Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nimekuuliza swali linalokuhusu wewe unakuja na stori ndefuuuuu.. wewe unataka mahusiano mema baina ya Wakristu na Waislamu au unapenda uhasama uwepo ? Ni swali jepesi tu... vitabu vyako havijibu swali hili.
MM,
Sikujua kuwa ulitaka jibu la ''hapana'' ''ndiyo.''
Ikiwa hivyo ndivyo utakavyo basi wala usipoteze
nguvu na muda wako kuniuliza swali kama hilo.