Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Anaefata kanisa la papa mkatoliki wa roma au sio? sasa hapo wewe na nasara aliyetajwa ni wapi na wapi?
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...
 
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...

ha haa haaa! Ukiona matusi yanaanza hujue hoja zimeisha...si wewe ndiyo uliokuwa unaleta picha za mabucha yenu ya kikristo na waraka wenu mlioutegeneza wa kukashifu Uislam...huyo ndiyo zomba, utatosha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nilihitaji maoni ya mzee Mohamed Saidi sio wewe mfuasi wake ambaye umezipeleka akili zako likizo!

"we disagree profoundly with every word that you say,but we shall defend unto death your right to say it because we know that you are KIHIYO..,SOMETIMES YES,SOMETIMES NO..
 
Siku hizi wana msemo; "kaingia mitini".

Huyu kurudi tena saizi itakuwa ngumu jamaa yake Mwanakijiji alikuwa anatetea hilo bandiko bahati mbaya naye kumbe hajui lolote kuhusu viongozi wa AA.
 
Mohammed Said huwezi kujificha kwenye Uislamu wakatu unachochea chuki dhidi ya Wakristu, makanisa na Watanzania wenzako. Miezi kadhaa nyuma kwenye ule mnakasha mwingine niliuangaliza hilo kuwa ni uchochezi wako wa kujenga uhasama na faraka baina ya Watanzania utakuja kuzaa matunda. Karibu watu wote ambao wanadai Waislamu wamedhulumiwa wote wanatumia maandishi yako kama ushahidi.

Naweza kusema kwa uthabiti tu kuwa you the ideological power behind the current rise in animosity between Christians and Muslims. Kwa kweli unatumia dini ya Kiislamu kama cover tu ya kufanikisha kile unachokitaka - a separation between the two communities. Separation ambayo tayari umefanikiwa ni kuwafanya baadhi ya vijana wa Kiislamu (labda wapo na wazee) wasiwaangalie tena Watanzania wenzao kama wananchi wenzako bali wawaangalie kama "maadui wa Uislamu". Yote haya ni matokeo ya mafundisho yako.

Uchochezi wako dhidi ya legacy ya Nyerere umepandikiza chuki ya ajabu na kejeli ya baadhi ya Waislamu dhidi ya Nyerere. Maandishi yako ni ushahidi wa hili. Sasa ungekuwa umeandika kama mwanahistoria labda kazi yako ingekubalika kidogo kuwa ina chembe ya usomi wa kihistoria. Lakini hukutaka kufanya hivyo; ulitaka kuleta hisia zako za chuki dhidi ya Ukristu na Wakristu kwa kutumia historia. For this reason you have twisted history, made up stories and without any sense of personal responsibility unafaidika na mfarakano mkubwa ambao umetokea katika jamii.

Wakati unadai unapinga dhulma dhidi ya Waislamu wewe mwenyewe unakaa na kuangalia wakati baadhi ya Waislamu wanafanya dhulma kwa kutumia ushawishi wa maneno yako dhidi ya Wakristu. Qurani Tukufu haiiti watu kuchochea dhulma bali kutafuta suluhu na upatano. Siyo hivyo tu lakini kutengeneza mazingira ya msamaha na kupatana baina ya watu badala ya kuwachochea watu kisasi na chuki zaidi.

Mzee Said, Qurani yenyewwe inakuambia hakuna aliyerafiki karbu sana na Waislamu kama Wakristu na sababu pia ni kuwa ndani yake wamo mapadre na watawa. Kwanini uendekeze kujenga chuki badala ya kuurudisha ule urafiki wa asili kati ya Wakristu na Waislamu? Ninasoma hapa maneno ya baadhi ya Waislamu (au wanaojitambulisha kuwa ni Waislamu) jinsi ambavyo inaonekana kuwa hawajui mapenzi yalliyopo baina ya Waislamu na Wakristu...

Sura 5:82

لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُمْ مَوَدَّة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَى ۚ ذَلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانا ً وَأَنَّهُمْ لاَ يَسْتَكْبِرُونَ

MM,

Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.

Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.
 
MM,

Nakuomba soma sehemu ya tatu ya kitabu changu
"Njama Dhidi ya Uislam" kisha rejea haya uloandika
hapa.

Huenda ukaliona hili jambo kwa mtazamo mwingine.

Mwanakijiji is Exagurating ..
Ajifunze kubalance mihemko yake..
 
