Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni bahati mbaya ilioje kuwa wakati tunaendelea na huu mjadala tayari matunda ya uchochezi kama anavyokoleza huyu muongo waahed yanaanza kujitokeza. Kwa kuwa ameshindwa kujibu maswali kadhaa aliyoulizwa kwa nia ya kupata ukweli sasa tunaanza kumuumbua kwa hila zake za kupandikiza chuki kwa mgongo wa dini na kwa kutumia uongo.

Anasema vyama vya siasa vinaanza kwenye fikra ya waasisi wake.
Kama unaongelea uasisi wa AA huu ni Uwongo namba moja...ukweli ni kuwa AA, haikuwa chama cha siasa bali club ya wafanyakazi Waafrika iliyoasisiwa na Gavana Cameroun wa serikali ya kikoloni ili kuwawezesha na wao wapate mahala pa kujumuika kama ilivyokuwa kwa Wazungu na Waasia.
Kwa Abdu chama kilikuwa nyumbani kwao pale Kipata toka 1929.
Uwongo namba mbili...mwanzoni viongozi wa AA waafrika na wasomi hawakuwa na pa kukutania hivyo ilibidi uzinduzi wake ufanyike nyumbani kwa Raisi Muasisi wa kwanza Cecil Matola, Myao msomi na mwalimu zao la shule ya Minaki, shule iliyokuwa na sifa ya pekee miaka hiyo.
Anapata fahamu baba yake anamchukua Mtaa wa Kariakoo na New Street siku ya Jumapili kwenye ujenzi wa ofisi ya African Association.
Muongo mkubwa, uongo namba tatu...Baada ya muda mfupi Gavana Cameroun aliwapa nyumba aliyoijenga yeye mtaa wa New Street. Kuna utata mkubwa kuhusu namna ukoo wa Abdu ulivyokuja kumiliki hii nyumba na hapa namwomba Mohamed Said awe mwangalifu sana.
Abdu kashuhudia haya kwa macho yake. Tuje kwenye mafaili ya Sykes.
Kama mafaili yanasema nyumba ya mtaa wa New Street aliijenga Sykes, nashindwa kujua lengo la dai hilo ni nini. Naomba ikumbukwe kwamba mtu ambaye angeweza kukabidhiwa hiyo nyumba alikuwa Raisi wa AA, Cecil Matola lakini akaja kufariki mapema mwaka 1933...how convenient!
Nyaraka ndani ya mafaili haya kwa hakika ndiyo yenye historia nzima ya siasa katika Tanganyika.
Huu nao ni uongo usiokubalika, hakuna lolote hapo! Kama yapo mafaili nina hakika inazungumzia tu historia ya siasa Dar es Salaam na hasa mitaa ya Kipata, Gerezani na Kariakoo lakini si kama unavyotaka kuudanganya umma eti historia nzima...Tanganyika ilikuwa zaidi ya Dar es Salaam na hizo ni simulizi za mtaani alizokuwa anasimuliwa na wazee wake barazani kwa sababu wanazozijua wenyewe.
Hayo mengine siyagusi.
Huwezi na huthubutu kuyagusa kwa sababu yanakuumbua. Mathalani unadai TANU iliasisiwa na Abdu kama unavyodai pia AA iliasisiwa na Kleist lakini kati yao hakuna aliyekuwa na uwezo wala sifa za kuziongoza. Kwanza huko Burma walikutana waafrika kutoka sehemu mbali mbali za bara hili na African Association ya mwaka 1929 haikuihusu Tanganyika tu. Pili, harakati za kudai uhuru zilishika kasi miaka ishirini baadaye zikiongozwa na wasomi ...trust mchochezi mohamed kwa kupotosha ukweli! Yalikuwapo mapendekezo mengi ya jina la chama cha siasa kilichokuja kuasisiwa mwaka 1954.

Moja ya pendekezo lilitolewa na Abdu, kama ilivyokuwa kwa nchi nyingi za kiafrika, lilikuwa ni TAU (Tanganyika African Union) na wazo lake lilishabihiana na Kenya ambao tayari walikuwa na KAU (Kenya African Union) Hapa ni wazi kuwa pendekezo lake halikuwa na ubunifu wowote lakini msomi Mwalimu, kwa muono wa kitaifa, akatambua mara moja kwamba ingawa TAU linaendana na vyama vingine Afrika, inakosa ule uzalendo wa kitaifa...hivyo akapendekeza neno National liongezwe kwenye TAU.

