Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni kweli TANU haikuwa ya Nyerere peke yake. Lakini Nyerere personified TANU and you cannot talk about TANU without mentioning Nyerere, whether you like it or not. Hao wengine wote walikuwa na supporting roles tu. Huwezi leo kuwaelevate na kuwa star of the movie.

Unaweza ukaitaja TANU upendavyo wewe, lakini kwa sasa umejuwa kuwa ilibuniwa Burma na nani vile?
 
Ukumbuke pia kuwa litmus test ya Mohammed na wengine wanaoshabikia simulizi lake ni kuwa Muislamu siyo Muislamu kama anapingana na 'wazee wake' Bw. Said au yule ambaye hakubaliani na the revisionist narrative ambayo Mohammed Said ameitengeneza. Ukimsoma sana ni kuwa Waislamu hawawezi kuwemo BAKWATA; na Waislamu ni lazima wakubaliane na kina Ponda na Farid, na lazima waamini uwepo wa dubwasha liitwalo Mfumo Kristu. Muislamu yeyote asiyekubaliana na kumkejeli, kumdunisha au kumbeza baba wa taifa hawezi kuwa Muislamu.

Kwa mtazamo wa hawa Uislamu siyo tena Kumwamini Mungu Mmoja na Mtume wake na haihusiani tena na kujisalimisha kwa Mnyezi Mungu. Kwao Uislamu umegeuzwa kuwa suala la nani anakubaliana na masimulizi ya Mohammed Said nani hakubaliani. Utaona kuwa katika wale wanaokubaliana na masimulizi haya wote wana alama zile zile:


  • a. Kejeli kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere (hawawezi kamwe kujenga hoja bila kumdunisha Nyerere)
  • b. Chuki dhahiri dhidi ya Wakristu (hata kama ni ndugu zao wa damu)
  • c. A revisionist outlook ya historia yetu (Sykes ndiye muasisi wa taifa, Waislamu ndio wapigania uhuru pekee, na Dar-es-Salaam ndio mahali pekee walikotaka uhuru; na Wakristu hawakutaka Uhuru isipokuwa baada ya kukaribishwa na Waislamu wa Dar)
  • d. Wengi (kama siyo wote) bado ni watu wa CCM; chama kile kile kinachodaiwa kuendesha dhulma dhidi ya Waislamu ndicho hicho hicho kinakumbatiwa; serikali ile ile 'iliyounda BAKWATA' ndio hiyo hiyo inatarajia itatue matatizo ya "Waislamu". Utaona pamoja na malalamiko yao yote hutawasikia wanataka kuiondoa CCM madarakani!

Hizo ndizo alama zao...

Bahati mbaya wapo Maelfu kama sio mamilioni ya Waislamu ambao hawajalazimishwa kukubali alama hizi na wanaendelea kunufaika na kulitumikia taifa lao kwa uadilifu mkubwa; bado wanamuenzi Baba wa Taifa na bado wanatambua ushiriiiano wa wazee wote - bila kuwabagua kwa mahali, dini, au rangi - katika kupigania uhuru wa Taifa letu na umoja wetu.
Hapo umesema nini?.Hueleweki kabisa.
Umetengeneza theory yako kuhusu waislamu ni nani halafu umejikanyaga kwa kusema waislamu wako kwa mamilioni wasiokubali alama za waislamu ulizozitaja mwanzoni.Sasa waislamu halisi kwa mtazamo wako ni wepi na wepi ndio wengi?.
Mbona hao waislamu wako wa pili uliosema wako kwa mamilioni hatuwaoni hapa JF ?..
 
Siku zote ukweli hujitenga na uongo.. Hizi habari za kina Mohammed said ni kasumba za wafuasi wa kina Hassan Amir na wengine huko Zanzibar wametokea na kazumba za Sultan.. wamelishwa ujinga sasa wanataka kila mtu aamini kama wanavyoamini wao...


Jana nilikuwa natazama documentary moja kuhusu Dini na hakika kama sipendi kuamini kitu basi documentary ile ingenimaliza kabisa... Inazungumzia The greatest lie ever told ni kuhusu maisha ya Yesu na Moses na mitume kuwa ni utunzi wa watu kughiribu akili zetuna wametoa mifano hai kabisa..Lakini kwa sababu, I believe in God story yoyote ile inayowahusu mitume haiwezi kunighiribu akili, iwe kweli ama sii kweli maadam imani yangu ni kuniweka mimi ktk hadhi ya Ubinadamu tofauti kabisa na mnyama iwe sokwe ama ngamia na najihisi Utu wangu basi nitaendelea kuamini lengo la mitume hao badala ya kashifa hizi..

wewe ndio tunasifiwa kwamba ni muislamu safi! wewe ni muislamu wa documentary au uko kwenye uislamu kwasababu ya wazazi wako ni waislamu kasome vizuri Quran na ujue tafsiri yake usinge andika huu upumbavu hapa hasa hii post mwandishi mkubwa kama wewe unaandika pumba kama hizi umenisikitisha eti documentary halafu kuna mifano ya kweli kuliko Quran ficha huo upumbavu wako na neno upumbavu sio tusi
 
Sikumtaja kwa jina lakini kwa mwenye kufuatilia hoja zangu ataelewa nilikuwa namzungumzia Mohammed Said kwa kusema hivi (...Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....) wewe unadhani nilikuwa natolea mfano nani?

Leo hii ukinambia kuna Udini na Ukabila nitakwambia kweli UPO na kauanzisha Mwinyi, na Kikwete ameshindwa kuukomesha na he is responsible for all what it's happening! nobody else... kama vile zanzibar wanavyoanza kutokea kina Jussa vizazi vya Sultan.

Unaupungufu mkubwa wa kumbukumbu,hoja uliyoijibu hapo ilikuwa hii hapa chini, na si kama unavyojitetea, ndio maana nikakwambia ukiwa husemi ukweli uwe na kumbukumbu, tena ya ziada, ambayo nasikitika kukwambia kuwa wewe kumbukumbu zako ni fupi sana, mpaka unajichanganya mwenyewe.
quote_icon.png
By Barubaru
kama ulivyobainisha hapo nilipo BLUE.

wazungu walitumia Divide and Rule katika kuitawala East Africa na athari zake mpaka leo zinaonekana japo tanganyika mumejitahidi kuzificha.

Kifupi Kenya alitumia ukabila. jambo ambalo mpaka leo linawapeleka.
Uganda alitumia ukabila , jambo ambalo mpaka leo linajidhihirisha na wanalissema wazi wazi.

Tanganyika alitumia UDINI na sababu kubwa nchi ilikuwa na makabila mengi sana lakin dini kuu zilikuwa mbili tu. Na hili japo lilikuwa linafichwa japo akina Dr Silvalon na akina Mohamed said kulibainisha lakin sasa ndio limejitokeza kabisa hadhwarani. Je umesikia yale ya Buseresere?

haya siku zote huwezi kuficha ukweli hata siku moja.
 
wewe ndio tunasifiwa kwamba ni muislamu safi! wewe ni muislamu wa documentary au uko kwenye uislamu kwasababu ya wazazi wako ni waislamu kasome vizuri Quran na ujue tafsiri yake usinge andika huu upumbavu hapa hasa hii post mwandishi mkubwa kama wewe unaandika pumba kama hizi umenisikitisha eti documentary halafu kuna mifano ya kweli kuliko Quran ficha huo upumbavu wako na neno upumbavu sio tusi
Hivi, nani alikupa wewe kazi ya kuhukumu kuwa nani ni safi na nani si safi?
 
Mkandara,

Uthibitisho wa njama dhidi ya Uislam upo wazi.

Wakirsto wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Uislam.

Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania (1981).

Bergen ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Nyerere dhidi ya Uislam.

Alikuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mimakati kuupa nguvu Ukirsto.

Kitabu hicho kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop Dar es Salaam ilipokuja kudhihirika kuwa kinatoa habari nyeti njama dhidi ya Waislam hadi sasa kitabu hicho marufuku kuingizwa tena Tanzania.

Kuna ushahidi mwingi tu lakini Mkandara huwezi kukubali Nyerere kwako ni zaidi ya Mtume.
 
Last edited by a moderator:
Bi. Zubeda hilo Daladala unalolisema mimi sii abiria bali mwenye hisa..hivyo napouliza linakwenda wapi ni kwa sababu linaenda njia ambayo hatukutulipangia liende...Wewe ndiye abiria unayetaka ufike Tabata haraka bila kujali athari za upande wa pili ambao ni kinyume cha sheria na utaratibu tulopewa kibali cha usafiri...Hivyo swala langu hapa sio Tabata ama Kimara bali njia ya usafiri wenyewe..

Ume buuugi man. Eti mwenye hisa halafu kishafika Tabata ndio anauliza wakati daladala lake hakutaka liende huko, na yeye yumo humohumo!
 
Mkandara ipo hivi.
Fort Jesus ilijengwa na Wareno, walifika Pwani ya Kenya (Mombasa) wakitaka kuifanya Kenya kuwa koloni lao, kumbuka hata hapa kwetu walijaribu pia. Wareno walishindwa nguvu ya Waarabu na badae Waingereza pia. Sultan alikuwa protected kwa kua alikubali kuwa chini ya Waingereza Mombasa na Zanzibar.
Waarabu walikuwa wakichukua Watumwa bara kuja kulima mashamba Zanzibar,wengine wakiuzwa kubeba mizigo ya Wazungu (explorer) na wengine kupelekwa bara Arabu kulima (huko Aeabuni kuna maeneo ya kilimo na ufugaji pia) kazi za nyumbani pia.
Baadaye huko Ulaya na Amerika wakapitisha sheria ya kuzuia biashara ya utumwa, mwaka 1822 Sultan wa Zanzibar alisaini mktaba wa kuzuia biashara ya utumwa mbele ya ujumbe toka Marekani na Uingereza. Lakini pamoja na mkataba huo wa kuzuia biashara hiyo haramu bado iliendelee tu hapo Zanzibar.
Mwaka 1873 Sultan Barghash alilazimishwa na Waingereza kusaini tena agizo lingine la kupinga biashara hiyo vinginevyo nguvu za kijeshi zingetumika dhidi yake (Kumbuka Waingerza ndio walikuwa watawala wa Zanz na Kenya, yeye (sultan) alikuwa hana nguvu juu yake.
Katika kuhakikisha hilo linatendeka ndipo wakaanza kujenga kanisa mahali lilipokuwa soko la watumwa, kanisa lilinza kujengwa mwaka 1873 na kukamilika 1883. Sasa ukisema walizwa kanisani unakuwa hujasoma vizuri historia ya Zanzibar. Kanisa lilijengwa kama ishara ya kumalizika kwa biashara hiyo ambayo Ulaya na Amerika tayari walikuwa wameshaikataa.

Hebu jiulize, kumchukua mtumwa toka Bhari aya Hindi uzunguke naye hadi Atlantic ndio anede Marekani na Ulaya wakati kuna watumwa Afrika Magharibi ambapo ni kuvuka bahari tu upo Marekani au Ulaya??. Rahisi ni kutoka nchi za kiarabu kuja Tanzania kwani bahari ni moja tu ya Hindi, ndio mana tulipata Wakoloni wa Kiarabu mapema mno kabla ya Wazungu kwani ni rahisi zaidi. Chukua ramani ya Dunia weka mezani na angalia hizi bahari ninazozitaja hapa , Hindi,Atlantik na Medtereniani. Kumbuka miaka hiyo hapakuwa na ndege ya kukurusha toka zanzibar hadi London kwa masaa machache.


Mkuu iko hivi,
Waarabu walifika pwani ya Afrika mashariki kwa karne nyingi sana, kabla ya wageni wowote kuja na kilichowaleta ni biashara, japo kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa Waafrica ndio walikuwa wa kwanza kwenda bara Arabia kufanya biashara za kupeleka Madini (Vito) na pembe za ndovu na Vifaru na baada ya biashara kukolea ndio na waarabu wakaanza kuja Afrika mashariki

Wareno walifika pwani ya Africa mashariki kwenye miaka ya 1400, na walikuwa wanakuja wakitafuta njia ya kwenda India kufata viungo (spices), hivyo safari yao walikuwa wakisafiri kwa kuambaa pwani kwa pwani wakipita nchi zote za pwani ya Afica Magharibi na walipofika Angola wakaplan kuweka base pale, kisha wakaenda mpaka south africa pale walipokuta bahari mbili zinaungana na ndipo wakapaita Cape of good hope, kisha wakaanza kupanda kuja juu ya africa na walipofika Mozambique wakaona iko kwa kiasi fulani inacorrespond na Angola (location, latitude, Eastings) hivyo wakaweza point yao (BAse),
wakati wanakaribia pwani ya Tanganyika (Kilwa)walikutana na mashua nyingi sana za wachuuzi wa kiarabu ambao walishakuwa kwenye pwani ya Tanganyika kwa muda mrefu. Na ndipo wareno walipouliza njia ya kwenda india na waarabu ndio waliowaonyesha njia ya kwenda huko na msimu wa kwenda huko(Upepo), na ndipo wale Wareno walipoiita hi bahari ya East Africa kuwa Indian Ocean(Way to India)

Wareno hawakuwa na nia ya kuifanya East Afrika kuwa Koloni lao, kwani Mwarabu alishakuwepo, wao walibase na Mozambique na ile forty Jesus ilikuwa ni Transit point ya kusubiri Upepo wa kupeleka Meli zao India

Sio Rahisi kusema moja kwa moja Mwarabu hakushiriki biashara ya Utumwa, tukizungumzia miaka ya 1800 ni kweli biashara ya utumwa ilikuwa inapigwa vita duniani, lakini kabla ya hapo ilikuwa ni biashara ya Dunia nzima Wazungu, Waarabu, Wayahudi wote walishiriki hiyo biashara

Kuna kizazi cha Waafrika kiko kule India na kilipelekwa na Wareno kule kwa kazi za mashamba na kama Askari
 
Sawa, sasa wewe nambie kiongozi yeyote duniani ambaye yeye ndiye aliyeongoza wakati wa harakati za Uhuru hatajwi yeye zaidi japokuwa kuna watu wengine waloshiriki ktk harakati hizo? iwe Abraham Lincon, Castro, Stalin, Nkurumah, Kenyatta au Mao Tse Tung....Mkuu wangu ndivyo historia huandikwa konda na Tingo hawajulishwi kama madereva japo wote ni wamoja..

Abraham Lincoln:
Huyu ni Rais wa 16 wa USA, ana uhusiano upi na hoja ya Uhuru? labda tungekuwa tunaongelea vita ya wenyewe kwa wenyewe ningekuelewa, ndio ilikuwa wakati wake.

Fidel Castro:
Hivi unaweza kuongea kuhusu Fidel Castro wa zana za kupigania Uhuru bila kumtaja Che Guevara?

che_guevara_fidel_castro.jpg


Nimekuwekea hao wawili tu ili nisitoke kwenye mjadala, kama utahitaji Historia za Uhuru za hao wengine wote funguwa nyuzi. Naona tatizo lako kubwa ni kuwa hujui kutofautisha historia ya Uhuru wa nchi na "Biography" za watu binafsi.

Hakuna Historia dunia hii inayoongelea mambo ya Uhuru akatajwa mtu mmoja tu. Hata India akitajwa Gandhi katika harakati za Uhuru basi huwezi kumuwacha Nehru.

Hii hoja yako ni dhaifu sana tena sana.
 
Mkuu iko hivi,
Waarabu walifika pwani ya Afrika mashariki kwa karne nyingi sana, kabla ya wageni wowote kuja na kilichowaleta ni biashara, japo kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa Waafrica ndio walikuwa wa kwanza kwenda bara Arabia kufanya biashara za kupeleka Madini (Vito) na pembe za ndovu na Vifaru na baada ya biashara kukolea ndio na waarabu wakaanza kuja Afrika mashariki

Wareno walifika pwani ya Africa mashariki kwenye miaka ya 1400, na walikuwa wanakuja wakitafuta njia ya kwenda India kufata viungo (spices), hivyo safari yao walikuwa wakisafiri kwa kuambaa pwani kwa pwani wakipita nchi zote za pwani ya Afica Magharibi na walipofika Angola wakaplan kuweka base pale, kisha wakaenda mpaka south africa pale walipokuta bahari mbili zinaungana na ndipo wakapaita Cape of good hope, kisha wakaanza kupanda kuja juu ya africa na walipofika Mozambique wakaona iko kwa kiasi fulani inacorrespond na Angola (location, latitude, Eastings) hivyo wakaweza point yao (BAse),
wakati wanakaribia pwani ya Tanganyika (Kilwa)walikutana na mashua nyingi sana za wachuuzi wa kiarabu ambao walishakuwa kwenye pwani ya Tanganyika kwa muda mrefu. Na ndipo wareno walipouliza njia ya kwenda india na waarabu ndio waliowaonyesha njia ya kwenda huko na msimu wa kwenda huko(Upepo), na ndipo wale Wareno walipoiita hi bahari ya East Africa kuwa Indian Ocean(Way to India)

