Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kaka,

Kama mzee Mohamed Said kakosea kuwataja wazee wake waliopigania uhuru, basi ataomba msamaha.

Lakini kama si kosa, anayo haki ya kuandika na kusema.

Mna contradict kudhani kuwa Mohamed Said anasema kuwa wazee wake peke yake ndo wamepigania uhuru.

Wazee wake had a part to play. It just so happens that the part they played was important, paramount and pivotal which lead to the success of independence. Hili nadhani ndo hamlitaki

Tatizo lao kubwa waliaminishwa kuwa historia ya nchi hii imeanzia na kuishia kwa Nyerere, lakini huo unajulikana kuwa si ukweli, Nyerere mwenyewe anakiri kuwa toka makerere alishaambiwa kuna harakati zimeshaanza. Sasa kama mwenyewe anakiri hayo, huo uasisi kauokotea wapi?

Napenda kuwakumbusha kuwa Nyerere atakumbukwa na kuenziwa sana na kanisa katoliki kwa kulipa mali isio kifani. Leo hii Tanzania baada ya Serikali, mmiliki mkuu wa Ardhi ni kanisa katoliki lenye makao makuu Vatican, watawacha kumuenzi? Halafu wachache humu hilo hawalioni. Mimi huwaita wabaguzi wa ujinga. Ni ujinga uleule waliojazwa nao wa kutukuzwa ndio huohuo walionao. Hata uwafanye nini, hawaoni, hawasikii, mioyo yao ina maradhi.
 
Unakosea MM, hawa sio vijana ni mizee ya kutupwa ambayo imeamua kwa makusudi kuzuia akili zao zisifanye kazi kwa lengo maalum!
Haahaaa daaah,

Hilo linaukweli mkuu, katika tafiti zangu ndani ya jiji la dar juu ya madai ya waislamu kuwa kuna mfumo kristu na dhulma dhidi yao, nimeweza kuligundua hilo kuwa vijana wengi wakiislamu wanajitenga na madai haya huku wazee ndio waumini wakubwa wa madai haya!

Ukiwahoji zaidi vijana wanasema wazi kuwa kwakuwa ni suala la dini basi wao wanasikiliza ya wakufunzi wao ambao wengi ni wazee!
 
Hata kubatizwa alikuwa bado. MfumoKristo uliletwa na Wajerumani wakisaidiwa na akina Sykes.

Na akina Sykes hao hao ndio waliokuja kuasisi aa na taa na TANU au sio? Sasa unachobisha nini? ukiambiwa kuwa wakati harakati za kisiasa zinaanza na vyama vinaanzishwa 1929 Nyerere alikuwa hata kuvaa suruali hajui.

Walichokipinga hao wazee nyerere akakirudisha kwa nguvu zake zote. Alikuwa na sababu ipi ya kuivunja EAMWS?.
 
Tatizo lao kubwa waliaminishwa kuwa historia ya nchi hii imeanzia na kuishia kwa Nyerere, lakini huo unajulikana kuwa si ukweli, Nyerere mwenyewe anakiri kuwa toka makerere alishaambiwa kuna harakati zimeshaanza. Sasa kama mwenyewe anakiri hayo, huo uasisi kauokotea wapi?

Napenda kuwakumbusha kuwa Nyerere atakumbukwa na kuenziwa sana na kanisa katoliki kwa kulipa mali isio kifani. Leo hii Tanzania baada ya Serikali, mmiliki mkuu wa Ardhi ni kanisa katoliki lenye makao makuu Vatican, watawacha kumuenzi? Halafu wachache humu hilo hawalioni. Mimi huwaita wabaguzi wa ujinga. Ni ujinga uleule waliojazwa nao wa kutukuzwa ndio huohuo walionao. Hata uwafanye nini, hawaoni, hawasikii, mioyo yao ina maradhi.

Huo ndio uongo na uzushi uliotukuka,

Ukiambiwa ulete ushahidi hapa utaanza kuweweseka tu!
 