Wazo lake liliungwa mkono na wajumbe wote asilimia mia moja 100% na lililofuatia ni kwamba liwekwe wapi ndani ya neno TAU?Kulizuka mapendekezo mawili, TNAU (Tanzania National African Union) au TANU (Tanzania African National Union). Hapo ndipo Abdu akapendekeza TANU kwani inatamkika kirahisi kwa waswahili na wazo lake kuungwa mkono. Aliyekuwa anaongoza hiki kikao kilichoasisi TANU ni Raisi wake muasisi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hapa nawaachia wasomaji watoe uamuzi.
 
Ni bahati mbaya ilioje kuwa wakati tunaendelea na huu mjadala tayari matunda ya uchochezi kama anavyokoleza huyu muongo waahed yanaanza kujitokeza. Kwa kuwa ameshindwa kujibu maswali kadhaa aliyoulizwa kwa nia ya kupata ukweli sasa tunaanza kumuumbua kwa hila zake za kupandikiza chuki kwa mgongo wa dini na kwa kutumia uongo.

Kama unaongelea uasisi wa AA huu ni Uwongo namba moja...ukweli ni kuwa AA, haikuwa chama cha siasa bali club ya wafanyakazi Waafrika iliyoasisiwa na Gavana Cameroun wa serikali ya kikoloni ili kuwawezesha na wao wapate mahala pa kujumuika kama ilivyokuwa kwa Wazungu na Waasia.

Uwongo namba mbili...mwanzoni viongozi wa AA waafrika na wasomi hawakuwa na pa kukutania hivyo ilibidi uzinduzi wake ufanyike nyumbani kwa Raisi Muasisi wa kwanza Cecil Matola, Myao msomi na mwalimu zao la shule ya Minaki, shule iliyokuwa na sifa ya pekee miaka hiyo.

Muongo mkubwa, uongo namba tatu...Baada ya muda mfupi Gavana Cameroun aliwapa nyumba aliyoijenga yeye mtaa wa New Street. Kuna utata mkubwa kuhusu namna ukoo wa Abdu ulivyokuja kumiliki hii nyumba na hapa namwomba Mohamed Said awe mwangalifu sana.

Kama mafaili yanasema nyumba ya mtaa wa New Street aliijenga Sykes, nashindwa kujua lengo la dai hilo ni nini. Naomba ikumbukwe kwamba mtu ambaye angeweza kukabidhiwa hiyo nyumba alikuwa Raisi wa AA, Cecil Matola lakini akaja kufariki mapema mwaka 1933...how convenient!

Huu nao ni uongo usiokubalika, hakuna lolote hapo! Kama yapo mafaili nina hakika inazungumzia tu historia ya siasa Dar es Salaam na hasa mitaa ya Kipata, Gerezani na Kariakoo lakini si kama unavyotaka kuudanganya umma eti historia nzima...Tanganyika ilikuwa zaidi ya Dar es Salaam na hizo ni simulizi za mtaani alizokuwa anasimuliwa na wazee wake barazani kwa sababu wanazozijua wenyewe.

Huwezi na huthubutu kuyagusa kwa sababu yanakuumbua. Mathalani unadai TANU iliasisiwa na Abdu kama unavyodai pia AA iliasisiwa na Kleist lakini kati yao hakuna aliyekuwa na uwezo wala sifa za kuziongoza. Kwanza huko Burma walikutana waafrika kutoka sehemu mbali mbali za bara hili na African Association ya mwaka 1929 haikuihusu Tanganyika tu. Pili, harakati za kudai uhuru zilishika kasi miaka ishirini baadaye zikiongozwa na wasomi ...trust mchochezi mohamed kwa kupotosha ukweli! Yalikuwapo mapendekezo mengi ya jina la chama cha siasa kilichokuja kuasisiwa mwaka 1954.

Moja ya pendekezo lilitolewa na Abdu, kama ilivyokuwa kwa nchi nyingi za kiafrika, lilikuwa ni TAU (Tanganyika African Union) na wazo lake lilishabihiana na Kenya ambao tayari walikuwa na KAU (Kenya African Union) Hapa ni wazi kuwa pendekezo lake halikuwa na ubunifu wowote lakini msomi Mwalimu, kwa muono wa kitaifa, akatambua mara moja kwamba ingawa TAU linaendana na vyama vingine Afrika, inakosa ule uzalendo wa kitaifa...hivyo akapendekeza neno National liongezwe kwenye TAU.