Wareno hawakuwa na nia ya kuifanya East Afrika kuwa Koloni lao, kwani Mwarabu alishakuwepo, wao walibase na Mozambique na ile forty Jesus ilikuwa ni Transit point ya kusubiri Upepo wa kupeleka Meli zao India

Sio Rahisi kusema moja kwa moja Mwarabu hakushiriki biashara ya Utumwa, tukizungumzia miaka ya 1800 ni kweli biashara ya utumwa ilikuwa inapigwa vita duniani, lakini kabla ya hapo ilikuwa ni biashara ya Dunia nzima Wazungu, Waarabu, Wayahudi wote walishiriki hiyo biashara

Kuna kizazi cha Waafrika kiko kule India na kilipelekwa na Wareno kule kwa kazi za mashamba na kama Askari

Sasa jijibu basi.
Umesema Wareno waliwakuta Waarabu hapa kwa kua walikuwa karne nyingi, karne zote hizo aliwauzia akina nani hao Watumwa ?? Alichukua watumwa kufanya kazi za nyumbani huko bara Arabu. Nashukuru kua umekbali kuwa kweli Waarabu walifanya biashara ya utumwa pwani yetu. Sina maana kama nina chuki na Waarabu lakini nataka tuseme ukweli kwani hata Waafrika(Weusi) huko Misri waliwaweka Waisrael utumwani kwa miaka 400.
 
Mkandara,

Hayo mengine sitayasemea.

Niko na hili la Zanzibar.
Waliopindua serikali si Umma Party.

Lilitoka jeshi kutoka Kipumbwi la Wamakonde wakata mkonge likaingia
Zanzibar kuvamia.

Fungua uzi mpya Insha Allah tuzungumze ya Zanzibar na mapinduzi na
propaganda dhidi ya Waarabu.

Uko tayari?

Hii ofa huyo haiwezi ni mtu wa kuja na kufanya vurugu kisha anaingia "mitini".
 
Mkandara,

Tatizo lenu huwa hamasomi vitu mnavyoandika ila juu juu tu.

Tuanze na Lincoln.
Hebu pitia American Civil War.

Fidel Castro hebu soma toka wanaanza safari na Granma hadi
Sierra Maestra.

Stalin soma ''Kruschev Remembers.''
Nkrumah soma ''Nkrumah of Ghana.''

Kenyatta kamsome Bildad Kagia ''Roots of Freedom.''
Mao hebu pitia historia ya ''The Long March.''

Ukimaliza kasome ''Historia ya TANU'' cha Kivukoni College.
Sasa ukishapita kote huko njoo hapa jamvini tujadili.

Hapo utaweza kuweka hiyo mifano yako ya konda na Tingo
uone kama inaenea.


Mjadala ulinipita kwa muda.

Ngoja nipitie kuona Mkandara anajibu lipi kwa haya.
 
Last edited by a moderator:
kilio changu Kituko,

Waarabu wamefika Tanzania Swahili Coast karne ya kumi Kilwa ilikuwa chini ya Sultan.

Ibn Battuta kafika Kilwa1330.
 
Last edited by a moderator:
Nimeandika sana juu ya hili hapa JF, hivyo sitozungumzia tena harakati za Mapinduzi ya Zanzibar maana najua kiini chake na sii historia iloandikwa na upande wowote kujikweza. Hao Wamakonde kati yao nani aloingia madarakani?

Nachozungumzia hapa ni hii hulka ya kuwagawa watu badala ya kuwaunganisha sijui nani kauleta Uhuru. Waislaam na Wakristu sote tulikuwa bus moja, ukianza kusema Wakristu walikaa nyuma ya bus tayari unaanzisha hoja yenye mgogoro...

Inawezekana umeongea sana kama unavyoongea sasa hivi, miujiza ya konda na dereva na mwenye hisa! kwi kwi kwi teh teh teh.

Umepewa ofa ya darsa, tafadhali usitunyime ilmu, funguwa nyuzi bana tupate ilmu mbona unakuwa bakhili kiasi hata ilmu hutaki tuipate? Unazijuwa Swadakatu'l Jariah?
 
Mwaka 2005 ukitetea CCM kuwa madarakani siulikua wampigia debe Kikwete?
Tuliokua tunaona mbali toka zamani ukatuona hatuna tunalolijua kwasababu wewe ni bingwa wa kubishana.

.

umesema vizuri; nilimpigia debe si kwa sababu nilikuwa namjua. Nilichokukatilia ni hicho ulichoongeza...
 
Back
Top Bottom