Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mag3, Tatizo lako una chuki sana na hawa wazee wazalendo wa Dar es Salaam uwezi kuwatoa hawa wazee kwenye historia ya Tanganyika.
Cecil Matola siyo rais wa kwanza AA. Rais wa kwanza wa AA ni Thomas Plantan mwaka 1949.
Ritz, naona ulikuwa mtoro darasani hukuweza kufuatilia kwa makini aliyoyakiri mwalimu wako, mchochezi Mohamed Said, pale ambapo alibanwa. Hata hivyo kwa ufahamisho wako, viongozi wa juu wa AA ilipoasisiwa mwaka 1929 ni hawa:

  1. Cecil Matola - President
  2. Ramadhani Ali - Vice President
  3. Kleist Sykes Plantan - Secretary
Watu hushindwa mitihani hivi hivi halafu wanalaumu mfumoKristo.
 
Last edited by a moderator:

Mzee mwenzangu unadhani inajalisha ukimwambia ilianzishwa 1929? Yeye kaamini kuwa ni 1949 basi ndiyo hivyo. Wapo wanaoamini kabisa kuwa harakati za Uhuru zilifanywa na watu wa Dar peke yao...
 
Mag3,

Katika waasisi wa AA hakuna jina la Ramadhani Ali.
Pitia rejea zote hutokuta jina hilo.

Huenda umechanganya majina.
 
Mag3,

Hakuna jina la Ramadhani Ali katika waasisi wa AA 1929.
Huenda umechanganya majina.

Unaweza kupitia vitabu na paper za John Iliffe kuhusu AA
kujiridhisha.
 
Mzee mwenzangu unadhani inajalisha ukimwambia ilianzishwa 1929? Yeye kaamini kuwa ni 1949 basi ndiyo hivyo. Wapo wanaoamini kabisa kuwa harakati za Uhuru zilifanywa na watu wa Dar peke yao...

MM,

Usipende kusema jambo bila kutafakari.

Kitabu changu kuna sehemu ya pili nimeeleza TANU
katika majimbo na nimefika hadi TANU Mombasa, Kenya.
 
Mzee mwenzangu unadhani inajalisha ukimwambia ilianzishwa 1929? Yeye kaamini kuwa ni 1949 basi ndiyo hivyo. Wapo wanaoamini kabisa kuwa harakati za Uhuru zilifanywa na watu wa Dar peke yao...

Usipende kudandia kila jambo mbona nimeandika mengi tu kuhusu AA kukosea kuandika mwaka ndiyo unapata sababu. Tutajie wewe basi viongozi wa AA kama unawajua.
 
Naelewa kwa nini inakuwa vigumu kwa baadhi yenu kuamini ukweli kama unatofautiana na dhana zenu. Yes, Barrick came to Tanzania in 1977 seeking to mine gold but left after Nyerere gave them stiff terms.

Na walirudi Nyerere bado yupo kwa maandiko yako mwenyewe, hapo sasa!
 
Naelewa kwa nini inakuwa vigumu kwa baadhi yenu kuamini ukweli kama unatofautiana na dhana zenu. Yes, Barrick came to Tanzania in 1977 seeking to mine gold but left after Nyerere gave them stiff terms.

Jasusi

Geita Gold Mine unamilikiwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
Dullah,

Huyu ni mtu wa ovyo sana.
Anadhani mimi anaweza kunitisha...

Anifikishe mahali niwakane ndugu zangu Waislam.
Mpuuzi sana huyu.

Hatazami watu wa kutisha?
Dar es Salaam hii mimi wa kutafutwa kwani sijulikani?

Mtego wake umekamata chui badala ya paa.

Anaogopa sasa hata kuusogelea mtego wake.
Kaka umehamaki, 'by the way', unasemaje kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ambapo 60% wamepata DIV-0, bado unadhani waislam wamefelishwa makusudi?
 
Nyerere alipokuwepo ilikuwa idadi ipi?
 
Mag3,

Hakuna jina la Ramadhani Ali katika waasisi wa AA 1929.
Huenda umechanganya majina.

Unaweza kupitia vitabu na paper za John Iliffe kuhusu AA
kujiridhisha.

Siku hizi wana msemo; "kaingia mitini".
 
Back
Top Bottom