Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nyinyi watu wa mfumo hamna jema wala kheri katika jamii.Ikiwa ni matangazo ya redio mtangaze nyinyi peke yenu wakitangaza waislamu ni uchochezi.Ikiwa ni kuandika magazeti na kutukana uislamu muandike nyinyi.Waislamu wakiandika kujitetea mnalalamika kuwa ni uchochezi.Iwapo ya kwenu hayasikilizwi na kusomwa si muache au mrekebishe mambo!.

Ikija suala la utafiti basi utafiti mnaoukubali ni ule ulioandikwa na watu wenu tu hata ikiwa hauna mvuto na umepitishwa kwa rushwa za kiNECTA.Wakiandika waislamu mnasema ni uchochezi.
Hapo juu uprofesa wa Malik na ufaulu wa akina Mohamed unautilia shaka kwa sababu tu haungi mkono ajenda zenu.Utafiti na uprofesa gani huo wa kwenu?.
Unaposema Profesa Malik alikuwa na ushawishi mkubwa katika mambo ya vurugu za kidini,tueleze wahitimu wake akina Mohamed kama ulivyothibitisha wamefanya vurugu gani.Na jee utafiti kwenu ni vurugu.Ikiwa hiyo ndiyo imani yenu kwa tafiti za kielimu basi nawapa pole sana.
 
Jumapili ni siku ya kwenda kanisani ndiyo maana ikawa mapumziko.

Itabidi serikali ifanye mabadiliko kuna wakirsto walikuwa wanalalamika siku yao ya kwenda kanisani kwa nini iwe siku ya kupiga kura.

Unajuwa kuwa wamezoea kubebwa kila wakti na wao kujiona ndio first citizen sasa wanadai kila kitu na kujiona wana haki zaidi.

Kibri hiyo ndio inawafanya wadai hata haki ndogo tu ya kuchinja. sasa najiuliza je nao waislam wakidai haki ya mapumziko siku ya ijumaa nchi yenu itakuwaje?

tuvute subra.
 
Usiwasemehe Waislam hakuna Muislam anayefurahi kupimzika Jumapili siku ya kwenda Kanisani.

Waislam watafurahi kama siku ya mapumziko yatakuwa Ijumaa.

baaleze ritz baelewe uislamu sio dini ya urembo inaongozwa kwa sheria kutoka kwa mwenyezi mungu sio hizi za bungeni
 
Hili neno inasemekana alilotumia Mohamed Said umelifanya kichaka cha kukosa kwako eneo la kuteteaa uozo wa uongozi wa Nyerere na uchoyo wake na kuwa kwake kibaraka.Pamoja na hivyo hili neno linatumika sana katika heshima ya uandishi ambayo bila shaka kwako imekuwa nongwa kwa vile hunayo.Hata katika mazungumzo mzee akiponwa hatumwambii kwa uwazi kilichomtokea lakini huwa ni kweli tunajua ameponwa.
Tuje upande mwengine kwenye haya maandiko.Hebu hesabu idadi ya inasemekana na idadi ya matukio yaliyowekewa tarehe zake mengine yaliyotokea ndani ya ikulu ni yepi mengi.Mbona huna takwimu mbadala wa kukanusha aliyoyasema Nyerere kwa padri ndani ya ikulu juu ya njama zake za kuukandamiza uislamu?.
 
Andrew,
Zungumzia kidogo UDINI wa Mwalimu. Unamfahamu Mzee Mohamed Said?

Hii posting ya Yericko Nyerere bado sijaisoma,naona imepata hits nyingi sana. Kuhusu udini wa Mwalimu,Mwalimu alikuwa anaamini sana katika dini, na mtu akiamini katika didi ina maana kwamba anaamini dini yoyote,kwamba dini ndio inaweza mumuongoza mtu katika maisha yake.
Kwa mfano Yesu Kristu, Kristu siyo jina lake. Hali ya ukristu ni hali ya utakaso,hali ya mtu kuishi kufuata maadili ya Mungu,hali ambayo kila Mkristu anatakiwa kuwa nayo,kuifikia..Katika dini ya Budha pia. Ingawa Budha anaitwa Budha,lakini Budha,kama Kristu,maana yake ni mtu aliyetukuka,na kila muumini anatakiwa kuwa Budha. Lakini ndio hivyo,Kristu anaitwa Kristu na Budha anaitwa Budha.
Dini ya kweli inafundisha tu ntu aishi kufuata maadili ya Mwenyezi Mungu,pia awe na jicho la kumtambua mtu anayeishi kufuatana na maadili mema,amtambue kwamba yule ni ndugu yake katika roho,Brotherhood of Light. Yaani kwenda across religious beliefs,kwenda beyond any beliefs, na kumtambua mtu mstaarabu unapomuona.
Vinginevyo utakuwa tu unasema Waislamu ni adui zako,wakati wakristu ndio wamekupiga kabali wamekunyang'anya fedha.
 
Andrew,
Hilo la Mwalimu kuwa muumini mzuri wa dini yake na hasa ukatoliki halina ubishi. Ubishi ulioko humu ni kuwa Mwalimu aliuchukia Uislam na Waislam. Akaweka mfumokristo kwenye utawala wake. Akausimamia kwa nguvu zake zote mfumo huu. Mfumo huu ukawabagua Waislam kwenye nyanja za ELIMU, AJIRA na vyeo au madaraka nyeti nchi hii.

Nikakuomba ulizungumzie kidogo hilo. Karibu.
 

Andrew Nyerere,

Msome Yericko Nyerere, baba alivyokuwa anamumbia wakati bado yupo hai.
 
Last edited by a moderator:
Si yupo Yericko Nyerere, anajua zaidi habari za Mzee na jana katutajia muhimu kwenye maisha ya Nyerere kuliko Mama Maria Nyerere katutajia na jina anaitwa Omar Sisco.
WEWE unachonganisha ilmurad hii thread ipoteze muelekeo,hii yote unaogopa nondo mpya yote haya katika kuumpa breathing space Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…