Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Tatizo wewe na wengine mnafikiria Nyerere alikuwa katika level sawa na hawa wengine. He was the star of the show; a leader among leaders; he was in fact Amir wa mapambano ya kupigania Uhuru. Ukiangalia hiyo picha utaona kuwa Nyerere hajakaa pembeni; amezungukwa na wazee wetu wengi wapigania uhuru... but what a metaphor.. he was at the centre.. kina Abdul, John Rupia, Dr. Kyaruzi, Shehe Chaurembo, Bibi Titi Mohammed na wengine wengi.. walimzunguka. Na hiyo ndiyo nafasi yao.
Hukuna anayefikiria ivyo hizo ni fikra zako ugomvi mkubwa ni hao waliomzunguka kutupwa nje ya historia ya kupigania uhuru hawajulikani kwa chochote alichofanya Mohamed Said kuwarudisha si jambo dogo.
 
Jasusi,

Shule hizo zilizotaifishwa Waislam walionekana wengi chini.

Lakini kadri unavyopanda kutoka msingi kwenda sekondari idadi
ilipungua.

Warsha walifanya utafiti mwaka 1981 na taarifa yake ikagaiwa
kwa Waislam wote wa Tanzania.

Kitwana Kondo alipata kulieleza hili halikadhalika Prof. Malima.

Serikali ilichukia sana na msako mkubwa ulifanywa kutaka kujua
chanzo cha utafiti ule.

Sheikh Malik ambae ndiye alikuwa mwalimu wa vijana hawa wa
Warsha akafukuzwa nchini.

Nina paper Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa
Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 -
2000 Insha Allah nitafuta nikiipata nitakuwekea hapa dondoo muhimu.

Hivi kweli unaamini kilichofanywa na Warsha - inasemekana wewe ulikuwa miongoni mwao - unaita kweli ni utafiti? Au walitangaza tu matokeo ya kile walichokiita "utafiti"?
 
Umesema katika shule zilizotaifishwa waislamu walionekana wengi chini---yaani primary school, na kama nimekuelewa vema, kufikia level ya middle school na secondary school idadi yao ilikuwa imepungua. Sasa hapo tujiulize ni kwa nini idadi ya waislamu ilipungua kwa kasi hiyo. Pia kama nakumbuka vizuri wewe ni zao la St. Joseph secondary school. Lakini swali langu bado liko pale pale. Did Nyerere's efforts to nationalize christian schools make a difference in the educational level of muslims in Tanzania? Do you at least, as a muslim spokesperson give Nyerere credit for nationalizing christian schools?
 
Hukuna anayefikiria ivyo hizo ni fikra zako ugomvi mkubwa ni hao waliomzunguka kutupwa nje ya historia ya kupigania uhuru hawajulikani kwa chochote alichofanya Mohamed Said kuwarudisha si jambo dogo.

tatizo unaamini - sijui hata kwa nini - kuwa Mohammed Said ndiye mtu wa kwanza kuwataja hawa watu katika kuhusika kwao katika harakati za Uhuru. TUmeshaonesha tayari walishatajwa kwa kiasi kikubwa na John Iliffe, wakatajwa na waandishi wengine wengi kabla ya mwaka 1999. Wakati waandishi wengine walijikita katika historia kama ilivyokuwa alichofanya Mohammed Said ni kuingiza udini katika historia hiyo na hivyo kuwaelezea wazee hawa siyo kutokana na Utaifa wao (nationalistic tendencies) bali kwa kutumia dini yao kitu ambacho wao wenyewe wakati wa kupigania uhuru hawakukiona hivyo. Wazee wetu hawa wote walipigana kwa sababu walikuwa ni Watanganyika na wangependa kuishi katika Tanganyika huru;hawakufanya hivyo kwa sababu walikuwa ni Waislamu na kuwa wanataka kuishi katika taifa la Kiislamu au mahali ambapo Uislamu utapewa nafasi ya pekeekulinganisha na dini nyingine.
 
Soma signature yangu.

