Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
umesharudi toka kwenye maandamano ya pondaAje kujibu hili kama kweli si muongo:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesharudi toka kwenye maandamano ya pondaAje kujibu hili kama kweli si muongo:
umesharudi toka kwenye maandamano ya ponda
Wewe, ondoa upuuzi huu, hapa hatujadili mafunzo ya uislam, bali histohisia ya mzee wako Mohamed Saidi!Inasemekana hata zikiwa elfu moja kuelekezwa kwa mtu ambaye ni mzima na akashindwa kujibu basi huwa inaaminika.
Katika mafunzo ya uislamu kutafuta mchumba pindi binti ambaye ni mwari anapokaa kimya kwa mume aliyeletewa inachukuliwa kuwa amekubali.Ndoa nyingi zinazofungwa kwa mafunzo hayo ya kiroho huwa zinadumu na kuwa na baraka nyingi.
Hata mfumo wa mahakama uko hivyo hivyo.Mtuhumiwa anaposhindwa kujitetea kwa kila shutuma mwisho hufungwa kwani huwa imethibitika kuwa ni mkosa.
Kwa maelezo hayo jipime wewe mwenyewe,Nyerere wenu na historia ya Mohammed Said.
Kwa upande mwengine wewe binafsi imethibitika kuwa ni mtetezi wa mfumokristo hapa JF na huoni haya kujiabisha kwa hilo hata unapokuwa huna hoja.
wewe naona ni lot of bark na bite-nadhani hata masjid hukwenda umejifungia ndaniBado sijarudi. wewe unafikiri mawasiliano tuliyonayo sasa ni sawa na wakati wa Nyerere? huku tunarushiwa virungu huku tunawasiliana.
Mimi na wewe tunapinga mfano wako umetolea waarabu ukiamisha ndiyo matatizo ya Waislam wa Tanzania.
Umeongea uongo mwingi kuhusu Oman lazima tuupinge watu wanasoma maandiko yako.
Kwanza Oman hawana utajiri wa mafuta kama unavyosema wana mafuta kidogo sana wala hawanufaiki nayo wana Gesi.
Al-Azhar Univesirty cha Misri imejengwa mwaka 972 dunia yote bado imelala vipi ili unalizungumziaje.
Mimi nilidhani usingeghadhibika badala yake kwakuwa Mzee Mwanakijiji amesema "inasemekana" wewe ungemdai alete ushahidi wa haya anayodai!MM,
Hizo propaganda za "kupokea fedha" kutoka nchi za nje zimepitwa na wakati sana tena sana.
Propaganda za Sheikh Hassan bin Amir anataka kupindua serikali ya Nyerere zimepitwa na wakati.
Kwa sababu kama litakujaletwa suala la kupokea fedha kutoka nje basi si Waislam watakaosimama
kizimbani.
Ila nitakufahamisha kitu.
Mimi nafahamika katika jamii.
Yangu yote yanajulikana kwani sijapata kujificha.
Unaona hapa nimeingia na jina langu kamili.
Usiniletee mambo yasiyo na maana kwa hisani yako.
Kawatishe wengine siyo mimi.
Haukumwona na kumsikia AHMED Msangi wa Kanda Maalum? SULEIMAN Kova kastaafu nini? MfumoKristo umewapanga vizuri mno hawa jamaa. Yaani ni kama ilijua Dar Es Salaam ni yao wenyewe!Bado sijarudi. wewe unafikiri mawasiliano tuliyonayo sasa ni sawa na wakati wa Nyerere? huku tunarushiwa virungu huku tunawasiliana.
Haukumwona na kumsikia AHMED Msangi wa Kanda Maalum? SULEIMAN Kova kastaafu nini? MfumoKristo umewapanga vizuri mno hawa jamaa. Yaani ni kama ilijua Dar Es Salaam ni yao wenyewe!
Ahmed aliongea jana usiku saa2. Haki gani hiyo unaitafuta usiku! Au nanyi mnayo Valentine day?Sijamuona nilikuwa bize kugombea haki ya mtu anaedhulumiwa haki yake ya msingi.
Sijamuona nilikuwa bize kugombea haki ya mtu anaedhulumiwa haki yake ya msingi.
Ahmed aliongea jana usiku saa2. Haki gani hiyo unaitafuta usiku! Au nanyi mnayo Valentine day?
huyo ni "fringe player" Mohamed Said kwa agenda yake anawapandisha chartJee, ulikuwa unamjuwa Iddi Tosiri kabla ya kumsoma Mohamed Said?