Ritz, naona ulikuwa mtoro darasani hukuweza kufuatilia kwa makini aliyoyakiri mwalimu wako, mchochezi Mohamed Said, pale ambapo alibanwa. Hata hivyo kwa ufahamisho wako, viongozi wa juu wa AA ilipoasisiwa mwaka 1929 ni hawa:

  1. Cecil Matola - President
  2. Ramadhani Ali - Vice President
  3. Kleist Sykes Plantan - Secretary
Watu hushindwa mitihani hivi hivi halafu wanalaumu mfumoKristo.
Na matokeo yametoka na tumeshayafanyia preliminary examination, kwakweli ni aibu sana kwa mzee wetu. Tutaweka hapa kudhihirisha kuwa mfumokristo aliouasisi na ambao unatumika kuleta taabu, dhiki, vifo, majonzi na simanzi kwa watu ni balaa kubwa.
Mwenyezi mungu ni mkubwa maana utashangaa ukiona kile kinachodaiwa na kile kilichotokea.
 
Fafanua vizuri ueleweke.
 
By zumbemkuu
Mohamed Said wewe na wafuasi wako kila mnaposhindwa hoja mnakimbilia kutaka watu waanzishe uzi mwingine, kwani wewe unaona hatari gani kuanzisha huo uzi kama una nondo za kutoa na hapa hazifai kuwepo?
Z, Nitakae taarifa si mimi. Uzi anaweka mwenye kutafuta taarifa.
Unaweza ukaweka UZI ukawa taarifa, hoja, swali, fununu, chochote funguka kuwa huru.
 
Last edited by a moderator:
Sweke, Hakika nimekasirika. Watu wakiondokewa na mtu wao ni wa kufarijiwa. Haiwi kitu cha kusukuma agenda zetu. Yeye ajiweke mahali pa ndugu walopoteza jamaa yao ndiyo labda kama ana akili atajua ninachomweleza. Nilikupa jibu kuwa mimi nimetoa paper kuhusu hiyo sheria ya ugaidi University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006. Ila nilisahau kukuambia hiyo conference walifadhili US na Iran kwa pamoja.
Mzee Mohamed, jiweke mahala pa ndugu waliopoteza jamaa yao, ukisikiliza hotuba na mawaidha ya sheikh Ilunga juu ya kisasi utajisikiaje?
 
Mohammed Said huwezi kujificha kwenye Uislamu wakatu unachochea chuki dhidi ya Wakristu, makanisa na Watanzania wenzako. Miezi kadhaa nyuma kwenye ule mnakasha mwingine niliuangaliza hilo kuwa ni uchochezi wako wa kujenga uhasama na faraka baina ya Watanzania utakuja kuzaa matunda. Karibu watu wote ambao wanadai Waislamu wamedhulumiwa wote wanatumia maandishi yako kama ushahidi.

Naweza kusema kwa uthabiti tu kuwa you the ideological power behind the current rise in animosity between Christians and Muslims. Kwa kweli unatumia dini ya Kiislamu kama cover tu ya kufanikisha kile unachokitaka - a separation between the two communities. Separation ambayo tayari umefanikiwa ni kuwafanya baadhi ya vijana wa Kiislamu (labda wapo na wazee) wasiwaangalie tena Watanzania wenzao kama wananchi wenzako bali wawaangalie kama "maadui wa Uislamu". Yote haya ni matokeo ya mafundisho yako.

Uchochezi wako dhidi ya legacy ya Nyerere umepandikiza chuki ya ajabu na kejeli ya baadhi ya Waislamu dhidi ya Nyerere. Maandishi yako ni ushahidi wa hili. Sasa ungekuwa umeandika kama mwanahistoria labda kazi yako ingekubalika kidogo kuwa ina chembe ya usomi wa kihistoria. Lakini hukutaka kufanya hivyo; ulitaka kuleta hisia zako za chuki dhidi ya Ukristu na Wakristu kwa kutumia historia. For this reason you have twisted history, made up stories and without any sense of personal responsibility unafaidika na mfarakano mkubwa ambao umetokea katika jamii.

Wakati unadai unapinga dhulma dhidi ya Waislamu wewe mwenyewe unakaa na kuangalia wakati baadhi ya Waislamu wanafanya dhulma kwa kutumia ushawishi wa maneno yako dhidi ya Wakristu. Qurani Tukufu haiiti watu kuchochea dhulma bali kutafuta suluhu na upatano. Siyo hivyo tu lakini kutengeneza mazingira ya msamaha na kupatana baina ya watu badala ya kuwachochea watu kisasi na chuki zaidi.

