Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Anaefata kanisa la papa mkatoliki wa roma au sio? sasa hapo wewe na nasara aliyetajwa ni wapi na wapi?
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...
 
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...

ha haa haaa! Ukiona matusi yanaanza hujue hoja zimeisha...si wewe ndiyo uliokuwa unaleta picha za mabucha yenu ya kikristo na waraka wenu mlioutegeneza wa kukashifu Uislam...huyo ndiyo zomba, utatosha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nilihitaji maoni ya mzee Mohamed Saidi sio wewe mfuasi wake ambaye umezipeleka akili zako likizo!

"we disagree profoundly with every word that you say,but we shall defend unto death your right to say it because we know that you are KIHIYO..,SOMETIMES YES,SOMETIMES NO..
 
Siku hizi wana msemo; "kaingia mitini".

Huyu kurudi tena saizi itakuwa ngumu jamaa yake Mwanakijiji alikuwa anatetea hilo bandiko bahati mbaya naye kumbe hajui lolote kuhusu viongozi wa AA.
 

MM,

Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.

Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.
 
MM,

Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.

Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.


Mwanakijiji is Exagurating ..
Ajifunze kubalance mihemko yake..
 
Na matokeo yametoka na tumeshayafanyia preliminary examination, kwakweli ni aibu sana kwa mzee wetu. Tutaweka hapa kudhihirisha kuwa mfumokristo aliouasisi na ambao unatumika kuleta taabu, dhiki, vifo, majonzi na simanzi kwa watu ni balaa kubwa.
Mwenyezi mungu ni mkubwa maana utashangaa ukiona kile kinachodaiwa na kile kilichotokea.
 

Fafanua vizuri ueleweke.
 
Unaweza ukaweka UZI ukawa taarifa, hoja, swali, fununu, chochote funguka kuwa huru.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mohamed, jiweke mahala pa ndugu waliopoteza jamaa yao, ukisikiliza hotuba na mawaidha ya sheikh Ilunga juu ya kisasi utajisikiaje?
 



SECTION 129 OF THE PENAL CODE PROVIDES;
"
Any person who,with the deliberate intention of wounding the religious feelings of any person,utters any word,or makes any sound in the hearing of that person,or makes any gesture in the sight of tha person or places any object in the sight of that person,is guilty of a misdemeanour.and is liable to imprisonment for one year"

UNAKUMBUKA HIYO??
 
Mzee mwenzangu unadhani inajalisha ukimwambia ilianzishwa 1929? Yeye kaamini kuwa ni 1949 basi ndiyo hivyo. Wapo wanaoamini kabisa kuwa harakati za Uhuru zilifanywa na watu wa Dar peke yao...
Haa! MM sasa akisema harakati za uhuru zimefanyika bara si kitabu kitapoteza maana iliyokusudiwa.
Hata kisarawe ni utata, uhuru umepatikana kwa jitihada za Tandamti, kipata, Gerezani na mchikichi chini ya Masheikh bwana!
 
Mzee Mohamed, jiweke mahala pa ndugu waliopoteza jamaa yao, ukisikiliza hotuba na mawaidha ya sheikh Ilunga juu ya kisasi utajisikiaje?

Ya ilunga na Mohamed said yanaingiliana vipi?
Inaonesha una njaa hadi kwenye ubongo,bila shaka hata kifungua kinywa hujajaliwa..
Pole sana..
 
Unaysema haya leo baada ya jakaya kuingia madarakan au?
Umesahau zama zilizopita?
Saiz sote tutakula sebulen,na sio wengine mle chakula sebulen na wengine tuwe tunalia chakula jikon,zama hizo Tunazirudisha kwenye msawazo,tuish kindugu kama zamani..,
Rubbish!
 
Mag3,

Katika waasisi wa AA hakuna jina la Ramadhani Ali.
Pitia rejea zote hutokuta jina hilo.

Huenda umechanganya majina.
Si tulikuuliza kama Cecil Matola alikuwepo ukasema hujui unachojua ni msiba wake 1939! Tukasema Mag3 kaweka hoja, je, mzee unasemaje? ukasema huna, unachojua ni Sykes to Sykes sasa vipi unakanusha uwepo wa Ramadhani! Hebu tufafanulie maana tunataka ''darsa''. Ramadhani Ali hakuwepo kama usemavyo, je, huyu Cecil Matola alikuwepo na alikuwa na role gani!
 
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.

Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.
 
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...

Naona dakika chache nyuma ulifurahia darsa, kulikoni?

Hiyo niliyokuwekea nyekundu ni uharibu wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…