Mkuu naona unajaribu kuweka maneno mdomoni mwangu.
Nimesema Uislam wa Tanzania una asili yake kwa sehemu kubwa toka Oman, sasa uongo ni upi hapa???
Nimeuliza miaka 800 waliokwepo hapa (Tanzania ya zamani) hawajajenga chuo kikuu mpaka mwa 1968 ndio EAMWS ndio wanapanga mpango huo, wewe unataja Al Azhar. Sijasema Uislam kwa ujumla wake ila nazungumzia walioleta Uislam hapa kwetu.
Narudia tena tatizo la waislamu wa hapa kwetu ni tamaduni zao zaidi ya Dini yao. Badala ya kutazama tatizo watu wanapeleka lawama kwa Nyerere. Hebu jiulize mbona Waislamu wa Upareni,Uchagani, Bukoba wamesoma kuliko waislamu wa pwani?? Je wao Nyerere hakuwaona au la??
Nyerere kama mtawala yeyote yule lazima angepambana na watu wanaochezea utawala wake kwa namna yeyote ile, alifnaya kwa waislam na wakristo pia.
Tatizo ni utamaduni ambao umeathiriwa kwa kiasi kikubwa na ujio wa Oman katika pwani yetu.
wengine wanaangalia jinsi wewe mchochezi unavyosulubiwa kwa uwongo wako!Setuba Noel,
Unaandika kwa hamaki na unatoa shutuma.
Huenda wewe mambo haya huyajui.
Nami nakuchukulia hivyo uyajui.
Sasa utakuwa na hali gani ikiwa utakuja baini
kuwa nisemayo ni kweli tupu?
Bado utanita mchochezi?
Sijui umefuatilia toka wapi mjadala huu.
Humu nimeweka historia ya wazee wangu walipigania
uhuru wa Tanganyika lakini historia imewatupa nje.
Hii imekuwa habari kubwa kwa wengi sana.
Angalia ''views'' zimefika ngapi 55,000 plus.
Unadhani hawa wote watapoteza muda wao kumsikiza mtu
mchochezi?
wewe naona ni lot of bark na bite-nadhani hata masjid hukwenda umejifungia ndani
Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuhamishwa kwa masheikh na Waislamu wengine waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.
Mashuhuri miongoni mwao walikuwa: Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan
Wengine ni Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.
Lakini ukweli ulikuwa kwamba si wote katika wale waliokamatwa na kuwekwa kizuizini walijihusisha na siasa. Baadhi yao walikamatwa kwa sababu tu walikuwa wakishirikiana na wale waliodhaniwa ni wapinzani wa Nyerere.
Source: Mfumo Kristo: Alichokifanya Nyerere baada ya uhuru
Kwa hiyo nakusingizia ukusema Oman wana utajiri wa mafuta?
what do you get by challenging the obviousKwa hiyo nakusingizia ukusema Oman wana utajiri wa mafuta?
Valentine ina ukatoliki ndani yake sana tu. Msiiguse kabisaa. Katika wazee wote wa Mohamed, wangu na chaguo langu ni Mshume Kiyate tu.Kwani nyie mnayo Valentine Day?
Jee, ulikuwa unamjuwa Chamwenyewe kabla hujamsoma Mohamed Said?
wengine wanaangalia jinsi wewe mchochezi unavyosulubiwa kwa uwongo wako!
...Ilikuwa mwaka 1952 Abdulwahid alipofahamiana na Nyerere na yeye Abdulwahid akamjulisha kwa watu mashuhuri wa Dar es Salaam - Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir, Mwinjuma Mwinyikambi, Mohamed Jumbe Tambaza, Omar Londo, Rajab Diwani, Mshume Kiyate, Bibi Tatu bint Mzee, Bibi Asha Ngoma, Bibi Titi Mohamed, Bibi Hawa bint Maftah, Bibi Khadija bint Kamba, Said Chamwenyewe na wengi wengine. Ilikuwa na kutokana na msaada wa Abdulwahid na Waislam hawa ndiyo uliomuwezesha Nyerere kuwa katika siasa na kuchukua uongozi wa nchi miaka tisa baadae...
Soma zaidi: Mfumo Kristo: Alichokifanya Nyerere baada ya uhuru
Kwani baba yako alikuwa na wake wangapi? wacha kujidharirisha na wewe, eboo!Yericko alisema Mwalimu Nyerere ni baba yake mzazi,mimi nimesema tu,that is news to me,sina taarifa. Mama yake mzazi ni nani?