Mzee Said, Qurani yenyewwe inakuambia hakuna aliyerafiki karbu sana na Waislamu kama Wakristu na sababu pia ni kuwa ndani yake wamo mapadre na watawa. Kwanini uendekeze kujenga chuki badala ya kuurudisha ule urafiki wa asili kati ya Wakristu na Waislamu? Ninasoma hapa maneno ya baadhi ya Waislamu (au wanaojitambulisha kuwa ni Waislamu) jinsi ambavyo inaonekana kuwa hawajui mapenzi yalliyopo baina ya Waislamu na Wakristu...

Sura 5:82

لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُمْ مَوَدَّة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَى ۚ ذَلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانا ً وَأَنَّهُمْ لاَ يَسْتَكْبِرُونَ

SECTION 129 OF THE PENAL CODE PROVIDES;
"
Any person who,with the deliberate intention of wounding the religious feelings of any person,utters any word,or makes any sound in the hearing of that person,or makes any gesture in the sight of tha person or places any object in the sight of that person,is guilty of a misdemeanour.and is liable to imprisonment for one year"

UNAKUMBUKA HIYO??
 
Mzee mwenzangu unadhani inajalisha ukimwambia ilianzishwa 1929? Yeye kaamini kuwa ni 1949 basi ndiyo hivyo. Wapo wanaoamini kabisa kuwa harakati za Uhuru zilifanywa na watu wa Dar peke yao...
Haa! MM sasa akisema harakati za uhuru zimefanyika bara si kitabu kitapoteza maana iliyokusudiwa.
Hata kisarawe ni utata, uhuru umepatikana kwa jitihada za Tandamti, kipata, Gerezani na mchikichi chini ya Masheikh bwana!
 
Mzee Mohamed, jiweke mahala pa ndugu waliopoteza jamaa yao, ukisikiliza hotuba na mawaidha ya sheikh Ilunga juu ya kisasi utajisikiaje?

Ya ilunga na Mohamed said yanaingiliana vipi?
Inaonesha una njaa hadi kwenye ubongo,bila shaka hata kifungua kinywa hujajaliwa..
Pole sana..
 
Unaysema haya leo baada ya jakaya kuingia madarakan au?
Umesahau zama zilizopita?
Saiz sote tutakula sebulen,na sio wengine mle chakula sebulen na wengine tuwe tunalia chakula jikon,zama hizo Tunazirudisha kwenye msawazo,tuish kindugu kama zamani..,
Rubbish!
 
Mag3,

Katika waasisi wa AA hakuna jina la Ramadhani Ali.
Pitia rejea zote hutokuta jina hilo.

Huenda umechanganya majina.
Si tulikuuliza kama Cecil Matola alikuwepo ukasema hujui unachojua ni msiba wake 1939! Tukasema Mag3 kaweka hoja, je, mzee unasemaje? ukasema huna, unachojua ni Sykes to Sykes sasa vipi unakanusha uwepo wa Ramadhani! Hebu tufafanulie maana tunataka ''darsa''. Ramadhani Ali hakuwepo kama usemavyo, je, huyu Cecil Matola alikuwepo na alikuwa na role gani!
 
BD, Kweli povu limenitoka. Siyo uungwana kuicheza shere maiti. Habari zangu kuwa CIA\FBI wewe unazijua leo. Ngoja nikuonjeshe kidogo na ndiyo maana nikakwambia fungua uzi nikupe taarifa zangu. Miaka minane iliuopita waliingia katika email yangu kunitaarifu kuwa ninatembelea tovuti wasizozipenda... Baada ya mwezi nikatoa paper Chuo Kikuu Cha Ibadan kuhusu ugaidi. Jamaa walikuwapo na wakanisikia nilivyokuwa nawakanyaga. Cameras were rolling pamoja na digital tape recorder zao... Tunajuana sana... 2011 wakanialika US kuhadhir kwenye vyuo vyao viwili na nikasomesha madarasa mawili ya undergraduate. Huko pia nikawakanyaga kama kawaida yangu and cameras were rolling... Fungua uzi tujadili mambo haya kuna mengi ya kujifunza.
Kwani unadhani FBI/CIA wana haraka, imewachukua miaka 10 kumtafuta OBL.

Tatizo si FBI au CIA, tatizo ambalo linaweza lisiwe tatizo kwa wengine ni haya yanayotokea Geita na Zanzibar.
Kuna uzi uliahidi UN/ AU( Ushihidi upo JF) watakuja kutuweka kitako, halafu Ilunga naye akakoleza moto, matokeo yake sasa yanaonekana.
 
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...

Naona dakika chache nyuma ulifurahia darsa, kulikoni?

Hiyo niliyokuwekea nyekundu ni uharibu wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom