Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

hakuna kitakachowakomboa zaidi ya elimu hii tuwapayo bure!

Wale waliobahatika angalau kusoma ndio hawa akina mohamed said, ilunga, farid, na ponda, wao wanahubiri maasi tu kila uchao badala yakuwatoa wenzao walio gizani kielimu.


tatizo umekosa elimu ya tawhiid rububiya,,,
nikukumbushe kidogo na nikusihi,jaribu kuwaasa ndugu zako wanaotaka kuuchafua mjadala na kuufanya huu kama ni uwanja wa chandimu yericko,sisi tunapata manufaa makubwa sana na hili darsa huru analotupa huyu ndugu yetu mohamed said,pia tunakushukuru wewe kuuleta mjadala huu,haya mengine tungeyajulia wapi??shukrani kwako,wausie basi hao wengine wasije kuharibu mjadala huu,kwani nawewe huoni manufaa unayoyapata kwa elimu hii ya bure unayopewa yericko??
 
ukitaka kumficha zuzu,weka ujumbe kwenye kitabu. Ndugu yangu sisi tunafaham umuhimu wa kusoma,ndio maana tunakuelewa sana,, "laqad anz'ranaa ilayqum kitaban' fihi dhikri'qum afalaa taa'qiluun'??" tunaambiwa pia ya kwamba,,"hakika tumeshushiwa kwetu sisi kitabu ambacho ndani yake kuna mawaidha kwetu je hatufikirii na kuwa na akili?? Kwa kulitambua hilo hatukuwa wavivu kushughulisha bongo zetu kuichimba chimba elimu yenye manufaa,japo dharau nyingi zipo ya kwamba ni wakimbia shule na wakimbia kusoma,.,ila ukweli sisi hatujausiwa ububusa,, nakufatilia vyema sana ndugu yangu.


Ahsante sana ndugu yangu.

Humu ndani ni lazima tusomeshane ndugu zetu wajue historia yetu.

Nchi yetu kwa sasa iko katika hali ya uhasama wa juu kabisa haijapata kutokea.

Viongozi wetu wanahimiza majadiliano tuepuke balaa hili linalotunyemelea.

Itakuwa vizuri sana kama akina Kadinali Pengo na Malasusa na wengine viongozi wa juu wa kanisa wakasomeshwa historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kwa nini nasema hivi.

Kwa sababu ni muhimu waingie katika mazungimzo na Waislam huku kwanza wakiijua historia ya Kanisa katika kupigania uhuru na vilevile wakajue historia ya Waislam katika harakati zile.

Haya yakiwa peupe mjadala utakuwa mfupi na wenye matunda Insha Allah.
 
Nina assume na ushahidi alioutoa Mohamed Said na wenyewe unaita ni facts.
Leo hii mimi nikikuambia fulani alininong'oneza kitu fulani utayaita hayo maelezo facts?

Tunarudi pale pale ndugu yangu. Research methodology, nakuomba ukasome jinsi ya kufanya research.

Lakini nikwambie kitu, mtu akininong´oneza kitu sitoiita fact. Lakini, watu 10, 20, 30....100 wakiwa wananinong´oneza jambo hilo hilo kuwa ni A, nitawajibika na nitalazimika kuiita kuwa ninacho nong´onezwa ni fact.

Nikuulize kitu. Kwa mtazamo wako, research aliofanya mzee Mohamed Said unadhani amesikiliza simulizi ya mtu mmoja au ya watu wengi?

Na si pia simulizi tu, ametumia sources tafauti katika kuwasilisha kile alichokiuna kwenye research yake.

Nawasilisha
 
"innal batil kanna dha'huuka" NI KWELI SIKU ZOTE KWENYE HAKI NA BATILI,BATILI HUWA NI YENYE KUJITENGA. TUTASHUHUDIA MENGI SANA.
Ahsante Sheikh. Hizo aya za mwisho za Bani Israil.... Mwalimu wangu Sheikh Haruna Allah amuweke pema akisema, ''Vyovyote itakavyokuwa ukiisikiza Qur'an utasikia raha.''
 
Nashukuru kwa kuwasilisha!

Hoja na maswali yako yote nimevijibu katika mnakasha huu tena kwa ufasaha,

Rejea majibizano yangu ya hoja na Mohamed Said post kwa post mpaka hapa tulipo utaona ndugu!

Kaka hujajibu swali, unakwepa.

Published argument inaletwa na published counter argument. Tangu kitabu kichapishwe kwa mara ya kwanza mpaka hii leo, hatujaona kitabu kama hichi kiki counter argue kitabu cha mzee Mohamed Said.

