zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Nilihitaji maoni ya mzee Mohamed Saidi sio wewe mfuasi wake ambaye umezipeleka akili zako likizo!
Ungem pm kama hutaki mjadala wa wazi. Au hujui maana ya "Jamii"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilihitaji maoni ya mzee Mohamed Saidi sio wewe mfuasi wake ambaye umezipeleka akili zako likizo!
Unateseka bure kwa sababu ya ujinga na imani potofu iliyojaa akilini mwako! hii ngoma sio yako, mwachie Mohamed mwenyewe aicheze kwani hata nyimbo anazijua, wewe mgonjwa nenda katibiwe usimharibie!Ya ilunga na Mohamed said yanaingiliana vipi?
Inaonesha una njaa hadi kwenye ubongo,bila shaka hata kifungua kinywa hujajaliwa..
Pole sana..
Naona wote humu mmeisahau kwa makusudi kabisa hii mada:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...e-rise-of-muslim-militancy-in-tanzania-3.html
Unateseka bure kwa sababu ya ujinga na imani potofu iliyojaa akilini mwako! hii ngoma sio yako, mwachie Mohamed mwenyewe aicheze kwani hata nyimbo anazijua, wewe mgonjwa nenda katibiwe usimharibie!
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.
Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.

Si tulikuuliza kama Cecil Matola alikuwepo ukasema hujui unachojua ni msiba wake 1939! Tukasema Mag3 kaweka hoja, je, mzee unasemaje? ukasema huna, unachojua ni Sykes to Sykes sasa vipi unakanusha uwepo wa Ramadhani! Hebu tufafanulie maana tunataka ''darsa''. Ramadhani Ali hakuwepo kama usemavyo, je, huyu Cecil Matola alikuwepo na alikuwa na role gani!

Mshaamuwa kuleta ufataani kabla hata hamjajuwa ni nani na kwani huyo mchungaji wa kondoo kauliwa. Obama hoax, alifia siku nyingi kwa amri ya Mungu. Wala hatishwi Muislaam kwa ujinga wenu.
Nawaalika Harusi:
![]()
N,
Ndugu yangu mie si mtu wa mijadala ya staili hiyo yako
ya "ulisema hivi ulisema vile."
Una haki ya kuamini upendacho kwani kuna tatizo gani?
Huna uwezo huo, labda ukikaa na wafia dini wenzako unaweza kuwadanganya kwamba wanaonewa na NECTA wakakuamini! Unayoyaandika hapa hayakutofautishi na mtu asiyeenda shule anayeshinda anakunywa gongo na kujinasibu kuwa ni msomi aliyebobea. Ungekuwa na akili timamu hakika usingeleta ujinga na upuuzi kama huu;Dawa ya vichwa vigumu kama vyako visivojielewa na vinavopenda kudakia dakia mambo yenye mantiki ni watu kama sisi,
Na tutakupa muarubain,utake usitake utaunywa hata kama ni mchungu,hatuwez kukuacha wala kukubakisha huku tukikuona huna maarifa kichwani na una nia ya kuharibu maudhui ya mada na ilmu inayomwaga na Mohamed Said humu ndani,
Sisi kazi yetu ni kufunza adabu watu walioshindikana kama ninyi,na bila shaka mtanyooka tuh..
Unaysema haya leo baada ya jakaya kuingia madarakan au?
Umesahau zama zilizopita?
Saiz sote tutakula sebulen,na sio wengine mle chakula sebulen na wengine tuwe tunalia chakula jikon,zama hizo Tunazirudisha kwenye msawazo,tuish kindugu kama zamani..,
Nakuunga mkono mkuu.wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.
Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.
MM,
Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.
Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.
Huna uwezo huo, labda ukikaa na wafia dini wenzako unaweza kuwadanganya kwamba wanaonewa na NECTA wakakuamini! Unayoyaandika hapa hayakutofautishi na mtu asiyeenda shule anayeshinda anakunywa gongo na kujinasibu kuwa ni msomi aliyebobea. Ungekuwa na akili timamu hakika usingeleta ujinga na upuuzi kama huu;
Mzee Said unapenda Wakristo na Waislam wa Tanzania waishi kama ndugu na jamaa moja bila kuwa na husuda, chuki na uhasama baina yao? Au unapenda faraka kati yao iendelee?
Mzee Said unapenda Wakristo na Waislam wa Tanzania waishi kama ndugu na jamaa moja bila kuwa na husuda, chuki na uhasama baina yao? Au unapenda faraka kati yao iendelee?
MM,
Sasa nikuulize haya yote yalivurugwa na nani na kwa sababu gani?
Nimekuuliza swali linalokuhusu wewe unakuja na stori ndefuuuuu.. wewe unataka mahusiano mema baina ya Wakristu na Waislamu au unapenda uhasama uwepo ? Ni swali jepesi tu... vitabu vyako havijibu swali hili.