Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ya ilunga na Mohamed said yanaingiliana vipi?
Inaonesha una njaa hadi kwenye ubongo,bila shaka hata kifungua kinywa hujajaliwa..
Pole sana..
Unateseka bure kwa sababu ya ujinga na imani potofu iliyojaa akilini mwako! hii ngoma sio yako, mwachie Mohamed mwenyewe aicheze kwani hata nyimbo anazijua, wewe mgonjwa nenda katibiwe usimharibie!
 
Dawa ya vichwa vigumu kama vyako visivojielewa na vinavopenda kudakia dakia mambo yenye mantiki ni watu kama sisi,
Na tutakupa muarubain,utake usitake utaunywa hata kama ni mchungu,hatuwez kukuacha wala kukubakisha huku tukikuona huna maarifa kichwani na una nia ya kuharibu maudhui ya mada na ilmu inayomwaga na Mohamed Said humu ndani,
Sisi kazi yetu ni kufunza adabu watu walioshindikana kama ninyi,na bila shaka mtanyooka tuh..
 
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.

Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.

Nguruvi3,

Naona umegeuka msemamaji wa FBI wewe unaongelea tukio la Padri kupigwa risasi tu wala hatujakusikia ukiongelea Sheikh aliomwagiwa tindikali au yule polisi aliochinjwa au yote kasababisha Mohamed Saidi.

Kugombea kuchinja kule Mwanza kasababisha Mohamed.

Wale Wakirsto kule Sumbawanga walifukuzwa Kanisani kwa kuipigia kura CCM alisababisha Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.

Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.

Mshaamuwa kuleta ufataani kabla hata hamjajuwa ni nani na kwani huyo mchungaji wa kondoo kauliwa. Obama hoax, alifia siku nyingi kwa amri ya Mungu. Wala hatishwi Muislaam kwa ujinga wenu.

Nawaalika Harusi:
janetjacksonhijab4.jpg

Si tulikuuliza kama Cecil Matola alikuwepo ukasema hujui unachojua ni msiba wake 1939! Tukasema Mag3 kaweka hoja, je, mzee unasemaje? ukasema huna, unachojua ni Sykes to Sykes sasa vipi unakanusha uwepo wa Ramadhani! Hebu tufafanulie maana tunataka ''darsa''. Ramadhani Ali hakuwepo kama usemavyo, je, huyu Cecil Matola alikuwepo na alikuwa na role gani!

Tulidhani utakuja na jibu kuhusu Ramadhani All alikuwa na nafasi gani AA.

Kama mnajua historia ya AA zama ili ufahamu Ramadhani Mshando alikuwa ni nani.
 
Si tulikuuliza kama Cecil Matola alikuwepo ukasema hujui unachojua ni msiba wake 1939! Tukasema Mag3 kaweka hoja, je, mzee unasemaje? ukasema huna, unachojua ni Sykes to Sykes sasa vipi unakanusha uwepo wa Ramadhani! Hebu tufafanulie maana tunataka ''darsa''. Ramadhani Ali hakuwepo kama usemavyo, je, huyu Cecil Matola alikuwepo na alikuwa na role gani!

N,

Ndugu yangu mie si mtu wa mijadala ya staili hiyo yako
ya "ulisema hivi ulisema vile."

Una haki ya kuamini upendacho kwani kuna tatizo gani?
 
Mshaamuwa kuleta ufataani kabla hata hamjajuwa ni nani na kwani huyo mchungaji wa kondoo kauliwa. Obama hoax, alifia siku nyingi kwa amri ya Mungu. Wala hatishwi Muislaam kwa ujinga wenu.

Nawaalika Harusi:
janetjacksonhijab4.jpg

Mashaalah...
 
