Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi3,

Msome Prof. Hamza Njozi ''Mwembechai Killings...'':

[SIZE=+0]"A house divided against itself cannot stand." I believe this government cannot endure permanently half slave half free. -- Abraham Lincoln, June 16, 1858.[/SIZE] [SIZE=+3][SIZE=+0] [/SIZE][/SIZE][SIZE=+0][/SIZE]

Ukimsoma Nyozi utaona kuwa hasemi unachodhani anasema; amebakia kususpect tu jibu. Na amesema vizuri kuwa logically kulihitaji maelezo ya kwanini Nyerere alitoa kauli ile.

a. Je aliamini kweli hakuna upogo?
b. Je aliaminishwa kuwa upogo haupo?
c. Je aliamu akuficha ukweli wa kushindwa kwake (na utaona anapotaja "tujisahihishe" na "Miaka Kumi baada ya Uhuru" utaona kuwa Nyerere hakuwahi kuwa na shida ya kukiri ukweli.
d. Aliongopea.

Hilo la nne limekuwa ni jawabu la watu kama wewe; lakini hauna ushahidi wowote wa kwanini isiwe a, b au c... YOU DON'T. You can only speculate.
 
Inasemekana na nani?
Hata Yasir Arafat yasemekana alizaliwa Misri, hii ndio lugha ya watu wasiokuwa na fact, kama kiongozi kama Yasir Arafat haajulikani hata alizaliwa wapi basi usimshangae mfia dini naye kukwambia yasemekana, hizo ndiozo lugha za Mujahedeen.

Mabingwa wa kugoogle waje hapa watueleze dhairi shairi Yasir Arafat alizaliwa wapi? no one knows.
 
Ukitaka kupata idea mapadri walikuwa wanatoa pesa wapi jiulize; waliweza vipi kujenga mahospitali, mashule na makanisa (mishheni) kama Ndanda, Peramiho, Lushoto, Tanga n.k wakati huo? majengo ambayo mengine yanadumu hata leo hii?
Mohamed ametuambia kuwa shule na hospitali za misheni zilijengwa na fedha za walipa kodi-- serikali. Baada ya ufafanuzi wa Dr. Slaa sijawaona wanakuja hapa kumsuta. Dhana haiwezi kugeuka kuwa fact.
 
Mohamed,
Nina kaswali kamoja tu ka ziada kabla sijaaga mnakasha huu. Katika maandiko yako yoote sijaona mahali ambapo umechambua matokeo ya juhudi za Nyerere kutaifisha shule za misheni ili waislamu nao waweze kupata nafasi ya elimu.
Umekiri kuwa kulikuwepo imbalance ya elimu kati ya waislamu na wakristo na hili limezungumziwa sana na rafiki yangu Lawrence Mbogoni, ambaye kitabu chake The Cross versus the Crescent kinaanzia miaka ya 1880 hadi 1990. Ni kweli Waarabu/waislamu walikuja Tanganyika miaka 700 kabla ya hapo na wakakolonize maeneo kama vile Kilwa Mtwara na Bagamoyo, lakini hawa wamisheni wa kizungu walikuja miaka 600 baadaye na kuweza kufanikiwa katika muda mfupi tu, kujenga taasisi za maendeleo--hospitali na mashule--- kwa wafuasi wao. That being the case, and the fact that Julius Nyerere recognized the imbalance, do we give him any credit for taking steps, never taken before by colonialists, to rectify this imbalance? And taking Njozi's book, could not this be the reason Nyerere patted his regime for taking these steps , did these steps have positive results, or Nyerere was out of touch with reality? What is your comment?
 
Atakuambia jibu lipo na wanalo NECTA,
 
Mohamed ametuambia kuwa shule na hospitali za misheni zilijengwa na fedha za walipa kodi-- serikali. Baada ya ufafanuzi wa Dr. Slaa sijawaona wanakuja hapa kumsuta. Dhana haiwezi kugeuka kuwa fact.

Dr. Slaa huyu huyu x padre?
 
Ndiyo. Dr. Slaa huyu huyu x padre. He worked on MOU. Hebu tafuta thread yake hapa JF upate darsa.

Huyu uliyemshinda u padre? Huyu aliyezaa na mke wa mtu? Huyu aliyedanganya kuna kontena limeshikwa tunduma? Huyu huyu leo hii mimi nihangaike kutafuta alichokisema? Amma kweli mna macho lakini hayaoni, mna masikio lakini hayasikii. Yele yale, mnazidi kuyakinisha.
 
Ukitaka kupata idea mapadri walikuwa wanatoa pesa wapi jiulize; waliweza vipi kujenga mahospitali, mashule na makanisa (mishheni) kama Ndanda, Peramiho, Lushoto, Tanga n.k wakati huo? majengo ambayo mengine yanadumu hata leo hii?

Hujui kama kanisa ni biashara?
 
​
Hii hapa chini ni list ya Wababa wa Mataifa mbali mbali... je jina la Nyerere litolewe na badala yake yaingizwe ya wazee wa Gerezani na je hawa wa mataifa mengine walipigania uhuru peke yao?

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Name[/TD]
[TD] Nation[/TD]
[TD] Title (native)[/TD]
[TD] Title (translation)[/TD]
[TD] Notes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ahmad Shah Durrani[/TD]
[TD] Afghanistan[/TD]
[TD] Ahmad Shah Baba[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder of the Afghan Durrani Empire[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don José de San Martín[/TD]
[TD] Argentina /
Peru
[/TD]
[TD] Padre de la Patria /
Fundador de la República y Protector del Perú
[/TD]
[TD] Father of the Fatherland /
Founder of the Republic and Protector of Peru
[/TD]
[TD] Prime leader of the southern part of South America's successful struggle for independence from Spain (1778 – 17 August 1850).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Lynden Pindling[/TD]
[TD] The Bahamas[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1973. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Mujibur Rahman[/TD]
[TD] Bangladesh[/TD]
[TD] Banga Bandhu বঙ্গবন্ধু[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1971. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Cadle Price[/TD]
[TD] Belize[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Former Chief Minister, Premier and two-term Prime Minister before retiring in 1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Bolivia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Pedro I [/TD]
[TD] Brazil[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation and Patriarch of Independence[/TD]
[TD] Founder and the first Emperor of Brazil. Bonifácio was the advisor of Pedro I.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Norodom Sihanouk[/TD]
[TD] Cambodia[/TD]
[TD] Preahmâhaviraksat[/TD]
[TD] The King-Father of Cambodia[/TD]
[TD] Leader at independence 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD] Chile[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Chile's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sun Yat-sen[/TD]
[TD] Republic of China[/TD]
[TD] simplified Chinese: 国父; traditional Chinese: 國父 (Guófù)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Sun played an instrumental role in the overthrow of the Qing dynasty during the Xinhai Revolution. The Kuomintang (KMT) decreed the title in 1940.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Colombia[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ante Starčević[/TD]
[TD] Croatia[/TD]
[TD] Otac domovine[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] His diverse activities and works laid the foundations for the modern Croatian state.[11][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Carlos Manuel de Céspedes[/TD]
[TD] Cuba[/TD]
[TD] Padre de la Patria[12][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[13][/TD]
[TD] Leader of the first Cuban independence movement which fought the Ten Years' War.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Charles IV, Holy Roman Emperor (Karel IV)[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec vlasti[/TD]
[TD] Father of the Homeland[/TD]
[TD] King of Bohemia. Title coined by the rector of the Charles University of Prague at the emperor's funeral[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] František Palacký[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD] Otec národa[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Politician and historian.[14] Whereas vlast "homeland" included all inhabitants (see Sudeten Germans), národ "nation" comprised only Czech speakers.[15][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tomáš Garrigue Masaryk[/TD]
[TD] Czech lands[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] First president of Czechoslovakia[14][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Juan Pablo Duarte[/TD]
[TD] Dominican Republic[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Defeated Haiti during war of independence[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Ecuador[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Toussaint Louverture[/TD]
[TD] Haiti[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of Haiti's successful struggle for independence from France[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohandas Karamchand Gandhi[/TD]
[TD] India[/TD]
[TD] Mahatma Gandhi[/TD]
[TD] Father of the nation[/TD]
[TD] Prime leader of India`s successful struggle for independence from British [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sukarno[/TD]
[TD] Indonesia[/TD]
[TD] Bapak Bangsa/Pemimpin Besar Revolusi Indonesia/Proklamator[/TD]
[TD] Father of Nation/Great Leader of Indonesian Revolution[/TD]
[TD] First President of Indonesia.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Cyrus the Great[/TD]
[TD] Iran[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Led the Persians in revolt against the Median Empire, established the Achaemenid Empire.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Theodor Herzl[/TD]
[TD] Israel[/TD]
[TD] חוזה המדינה[/TD]
[TD] Visionary of the State[/TD]
[TD] Founder of the Zionist movement.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Victor Emmanuel II[/TD]
[TD] Italy[/TD]
[TD] Padre della Patria[citation needed][/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] First King of Italy.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jomo Kenyatta[/TD]
[TD] Kenya[/TD]
[TD] Baba wa Taifa[/TD]
[TD] Father of the Nation/Freedom Fighter[/TD]
[TD] First President of Kenya [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibrahim Rugova[/TD]