Hili ni bandiko la nani? Kama huu ni uongo basi mtafute alioubandika:

Pale, mimi na wanafunzi wenzangu tulikuwa tumeanzisha chama kinachoitwa Tanganyika African Welfare Association (TAWA) cha wanafunzi wa Tanganyika; mimi nikiwa katibu wao. Hapa tukaona mambo yanakwenda vizuri kidogo.

Tukaona kwanini TAWA iwe ya wanafunzi peke yao na siyo Tanganyika nzima. Kwa hiyo nikawaandikia baadhi ya watu Tanganyika. Nikasema, jamani ee, tumeanzisha chama, kwanini msianzishe huko matawi ya chama hicho?

Ndugu Mwangosi akapata barua hiyo. Alikuwa miongoni mwa waliopata barua hiyo. Akaniandikia – nikiwa Makerere – akasema: wewe kwanini unataka kuanzisha chama kipya? Kipo chama. Kipo chama cha TAA (Tanganyika African Association).
 
Is a Catholic Saint Concealed Within the Ranks of African Head of States
A Positive Answer from Tanzania as the Beatification Process of Servant of God Julius Nyerere has opened!
This file contains some images, a prayer and an article related to the person of Julius Nyerere, first president of the United Republic of Tanzania. The article signed by Laurent Magesa, a Tanzanian Catholic priest and theologian explains at length the extraordinary stature of the Mwalimu's personality. It is an article which was first published in the review "Service" (Saint Augustine University of Tanzania) Number 9 (2009). As I got permission of using this article, I am most happy to be able to share it with you. A translation into French of this text is available on www.pascalbcd.over-blog.com In a time when a certain part of the African population attempts to get rid of some of its leaders (sometimes successfully so), it is most appropriate to remember the fact that there is another story about a population which is most grateful for the leadership qualities attached to some other leaders. May Nyerere continue to inspire some sincere vocations of leaders selflessly dedicated to the service of its population! It could be that the salvation of a whole continent depends upon these.
My intention in this presentation is modest. I wish in a very brief way to offer a few points about Servant of God Mwalimu Julius K. Nyerere, former president of Tanzania, as a person. My hope is to start some kind of conversation among us and anyone interested, especially in view of the decision by the Catholic Church of Tanzania of starting the – usually long – process of finally declaring him a saint, technically known also as canonization.

Canonization or sainthood in the Catholic tradition is the Church's official recognition that the person so declared is without doubt with God in heaven. Pastorally, it has an even greater significance: it means that the Church puts forward the life of the person in question as an example for all Catholic faithful to follow in this world, during their pilgrimage towards the final vision of God at death, the beatific vision. If therefore Nyerere is declared as saint, he will be numbered publicly by the Church all over the world whose lives would have been lived in accordance to the will of God. The Church refers to this kind of life as "heroic."

1358232981152_1358232981152_r.jpg
A Catholic faithful with Mwalimu. Nyerere is being considered for sainthood in the Catholic church. If the process is successful, he'll be the first president to made a saint.
 
Sitoshtuka akaja mtu akasema hizi ni ngano

Au utawasikia lete source

Ukiwapa source, watakwambia ngano

Sasa sijui tutumie kigezo gani waelewe
 
Yericko Nyerere,

Ushahidi umekutosha au nikuongezee? umeshampata aliyebandika yale nilokuletea kama ushahidi? naona na Ritz kapiga Ikulu.
 
Last edited by a moderator:
Historia ya ndoa/harusi huwa inaanzia siku mlipofunga ndoa hiyo au siku mlipoanza kutongozana?

Muulize huyu hapa, sijui kwanini aliyataja haya?

Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.
 
