Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nimekuuliza swali linalokuhusu wewe unakuja na stori ndefuuuuu.. wewe unataka mahusiano mema baina ya Wakristu na Waislamu au unapenda uhasama uwepo ? Ni swali jepesi tu... vitabu vyako havijibu swali hili.

MM,
Sikujua kuwa ulitaka jibu la ''hapana'' ''ndiyo.''
Ikiwa hivyo ndivyo utakavyo basi wala usipoteze
nguvu na muda wako kuniuliza swali kama hilo.
Si lazima liwe jibu la 'ndio' au 'hapana'; ila liwe jibu linalohusu hisia zako wewe siyo za wazee wako. Tayari najua vya kutosha msimamo wa wazee wetu waliopigania uhuru kwani historia imeunakili vizuri. Napenda kujua msimamo wewe - linaweza kuwa jibu refu kama unapenda.
....Mimi naweza kuwa na langu katika jambo kubwa na zito kama hili?
Mimi najua nini mbele ya hawa wazee...
.....
mzee Mohamed Said unataka kusema wazee wako hawakukosea mahali popote? unataka kutuaminisha kuwa mawazo ya wazee wako ndo mawazo sahihi kweli? au sijakuelewa hapa kwenye red?
mzee Mohamed Said unataka kusema wazee wako hawakukosea mahali popote? unataka kutuaminisha kuwa mawazo ya wazee wako ndo mawazo sahihi kweli? au sijakuelewa hapa kwenye red?
sijakuuliza wewe muuza mihadarati.Maswali ya kipuuzi kama haya hakuna muda wa kuyajibu peleka kwa wajinga wenzako.
mzee Mohamed Said unataka kusema wazee wako hawakukosea mahali popote? unataka kutuaminisha kuwa mawazo ya wazee wako ndo mawazo sahihi kweli? au sijakuelewa hapa kwenye red?
lakini nimemaliza, teh teh teh! ungethubutu kwenda pale wewe mburula,Thats why UCLAS ulikua unakamatwa SUPP kila semister wewe..!
Umekua Mzito sana wa kufikiri..
Z,
Hakuna binadamu aliyekamilika.
Lazima yatakuwapo makosa.
Lakini kuwa mimi nitakuwa mjuzi katika
historia yao kuwashinda wenyewe huo
ni muhali mkubwa.
Maswali ya kipuuzi kama haya hakuna muda wa kuyajibu peleka kwa wajinga wenzako.
Thats why UCLAS ulikua unakamatwa SUPP kila semister wewe..!
Umekua Mzito sana wa kufikiri..
sijakuuliza wewe muuza mihadarati.
lakini nimemaliza, teh teh teh! ungethubutu kwenda pale wewe mburula,
elimu ya madrasa mbaya sana, inaharibu ubongo, ukijumlisha na ngano za huyo shekhe wenu Mohame ndo mnazidi kuchanganikiwa, badala ya kufuata mafundisho ya Dini yenu mnafuata ngano za mtu mmoja mwenye maslahi binafsi ya KIGAIDI.
wee chokoraa nimeshakwambia mimi mwafrika, sijafuata mapokeo ya wapumbavu wa Asia na Ulaya, endeleeni kusurubiana...
lakini nimemaliza, teh teh teh! ungethubutu kwenda pale wewe mburula,
elimu ya madrasa mbaya sana, inaharibu ubongo, ukijumlisha na ngano za huyo shekhe wenu Mohame ndo mnazidi kuchanganikiwa, badala ya kufuata mafundisho ya Dini yenu mnafuata ngano za mtu mmoja mwenye maslahi binafsi ya KIGAIDI.
Ritz, naona ulikuwa mtoro darasani hukuweza kufuatilia kwa makini aliyoyakiri mwalimu wako, mchochezi Mohamed Said, pale ambapo alibanwa. Hata hivyo kwa ufahamisho wako, viongozi wa juu wa AA ilipoasisiwa mwaka 1929 ni hawa:
Watu hushindwa mitihani hivi hivi halafu wanalaumu mfumoKristo.
- Cecil Matola - President
- Ramadhani Ali - Vice President
- Kleist Sykes Plantan - Secretary
Mkuu Zumbemkuu, hivi vijamaa ni vipuuzi kwelikweli, havina hoja yao zaidi ya kushinda hapa jukwaani vikipika majungu na kelele zisizo na maana kama vyura! na kwa ujinga wao vinaamini watu wanakubaliana navyo! kweli kuwa mjinga ni ajali lakini kuwa mpumbavu kama hivi vijamaa ni maafa.lakini nimemaliza, teh teh teh! ungethubutu kwenda pale wewe mburula,
elimu ya madrasa mbaya sana, inaharibu ubongo, ukijumlisha na ngano za huyo shekhe wenu Mohame ndo mnazidi kuchanganikiwa, badala ya kufuata mafundisho ya Dini yenu mnafuata ngano za mtu mmoja mwenye maslahi binafsi ya KIGAIDI.
Nilimweleza hivyo kuwa Matola ndie mwasisi mkuu wa AA akanitusi kuwa siijui historia