Nilishaisoma siku nyingi tu. Baadhi ya hizo karatasi zilikamatwa Musoma lakini mpaka leo hatujasikia kesi ya vijana wanne wa usalama wa taifa waliokutwa nazo.
 
tatizo unaamini - sijui hata kwa nini - kuwa Mohammed Said ndiye mtu wa kwanza kuwataja hawa watu katika kuhusika kwao katika harakati za Uhuru. TUmeshaonesha tayari walishatajwa kwa kiasi kikubwa na John Iliffe, wakatajwa na waandishi wengine wengi kabla ya mwaka 1999. Wakati waandishi wengine walijikita katika historia kama ilivyokuwa alichofanya Mohammed Said ni kuingiza udini katika historia hiyo na hivyo kuwaelezea wazee hawa siyo kutokana na Utaifa wao (nationalistic tendencies) bali kwa kutumia dini yao kitu ambacho wao wenyewe wakati wa kupigania uhuru hawakukiona hivyo. Wazee wetu hawa wote walipigana kwa sababu walikuwa ni Watanganyika na wangependa kuishi katika Tanganyika huru;hawakufanya hivyo kwa sababu walikuwa ni Waislamu na kuwa wanataka kuishi katika taifa la Kiislamu au mahali ambapo Uislamu utapewa nafasi ya pekeekulinganisha na dini nyingine.

Siyo tatizo kuamini, naomba unisaidie kunitajia majina ya vitabu ambavyo wametajwa hao wazee wazalendo nikavitafute.
 
Anza na Judith Listowell: The Making of Tanganyika. Ukimaliza rudi hapa nikupe cha pili.

Hicho nimekisoma baadhi ya kurasa zake kwenywe mtandao Judith Listoll kajikita sana kuuanzia 1961. Nimeona kawataja watu wa familia ya Sykes, wengi tu waliotajwa na Mohamed Said hawamo.

Kinapatikana wapi hicho kitabu kwa Dar es Salaam. Nipe na vingine.
 
Anza na Judith Listowell: The Making of Tanganyika. Ukimaliza rudi hapa nikupe cha pili.
Jasusi,
Hivi wewe unaamini ni kweli waasisi wa TANU ni watu 17 tu. Na hao ndiyo waliongoza mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
tatizo unaamini - sijui hata kwa nini - kuwa Mohammed Said ndiye mtu wa kwanza kuwataja hawa watu katika kuhusika kwao katika harakati za Uhuru. TUmeshaonesha tayari walishatajwa kwa kiasi kikubwa na John Iliffe, wakatajwa na waandishi wengine wengi kabla ya mwaka 1999. Wakati waandishi wengine walijikita katika historia kama ilivyokuwa alichofanya Mohammed Said ni kuingiza udini katika historia hiyo na hivyo kuwaelezea wazee hawa siyo kutokana na Utaifa wao (nationalistic tendencies) bali kwa kutumia dini yao kitu ambacho wao wenyewe wakati wa kupigania uhuru hawakukiona hivyo. Wazee wetu hawa wote walipigana kwa sababu walikuwa ni Watanganyika na wangependa kuishi katika Tanganyika huru;hawakufanya hivyo kwa sababu walikuwa ni Waislamu na kuwa wanataka kuishi katika taifa la Kiislamu au mahali ambapo Uislamu utapewa nafasi ya pekeekulinganisha na dini nyingine.

MM,

Husemi kweli.

Mimi ndiyo mwandishi wa kwanza kuandika mchango
wa wale wote walotupwa nje ya historia.

Sababu ya mashujaa hao kuwekwa nje ni kuwa walokuwa
madarakani walitishika na ukweli kuwa Waislam ndiyo
walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na ukoloni.

Ikiwa una ushahidi dhidi ya haya nilosema ulete tuusome.
 
Umesema katika shule zilizotaifishwa waislamu walionekana wengi chini---yaani primary school, na kama nimekuelewa vema, kufikia level ya middle school na secondary school idadi yao ilikuwa imepungua. Sasa hapo tujiulize ni kwa nini idadi ya waislamu ilipungua kwa kasi hiyo. Pia kama nakumbuka vizuri wewe ni zao la St. Joseph secondary school. Lakini swali langu bado liko pale pale. Did Nyerere's efforts to nationalize christian schools make a difference in the educational level of muslims in Tanzania? Do you at least, as a muslim spokesperson give Nyerere credit for nationalizing christian schools?

Jasusi,

Jibu nimekupa.

Kuna njama katika Wizara ya Elimu kuwabana Waislam.
Hili ni tatizo Waislam tumelisema sana.

Leo tuna tatizo la NECTA.
Katika hali kama hii kutaifisha shule hakukuwa na tija.
 
Siyo tatizo kuamini, naomba unisaidie kunitajia majina ya vitabu ambavyo wametajwa hao wazee wazalendo nikavitafute.

A History of Modern Tanganyika By John Iliffe (hiki kinaelezea kwa kirefu sana harakati za kisiasa hadi ilipofika 1961; kinakubalika sana kama mojawapo ya kazi nzuri za kihistoria kwani John Illife kama Sivalon baadaye aliwahi kufundisha Chuo Kikuu cha Dar.

Islam and Politics in East Africa: A Sufi Order in Tanzania
by August Nimtz Jr

Anzia hapo
 
Hivi kweli unaamini kilichofanywa na Warsha - inasemekana wewe ulikuwa miongoni mwao - unaita kweli ni utafiti? Au walitangaza tu matokeo ya kile walichokiita "utafiti"?
Ni kweli yeye alikuwa sehemu ya warsha. Mwalimu Maliki alikuwa raia wa Pakistan na ndiye alikuja kufanya utafiti kuhusu elimu Tanganyika.

Na kwa wale tuliokuwa na ufahamu huyu mwalimu ndiye aliyeleta radicalism na baadhi ya matunda yake yanaonekana sasa.
 
Jasusi,
Hivi wewe unaamini ni kweli waasisi wa TANU ni watu 17 tu. Na hao ndiyo waliongoza mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika.

Unachanganya mambo ndugu yangu; Waasisi siyo sawa na Wapigania Uhuru. Waasisi wa TANU wote kwa haki wanaitwa wapigania uhuru; lakini siyo wapigania uhuru wote walikuwa ni waasisi wa TANU. Don't confuse the two.
 
Jasusi,

Jibu nimekupa.

Kuna njama katika Wizara ya Elimu kuwabana Waislam.
Hili ni tatizo Waislam tumelisema sana.

Leo tuna tatizo la NECTA.
Katika hali kama hii kutaifisha shule hakukuwa na tija.
Najama zilizokuwepo ni zile za namba za mitihani ambazo tuna ushahidi usio na shaka kuwa hilo halikuwa tatizo na hata wewe unajua hivyo. Ile mantra ya Malima kuanzisha nmaba za mitihani imekufa baada ya kubaini kuwa hilo halikuwa kweli.

Tatizo la NECTA halina ushahidi kwasababu utawezaje kusahihisha mitihani ya wanafunzi wasiokuwepo?
 
Huyu Dr Slaa au X- Padre tunamsubiri inshaalah 2015 akijakutuomba kura swali la kwanza ni kuhusu (MOU).

Atueleze siku zote alikuwa wapi asiyazungumze haya maneno leo walete hoja maaskofu yeye ndio akurupuke na huyu jamaa akiongoza nchi hii sijiu itakuwaje sasahivi kaficha makucha yake
.
 
A History of Modern Tanganyika By John Iliffe (hiki kinaelezea kwa kirefu sana harakati za kisiasa hadi ilipofika 1961; kinakubalika sana kama mojawapo ya kazi nzuri za kihistoria kwani John Illife kama Sivalon baadaye aliwahi kufundisha Chuo Kikuu cha Dar.

Islam and Politics in East Africa: A Sufi Order in Tanzania
by August Nimtz

Anzia hapo
...........

MM,Nilishakuambia kuwa Nimtz hakuandika historia ya TANU. Kwa nini unajifanya hamnazo?

Nimtz kaandika kuhusu usufi na tarika kadiriyya na siasa. Ndiyo maana alikaa sana na Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo.

Nilikueleza pia hicho kitabu kinatokana na tasnifu yake. Hivi kwa nini uko hivi. Itafika mahali kweli sitajibu post yako yoyote.

Unachusha na siamini kama tatizo ni elimu.
 
Back
Top Bottom