Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Unaweza ukaitaja TANU upendavyo wewe, lakini kwa sasa umejuwa kuwa ilibuniwa Burma na nani vile?
 
Hapo umesema nini?.Hueleweki kabisa.
Umetengeneza theory yako kuhusu waislamu ni nani halafu umejikanyaga kwa kusema waislamu wako kwa mamilioni wasiokubali alama za waislamu ulizozitaja mwanzoni.Sasa waislamu halisi kwa mtazamo wako ni wepi na wepi ndio wengi?.
Mbona hao waislamu wako wa pili uliosema wako kwa mamilioni hatuwaoni hapa JF ?..
 

wewe ndio tunasifiwa kwamba ni muislamu safi! wewe ni muislamu wa documentary au uko kwenye uislamu kwasababu ya wazazi wako ni waislamu kasome vizuri Quran na ujue tafsiri yake usinge andika huu upumbavu hapa hasa hii post mwandishi mkubwa kama wewe unaandika pumba kama hizi umenisikitisha eti documentary halafu kuna mifano ya kweli kuliko Quran ficha huo upumbavu wako na neno upumbavu sio tusi
 

Unaupungufu mkubwa wa kumbukumbu,hoja uliyoijibu hapo ilikuwa hii hapa chini, na si kama unavyojitetea, ndio maana nikakwambia ukiwa husemi ukweli uwe na kumbukumbu, tena ya ziada, ambayo nasikitika kukwambia kuwa wewe kumbukumbu zako ni fupi sana, mpaka unajichanganya mwenyewe.
 
Hivi, nani alikupa wewe kazi ya kuhukumu kuwa nani ni safi na nani si safi?
 
Mkandara,

Uthibitisho wa njama dhidi ya Uislam upo wazi.

Wakirsto wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Uislam.

Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania (1981).

Bergen ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Nyerere dhidi ya Uislam.

Alikuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mimakati kuupa nguvu Ukirsto.

Kitabu hicho kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop Dar es Salaam ilipokuja kudhihirika kuwa kinatoa habari nyeti njama dhidi ya Waislam hadi sasa kitabu hicho marufuku kuingizwa tena Tanzania.

Kuna ushahidi mwingi tu lakini Mkandara huwezi kukubali Nyerere kwako ni zaidi ya Mtume.
 
Last edited by a moderator:

Ume buuugi man. Eti mwenye hisa halafu kishafika Tabata ndio anauliza wakati daladala lake hakutaka liende huko, na yeye yumo humohumo!
 


Mkuu iko hivi,
Waarabu walifika pwani ya Afrika mashariki kwa karne nyingi sana, kabla ya wageni wowote kuja na kilichowaleta ni biashara, japo kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa Waafrica ndio walikuwa wa kwanza kwenda bara Arabia kufanya biashara za kupeleka Madini (Vito) na pembe za ndovu na Vifaru na baada ya biashara kukolea ndio na waarabu wakaanza kuja Afrika mashariki

Wareno walifika pwani ya Africa mashariki kwenye miaka ya 1400, na walikuwa wanakuja wakitafuta njia ya kwenda India kufata viungo (spices), hivyo safari yao walikuwa wakisafiri kwa kuambaa pwani kwa pwani wakipita nchi zote za pwani ya Afica Magharibi na walipofika Angola wakaplan kuweka base pale, kisha wakaenda mpaka south africa pale walipokuta bahari mbili zinaungana na ndipo wakapaita Cape of good hope, kisha wakaanza kupanda kuja juu ya africa na walipofika Mozambique wakaona iko kwa kiasi fulani inacorrespond na Angola (location, latitude, Eastings) hivyo wakaweza point yao (BAse),
wakati wanakaribia pwani ya Tanganyika (Kilwa)walikutana na mashua nyingi sana za wachuuzi wa kiarabu ambao walishakuwa kwenye pwani ya Tanganyika kwa muda mrefu. Na ndipo wareno walipouliza njia ya kwenda india na waarabu ndio waliowaonyesha njia ya kwenda huko na msimu wa kwenda huko(Upepo), na ndipo wale Wareno walipoiita hi bahari ya East Africa kuwa Indian Ocean(Way to India)

Wareno hawakuwa na nia ya kuifanya East Afrika kuwa Koloni lao, kwani Mwarabu alishakuwepo, wao walibase na Mozambique na ile forty Jesus ilikuwa ni Transit point ya kusubiri Upepo wa kupeleka Meli zao India

Sio Rahisi kusema moja kwa moja Mwarabu hakushiriki biashara ya Utumwa, tukizungumzia miaka ya 1800 ni kweli biashara ya utumwa ilikuwa inapigwa vita duniani, lakini kabla ya hapo ilikuwa ni biashara ya Dunia nzima Wazungu, Waarabu, Wayahudi wote walishiriki hiyo biashara

Kuna kizazi cha Waafrika kiko kule India na kilipelekwa na Wareno kule kwa kazi za mashamba na kama Askari
 

Abraham Lincoln:
Huyu ni Rais wa 16 wa USA, ana uhusiano upi na hoja ya Uhuru? labda tungekuwa tunaongelea vita ya wenyewe kwa wenyewe ningekuelewa, ndio ilikuwa wakati wake.

Fidel Castro:
Hivi unaweza kuongea kuhusu Fidel Castro wa zana za kupigania Uhuru bila kumtaja Che Guevara?



Nimekuwekea hao wawili tu ili nisitoke kwenye mjadala, kama utahitaji Historia za Uhuru za hao wengine wote funguwa nyuzi. Naona tatizo lako kubwa ni kuwa hujui kutofautisha historia ya Uhuru wa nchi na "Biography" za watu binafsi.

Hakuna Historia dunia hii inayoongelea mambo ya Uhuru akatajwa mtu mmoja tu. Hata India akitajwa Gandhi katika harakati za Uhuru basi huwezi kumuwacha Nehru.

Hii hoja yako ni dhaifu sana tena sana.
 

Sasa jijibu basi.
Umesema Wareno waliwakuta Waarabu hapa kwa kua walikuwa karne nyingi, karne zote hizo aliwauzia akina nani hao Watumwa ?? Alichukua watumwa kufanya kazi za nyumbani huko bara Arabu. Nashukuru kua umekbali kuwa kweli Waarabu walifanya biashara ya utumwa pwani yetu. Sina maana kama nina chuki na Waarabu lakini nataka tuseme ukweli kwani hata Waafrika(Weusi) huko Misri waliwaweka Waisrael utumwani kwa miaka 400.
 

Hii ofa huyo haiwezi ni mtu wa kuja na kufanya vurugu kisha anaingia "mitini".
 


Mjadala ulinipita kwa muda.

Ngoja nipitie kuona Mkandara anajibu lipi kwa haya.
 
Last edited by a moderator:
kilio changu Kituko,

Waarabu wamefika Tanzania Swahili Coast karne ya kumi Kilwa ilikuwa chini ya Sultan.

Ibn Battuta kafika Kilwa1330.
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana umeongea sana kama unavyoongea sasa hivi, miujiza ya konda na dereva na mwenye hisa! kwi kwi kwi teh teh teh.

Umepewa ofa ya darsa, tafadhali usitunyime ilmu, funguwa nyuzi bana tupate ilmu mbona unakuwa bakhili kiasi hata ilmu hutaki tuipate? Unazijuwa Swadakatu'l Jariah?
 
Mwaka 2005 ukitetea CCM kuwa madarakani siulikua wampigia debe Kikwete?
Tuliokua tunaona mbali toka zamani ukatuona hatuna tunalolijua kwasababu wewe ni bingwa wa kubishana.

.

umesema vizuri; nilimpigia debe si kwa sababu nilikuwa namjua. Nilichokukatilia ni hicho ulichoongeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…