[TD] Kosovo[/TD]
[TD] Baba i Kombit[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Kosovo. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Jonas Basanavičius[/TD]
[TD] Lithuania[/TD]
[TD] Tautos patriarchas[/TD]
[TD] Patriarch of the Nation[/TD]
[TD] Various cultural activities during the Lithuanian National Revival[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Krste Misirkov[/TD]
[TD] Macedonia[/TD]
[TD] Татко на нацијата[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prominent linguist, writer and activist.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tunku Abdul Rahman[/TD]
[TD] Malaysia[/TD]
[TD] Bapa Kemerdekaan[/TD]
[TD] Father of Independence[/TD]
[TD] The first Prime Minister of Malaysia.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Seewoosagur Ramgoolam[/TD]
[TD] Mauritius[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[17][/TD]
[TD] First post-independence Prime Minister, in 1968.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Miguel Hidalgo y Costilla[/TD]
[TD] Mexico[/TD]
[TD] Padre de la patria mexicana[18][/TD]
[TD] Father of the Mexican Nation[19][/TD]
[TD] First revolutionary leader in the Mexican War of Independence.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sam Nujoma[/TD]
[TD] Namibia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Founding Father of the Namibian Nation[/TD]
[TD] First President of Namibia, 1989–2004; title conferred by Act of Parliament in 2005. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] William the Silent[/TD]
[TD] Netherlands[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Leader of the successful Dutch Revolt against Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Einar Gerhardsen[/TD]
[TD] Norway[/TD]
[TD] Landsfaderen[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] The post–World War II prime minister of Norway[22][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mohammad Ali Jinnah[/TD]
[TD] Pakistan[/TD]
[TD] Quaid-e-Azam[23][24][/TD]
[TD] Great Leader[/TD]
[TD] Founder of Pakistan, leader of the Muslim League and first Governor-General of Pakistan.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Panama[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir Michael Somare[/TD]
[TD] Papua New Guinea[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader at independence in 1975; also known as "the chief" and "the old man".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dom Afonso Henriques[/TD]
[TD] Portugal[/TD]
[TD] Pai da Nação[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Founder and king of Portugal, recognized by the Holy See in 1179.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Peter I of Russia[/TD]
[TD] Russia[/TD]
[TD] Отец Отечества (Otéc Otéčestva)[/TD]
[TD] Father of the Fatherland[/TD]
[TD] Was granted the title in 1721 by the Governing Senate, along with "Emperor of Russia" and "The Great".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] El-Ouali Mustapha Sayed[/TD]
[TD] Sahrawi Arab Democratic Republic[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Leader of the Polisario Front, First President of the SADR. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sir John Compton[/TD]
[TD] Saint Lucia[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] Prime Minister at independence in 1979. Also known as "Daddy Compton".[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ibn Saud of Saudi Arabia[/TD]
[TD] Saudi Arabia[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] He is the man which unified the tribes of the Arabian Peninsula and established the modern Saudi state.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Donald Dewar[/TD]
[TD] Scotland[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First person elected First Minister of Scotland when the devolved Scottish Parliament was constituted in 1999. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Primož Trubar[/TD]
[TD] Slovenia[/TD]
[TD] Oče naroda[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] A consolidator of the Slovene language and the author of the first Slovene printed book.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Catholic Monarchs[/TD]
[TD] Spain[/TD]
[TD] Reyes Católicos de los reinos de Castilla y Aragón[/TD]
[TD] Fathers of the nation[/TD]
[TD] The unifiers of Spain. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Don Stephen Senanayake[/TD]
[TD] Sri Lanka[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First Prime Minister, from 1947 to 1952.[29][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Johan Ferrier[/TD]
[TD] Suriname[/TD]
[TD] Vader des Vaderlands[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First president after the independence of the country in 1975 [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Julius Nyerere[/TD]
[TD] Tanzania[/TD]
[TD] Baba wa Taifa[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] First President of Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Mustafa Kemal Atatürk[/TD]
[TD] Turkey[/TD]
[TD] Atatürk[/TD]
[TD] [Great] Father of the Turks[/TD]
[TD] Adopted in accordance with a 1934 law establishing surnames in Turkey. [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan[/TD]
[TD] United Arab Emirates[/TD]
[TD] والد الأمة (Waalid Al Ummah)[/TD]
[TD] Father of the Nation[/TD]
[TD] President of the UAE for its first 33 years (1971–2004)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] George Washington[/TD]
[TD] United States[/TD]
[TD][/TD]
[TD] Father of His Country[/TD]
[TD] Commander of the Continental Army in the American Revolutionary War, and first President of the United States[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] José Gervasio Artigas[/TD]
[TD] Uruguay[/TD]
[TD] Padre de la independencia uruguaya[35][/TD]
[TD] Father of Uruguayan independence[/TD]
[TD] Fought against British, Spanish, and Portuguese colonial armies in Río de la Plata.[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Simón Bolívar[/TD]
[TD] Venezuela[/TD]
[TD] Padre de la patria[/TD]
[TD] Father of the fatherland[/TD]
[TD] Prime leader of South America's successful struggle for independence from Spain[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Matayo 23:9

Wala msimwite mtu yeyote Baba hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni
 
Mohamed,
Nina kaswali kamoja tu ka ziada kabla sijaaga mnakasha huu. Katika maandiko yako yoote sijaona mahali ambapo umechambua matokeo ya juhudi za Nyerere kutaifisha shule za misheni ili waislamu nao waweze kupata nafasi ya elimu.
Umekiri kuwa kulikuwepo imbalance ya elimu kati ya waislamu na wakristo na hili limezungumziwa sana na rafiki yangu Lawrence Mbogoni, ambaye kitabu chake The Cross versus the Crescent kinaanzia miaka ya 1880 hadi 1990. Ni kweli Waarabu/waislamu walikuja Tanganyika miaka 700 kabla ya hapo na wakakolonize maeneo kama vile Kilwa Mtwara na Bagamoyo, lakini hawa wamisheni wa kizungu walikuja miaka 600 baadaye na kuweza kufanikiwa katika muda mfupi tu, kujenga taasisi za maendeleo--hospitali na mashule--- kwa wafuasi wao. That being the case, and the fact that Julius Nyerere recognized the imbalance, do we give him any credit for taking steps, never taken before by colonialists, to rectify this imbalance? And taking Njozi's book, could not this be the reason Nyerere patted his regime for taking these steps , did these steps have positive results, or Nyerere was out of touch with reality? What is your comment?

Jasusi,

Shule hizo zilizotaifishwa Waislam walionekana wengi chini.

Lakini kadri unavyopanda kutoka msingi kwenda sekondari idadi
ilipungua.

Warsha walifanya utafiti mwaka 1981 na taarifa yake ikagaiwa
kwa Waislam wote wa Tanzania.

Kitwana Kondo alipata kulieleza hili halikadhalika Prof. Malima.

Serikali ilichukia sana na msako mkubwa ulifanywa kutaka kujua
chanzo cha utafiti ule.