Wazo lake liliungwa mkono na wajumbe wote asilimia mia moja 100% na lililofuatia ni kwamba liwekwe wapi ndani ya neno TAU?Kulizuka mapendekezo mawili, TNAU (Tanzania National African Union) au TANU (Tanzania African National Union). Hapo ndipo Abdu akapendekeza TANU kwani inatamkika kirahisi kwa waswahili na wazo lake kuungwa mkono. Aliyekuwa anaongoza hiki kikao kilichoasisi TANU ni Raisi wake muasisi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hapa nawaachia wasomaji watoe uamuzi.

Mag3,

Mbona mimi naandika bila kukutukana?
 
Nimekanusha madai yako kuwa kani linamiliki sehemu kubwa ya ardhinchi hii tena likimiliki kutokea Vatican

Juu ya hilo umejaa pirojo bila uhakika

[h=2]#3 Pope Benedict[/h]
3-pope-benedict.jpg

Land: The 110 acres of The Holy See that constitute Vatican City. Also, roughly 177 million more acreage of various lands owned by the Catholic Church throughout the globe, including the hundreds of Vatican embassies that are legally titled to The Holy See as an independent nation.

Background: He's The Pope...

Read more: The World's 15 Biggest Landowners - Business Insider
 
Mag3,

Hacha kutukana unaandika huku umekasirika wewe kila wakati unaandika umefika wakati wa kumuumbua.

Angalia wewe ndiyo usije kuwa ndiyo muongo Waheed.

Tuambie nyumbani kwa Cecil Matola palikuwa wapi nyumba ipi.

Jengo la ofisi za African Association mbona ilo lipo wazi lilifunguliwa na Gavana Sir Donald Cameron miaka ya mwanzoni ya 1930.

Tena kuna picha zimepigwa yupo Kleist Abdalah Sykes, Mashando Ramadhani, Gavana Sir Donald Cameron.

Labda tufahamishe pale New Street kulikua na majengo mangapi.

Nyerere mwenyewe anakiri jina la TANU walikuwa wameishalichaguwa toka huko nyuma wakati wapo vitani Burma.

Wewe unasema yako yako sijui TAU... Ndiyo maana nimekuambia angalia usije kuwa wewe ndiyo muongo wahaeed.
 
Last edited by a moderator:
Mag3,
Angalia wewe ndiyo usije kuwa ndiyo muongo Waheed.
Tuambie nyumbani kwa Cecil Matola palikuwa wapi nyumba ipi.
Labda tufahamishe pale New Street kulikua na majengo mangapi.
Maswali mazuri sana Ritz...kapate majibu yake kwa Mohamed Said anayedai alifanya utafiti wa miaka nenda rudi.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona wanaanza matusi ujuwe hawana hoja. Huyo Mag3 alianza kuhamaki baada ya kutajwa Lwambano. Hatari kubwa, leo anakuja kama mbogo aliyejeruhiwa, kaona inawanyeeshea. Safi sana.
 
Zomba,

Niko kimya.

Maalim wangu Sheikh Haruna kaniusia anasema
usimjibu anekutukana.

Anaekutukana wewe kaa kimya.
Mie nimemnyamzia.
 
Unajua Ritz,
Utafiti wa mtu mmoja unaokubalika bila ubishi ni ule wa kisayansi kwa sababu unathibitishwa kimaabara na kujaribiwa kunakohusika.

Utafiti wa HISTORIA ni mgumu sana kuuthibitisha hasa ukiwa umefanywa na mtu mmoja na mashahidi wake wote ni MAREHEMU!

Utafiti wa mzee wetu Mohamed uliozaa kitabu chake kile utabaki kuwa simulizi tu na ndio maana kila anachoulizwa anakirudia kitabu chake hichohicho na mistari michache ya akina Padre Sivalon.

Ndugu yangu kuelezea alichofanya Mohammed SAid kuwa ni utafiti kwa kweli tunadunisha maana ya neno 'utafiti'. Hakufanya utafiti; alikusanya kusanya taarifa mbalimbali akaziundia simulizi na kuziunganisha kama kwa gundi.
 
Maswali mazuri sana Ritz...kapate majibu yake kwa Mohamed Said anayedai alifanya utafiti wa miaka nenda rudi.

Wewe ndiyo umeleta hizi ngano unaulizwa maswali huna majibu zaidi ya matusi hata ukichukia kazi bure kitabu kipo toleo la tatu...saizi sikusikii tena ukija kama rais wa JF Mohamed Said kaamua kushinda JF, kulala JF, kula JF, kuweka wazi historia ya wazee wazalendo waliosahulika.

