Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

TANU Supporters accompany Nyerere to the airport before his departure to deliver a speech UNO

Cha kuchekesha hapa anatajwa Nyerere peke yake wakati hawa wote wanajulikana majina yao.

Tatizo wewe na wengine mnafikiria Nyerere alikuwa katika level sawa na hawa wengine. He was the star of the show; a leader among leaders; he was in fact Amir wa mapambano ya kupigania Uhuru. Ukiangalia hiyo picha utaona kuwa Nyerere hajakaa pembeni; amezungukwa na wazee wetu wengi wapigania uhuru... but what a metaphor.. he was at the centre.. kina Abdul, John Rupia, Dr. Kyaruzi, Shehe Chaurembo, Bibi Titi Mohammed na wengine wengi.. walimzunguka. Na hiyo ndiyo nafasi yao.
 
MM,

Swali zuri ila ondoa ''ngoma ya kienyeji.''

Soma hiyo na hiyo sarcasm yangu ya ''Market Master''
ndiyo utaupata ujumbe wangu.

TAA/TANU wafadhili wake wanafahamika.
 
MM,

Ugomvi haupo katika kumzunguka Nyerere.

Ugomvi uko katika kuandika historia ambayo
haikuwa ya kweli.
 
Sisi tumefurahi sana wewe kuanzisha hii mada, leo wengi waliokuwa hawamjui Abdulwahid Sykes wamemjuwa. Ahsante nyingi sana zikufikie popote ulipo.
Na wengi waliokuwa wakidhani anachoandika huyo mchochezi ni kweli sasa wametambua kuwa ni ngano tu, porojo tu za wazee wake ambazo ameziongezea chumvi. Ungekuwa unafuatilia kwa makini ungeishatambua kuwa huu mjadala umetoa pigo kubwa kwa hila zake za kupandikiza chuki katika jamii, humu JF watu wanachambua na kupambanua...si hewala kama za Kipata na Gerezani. Yangekuwa mashindano polls zikaendeshwa humu ungeshangaa, Mohamed Said anaendesha maisha yake kupitia migongo ya watu kama wewe, kalaghabaho!
 
Last edited by a moderator:

Primary Level of consciousness
 
Kwa hiyo huu moto wa waislam ambao Waikela alitishia 1963 ndio huu Nyerere aliojaribu kuuzima 1968 na ndio huu uliouwasha tena na unaendelea kuukoleza?
Kwa hiyo kimsingi, ni kwamba hizi elements za radicalism pamoja na malalamiko haviwezi kuisha regardless ya serikali inawafanyia nini.

Huyu Waikela was very irrational in my opinion. Yaani only two years in independece akawa anataka mabadiliko makubwa kwa maisha ya waislam na waislam pekee, hivi ingewezekanaje? Sasa cha kushangaza ni kuwa wewe mwenyewe ni kama vile unawaza kama Waikela. Au nakosea?

Na hii Muslim association of Tanganyika, ambayo umeikuza na kuitumia kuunganisha juhudi za wapigania uhuru na uislam, ilianzishwa lini na ilikuwa na wanachama wapi na wapi na wa aina gani? Na ilikuwaje ikawa "imefulia" mpaka waislam wakaanza kuitegemea EAMWS badala yake? What were their sources of funds, considering that non-asian muslims were not that well off by then?
 
Waislaam wana MoU?
Kikwete alishawaambia wapeleke maombi yao. Hata hivyo Dakta Slaa kavunjilia mbalimbali ile dhana yenu kuwa fedha za serikali ndizo zilizotumika kuendeshea MOU.
 
The Catholic Church was preventing people from joining TANU.

How sir? how did the Catholic Church prevent people from joining TANU? Was there a pastoral letter to that effect? Askofu gani aliyetoa tamko la kuwazuia watu wasijiunge na TANU kwa sababu tayari ushahidi upo kuwa sehemu nyingine nchini wakatoliki walishajiunga na TANU miongoni mwao Nyerere, Chifu Kidaha na waliungwa mkono na mapadre wa Kikatoliki kama wale wa Maryknoll.

Just cite any authoritative source iliyowaambia wananchi wasijiunge na TANU nchi nzima... any...
 
Khutba hii ilikuwa nzito kwa sababu Waislam walimuuliza Nyerere,
''Baada ya sisi kupigania uhuru huu ijaza yetu ndiyo hii?''

Kweli swali hilo lilikuwa na ukweli? kwani walipigania peke yao hadi wawe na upendeleo wa aina fulani? Au walitaka Nyerere na utawala wake mpya wenye kuhusisha Waislamu wengi tu ufanye nini kwa kina Waikela? Huyu si alikuwa mmoja wa wale ambao huko nyuma walitaka Nyerere aipewe uongozi kwa sababu tu ya Ukatoliki wake?
 
Hii hapa chini ni list ya Wababa wa Mataifa mbali mbali... je jina la Nyerere litolewe na badala yake yaingizwe ya wazee wa Gerezani na je hawa wa mataifa mengine walipigania uhuru peke yao?

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Name[/TD]
[TD] Nation[/TD]
[TD] Title (native)[/TD]
[TD] Title (translation)[/TD]
[TD] Notes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ahmad Shah Durrani[/TD]
[TD] Afghanistan[/TD]
[TD] Ahmad Shah Baba[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder of the Afghan Durrani Empire[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don José de San Martín[/TD]
[TD] Argentina /
Peru
[/TD]
[TD] Padre de la Patria /
Fundador de la República y Protector del Perú
[/TD]
[TD] Father of the Fatherland /
Founder of the Republic and Protector of Peru
[/TD]
[TD] Prime leader of the southern part of South America's successful struggle for independence from Spain (1778 – 17 August 1850).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Lynden Pindling[/TD]
[TD] The Bahamas[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1973. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Mujibur Rahman[/TD]
[TD] Bangladesh[/TD]
[TD] Banga Bandhu বঙ্গবন্ধু[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1971. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Cadle Price[/TD]
[TD] Belize[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Former Chief Minister, Premier and two-term Prime Minister before retiring in 1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Bolivia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Pedro I [/TD]
[TD] Brazil[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation and Patriarch of Independence[/TD]
[TD] Founder and the first Emperor of Brazil. Bonifácio was the advisor of Pedro I.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Norodom Sihanouk[/TD]
[TD] Cambodia[/TD]
[TD] Preahmâhaviraksat[/TD]
[TD] The King-Father of Cambodia[/TD]
[TD] Leader at independence 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD] Chile[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Chile's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sun Yat-sen[/TD]
[TD] Republic of China[/TD]
[TD] simplified Chinese: 国父; traditional Chinese: 國父 (Guófù)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Sun played an instrumental role in the overthrow of the Qing dynasty during the Xinhai Revolution. The Kuomintang (KMT) decreed the title in 1940.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Colombia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ante Starčević[/TD]
[TD] Croatia[/TD]
[TD] Otac domovine[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] His diverse activities and works laid the foundations for the modern Croatian state.[11][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Carlos Manuel de Céspedes[/TD]
[TD] Cuba[/TD]
[TD] Padre de la Patria[12][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[13][/TD]
[TD] Leader of the first Cuban independence movement which fought the Ten Years' War.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Charles IV, Holy Roman Emperor (Karel IV)[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec vlasti[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] King of Bohemia. Title coined by the rector of the Charles University of Prague at the emperor's funeral[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] František Palacký[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec národa[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Politician and historian.[14] Whereas vlast "homeland" included all inhabitants (see Sudeten Germans), národ "nation" comprised only Czech speakers.[15][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] TomᚠGarrigue Masaryk[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] First president of Czechoslovakia[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Juan Pablo Duarte[/TD]
[TD] Dominican Republic[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Defeated Haiti during war of independence[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Ecuador[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Toussaint Louverture[/TD]
[TD] Haiti[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Haiti's successful struggle for independence from France[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohandas Karamchand Gandhi[/TD]
[TD] India[/TD]
[TD] Mahatma Gandhi[/TD]
[TD] Father of the nation[/TD]
[TD] Prime leader of India`s successful struggle for independence from British
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sukarno[/TD]
[TD] Indonesia[/TD]
[TD] Bapak Bangsa/Pemimpin Besar Revolusi Indonesia/Proklamator[/TD]
[TD] Father of Nation/Great Leader of Indonesian Revolution[/TD]
[TD] First President of Indonesia.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Cyrus the Great[/TD]
[TD] Iran[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Led the Persians in revolt against the Median Empire, established the Achaemenid Empire.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Theodor Herzl[/TD]
[TD] Israel[/TD]
[TD] חוזה המדינה[/TD]
[TD] Visionary of the State[/TD]
[TD] Founder of the Zionist movement.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Victor Emmanuel II[/TD]
[TD] Italy[/TD]
[TD] Padre della Patria[citation needed][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] First King of Italy.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jomo Kenyatta[/TD]
[TD] Kenya[/TD]
[TD] Baba wa Taifa[/TD]
[TD] Father of the Nation/Freedom Fighter[/TD]
[TD] First President of Kenya [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibrahim Rugova[/TD]
[TD] Kosovo[/TD]
[TD] Baba i Kombit[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Kosovo. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jonas Basanavičius[/TD]
[TD] Lithuania[/TD]
[TD] Tautos patriarchas[/TD]
[TD] Patriarch of the Nation[/TD]
[TD] Various cultural activities during the Lithuanian National Revival[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Krste Misirkov[/TD]
[TD] Macedonia[/TD]
[TD] Татко на нацијата[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prominent linguist, writer and activist.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tunku Abdul Rahman[/TD]
[TD] Malaysia[/TD]
[TD] Bapa Kemerdekaan[/TD]
[TD] Father of Independence[/TD]
[TD] The first Prime Minister of Malaysia.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Seewoosagur Ramgoolam[/TD]
[TD] Mauritius[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[17][/TD]
[TD] First post-independence Prime Minister, in 1968.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Miguel Hidalgo y Costilla[/TD]
[TD] Mexico[/TD]
[TD] Padre de la patria mexicana[18][/TD]
[TD] Father of the Mexican Nation[19][/TD]
[TD] First revolutionary leader in the Mexican War of Independence.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sam Nujoma[/TD]
[TD] Namibia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Founding Father of the Namibian Nation[/TD]
[TD] First President of Namibia, 1989–2004; title conferred by Act of Parliament in 2005. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] William the Silent[/TD]
[TD] Netherlands[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Leader of the successful Dutch Revolt against Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Einar Gerhardsen[/TD]
[TD] Norway[/TD]
[TD] Landsfaderen[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] The post–World War II prime minister of Norway[22][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohammad Ali Jinnah[/TD]
[TD] Pakistan[/TD]
[TD] Quaid-e-Azam[23][24][/TD]
[TD] Great Leader[/TD]
[TD] Founder of Pakistan, leader of the Muslim League and first Governor-General of Pakistan.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Panama[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Michael Somare[/TD]
[TD] Papua New Guinea[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1975; also known as "the chief" and "the old man".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Afonso Henriques[/TD]
[TD] Portugal[/TD]
[TD] Pai da Nação[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder and king of Portugal, recognized by the Holy See in 1179.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Peter I of Russia[/TD]
[TD] Russia[/TD]
[TD] Отец Отечества (Otéc Otéčestva)[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Was granted the title in 1721 by the Governing Senate, along with "Emperor of Russia" and "The Great".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] El-Ouali Mustapha Sayed[/TD]
[TD] Sahrawi Arab Democratic Republic[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader of the Polisario Front, First President of the SADR.
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir John Compton[/TD]
[TD] Saint Lucia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prime Minister at independence in 1979. Also known as "Daddy Compton".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibn Saud of Saudi Arabia[/TD]
[TD] Saudi Arabia[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] He is the man which unified the tribes of the Arabian Peninsula and established the modern Saudi state.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Donald Dewar[/TD]
[TD] Scotland[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First person elected First Minister of Scotland when the devolved Scottish Parliament was constituted in 1999. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Primož Trubar[/TD]
[TD] Slovenia[/TD]
[TD] Oče naroda[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] A consolidator of the Slovene language and the author of the first Slovene printed book.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Catholic Monarchs[/TD]
[TD] Spain[/TD]
[TD] Reyes Católicos de los reinos de Castilla y Aragón[/TD]
[TD] Fathers of the nation[/TD]
[TD] The unifiers of Spain.
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don Stephen Senanayake[/TD]
[TD] Sri Lanka[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First Prime Minister, from 1947 to 1952.[29][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Johan Ferrier[/TD]
[TD] Suriname[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First president after the independence of the country in 1975 [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Julius Nyerere
[/TD]
[TD] Tanzania
[/TD]
[TD] Baba wa Taifa
[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Tanzania
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mustafa Kemal Atatürk[/TD]
[TD] Turkey[/TD]
[TD] Atatürk[/TD]
[TD] [Great] Father of the Turks[/TD]
[TD] Adopted in accordance with a 1934 law establishing surnames in Turkey. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan[/TD]
[TD] United Arab Emirates[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] President of the UAE for its first 33 years (1971–2004)
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Washington[/TD]
[TD] United States[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of His Country[/TD]
[TD] Commander of the Continental Army in the American Revolutionary War, and first President of the United States[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] José Gervasio Artigas[/TD]
[TD] Uruguay[/TD]
[TD] Padre de la independencia uruguaya[35][/TD]
[TD] Father of Uruguayan independence[/TD]
[TD] Fought against British, Spanish, and Portuguese colonial armies in Río de la Plata.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Venezuela[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Y

Waungwana hawaelezi ikhsani walizofanyiana.
Tuishie hapa.

Ya kweli haya? si wewe ambaye umeendelea kueneza 'khisani' ambazo wazee wako walimfanyia Nyerere; au hujajisoma? Kweli huo ni uungwana kuelezea yale ambayo mtu alimfanyia rafiki yake?
 
Nanren nimemuuliza tangazo alilotoa Ali Maswanywa lilihusu Jamiatul ? plus hayo maswali mengine uliyobandika hapo
 
Hii hapa chini ni list ya Wababa wa Mataifa mbali mbali... je jina la Nyerere litolewe na badala yake yaingizwe ya wazee wa Gerezani na je hawa wa mataifa mengine walipigania uhuru peke yao?

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Name[/TD]
[TD] Nation[/TD]
[TD] Title (native)[/TD]
[TD] Title (translation)[/TD]
[TD] Notes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ahmad Shah Durrani[/TD]
[TD] Afghanistan[/TD]
[TD] Ahmad Shah Baba[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder of the Afghan Durrani Empire[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don José de San Martín[/TD]
[TD] Argentina /
Peru
[/TD]
[TD] Padre de la Patria /
Fundador de la República y Protector del Perú
[/TD]
[TD] Father of the Fatherland /
Founder of the Republic and Protector of Peru
[/TD]
[TD] Prime leader of the southern part of South America's successful struggle for independence from Spain (1778 – 17 August 1850).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Lynden Pindling[/TD]
[TD] The Bahamas[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1973. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Mujibur Rahman[/TD]
[TD] Bangladesh[/TD]
[TD] Banga Bandhu বঙ্গবন্ধু[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1971. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Cadle Price[/TD]
[TD] Belize[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Former Chief Minister, Premier and two-term Prime Minister before retiring in 1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Bolivia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Pedro I [/TD]
[TD] Brazil[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation and Patriarch of Independence[/TD]
[TD] Founder and the first Emperor of Brazil. Bonifácio was the advisor of Pedro I.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Norodom Sihanouk[/TD]
[TD] Cambodia[/TD]
[TD] Preahmâhaviraksat[/TD]
[TD] The King-Father of Cambodia[/TD]
[TD] Leader at independence 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD] Chile[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Chile's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sun Yat-sen[/TD]
[TD] Republic of China[/TD]
[TD] simplified Chinese: 国父; traditional Chinese: 國父 (Guófù)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Sun played an instrumental role in the overthrow of the Qing dynasty during the Xinhai Revolution. The Kuomintang (KMT) decreed the title in 1940.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Colombia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ante Starčević[/TD]
[TD] Croatia[/TD]
[TD] Otac domovine[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] His diverse activities and works laid the foundations for the modern Croatian state.[11][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Carlos Manuel de Céspedes[/TD]
[TD] Cuba[/TD]
[TD] Padre de la Patria[12][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[13][/TD]
[TD] Leader of the first Cuban independence movement which fought the Ten Years' War.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Charles IV, Holy Roman Emperor (Karel IV)[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec vlasti[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] King of Bohemia. Title coined by the rector of the Charles University of Prague at the emperor's funeral[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] František Palacký[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec národa[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Politician and historian.[14] Whereas vlast "homeland" included all inhabitants (see Sudeten Germans), národ "nation" comprised only Czech speakers.[15][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] TomᚠGarrigue Masaryk[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] First president of Czechoslovakia[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Juan Pablo Duarte[/TD]