Sheikh Malik ambae ndiye alikuwa mwalimu wa vijana hawa wa
Warsha akafukuzwa nchini.

Nina paper Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa
Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 -
2000 Insha Allah nitafuta nikiipata nitakuwekea hapa dondoo muhimu.
 
MM,

''Inasemekana'' ni namna ya kuzungumza.
Isikupe sana shida.

Peleka fikra kwenye lile lililokusudiwa.

si katika historia; kwenye historia "inasemekana" ni namna ya kujificha kuwa huna ushahidi wa kile unachoenda kukiclaim. Inasemena wewe ndiye mchochezi wa machafuko ya kidini nchini...
 
Mohamed,
Nina kaswali kamoja tu ka ziada kabla sijaaga mnakasha huu. Katika maandiko yako yoote sijaona mahali ambapo umechambua matokeo ya juhudi za Nyerere kutaifisha shule za misheni ili waislamu nao waweze kupata nafasi ya elimu.
Umekiri kuwa kulikuwepo imbalance ya elimu kati ya waislamu na wakristo na hili limezungumziwa sana na rafiki yangu Lawrence Mbogoni, ambaye kitabu chake The Cross versus the Crescent kinaanzia miaka ya 1880 hadi 1990. Ni kweli Waarabu/waislamu walikuja Tanganyika miaka 700 kabla ya hapo na wakakolonize maeneo kama vile Kilwa Mtwara na Bagamoyo, lakini hawa wamisheni wa kizungu walikuja miaka 600 baadaye na kuweza kufanikiwa katika muda mfupi tu, kujenga taasisi za maendeleo--hospitali na mashule--- kwa wafuasi wao. That being the case, and the fact that Julius Nyerere recognized the imbalance, do we give him any credit for taking steps, never taken before by colonialists, to rectify this imbalance? And taking Njozi's book, could not this be the reason Nyerere patted his regime for taking these steps , did these steps have positive results, or Nyerere was out of touch with reality? What is your comment?
Mkuu Jasusi, kila jambo linajulikana ukweli wake kinachofanywa na Swahib Mohamed ni kutafuta eneo ambalo litagusa sana hisia za watu ili achomeke hoja zake.

Hutamsikia akiongelea biashara kwasababu wafanyabiashara wengi tena waliofanikiwa watakinzana na hoja yake ya udini.
Hutasikia anaongelea kilimo kwasababu kilimo ni jambo lisiloamsha hisia.

Siku za karibuni anaongelea afya, kwabahati mbaya haongelei afya kama sekta inayoathiri maisha ya watu bali kama sehemu ya kushambulia Ukristo. Hapa ni ukristo kwasababu serikali ilikuwa ya Mwinyi. Hata kama itabidi basi itakuwa serikali na si Mwinyi.

Suala la elimu lipo wazi kabisa. Nina mfano wa eneo moja ambapo hadi 1933 Uislam ulikuwa haujaingia.
Kufikia 1950 hadi 1960 uwiano wa elimu ulikuwa 1:8 in favour of christian kwasababu walikuwa na shule zao.
Waislam wakachachamaa in a positive way. peleka watoto shule, jenga shule zao leo uwiano ni 1:1

Tafiti zinaonyesha(1980) mkoa ulioathirika kwa utapia mlo(malnutrition ) ni Kilimanjaro kwasababu wazazi hawakuwa na muda wa kuwalisha watoto kwa mpango mzuri( malnutrition siyo ukosefu wa chakula tu) mal=mbaya nutrition=feeding
in other words it's bad feeding. Kilimanjaro wazazi wanachakula lakini ulisha ni mbaya.

Hii ilitokana na jitihada za kuongeza kipato, mama peleka ndizi baba mwagia kahawa dawa, Kaka kalete mahindi, dada chambua kahawa. Mauzo ya KNCU pesa peleka sekondari. Hapo ndipo walipo kama ilivyo Mbeya na Bukoba.

Kama si hivyo wilaya moja ya Kilimanjaro isingekuwa na shule za sekondari nyingi kuliko mkoa mzima wa Lindi.
Shule zilijengwa kwasababu soko lipo, soko ni wakulima wanaopeleka watoto wao shule.

