hivi unafikiri kabisa kuwa wanakusoma wewe tu; au wengi wanafunguliwa kwa kuelewa kuwa histohisia yako imefikia mwisho? Husomwi peke yako humu.
habari kubwa ndio, nani kaileta? angalia likes ziko kwa nani. wengi tunafuatilia ni kazi nzuri aliyoifanya Yeriko Nyerere ya kujaribu kuhariri kitabu chako. Inawezekana hakikuhakikiwa, na kama kilihakikiwa,waliokihakiki si watu makini hadi kukipitisha.
wengi tuliomo humu, au kama huamini tupige kura, tunaponda kitabu chako kilichojaa udini na kutelekeza umoja wa kitaifa ulioasisiwa na wazee wetu bila kujali dini zao.
hivi unafikiri kabisa kuwa wanakusoma wewe tu; au wengi wanafunguliwa kwa kuelewa kuwa histohisia yako imefikia mwisho? Husomwi peke yako humu.
Usiwasemehe watu ukitaka kujua huu ukifungwa fungua wewe uzi wako anzisha mjadala wa historia bila Mohamed Said kuwepo Mods wauche huo uzi wako hata miezi 4 angalia wasomaji na wachangiaji watakuwa wangapi hapo ndiyo utajipima uwezo wako.
Imani hiyo Mzee Mwanakijiji yaani hapa anaamini wote tuliomsoma tumekubaliana na hoja zake
Imani hiyo Mzee Mwanakijiji yaani hapa anaamini wote tuliomsoma tumekubaliana na hoja zake
Mkuu Setuba Noel hili swali limeulizwa mara nyingi lakini Mohamed Said & Co wanakwepa kujibu wanajua dhahiri wakijibu kitabu kilichojaa fitna na chenye lengo maalum la kutugawa waTanzania kwa misingi ya dini kitupwa na kudharauliwa.
N,
"Rhetorics" zinachangamsha lakini unapotaka kujibu hoja
huwa hazisaidii.
"Umoja wa kitaifa," "bila kujali dini" nk. hapa nchi yetu
ilipo propaganda hizi hazitotunusuru na janga linalotukabili.
Waliokipa umaarufu kitabu hiki ni Cambridge Journal of African
History.
Waliokifanyia kitabu changu review ni mabingwa wa historia -
John Iliffe na Jonathon Glassman na si kama walinipaka mafuta.
Unataka kukipigia kura kitabu humu JF...
Sasa mbona umechelewa sana.
Hiki kitabu kipo mitaani huu mwaka wa 15 na kinakwenda chapa ya
tatu.
Mwisho.
Unanitajia "wazee wetu" we unawafahamu hao wazee?
Nitajie watatu tu na lieleze jamvi michango ya hawa wazee.
Hii ni changamoto kwako.
Nasubiri jibu.
B,
Hayo mengine hayana maana.
Tusimame hapa pa wewe kumsoma Yericko...
Soma kitabu changu kisha Insha Allah rudi barzani
tujadili.
Yericko peke yake hatakutosha.
Wapi kasema wanaomsoma wote wanakubaliana na hoja zake acha kumuwekea maneno mdomoni.
Anachofanya Mohamed Said ni kutoa darsa kwa wote wale wanaomkubali na wasiyo mkubali kinachotakiwa ujumbe ufike.
Hapana sijapata hata kwa mbali kuhisi hivyo.
Kitabu changu kimewachoma moyo watu wengi
sana hadi mwalimu wangu Prof. Haroub Othman.
Najua kuna wengi sana hawakubaliani na mimi
lakini kitabu changu kipo kwenye shubaka majumbani
kwao.
.Wanaochinjana sasa ni vijana wadogo ambao wengi wao wamezaliwa Mwalimu amekwishaondoka madarakani. Tunawahubiria ujinga ambao hata hauwahusu. Natumia neno ujinga ili nisivuruge mjadala vinginevyo kile tunachowahubiria vijana wetu hawa ni zaidi ya ujinga.
.
Naona unajichanganya mwenyewe.
Nimebainisha kuwa wakristo siku zoa za ibada ya ijumaa mosi na ijumaa pili. Na waislam siku yao ya mapumziko ni ijumaa.
sasa Serikali yenu kama inavyodai haina dini ilitakiwa isime wazi kuwa siku yake ya mapumziko ni ijumaa nne au ijumaa tano ili isiwaonee huruma watu wa dini moja. Kuweka ijumaa pili siku ambayo uya mapumziko kwa wakristo ni kuwapandelea na wasilam wanavumilia hilo.
sasa wao kuwapa tu hiyo haki ya kuchinja kama wanavyofanya ndugu na jirani zenu wa kenya na Uganda na sehemu nyingi duniani mnaona nong'wa.
Kweli kazi ipo siye yetu macho na kuomba heri itawale kwani vita vya kidini havina mshindi. kama mmekubaliana kuvumiliana na huu ndio wakti wake
Pole sana
Ndugu Barubaru,.

hivi mkuu nchi za kiislamu kama iran, iraq na saudia siku zao za mapumziko zikoje?
Ijumaa ndiyo siku ya mapumziko.
Kuna jamaa yangu yupo kitengo cha kupiga, amesema leo atakayetia mguu basi kipigo mara tatu ya kile cha mwanzo.Swahiba wangu MOHAMED pole na mihangaiko ya leo, vp leo unaungana na wenzio kwenye maandamano?
Hata huku uswahilini kwetu akipita kicheche huwa watu wanapiga kelele: kicheche huyooo. Lengo huwa ni kuwataadharisha wafugaji wawe makini na kuku wao. Kwako wewe ungefikiri tunamshangilia kicheche.Hii imekuwa habari kubwa kwa wengi sana.
Angalia ''views'' zimefika ngapi 55,000 plus.
Unadhani hawa wote watapoteza muda wao kumsikiza mtu
mchochezi?
hivi mkuu nchi za kiislamu kama iran, iraq na saudia siku zao za mapumziko zikoje?
Ndugu Barubaru,
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa katika Tanzania, Jumamosi (na si ijumaa mosi) ni siku ya kazi na wala si mapumziko.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini , 2004; kiwango cha juu cha masaa ya kazi kwa juma ni 45 na hayo na ni kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
Waajiri wengi wameamua kuyabana masaa hayo katika siku ya Jumatatu-Ijumaa na kuifanya Jumamosi na Jumapili kuwa siku za mapumziko.
Kuhusu suala la Jumapili (na si ijumaa pili) kuwa mapumziko hili halina uhusiano wowote na ukristu. Huu ni utaratibu unaotumika sehemu nyingi duniani (sizungumzii nchi za kiarabu). Na Tanzania ni sehemu ya dunia. Hata hivyo waislamu nao wakiwa sehemu ya wananchi wa Tanzania, nao wanafaidika na mapumziko haya.