Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


zomba,

Ukiona adui yako analisifia jambo lako basi achana nalo.

Ukiona adui yako analiponda jambo lako basi shikamana nalo sawa sawa.
 
Last edited by a moderator:

G,

Nini kipimo chako hata ukawaona hawa "jamaa zangu" "hawana lolote."
Humu tuna Yericko Nyerere na mfano wake na chombo kinaelea.
 
Sidhani kama kuna Muislam aliyelazimishwa kula nguruwe alafu ni kwanini mtu aingilie uhuru wa mwingine kumbuka tunaishi watu wa imani tofauti tofauti Dar hawaishi Waislam peke yao

R,

Mabucha yale yalikuwa yanavunja sheria ndogo za mji.
 
Mkuu Mag3 ha ha ha ha we kweli hatari mgonjwa anaugua kikohozi kwasababu ya vumbi we unambamiza misindano ya TB.hii dozi ni kubwa sana tafadhali zingatia umri na kilo za mgonjwa kabla ya kuanzisha matibabu unaweza kua ukadhani unatibu.

 
Last edited by a moderator:
Wacha hofu zisizo na maana wewe mrembo!
 
Qurani haimilikiwi na mtu mmoja wala kikundi fulani tu.
 
Mohamed Said,

Kama unafahamu habari za hawa watu Listowel Judith na John Iliffe naomba utafahamishe kwa faida ya JF.
 
Last edited by a moderator:

Habari za asubuhi? Wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?
 
Mkuu Mag3 ha ha ha ha we kweli hatari mgonjwa anaugua kikohozi kwasababu ya vumbi we unambamiza misindano ya TB.hii dozi ni kubwa sana tafadhali zingatia umri na kilo za mgonjwa kabla ya kuanzisha matibabu unaweza kua ukadhani unatibu.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Macho wanayo lakini hayaoni, masikio wanayo lakini hayasiki, kwenye mioyo yao kuna maradhi.

Kasome post #6837 halafu urudi na jingine.
 
Habari za asubuhi? Wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?
Wazazi nyumbani nitokeapo wanasikitishwa sana na uchochezi wenu unaolisambaratisha taifa hili, wanawalaani watu wenye mitazamo finyu ya sisi waislam na wao wakristo! wanashangaa kwanini hamjawahi kuwatetea wahazabe ambao mpaka leo wanaishi maporini kama wanyama bila huduma za afya wala malazi.
 

Nashangazwa hata na mimi leo waliozibwa midomo, walionyimwa haki zao wakisema yaliyowakuta inakuwa uchochezi?

Hivi hao wahadzabe, Nyerere aliwafanyia nini kwa miaka 24 aliyokaa madarakani?

Lakini leo Kikwete kawawekea shule kila kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…