[TD] Dominican Republic[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Defeated Haiti during war of independence[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Ecuador[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Toussaint Louverture[/TD]
[TD] Haiti[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Haiti's successful struggle for independence from France[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohandas Karamchand Gandhi[/TD]
[TD] India[/TD]
[TD] Mahatma Gandhi[/TD]
[TD] Father of the nation[/TD]
[TD] Prime leader of India`s successful struggle for independence from British [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sukarno[/TD]
[TD] Indonesia[/TD]
[TD] Bapak Bangsa/Pemimpin Besar Revolusi Indonesia/Proklamator[/TD]
[TD] Father of Nation/Great Leader of Indonesian Revolution[/TD]
[TD] First President of Indonesia.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Cyrus the Great[/TD]
[TD] Iran[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Led the Persians in revolt against the Median Empire, established the Achaemenid Empire.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Theodor Herzl[/TD]
[TD] Israel[/TD]
[TD] חוזה המדינה[/TD]
[TD] Visionary of the State[/TD]
[TD] Founder of the Zionist movement.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Victor Emmanuel II[/TD]
[TD] Italy[/TD]
[TD] Padre della Patria[citation needed][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] First King of Italy.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jomo Kenyatta[/TD]
[TD] Kenya[/TD]
[TD] Baba wa Taifa[/TD]
[TD] Father of the Nation/Freedom Fighter[/TD]
[TD] First President of Kenya [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibrahim Rugova[/TD]
[TD] Kosovo[/TD]
[TD] Baba i Kombit[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Kosovo. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jonas Basanavičius[/TD]
[TD] Lithuania[/TD]
[TD] Tautos patriarchas[/TD]
[TD] Patriarch of the Nation[/TD]
[TD] Various cultural activities during the Lithuanian National Revival[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Krste Misirkov[/TD]
[TD] Macedonia[/TD]
[TD] Татко на нацијата[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prominent linguist, writer and activist.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tunku Abdul Rahman[/TD]
[TD] Malaysia[/TD]
[TD] Bapa Kemerdekaan[/TD]
[TD] Father of Independence[/TD]
[TD] The first Prime Minister of Malaysia.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Seewoosagur Ramgoolam[/TD]
[TD] Mauritius[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[17][/TD]
[TD] First post-independence Prime Minister, in 1968.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Miguel Hidalgo y Costilla[/TD]
[TD] Mexico[/TD]
[TD] Padre de la patria mexicana[18][/TD]
[TD] Father of the Mexican Nation[19][/TD]
[TD] First revolutionary leader in the Mexican War of Independence.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sam Nujoma[/TD]
[TD] Namibia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Founding Father of the Namibian Nation[/TD]
[TD] First President of Namibia, 1989–2004; title conferred by Act of Parliament in 2005. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] William the Silent[/TD]
[TD] Netherlands[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Leader of the successful Dutch Revolt against Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Einar Gerhardsen[/TD]
[TD] Norway[/TD]
[TD] Landsfaderen[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] The post–World War II prime minister of Norway[22][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohammad Ali Jinnah[/TD]
[TD] Pakistan[/TD]
[TD] Quaid-e-Azam[23][24][/TD]
[TD] Great Leader[/TD]
[TD] Founder of Pakistan, leader of the Muslim League and first Governor-General of Pakistan.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Panama[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Michael Somare[/TD]
[TD] Papua New Guinea[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1975; also known as "the chief" and "the old man".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Afonso Henriques[/TD]
[TD] Portugal[/TD]
[TD] Pai da Nação[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder and king of Portugal, recognized by the Holy See in 1179.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Peter I of Russia[/TD]
