zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Mikataba ya Barrick aliisaini Kikwete akiwa waziri wa madini. Hiyo kaisema mwenyewe na kujipiga kifua katika hotuba aliyoitoa Afrika kusini February 2007 ( Indaba 2007) Pia usisahau urafiki wake na mkuu wa Barrick Sinclaire, na Joseph Kahama, ambaye naye anamiliki migodi ya dhahabu na ana cheo kikubwa tu kwenye kampuni hiyo. Ardhi ya Bulyankulu ilikuwa ya wachimbaji wadogo wadogo ambao walifukuzwa na wengina kufukiwa wazima wazima, kwa mujibu wa LEAT. Lakini hii ya kwako kumtetea Kikwete sishangai kwani nyote ni Islamists na mnaona ameanza kutekeleza matakwa yetu. Tuna macho.
Boss wake alikuwa nani? wewe hujui kuwa katiba ya Tanzania waziri hawezi mpinga bosi wake? Udikteta mtupu.
Nilikwambia unafanya makusudi kuharibu mjadala uliowalemea vibaya sana. Sasa ukileta hoja hii sikujibu, funguwa nyuzi kama bado unataka kuendeleza hii ligi.