Kazi iliyobakia kwako ni kupromosha matusi tu.
 
Last edited by a moderator:
Maswali mazuri sana Ritz...kapate majibu yake kwa Mohamed Said anayedai alifanya utafiti wa miaka nenda rudi.
Moja ya pendekezo lilitolewa na Abdu, kama ilivyokuwa kwa nchi nyingi za kiafrika, lilikuwa ni TAU (Tanganyika African Union) na wazo lake lilishabihiana na Kenya ambao tayari walikuwa na KAU (Kenya African Union) Hapa ni wazi kuwa pendekezo lake halikuwa na ubunifu wowote lakini msomi Mwalimu, kwa muono wa kitaifa, akatambua mara moja kwamba ingawa TAU linaendana na vyama vingine Afrika, inakosa ule uzalendo wa kitaifa...hivyo akapendekeza neno National liongezwe kwenye TAU.

Wazo lake liliungwa mkono na wajumbe wote asilimia mia moja 100% na lililofuatia ni kwamba liwekwe wapi ndani ya neno TAU?Kulizuka mapendekezo mawili, TNAU (Tanzania National African Union) au TANU (Tanzania African National Union). Hapo ndipo Abdu akapendekeza TANU kwani inatamkika kirahisi kwa waswahili na wazo lake kuungwa mkono. Aliyekuwa anaongoza hiki kikao kilichoasisi TANU ni Raisi wake muasisi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hapa nawaachia wasomaji watoe uamuzi.

Amma wewe husemi ukweli hapo juu, amma Yericko Nyerere aliyebandika hili hapa chini hasemi kweli, amma Mzee Juliasi Nyerere hasemi kweli.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Mtambuzi tambuwa nini maana ya kapu.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu kuelezea alichofanya Mohammed SAid kuwa ni utafiti kwa kweli tunadunisha maana ya neno 'utafiti'. Hakufanya utafiti; alikusanya kusanya taarifa mbalimbali akaziundia simulizi na kuziunganisha kama kwa gundi.

Umeshatoka ICU? Jee, unakumbuka pigo takatifu? ulilifanyia utafiti?
 
Ni bahati mbaya ilioje kuwa wakati tunaendelea na huu mjadala tayari matunda ya uchochezi kama anavyokoleza huyu muongo waahed yanaanza kujitokeza. Kwa kuwa ameshindwa kujibu maswali kadhaa aliyoulizwa kwa nia ya kupata ukweli sasa tunaanza kumuumbua kwa hila zake za kupandikiza chuki kwa mgongo wa dini na kwa kutumia uongo.

Kama unaongelea uasisi wa AA huu ni Uwongo namba moja...ukweli ni kuwa AA, haikuwa chama cha siasa bali club ya wafanyakazi Waafrika iliyoasisiwa na Gavana Cameroun wa serikali ya kikoloni ili kuwawezesha na wao wapate mahala pa kujumuika kama ilivyokuwa kwa Wazungu na Waasia.

Uwongo namba mbili...mwanzoni viongozi wa AA waafrika na wasomi hawakuwa na pa kukutania hivyo ilibidi uzinduzi wake ufanyike nyumbani kwa Raisi Muasisi wa kwanza Cecil Matola, Myao msomi na mwalimu zao la shule ya Minaki, shule iliyokuwa na sifa ya pekee miaka hiyo.

Muongo mkubwa, uongo namba tatu...Baada ya muda mfupi Gavana Cameroun aliwapa nyumba aliyoijenga yeye mtaa wa New Street. Kuna utata mkubwa kuhusu namna ukoo wa Abdu ulivyokuja kumiliki hii nyumba na hapa namwomba Mohamed Said awe mwangalifu sana.

Kama mafaili yanasema nyumba ya mtaa wa New Street aliijenga Sykes, nashindwa kujua lengo la dai hilo ni nini. Naomba ikumbukwe kwamba mtu ambaye angeweza kukabidhiwa hiyo nyumba alikuwa Raisi wa AA, Cecil Matola lakini akaja kufariki mapema mwaka 1933...how convenient!

Huu nao ni uongo usiokubalika, hakuna lolote hapo! Kama yapo mafaili nina hakika inazungumzia tu historia ya siasa Dar es Salaam na hasa mitaa ya Kipata, Gerezani na Kariakoo lakini si kama unavyotaka kuudanganya umma eti historia nzima...Tanganyika ilikuwa zaidi ya Dar es Salaam na hizo ni simulizi za mtaani alizokuwa anasimuliwa na wazee wake barazani kwa sababu wanazozijua wenyewe.

Huwezi na huthubutu kuyagusa kwa sababu yanakuumbua. Mathalani unadai TANU iliasisiwa na Abdu kama unavyodai pia AA iliasisiwa na Kleist lakini kati yao hakuna aliyekuwa na uwezo wala sifa za kuziongoza. Kwanza huko Burma walikutana waafrika kutoka sehemu mbali mbali za bara hili na African Association ya mwaka 1929 haikuihusu Tanganyika tu. Pili, harakati za kudai uhuru zilishika kasi miaka ishirini baadaye zikiongozwa na wasomi ...trust mchochezi mohamed kwa kupotosha ukweli! Yalikuwapo mapendekezo mengi ya jina la chama cha siasa kilichokuja kuasisiwa mwaka 1954.

Moja ya pendekezo lilitolewa na Abdu, kama ilivyokuwa kwa nchi nyingi za kiafrika, lilikuwa ni TAU (Tanganyika African Union) na wazo lake lilishabihiana na Kenya ambao tayari walikuwa na KAU (Kenya African Union) Hapa ni wazi kuwa pendekezo lake halikuwa na ubunifu wowote lakini msomi Mwalimu, kwa muono wa kitaifa, akatambua mara moja kwamba ingawa TAU linaendana na vyama vingine Afrika, inakosa ule uzalendo wa kitaifa...hivyo akapendekeza neno National liongezwe kwenye TAU.

Wazo lake liliungwa mkono na wajumbe wote asilimia mia moja 100% na lililofuatia ni kwamba liwekwe wapi ndani ya neno TAU?Kulizuka mapendekezo mawili, TNAU (Tanzania National African Union) au TANU (Tanzania African National Union). Hapo ndipo Abdu akapendekeza TANU kwani inatamkika kirahisi kwa waswahili na wazo lake kuungwa mkono. Aliyekuwa anaongoza hiki kikao kilichoasisi TANU ni Raisi wake muasisi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hapa nawaachia wasomaji watoe uamuzi.
OK! ok! Waoooo!
Mohamed anaiangalia Tanganyika kama kipata na mchikichi. Historia nzima ya Tanganyika!

Mag3, Hajibu maswali maana atajifunga. Anajua alichokificha nyuma ya makabrasha.
Si unakumbuka Abdul Sykes alisema '' ......uhuru kwa masilahi wa Waafrika kwa ujumla''
Katika makabrasha anayosema ameyaona peke yake yapo ambayo yakiwekwa hadharani ngano itaumuka bila hamira.

Hili ni moja ya makombora ya masafa marefu!
 
Zomba,

Niko kimya.

Maalim wangu Sheikh Haruna kaniusia anasema
usimjibu anekutukana.

Anaekutukana wewe kaa kimya.
Mie nimemnyamzia.

Maalim Mohamed Said, achana nae huyo hana alijualo. Mwaga vitu, kisha jeruhiwa huyo vibaya sana. Mpe kipande kingine kidogo.
 
Amma wewe husemi ukweli hapo juu, amma Yericko Nyerere aliyebandika hili hapa chini hasemi kweli, amma Mzee Juliasi Nyerere hasemi kweli.

Mtambuzi tambuwa nini maana ya kapu.
Mag3,

Angalia sasa mzee mzima unavyodhalilika nilikuambia mwanzo angalia usije wewe ndiyo ukaonekana Muongo Waheed.

Unaona umekuja na nondo haya ngoja na sisi tuwaachie wasomaji waamue wenyewewe.
 
Last edited by a moderator:
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Mimi kuappeal kunanipa shida, aliyesaisha NECTA unayeappeal kwake NECTA, anayeRemark NECTA. Unalionaje hilo.
 
OK! ok! Waoooo!
Mohamed anaiangalia Tanganyika kama kipata na mchikichi. Historia nzima ya Tanganyika!

Mag3, Hajibu maswali maana atajifunga. Anajua alichokificha nyuma ya makabrasha.
Si unakumbuka Abdul Sykes alisema '' ......uhuru kwa masilahi wa Waafrika kwa ujumla''
Katika makabrasha anayosema ameyaona peke yake yapo ambayo yakiwekwa hadharani ngano itaumuka bila hamira.

Hili ni moja ya makombora ya masafa marefu!
Nguruvi3, Mag3, Mzee Mwanakijiji,

Mnashabikia kuumizwa? mnanikumbusha "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala".
 
Back
Top Bottom