[TD] Russia[/TD]
[TD] Отец Отечества (Otéc Otéčestva)[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Was granted the title in 1721 by the Governing Senate, along with "Emperor of Russia" and "The Great".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] El-Ouali Mustapha Sayed[/TD]
[TD] Sahrawi Arab Democratic Republic[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader of the Polisario Front, First President of the SADR. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir John Compton[/TD]
[TD] Saint Lucia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prime Minister at independence in 1979. Also known as "Daddy Compton".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibn Saud of Saudi Arabia[/TD]
[TD] Saudi Arabia[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] He is the man which unified the tribes of the Arabian Peninsula and established the modern Saudi state.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Donald Dewar[/TD]
[TD] Scotland[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First person elected First Minister of Scotland when the devolved Scottish Parliament was constituted in 1999. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Primož Trubar[/TD]
[TD] Slovenia[/TD]
[TD] Oče naroda[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] A consolidator of the Slovene language and the author of the first Slovene printed book.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Catholic Monarchs[/TD]
[TD] Spain[/TD]
[TD] Reyes Católicos de los reinos de Castilla y Aragón[/TD]
[TD] Fathers of the nation[/TD]
[TD] The unifiers of Spain. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don Stephen Senanayake[/TD]
[TD] Sri Lanka[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First Prime Minister, from 1947 to 1952.[29][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Johan Ferrier[/TD]
[TD] Suriname[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First president after the independence of the country in 1975 [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Julius Nyerere[/TD]
[TD] Tanzania[/TD]
[TD] Baba wa Taifa[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mustafa Kemal Atatürk[/TD]
[TD] Turkey[/TD]
[TD] Atatürk[/TD]
[TD] [Great] Father of the Turks[/TD]
[TD] Adopted in accordance with a 1934 law establishing surnames in Turkey. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan[/TD]
[TD] United Arab Emirates[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] President of the UAE for its first 33 years (1971–2004)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Washington[/TD]
[TD] United States[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of His Country[/TD]
[TD] Commander of the Continental Army in the American Revolutionary War, and first President of the United States[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] José Gervasio Artigas[/TD]
[TD] Uruguay[/TD]
[TD] Padre de la independencia uruguaya[35][/TD]
[TD] Father of Uruguayan independence[/TD]
[TD] Fought against British, Spanish, and Portuguese colonial armies in Río de la Plata.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Venezuela[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ukitaka kupata idea mapadri walikuwa wanatoa pesa wapi jiulize; waliweza vipi kujenga mahospitali, mashule na makanisa (mishheni) kama Ndanda, Peramiho, Lushoto, Tanga n.k wakati huo? majengo ambayo mengine yanadumu hata leo hii?
 
Umetoa jibu la haraka lakini ni zuri kupita kiasi! Nimelipenda na inaonesha unaanza kufikiri vizuri kweli. Sasa kama haya matatizo mengine yanaweza yasiwe kwa sababu ya dini iweje yahusishwe na mfumo Kristu badala ya kuusishwa na mila na desturi za watu? Kwanini ifikiriwe kuwa hao Waislamu ambao Mohammed Said anadaia wamedhulumiwa na ndugu zao Wakristu kumbe wako hivyo kwa sababu zisizohusiana kabisa na dini? Labda tabia zao, mila na desturi zao n.k? Kwanini Ukristu ulaumiwe kwa matatizo ya mila na desturi za watu wengine?
 
ha haa haaa!! Historia ndiyo imeisha? Watoto wangu nimewasimulia wameona ile picha ya Nyerere anakwenda UNO wakaniuliza mbona Padri ayupo pale wapo waswahili kwa kweli nimekosa jibu. Nimewaonyesha mabandiko yako wanacheka tu.

Unaona ulivyowaingiza wanao udini? badala ya kujibu vizuri uwasaidie wanao unasema hauna jibu... grrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…