Alichokifanya mzee Mohamed Said ni kuki counter argue kitabu kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni, with facts.

Kwahio kaka, kwa ufupi naomba unijibu kwa ufupi tu kwa kile nilichokuuliza

Nawasilisha
 
Tunarudi pale pale ndugu yangu. Research methodology, nakuomba ukasome jinsi ya kufanya research. Lakini nikwambie kitu, mtu akininong´oneza kitu sitoiita fact. Lakini, watu 10, 20, 30....100 wakiwa wananinong´oneza jambo hilo hilo kuwa ni A, nitawajibika na nitalazimika kuiita kuwa ninacho nong´onezwa ni fact. Nikuulize kitu. Kwa mtazamo wako, research aliofanya mzee Mohamed Said unadhani amesikiliza simulizi ya mtu mmoja au ya watu wengi? Na si pia simulizi tu, ametumia sources tafauti katika kuwasilisha kile alichokiuna kwenye research yake. Nawasilisha

Iko siku nazungumza na rafiki yangu mmoja.

Yeye ni Harvard graduate. Tumejuana katika haya haya mambo ya tafiti na kuandika. Baba yake alisoma Oxford 1945. Nilimpa kitu nilichoandika kuhusu Peter Colmore. (wanaukumbi wanaweza kumtafuta kwenye google).

Akanipigia simu kutoka Washington anakoishi.

Tukazungumza sana maana kilichomgusa sana ni kuwa wale wote niliowataja katika paper ile mimi nikiwajua kabisa wakati ni mdogo.

Nikamwambia kuwa mimi nilipokuwa mtoto wa miaka kama 12 nikimjua Peter Colmore na nikenda hadi ofisini kwake kwani ofisi yake ilikuwa karibu na tulipokuwa tukiishi.

Akaniuliza yaani hawa wote wewe ukiwajua? Nikamwabia sio nikiwajua na wao wakinijua. Kumtuliza nikamwambia kuwa kwa wakati ule hawa walikuwa watu kama watu wengine wakija kwetu kwa baba yangu.

Wakati ule miaka ya 1960 hakuna aliyewaza kuwa haya mambo yatakuja kuwa makubwa kiasi hiki kiasi ukilkhadithia habari zao hii leo uonekane muongo kwa jinsi ya umaarufu wao.

Nikamwambia baba yangu alimjua Nyerere kwa kutambulishwa na Abdu Sykes na wakampokea kama kijana mwenzao.

Baba yangu na Abdu Sykes wakati ule wote walikuwa na miaka 28.

Nyerere alikuwa na umri wa miaka 30 mkubwa kidogo kwao.

Huwa nasema mtoto yoyote yule kama engelizaliwa katika wakati ule na watu hawa basi hii elimu angeipata maana ni vitu nikiviona na
vingine nikihadithiwa.

Ndiyo maana hucheka ninapoambiwa mbona hukumhoji yule na yule na yule.
Niwahoji nini na hao wametoka bara wamakuja Dar es Salaam baba yangu kawaona?

Mimi wazee wangu wananitosha kwa rejea ya historia ya uhuru.

Natafuta kitu nikikipata Insha Allah nitakiweka hapa ukumbini ili tufahamiane vyema.
 
Ahsante sana ndugu yangu. Humu ndani ni lazima tusomeshane ndugu zetu wajue historia yetu. Nchi yetu kwa sasa iko katika hali ya uhasama wa juu kabisa haijapata kutokea. Viongozi wetu wanahimiza majadiliano tuepuke balaa hili linalotunyemelea. Itakuwa vizuri sana kama akina Kadinali Pengo na Malasusa na wengine viongozi wa juu wa kanisa wakasomeshwa historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa nini nasema hivi. Kwa sababu ni muhimu waingie katika mazungimzo na Waislam huku kwanza wakiijua historia ya Kanisa katika kupigania uhuru na vilevile wakajue historia ya Waislam katika harakati zile. Haya yakiwa peupe mjadala utakuwa mfupi na wenye matunda Insha Allah.

Nashawishika kukwambia kuwa juhudi za kanisa katika harakati za Ukombozi zipo na zimetukuka, japokuwa hazisemwe wala kulalamikiwa!

Ukitaka nikushuishie ushiriki wa kanisa nitakushushia bila chembe, na utashangaa kwakuwa hukuwahi kusikia hayo!
 
Yericko Nyerere,

1} Mzee wako alipokuwa hai alikuelezea chochote kuhusu wazee wa kariakoo katika harakati za kutafuta uhuru.

2} Tupe ushahidi kuwa Chifu Maliale ndiyo aliyetoa pesa za kumpeleka Mwalimu Nyerere UN.