Wananchi wa Kilimanjaro walipoambiwa ukweli wa utapia mlo, hawakutafuta sababu au mchawi bali kufanyia kazi ushauri uliotolewa. Hapo ndipo thamani na hamasa ya watu vinapochangia maendeleo yao

Rufiji mtoto anaozwa miaka 16 kama ilivyo Bagamoyo, Mjasani, Kicheba na Mkanyageni pale Muheza.
Hamasa kuhusu elimu kwa baadhi ya maeneo ipo chini sana. Wala si pwani hata bara ingawa viwango vinapishana.

Ni kutokana na mgawanyo wa mambo kama dini, sehemu fulani inakuwa na wakazi wa imani fulani.
Kilimanjaro ni Christians na Tanga ni Moslems kwa mtazamo wa majina na dini hizi mbili ingawa si kweli kwani wapo wapagani n.k.

Mgawanyo huo unaambatana na tofauti kitaifa. Mathalani kama wilaya moja ya Kilimanjaroni ni zaidi ya mkoa wa Lindi katika mambo ya elimu basi usitegemee uwiano wa elimu kuanzia sekondari hadi chuo kikuu kulingana.
Mgawanyo utaakisi sana jiografi ya sehemu.

Jambo la muhimu ni kuliangalia tatizo kwa ukubwa wake kiinchi, kuangalia vyanzo vya tatizo na jinsi gani linaweza kutatuliwa kama nchi. Kuangalia mifano ya maeneo mengine ili kuona ni vipi wamefanikiwa.

Ni ujinga uliotukuka kudhani kuwa unaweza kuwa na mtaalamu kuanzia chuo kikuu tu. Kwamba amezaliwa akakimbia shule ikafungwa halafu akaibukia chuo kikuu.

Ni upotofu uliobobea kudhani kuwa tatizo ni mawaziri 10 na makatibu wakuu 10 na kufumbia macho malaki ya wanafunzi wanaoshinda chini ya uongozi wa kiranja mkuu.

Ni uzezeta kudhani kuwa NECTA ndio tatizo kwasababu leo anaweza kuwa mkuu wa NECTA ni mtu wa imani fulani na wala yeye asiweze kuleta mabadiliko kwasababu NECTA haifundishi inatahini, kama hakuna mtahiniwa NECTA itatahini maruhani?

Ni ututusa kufumbia macho tatizo la ndoa na utoro wa shule, uhuni uliokithiri na kudhani kuwa elimu inaingia vichwani kwa mavazi au kwa njia ya mnururisho kama si mpitisho.

Ni upumbavu kumtoa mtoto darasani aende kusikiliza kesi ya Ponda ukitegemea mtoto huyo kufaulu kwa njia ya kuwa na mkuu wa NECTA wa imani fulani.

Ukienda Peramiho, Magila, Ikizu, Haidom, Magila utakuta watu wasiojua kusoma au kuandika, ni vipi basi mfumo unaolalamikiwa usitoe ahueni kwao?

Ukitaka kumshinda mwanadamu kwanza muondolee kujiamini''confidence'' halafu mpumbaze, hapo utamsukuma na kuanguka. Literacy level yetu kama taifa imeanguka kutoka 80% hadi 60%.

Kwa maneno mengine kuanguka huku hakuchagui dini au kabila kama ilivyokuwa kwa mafanikio yake. T
uliwezaje kufika 80% kama kuna ubaguzi?

Ni lazima watu wakiri uwepo wa tatizo kuanzia katika familia kabla ya kutafuta kundi au mtu wa kumtwisha lawama.
Kwanini suluhu itafutwe kwa kuangalia dini fulani na si dhehebu fulani.
Kwanini watu wasijiulize Hindu Mandal, Agakhan, Ismailia wanafanikiwaje katika mfumo ule ule kandamizi.

Inasikitisha sana kuona watu wanaondoa jicho katika tatizo wanatafuta namna za kijinga, kipuuzi na kizembe kuficha au kulikimbia tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom