Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Ritz, naona ulikuwa mtoro darasani hukuweza kufuatilia kwa makini aliyoyakiri mwalimu wako, mchochezi Mohamed Said, pale ambapo alibanwa. Hata hivyo kwa ufahamisho wako, viongozi wa juu wa AA ilipoasisiwa mwaka 1929 ni hawa:Mag3, Tatizo lako una chuki sana na hawa wazee wazalendo wa Dar es Salaam uwezi kuwatoa hawa wazee kwenye historia ya Tanganyika.
Cecil Matola siyo rais wa kwanza AA. Rais wa kwanza wa AA ni Thomas Plantan mwaka 1949.
- Cecil Matola - President
- Ramadhani Ali - Vice President
- Kleist Sykes Plantan - Secretary
Last edited by a moderator: