hivi ndio tunaachana kwelikweli lakini sio kwa misingi ya DINI zetu. Aliyenacho kinaongezeka na asiyenacho hata hicho alichonacho ananyang'anywa. Tajiri mkubwa kabisa nchi hii sio mkristo na hakutajirika kwa sababu ya DINI yake na wateja wake ni WATANZANIA wote.
Tofauti ya wasomi wengi na waajiriwa wengi sehemu mbalimbali za umma sio kwa sababu ya ubaguzi wa DINI. NI kwa sababu mbalimbali za mapokeo ya ELIMU kwenye jamii zetu. Ndio maana ungewakuta Wakurya wengi sana jeshini enzi hizo kwa sababu hawakujali elimu na waliiona kazi ya jeshi kuwa ya kiume zaidi. Muislam wa Kariakoo kujiunga na jeshi kilikuwa kioja kama sio kituko!
Ndio maana wanasema "Detention without trial" ni tool muhimu kwa maendeleo ya africa,mtu kama Mohamed Said angefichwa,yes men kama zomba na Ritz wasingelishwa sumu
Naona Mzee Mohamed anang'ang'ana kuwa AA ndio TAA na TAA ndio TANU na kwa sababu hiyo TANU ndio CCM! Kwamba huyu ni nyoka mmoja ambaye amekua akijivua na kujivika gamba jipya. Ukimwambia lete KATIBA za vyama hivi zinazolithibitisha hilo, anakwambia hakuwahi kuziona wala kuzitafuta katiba hizo!
Dhana yake hii imejikita zaidi kwenye watu na majina yao na hasa familia ya mlowezi Sykes. Kwa kuwa Sykes alikuwepo AA ilipoanza, Kleist Sykes akawepo enzi za TAA na baadae Abdu na wadogo zake wakawepo wakati TANU inaanza basi chama ni kilekile ni majina ya viongozi yanabadilika.
Historia ya vyama haiko hivo Mzee Mohamed pamoja na mapenzi yako makubwa kwa familia hii ya Sykes. Historia ya familia ndio inakuwa hivo. AA, TAA, TANU na CCM ni vyama vinne tofauti. Vilivyoanzishwa na watu tofauti, kwa nyakati, malengo na madhumuni tofauti.

Sina na sijapata kuiona Katiba ya Kwanza ya TANU. Mzee asingefikia hatua ya kuandika historia "nzuri" ya chama hiki bila kuiona katiba hii. Vyeo na madaraka ya wahusika wake alivitoa wapi? Hao walivipataje? Katiba ndio document muhimu inayoandaliwa au kupitishwa na wote kwenye chama chochote kile.WildCard,
Ukipinga kitu basi uje na jibu mbadala unapinga halafu jibu huna una maneno matupu tu, tuwekee wewe katiba ya ukweli ya TANU alioacha Nyerere.
Ndio maana wanasema "Detention without trial" ni tool muhimu kwa maendeleo ya africa,mtu kama Mohamed Said angefichwa,yes men kama zomba na Ritz wasingelishwa sumu
Misikitini unakohubiri wanapata nafasi ya kukuhoji? Au unasikilizwa tu! Unawaambia upande mwingine wa wazee wako hawa?WC,
Hapana sing'ang'anii chochote.
Ikiwa wewe unaona hivyo mimi siwezi kukulazimisha kuona vinginevyo.
Humu tunawasikilizaji sasa 51, 000+.
Hawa ndiyo waamuzi wa mambo haya.
Sie kila mtu ataweka hapa jamvini kile ajuacho.
Wasikilizaji ndiyo waamuzi wetu.
Nenda maktaba yoyote Tanzania waambie wakupe vitabu vya historia ya uhuri,
Kama kile cha kivukoni na vingine vingi sana lakini ukibahatika kusoma cha Mohamed Said kuwa makini kwa kila andishi rudia mara tatu!
Sina na sijapata kuiona Katiba ya Kwanza ya TANU. Mzee asingefikia hatua ya kuandika historia "nzuri" ya chama hiki bila kuiona katiba hii. Vyeo na madaraka ya wahusika wake alivitoa wapi? Hao walivipataje? Katiba ndio document muhimu inayoandaliwa au kupitishwa na wote kwenye chama chochote kile.
Katiba ya TAA ilitakiwa iwe ndio shahidi mkuu kuwa AA inabadilika kuwa TAA na katiba ya kwanza ya TANU ndio ingeshuhudia kuwa TAA ndio inabadilika kuwa TANU kama katiba ya CCM inavyoshuhudia uvunjwaji wa TANU na ASP kuunda CCM. Sio kutumia mafaili ya wazee kama msahafu!
kwanini usimshauri asome kitabu cha kivukoni mara tatu tatu pia?
je ipo haki ya kusema kitabu cha kivukoni ni ngano pia?
Ninawasilisha
Kile cha Kivukoni hakikutokana na simulizi za jamii moja na kisha mtu akajifungia chumbani kwa mkewe kukiandika!kwanini usimshauri asome kitabu cha kivukoni mara tatu tatu pia?
je ipo haki ya kusema kitabu cha kivukoni ni ngano pia?
Ninawasilisha
Kile cha Kivukoni hakikutokana na simulizi za jamii moja na kisha mtu akajifungia chumbani kwa mkewe kukiandika!
Angalau. Ni utafiti na akili za wengi. Hakina UDINI. Hakikukamilika kama Biblia na Quran ingawa vyote vimeandika na WANA-DAMU!Kwa hiyo kitabu cha Kivukoni ndiyo historia sahihi ya TANU na wapigania uhuru.
Unajua Ritz,Kwa hiyo kitabu cha Kivukoni ndiyo historia sahihi ya TANU na wapigania uhuru.
Kwasababu kitabu cha kivukoni ni cha historia halisi sio yakufikirika ndiomaana huwezi kuiita ni ngano.
Mapungufu yaliyomo si yakuhatarisha amani kama alivyofanya shekhe Mohamed Said katika ngano zake