Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Angamia peke yako tuache wengine tuendelee na amani yetu.G,
Ikiwa msimao utakuwa huo kuwa hatuna tatizo...
Tusubiri kuangamia.
jisomee
kumbe Sykes hakumuachia Nyerere ila waligombea pamoja na Nyerere akashinda?..........Baada ya miezi miwili tu, yaani April 1953 kulikuwa nauchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Aliyekuwa Rais wa chama mpaka wakati huoalikuwa Bw. Abdul Sykes, ambaye alisimama tena kugombea uchaguzi na mwalimuNyerer naye akasimama. Kura zilizopigwa Mwalimu Nyerer akapata ushindi, kwahiyo ikawa amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha T.A.A..............
Kwani hao walikuwa na matatizo gani?
Hivi ni nani anayewachagua hawa viongozi wa NECTA?By Barubaru
Nafikiri inatakiwa ufunguke zaidi na kujifungua na kufikiri nje ya box.
hebu jaribu kufuatilia haya.
1. Tokea NECTA ianzishwe makatibu wake wote ni wakristo. na manaibu katibu wake wote ni wakristo.
2. NECTA ni chombo cha muungano lakin haijapata tokesa kuwa katibu wake mtendaji au naibu katibu wake mtendaji kuwa kutoka Znz.
Kuna mengine mengi tu sifikiri kama wataweza kanusha. Hilo ni chaka tu la kubeba wakristo na kukandamiza waislam.
jisomee
Mimi nipo nimejikita zaidi kwenye hoja za msingi kupinga uchochezi wako mkuu,
Swahiba naomba nipe mtazamo wako kuwa ingetokea aliyeuawa pale Zanzibar kwa sababu za uchochezi wako na wawenzio ni Shehe, nini unadhani kingetokea?
Hivi ni nani anayewachagua hawa viongozi wa NECTA?
kumbe Sykes hakumuachia Nyerere ila waligombea pamoja na Nyerere akashinda?
Mimi nipo nimejikita zaidi kwenye hoja za msingi kupinga uchochezi wako mkuu,
Swahiba naomba nipe mtazamo wako kuwa ingetokea aliyeuawa pale Zanzibar kwa sababu za uchochezi wako na wawenzio ni Shehe, nini unadhani kingetokea?
mtu anayeenda sokoni hana hata senti akitegemea fadhila ya matajiri wa mjini akina Sykes ila kwenye uchaguzi Nyerere kammwaga, hahahahahahahaahaha!Ndiyo ushangae mtoto wa mjini anashindwa katika uchaguzi na wakuja asiyejua kuvaa wala kula chapati ha ha ha ha ha.
Sheikh wangu halwa ya lozi ya Gidemi tayari, nnaipitia sasa hivi. InshaAllah tutaanza na shurba itafatia Mandi na tutamalizia kwa, halwa na gahwa, baadae tutapata tendeshake. Mjarab.
MashaAllah, tunasubiri "movie".
Yericko Nyerere, Nguruvi3, Mag3, Jasusi, Mzee Mwanakijiji na wapambe wenu, mnakaribishwa rasmi, kwa heshima na taadhima.
hizi ni moja ya simulizi za mzee wako MS.......Julius Kambarage Nyerere, mwanasiasa mgeni katika TAA pale makao makuu akiwa amejiunga n uongozi wa chama miezi kumi na tano tu iliyopita, alichaguliwa rais wa kwanza wa TANU na John Rupia makamo wa rais. ........
Ndiyo ushangae mtoto wa mjini anashindwa katika uchaguzi na wakuja asiyejua kuvaa wala kula chapati ha ha ha ha ha.
binafsi sijaona bandiko lako kuhusu huo uchaguzi, ngoja nilitafute.Ngongo,
Unatia kejeli.
Uchaguzi ule nimeueleza kwa kina humu ukumbini
na katika kitabu.
Nyerere mwenyewe hadi anaingia kaburini hili hakuligusa hata
kwa mbali.
Kama nisingeliandika hata nyie msingejua Nyerere kafikaje TANU.
Ikiwa wewe unaona kufanya mzaha katika hili unajisikia raha basi
mimi sitakuvurugia starehe yako.
ni mmoja tu!Hakuna jibu hapo weka majina ya marais wa TANU waliopita.
mtu anayeenda sokoni hana hata senti akitegemea fadhila ya matajiri wa mjini akina Sykes ila kwenye uchaguzi Nyerere kammwaga, hahahahahahahaahaha!
mbaya zaidi akiwa na miezi miwili tu ndani ya TAA, loh!
Wewe umejuaje kama ni wa dini moja?wote hao ni wa dini moja! katika nchi ambayo idadi ya waumini wa dini mbili kuu haitofautiani sana tunaona vitu kama hivi halafu mnasema tusiseme kuwa kuna udini!. lazima tutasema hata mkikasirika. hii imezidi tena. mfano wewe ungekuwa ndio muislamu ungeridhika na hili? ungekaa kimya?usijibu kwa ushabiki.