Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Boss wake alikuwa nani? wewe hujui kuwa katiba ya Tanzania waziri hawezi mpinga bosi wake? Udikteta mtupu.

Nilikwambia unafanya makusudi kuharibu mjadala uliowalemea vibaya sana. Sasa ukileta hoja hii sikujibu, funguwa nyuzi kama bado unataka kuendeleza hii ligi.
 
Jasusi,

Barrick wanamiliki migodi mingapi Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Bosi wake alikuwa Ali Hasan Mwinyi. Go figure!
 
Hii habari haikuwa uzushi. Kuna vijana wanne wa usalama wa taifa waliingia na baadhi ya masanduku hayo Musoma lakini wakashtukizwa nayo. Polisi waliitwa wakaondoka nao lakini mpaka leo sijasikia kesi yoyote. Unadhani mwizi atajichunguza mwenyewe?

Mbona Katibu wenu alidai ni Tunduma?
 
Mbona Katibu wenu alidai ni Tunduma?
Hebu sikiliza kwa makini. Yaliingizwa Tunduma kutoka Afrika kusini. Watu wa TRA wakaita polisi. Polisi wakalizima hilo suala wakatokomea nayo kusikojulikana. Baadhi ya masanduku hayo yalikamatwa Musoma. Bahati nzuri watu waliokuwa macho pale walizuia yasiingizwe kwenye mfumo wa uchaguzi, na ndio maana Chadema walishida pale. Umeelewa?
 
Ritz,
Labda nikuulize wewe. Najua Bulyankulu, Tulawaka, Nyamongo na mingine jazia wewe.

Mimi naijua Mara Gold Mine 2002

Buzwagi Gold Mine 2009

Bulyanhulu.

Tulawaka Mine 2005

North Mara Gold Mine 2002

Buzwagi Gold Mine 2009

Nani aliingia mikataba kwenye hii migodi na Geita Gold Mine unamilikiwa na nani na nani aliingia mkataba.
 
Baada ya kusoma michango mbalimbali na kufuatilia uzi huu nimegundua yafuatayo:
1. Truth is such an elusive concept
2. Most times we dont knw what to do with the truth when we get it (if we ever get it)
3. Nimeona tuna hazina ya watanzania wenye ueledi sana katika kujenga na kutetea hoja
4. Weledi huu wa wachangiaji wachache hapa jamii forums (naamini Tanzania inao wengi na wengi hawaji hapa kuchangia mada mbalimbali) haujatumika ipasavyo ktk kuifikisha nchi hii kule tunakotaka kufika. Mfano mrahisi ni mwanga, ukiwa haujawa focused unakua hauna nguvu sana, ila ukiwa focused ndio tunapata Laser beams.

Baada ya hayo, nauliza yafuatayo na mnijibu kwa weledi wenu huo huo mnaofanyia uchambuzi mambo mbali mbali humu ndani:
1. Lini mtaacha kupoteza muda kuutafuta ukweli ktk historia na kuelekeza jitihada zenu katika kuujenga ukweli wa Tanzania ya miaka 500 ijayo?
2. Kama mna weledi kama huu ambao ni tunu, vipi mnaruhusu watanzania wasio na weledi na uelewa kama waliopo madarakani kwa sasa kukamata madaraka adhimu ya nchi yetu kutupeleka kule tusikotaka kwenda?
3. Lini mtajifunza (kama hamjajifunza bado) kumsifu ama kumkashifu kiongozi kwa kuegama moja kwa moja kwenye kazi yake ya uongozi na si kwenye Dini ama Kabila lake? Muislamu umchambue na kumkosoa kiongozi kwa mapungufu yake kiuongozi, usimtetee tu kwakua ni Muislam mwenzako,hali kadhali Mkristo vivyo hivyo?
 
Hii habari haikuwa uzushi. Kuna vijana wanne wa usalama wa taifa waliingia na baadhi ya masanduku hayo Musoma lakini wakashtukizwa nayo. Polisi waliitwa wakaondoka nao lakini mpaka leoa sijasikia kesi yoyote. Unadhani mwizi atajichunguza mwenyewe?
haya wafuasi wa kontena la futi arobaini mnaongezeka
 
Sipo teyari....ila unatafutwa na wewe mwenyewe unajua. So stay tuned
 
Wewe ni futuhi wetu humu JF wala hautupi shida kila soko lolote lazima liwe na wehu haswa msimu wa maembe.
Wewe ni mbulula na poyoyo mfia dini aka kituko kifafa cha JF. Je unalingine?
 
Mimi naijua Mara Gold Mine 2002

Buzwagi Gold Mine 2009

Bulyanhulu.

Tulawaka Mine 2005

North Mara Gold Mine 2002

Buzwagi Gold Mine 2009

Nani aliingia mikataba kwenye hii migodi na Geita Gold Mine unamilikiwa na nani na nani aliingia mkataba.
Kumbe ulikuwa unauliza kitu unachokijua? Tueleze basi ni nani aliingia kwenye mikataba ya migodi hiyo na nani anbamiliki Geita God Mine. I think you know more than I do.
 
Naona umesahau kuwa mzee wa kanisa Mkapa ndiye aliingia mikataba na Barick na Anglo gold. Ardhi ya Bulyanhulu ilikuwa ya kanisa katoliki ya kilimo, vipi?
Mikataba ya Barrick aliisaini Kikwete akiwa waziri wa madini. Hiyo kaisema mwenyewe na kujipiga kifua katika hotuba aliyoitoa Afrika kusini February 2007 ( Indaba 2007) Pia usisahau urafiki wake na mkuu wa Barrick Sinclaire...
Bosi wake alikuwa Ali Hasan Mwinyi. Go figure!

Kazi kweli kweli!
 

Ulinzi na uhifadhi wa historia ya nchi hauchokwi na hauna likizo kamwe,

Tutaijenga na kuilinda ukweli huu ukiwa huru.
 
Sipo teyari....ila unatafutwa na wewe mwenyewe unajua. So stay tuned

BD,

Dar es Salaam hii mie si wa kutafutwa.

Kuanzia email, street address you name it
vinajulikana.

Kubwa zaidi hata jiwe ukiliuliza, ''We jiwe
nifahamishe Mohamed anakaa wapi?''

Jiwe litakuelekeza nyumbani kwangu.

Hizo propaganda unazotaka kuzileta
hapa jamvini ni za kizamani sana.

Hata hao waliokuwa wanazitumia wote
wameshatangulia mbele ya haki.

Umeogopa kufungua uzi nikupe mimi na akina
Sheikh Faridi, Sheikh Mselem bin Ali, Sheikh
Ponda na wengine tunajuana sasa zaidi ya miaka 30.

Wala hili si jambo la siri.

Usiogope nataka nikupe taarifa zangu za Iran na Waislam
wengine duniani...kila kitu kuhusu mimi na ndugu zangu
Waislam.

We si unaona hivi ni vitu hatari Tanzania na vinatisha
na serikali hairuhusu vipi mie nakupa ofa sasa unagwaya?

Fungua uzi tufanye mjadala.
Chukua ofa hii usiiache.

Nakusihi tafadhali chukua ofa hii.
 
Bosi wake alikuwa Ali Hasan Mwinyi. Go figure!

Nisome juu huko, nilisema huyo ni kikaragosi cha kwanza cha Nyerere. Umesahau? lakini mwaka 2000 hakuwa boss wa Kikwete mwaka 2000 uliposainiwa mkataba wa Barrick:

"From a standing start and zero production in the year 2000, we are proud to be Tanzania's largest gold producer today." Source: http://www.africanbarrickgold.com/about-us/history.aspx
 


Nadhan atachukua,
Kama hataki ni khiyari yake,,
 

Mikataba ya Barrick imesainiwa kati ya 1993 na 1995 which means mazungumzo yalianza long kabla ya hapo. Wameanza production 2000. Lakini wameingia Bulyankulu tangu 1996 wakati raia wetu walipofukuzwa na wengine kuzikwa hai, kwa mujibu wa LEAT.
 

Uliisahau nimekuongezea hiyo ya mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…