3} Kabla Mwalimu Nyerere ajafariki ameishawahi kuuwambia ni nani aliyekuwa rafiki yake kipenzi wakati yupo TANU.
 
Last edited by a moderator:
Swali moja tu kwako bwana Yeriko, je unakubali au unakataa mchango wa waliokua waumini wa dini ya kiislam katika ukombozi wa ukoloni kutoka kwa muingereza?
 
Ndugu wimbi la mbele,
Hizo asilimia hapo kwenye jedwali haziko sawa. Kuna nyingine ni 101% na nyingine ni 99%, hizo tatu za mwanzo kutoka kushoto. Fanya marekebisho kidogo ama pitia upya hizo takwimu za TRA.

According to TRA / HAZINA....


attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Ninashawishika kusema kuwa Yeriko anataka synopsis ya kitabu cha mzee Mohamed Said kupitia mjadala huu. Ninashawishika pia kuwa anachokochoa kwa maksudi ili mzee wetu "atiririke"

Ninashawishika kwamba kitabu hajakisoma. Angekisoma, tungeona maswali mingi huku yakiwa referenced kotoka kwenye kitabu.
 
Ritz,

Ninashawishika kusema kuwa Yeriko anataka synopsis ya kitabu cha mzee Mohamed Said kupitia mjadala huu. Ninashawishika pia kuwa anachokochoa kwa maksudi ili mzee wetu "atiririke"

Ninashawishika kwamba kitabu hajakisoma. Angekisoma, tungeona maswali mingi huku yakiwa referenced kotoka kwenye kitabu.

Naweka hapa chini kitu kuhusu kumbukumbu zangu mimi mwenyewe za utoto nikiishi Dar es Salaam ya 1950/60s nikiwa kijana mdogo sana.

Hebu someni mambo yalivyokuwa:

''I met Peter Colmore in Nairobi at his residence in Muthaiga in 1995.

Muthaiga is where the rich and famous of Nairobi live.

I was introduced to him by his friend, colleague and at one time business partner, Ally Kleist Sykes.

The Sykes need no introduction to many in Tanzania, their father, Kleist was the one who founded the African Association in 1929 and his sons spearhead the struggle for independence during the 1950s.

I was at that time collecting notes and information on important personalities in East Africa, and surely Peter Colmore was one of them.

Since that meeting we striked a friendship of sorts and whenever I was in Nairobi I would call him to say hello and he in turn would invite me to his club, Muthaiga Country Club and there in the lawn we would sit sipping coffee and he would reminiscent of his days in 1950s as a young man living both in Moshi, Dare es Salaam and Nairobi.

The first time for me to set foot in Muthaiga was 1989. I was in Nairobi for a conference and was staying at the 680 Hotel.

It happened that Ally Sykes was also there and was lodging at the Muthaiga Club.

It was evening and I took a taxi asking the driver to take me to Muthaiga Club.

The taxi driver asked what was my business at Muthaiga Club. I told him I was going to see my father who was staying there.

The taxi driver seemed flabbergasted and he asked me again seeming surprised, "Muzee yako anakaa Muthaiga?" Meaning is your old man staying at Muthaiga? I said, "Yes that is where he stays wherever is in town."

He did not add another word.

I later came to know why the Kikuyu taxi driver had put me through that interrogation.

Muthaiga Club was and still is for the filthy rich.

Club members age range between 60 years and 80 and most of them Whites the Black person one sees there is a servant.


I wish to share those moments with others who probably had not known or heard about these extra ordinary personalities.

I would wish to provide the reminiscences to readers through their own lips and from my own recollections from the conversations I had with Ally Sykes and Peter Colmore over the years.

I had known both Ally Sykes and Peter Colmore when I was very young.

We were at that time living in Lindi Street near International Hotel, the hotel still exists today although the house which my father was renting is no longer there its place taken by a high rise building.

Peter Colmore and Ally Sykes had their office just across our house and Peter Colmore whenever when he was in Dar es Salaam he would stay at the International Hotel Annex where he had a permanent room with a placard on the door carrying his name.

I had ventured inside the Annex and it was there that I saw the placard.

This was in early 1960s.

In those days Peter Colmore's name was always in the air waves as promoter and advertiser of many products in the radio through his company High Fidelity Productions.
''
 
Ritz,

Ninashawishika kusema kuwa Yeriko anataka synopsis ya kitabu cha mzee Mohamed Said kupitia mjadala huu. Ninashawishika pia kuwa anachokochoa kwa maksudi ili mzee wetu "atiririke"

Ninashawishika kwamba kitabu hajakisoma. Angekisoma, tungeona maswali mingi huku yakiwa referenced kotoka kwenye kitabu.

kichwakigumu,

Ni kweli hajakisoma nimeishamwambia angekuwa amekisoma wala asingekuja na habari za Adam Sapu, Chifu Maliale, ambao wote wametajwa kwenye hicho kitabu.
 