Dawa ya vichwa vigumu kama vyako visivojielewa na vinavopenda kudakia dakia mambo yenye mantiki ni watu kama sisi,
Na tutakupa muarubain,utake usitake utaunywa hata kama ni mchungu,hatuwez kukuacha wala kukubakisha huku tukikuona huna maarifa kichwani na una nia ya kuharibu maudhui ya mada na ilmu inayomwaga na Mohamed Said humu ndani,
Sisi kazi yetu ni kufunza adabu watu walioshindikana kama ninyi,na bila shaka mtanyooka tuh..
Huna uwezo huo, labda ukikaa na wafia dini wenzako unaweza kuwadanganya kwamba wanaonewa na NECTA wakakuamini! Unayoyaandika hapa hayakutofautishi na mtu asiyeenda shule anayeshinda anakunywa gongo na kujinasibu kuwa ni msomi aliyebobea. Ungekuwa na akili timamu hakika usingeleta ujinga na upuuzi kama huu;
Unaysema haya leo baada ya jakaya kuingia madarakan au?
Umesahau zama zilizopita?
Saiz sote tutakula sebulen,na sio wengine mle chakula sebulen na wengine tuwe tunalia chakula jikon,zama hizo Tunazirudisha kwenye msawazo,tuish kindugu kama zamani..,
 
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.

Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.

Nguruvi,

Ndiyo nasema fungueni uzi mpya tuelimishane.

Nilikuwa sijatoa yote ya Wamarekani.

Baada ya ile paper ya Chuo Kikuu Cha Ibadan
inaelekea nilipewa nembo ya "sympathiser" wa
ugaidi.

Taarifa zikaletwa nyumbani kwa kutaka habari
zangu zaidi.

Taarifa zikenda pamoja na "huyu si mnazo mpaka
cuttings zake za makala akiandika na Africa Events
hapo Library of Congress Washington DC?"

Nashuka na Emirates kutokea Tehran 2007 nikakamatwa
uwanja wa ndege kwa mahojiano na vyombo vya usalama...

Nikatoa darsa zuri sana...

Na kejeli walinipa kiasi changu mathalan du we mtu wa Kariakoo
lakini inaonekana shule yako nzuri...

Vipi unajulikana na kualikwa nje nk. nk. nk.
 
MM,

Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.

Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.

Mzee Said unapenda Wakristo na Waislam wa Tanzania waishi kama ndugu na jamaa moja bila kuwa na husuda, chuki na uhasama baina yao? Au unapenda faraka kati yao iendelee?
 
Huna uwezo huo, labda ukikaa na wafia dini wenzako unaweza kuwadanganya kwamba wanaonewa na NECTA wakakuamini! Unayoyaandika hapa hayakutofautishi na mtu asiyeenda shule anayeshinda anakunywa gongo na kujinasibu kuwa ni msomi aliyebobea. Ungekuwa na akili timamu hakika usingeleta ujinga na upuuzi kama huu;

Do not cry mr..

Jaribu Kuwa mvumilivu na please futa machozi..
 
Mzee Said unapenda Wakristo na Waislam wa Tanzania waishi kama ndugu na jamaa moja bila kuwa na husuda, chuki na uhasama baina yao? Au unapenda faraka kati yao iendelee?

MM,

Soma kitabu changu uone vipi wazee wangu walivyowaingiza Wakristo katika
harakati za kudai uhuru.

Anza na Dar es Salaam utakutana na Sheikh Hassan bin Amir.
Kisha nenda Jimbo la Kusini ambako Kanisa Katoliki lilikuwa na
nguvu.

Huko utakutana na Suleiman Masudi Mnonji soma habari zake
na wenzake nini walifanya kuwavuta Wakristo kuingia TANU.

Ukitoka hapo nenda Central Province ukutane na Mzee Omar Suleiman
na wenzake uone kazi waliyofanya.

Kisha ingia Western Province utakutana na akina Mzee Fundi Muhindi.

Unadhani juhudi zote hizo za kuwaingiza Wakristo katika TANU nini ilikuwa
shabaha yake?

Hivi hujiulizi kwa nini Baraza la Wazee wa TANU New Street lilimuunga mkono
Nyerere na ilipokuja fitna ya AMNUT walisimama kidete kuipiga vita?

Unadhani haya yote wazee wangu walifanya kutafuta nini?

Nia na madhumuni yao ilikuwa kutafuta umoja wa Watanganyika.

Sasa nikuulize haya yote yalivurugwa na nani na kwa sababu gani?
 
Nimekuuliza swali linalokuhusu wewe unakuja na stori ndefuuuuu.. wewe unataka mahusiano mema baina ya Wakristu na Waislamu au unapenda uhasama uwepo ? Ni swali jepesi tu... vitabu vyako havijibu swali hili.
 
Kama hujaelewa majibu yale uliyopewa basi ni wazi sasa uko too personal..
 
Back
Top Bottom