Is a Catholic Saint Concealed Within the Ranks of African Head of States
A Positive Answer from Tanzania as the Beatification Process of Servant of God Julius Nyerere has opened!
This file contains some images, a prayer and an article related to the person of Julius Nyerere, first president of the United Republic of Tanzania. The article signed by Laurent Magesa, a Tanzanian Catholic priest and theologian explains at length the extraordinary stature of the Mwalimu’s personality. It is an article which was first published in the review “Service” (Saint Augustine University of Tanzania) Number 9 (2009). As I got permission of using this article, I am most happy to be able to share it with you. A translation into French of this text is available on www.pascalbcd.over-blog.com In a time when a certain part of the African population attempts to get rid of some of its leaders (sometimes successfully so), it is most appropriate to remember the fact that there is another story about a population which is most grateful for the leadership qualities attached to some other leaders. May Nyerere continue to inspire some sincere vocations of leaders selflessly dedicated to the service of its population! It could be that the salvation of a whole continent depends upon these.
My intention in this presentation is modest. I wish in a very brief way to offer a few points about Servant of God Mwalimu Julius K. Nyerere, former president of Tanzania, as a person. My hope is to start some kind of conversation among us and anyone interested, especially in view of the decision by the Catholic Church of Tanzania of starting the – usually long – process of finally declaring him a saint, technically known also as canonization.

Canonization or sainthood in the Catholic tradition is the Church’s official recognition that the person so declared is without doubt with God in heaven. Pastorally, it has an even greater significance: it means that the Church puts forward the life of the person in question as an example for all Catholic faithful to follow in this world, during their pilgrimage towards the final vision of God at death, the beatific vision. If therefore Nyerere is declared as saint, he will be numbered publicly by the Church all over the world whose lives would have been lived in accordance to the will of God. The Church refers to this kind of life as “heroic.”

1358232981152_1358232981152_r.jpg
A Catholic faithful with Mwalimu. Nyerere is being considered for sainthood in the Catholic church. If the process is successful, he'll be the first president to made a saint.
Nilichokipinga na kusema ni uongo na uzushi ulikielewa?
 
Haya udini wa uliosababishwa na waandishi na moh'd.. Geita watu washaanza kuchinjana
Mkuu unaijua maada hii au umekosa pa kuiweka maada yako. Mohamed ndo aliwambiwa waxhungaji wachinje!? Tafuta sehem sahihi ya kuweka post yako.
 
Yericko bana.

Ingekuwa kama matus,kejeli,dhihaka ndio point katka mdahalo huu tayari mohamed said angeshashindwa, na team ya yericco lkn kwakuwa watu anaofanya nao mjadala ni watu wanauhakika na wanachokifanya mpaka sasa tunafaisika, kwani kitu nimegundua akibanwa yeriko haachi kutoa matus kejeli na dhihaka, ili kupoteza muelekeo wa mjadala. Hongeren Mohamed said na team nzima inayotoa darsa kwa akili na sio jazba.
 
Unachanganya mambo, unaulizwa kinondoni iko wapi, wewe unanipeleka kibaha?

Niliandika hivi:

quote_icon.png
By zomba

Tatizo lao kubwa waliaminishwa kuwa historia ya nchi hii imeanzia na kuishia kwa Nyerere, lakini huo unajulikana kuwa si ukweli, Nyerere mwenyewe anakiri kuwa toka makerere alishaambiwa kuna harakati zimeshaanza. Sasa kama mwenyewe anakiri hayo, huo uasisi kauokotea wapi?

Napenda kuwakumbusha kuwa Nyerere atakumbukwa na kuenziwa sana na kanisa katoliki kwa kulipa mali isio kifani. Leo hii Tanzania baada ya Serikali, mmiliki mkuu wa Ardhi ni kanisa katoliki lenye makao makuu Vatican, watawacha kumuenzi? Halafu wachache humu hilo hawalioni. Mimi huwaita wabaguzi wa ujinga. Ni ujinga uleule waliojazwa nao wa kutukuzwa ndio huohuo walionao. Hata uwafanye nini, hawaoni, hawasikii, mioyo yao ina maradhi.

Wewe ukaja na hili:

Huo ndio uongo na uzushi uliotukuka,

Ukiambiwa ulete ushahidi hapa utaanza kuweweseka tu!

Mimi kabla hujaniomba huo ushahidi nikakuwekea huu, na nikakutaka umtafute aliyeleta hili bandiko:

Hili ni bandiko la nani? Kama huu ni uongo basi mtafute alioubandika:
Pale, mimi na wanafunzi wenzangu tulikuwa tumeanzisha chama kinachoitwa Tanganyika African Welfare Association (TAWA) cha wanafunzi wa Tanganyika; mimi nikiwa katibu wao. Hapa tukaona mambo yanakwenda vizuri kidogo.

Tukaona kwanini TAWA iwe ya wanafunzi peke yao na siyo Tanganyika nzima. Kwa hiyo nikawaandikia baadhi ya watu Tanganyika. Nikasema, jamani ee, tumeanzisha chama, kwanini msianzishe huko matawi ya chama hicho?

Ndugu Mwangosi akapata barua hiyo. Alikuwa miongoni mwa waliopata barua hiyo. Akaniandikia – nikiwa Makerere – akasema: wewe kwanini unataka kuanzisha chama kipya? Kipo chama. Kipo chama cha TAA (Tanganyika African Association).

Sasa umekuja unasema "unachanganya mambo", nioneshe nilichochanganya ni nini?
 
Kaka,

Kama mzee Mohamed Said kakosea kuwataja wazee wake waliopigania uhuru, basi ataomba msamaha.

Lakini kama si kosa, anayo haki ya kuandika na kusema.

Mna contradict kudhani kuwa Mohamed Said anasema kuwa wazee wake peke yake ndo wamepigania uhuru.

Wazee wake had a part to play. It just so happens that the part they played was important, paramount and pivotal which lead to the success of independence. Hili nadhani ndo hamlitaki
No thank you sir!
In this discussion from get go no one has berated the part played by the forefathers; ironically they have applauded their role in political emancipation.

That being said, Mohamed is tirelessly trying to aggrandize some patriots at the expense of others based on religion. Methodically he secludes some patriots simply because of their faith and ethnicity.

Ibn Muyukwa's assertion that this country was liberated by Manyema(100% moslems) and Zulus is an intellectual abuse which need be rebuked.This kind of nefarious must be condemned rather than condoned

Abdul Sykes who is at the centre of the debate unequivocally dismisses the allegation leveled by Ibn Mwekapopo.

Ibn Semtungo is trying to ignore the effort by forefathers who he did not share the faith.
He is trying to skew the history in line of his personal interest and not the facts on the ground.

Mohamed is misleading the public, fabricating stories, hiding facts and impose his own view to the public on the repeated slogan of the researched history.

Mohamed has the deep entrenched hatred toward others contrary to Islamic teaching.
He is insinuating unfounded allegation against Christians and Nyerere particularly, to mask the short comings from his own society.

As a result of this, Mohamed cannot defend his own position, switching back and forth and serendipity defending his enemies.
 
No thank you sir!
In this discussion from get go no one has berated the part played by the forefathers; ironically they have applauded their role in political emancipation.

That being said, Mohamed is tirelessly trying to aggrandize some patriots at the expense of others based on religion. Methodically he secludes some patriots simply because of their faith and ethnicity.

Ibn Muyukwa's assertion that this country was liberated by Manyema(100% moslems) and Zulus is an intellectual abuse which need be rebuked.This kind of nefarious must be condemned rather than condoned

Abdul Sykes who is at the centre of the debate unequivocally dismisses the allegation leveled by Ibn Mwekapopo.

Ibn Semtungo is trying to ignore the effort by forefathers who he did not share the faith.
He is trying to skew the history in line of his personal interest and not the facts on the ground.

Mohamed is misleading the public, fabricating stories, hiding facts and impose his own view to the public on the repeated slogan of the researched history.

Mohamed has the deep entrenched hatred toward others contrary to Islamic teaching.
He is insinuating unfounded allegation against Christians and Nyerere particularly to mask the acts and perhaps short comings from his own society.

As a result of this, Mohamed cannot defend his own position, switching back and forth and serendipity defending his enemies.

Produce your proof if you should be truthful.
 
Niliandika hivi:

Wewe ukaja na hili:

Mimi kabla hujaniomba huo ushahidi nikakuwekea huu, na nikakutaka umtafute aliyeleta hili bandiko:

Sasa umekuja unasema "unachanganya mambo", nioneshe nilichochanganya ni nini?
Nimekanusha madai yako kuwa kanisa linamiliki sehemu kubwa ya ardhinchi hii tena likimiliki kutokea Vatican

Juu ya hilo umejaa pirojo bila uhakika
 
Back
Top Bottom