Last edited by a moderator:
Nashawishika kukwambia kuwa juhudi za kanisa katika harakati za Ukombozi zipo na zimetukuka, japokuwa hazisemwe wala kulalamikiwa!

Ukitaka nikushuishie ushiriki wa kanisa nitakushushia bila chembe, na utashangaa kwakuwa hukuwahi kusikia hayo!

Ikiwa una chochote kipya katika harakati za uhuru zitoe hakuna tatizo.
Hivi ndivyo tutakavyoboresha historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
ahsante sana ndugu yangu.

Humu ndani ni lazima tusomeshane ndugu zetu wajue historia yetu.

Nchi yetu kwa sasa iko katika hali ya uhasama wa juu kabisa haijapata kutokea.

Viongozi wetu wanahimiza majadiliano tuepuke balaa hili linalotunyemelea.

Itakuwa vizuri sana kama akina kadinali pengo na malasusa na wengine viongozi wa juu wa kanisa wakasomeshwa historia ya uhuru wa tanganyika.

Kwa nini nasema hivi.

Kwa sababu ni muhimu waingie katika mazungimzo na waislam huku kwanza wakiijua historia ya kanisa katika kupigania uhuru na vilevile wakajue historia ya waislam katika harakati zile.

Haya yakiwa peupe mjadala utakuwa mfupi na wenye matunda insha allah.


naam.,umeongea vema.

Na waje tubadilishane mawazo na uelewa kiungwana,kama tunavofanya na yericko hapa jamvini.
 
Nashawishika kukwambia kuwa juhudi za kanisa katika harakati za Ukombozi zipo na zimetukuka, japokuwa hazisemwe wala kulalamikiwa!

Ukitaka nikushuishie ushiriki wa kanisa nitakushushia bila chembe, na utashangaa kwakuwa hukuwahi kusikia hayo!

Swadakta. Utakua umefanya la maana sana...maaana tunataka kuboresha kile kilichoandikwa na chuo cha kivukoni.

Utakua umefanya jambo la maaaana sana kaka

Nawasilisha
 
Ndugu wimbi la mbele,
Hizo asilimia hapo kwenye jedwali haziko sawa. Kuna nyingine ni 101% na nyingine ni 99%, hizo tatu za mwanzo kutoka kushoto. Fanya marekebisho kidogo ama pitia upya hizo takwimu za TRA.

According to TRA / HAZINA....


attachment.php

Sidhani kama zimetoka TRA, bila shaka zimetoka msikitini. Hata Quran yenyewe ina makosa ya namna hii hii ya kihisabati.

Kingine cha kushangaza ni kuona watu wanasema kwa machungu fulani anafaidika zaidi, je hizi asilimia si zao la ushiriki wako ktk shughuli za maendeleo?
 
Sidhani kama zimetoka TRA, bila shaka zimetoka msikitini. Hata Quran yenyewe ina makosa ya namna hii hii ya kihisabati.

Kingine cha kushangaza ni kuona watu wanasema kwa machungu fulani anafaidika zaidi, je hizi asilimia si zao la ushiriki wako ktk shughuli za maendeleo?

Mkuu, tunakuomba uwe mstaarabu. Mjadala huu unakwenda vizuri mpaka sasa. Jamaa amemuuliza wimbi la mbele inakuaje statistics zimekosewa. Hakuna sehemu yoyote alotaja Qur-an wala Bibilia. Kwaio tunaomba ushirikiano wako wa kuwa mstaarabu. Premise of this argument is what is said in mzee Mohamed Said´s book and nothing else

Nawasilisha
 
Mkuu, tunakuomba uwe mstaarabu. Mjadala huu unakwenda vizuri mpaka sasa. Jamaa amemuuliza wimbi la mbele inakuaje statistics zimekosewa. Hakuna sehemu yoyote alotaja Qur-an wala Bibilia. Kwaio tunaomba ushirikiano wako wa kuwa mstaarabu. Premise of this argument is what is said in mzee Mohamed Said´s book and nothing else

Nawasilisha

Kweli wewe kichwa chako KIGUMU.

quote_icon.png
By mohamed said

ahsante sheikh. Hizo aya za mwisho za bani israil.... Mwalimu wangu sheikh haruna allah amuweke pema akisema, ''vyovyote itakavyokuwa ukiisikiza qur'an utasikia raha.''

Sasa nakuomba uwe mstaarabu, sawa?
 
Back
Top Bottom