Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwanini haujiulizi Abdulwahid Sykes ni nani mpaka msomi Nyerere aelekezwe kwake na amtafute?

Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.
 
Leo hii umekuwa msemaji wa serikali ya CCM kweli mfumo Kirsto kiboko ukija kwenye swala la NECTA Wakirsto wote wanarudi CCM.
Ritz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.
 
Taarifa hii haikuwa sahihi, mkuu huyo wa shule hakufanya utafiti kabla ya kuitisha vyombo vya habari.

Unanikumbusha maneno ya Ritz:

Mzee NECTA kama kawaida yako...kati ya wewe au mzee wako lazima mmoja atakuwa anafanya kazi NECTA.

zomba,

Hawa Pro-Chadema JF wanakesha JF kuiponda CCM lakini NECTA ikiguswa wote wanarudi CCM.

Hapo sasa!
 
  • Mkuu Maalim Mohamed Said, sikuzote nimekuwa nikikikukubali kama mpiga hadithi mzuri na kuzifurahia simulizi zako kwa jinsi ile ile ile nilivyofurahia simulizi .za Alfu Lela U Lela tatizo langu na wewe ni dogo tuu , ni ile "ill motive behind" hivyo mimi kukuita "a man with a mission" na sasa tumeisha hit watu 75,000 tunaelekea watu 100,000!, you must be very happy kwa sababu "the mission" imeishaanza kuwa accomplished!. Hongera ila naomba nikutahadharishe hala hala hala 2015 kikigeuka!, usije utatafuta pa kutokea!.
    Pasco.

  • Pasco.Umenisikitisha sana wewe ni mtu mdogo sana kwa mzee mohamed said unamtaadharisha kwa lipi? hiyo ku hit watu 75,000 au 100,000 sio hoja, hoja ni mzee kasema kweli au kasema uongo sehemu kadha kwasababu mafundisho ya uislamu yana taka hoja na dalili na ndivyo mzee mohamed amefanya hapa kwenye huu uzi kwahiyo Pasco try to be a midlle men usishabikie mambo
 
Matokeo ya mfumo kristo yameanza kuzaa matunda ya machafuko nchini. Pengine kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau ni kuwa Waislam hawapumbazika milele. Leo hii maaskofu wamecharuka kwa sababu ya kifo cha padri mmoja Zanzibar. Lakini Masheikh wa kiislam wameuwawa bila sababu na watu wenye kujulikana kwa majina,na nyadhifa zao,lakini hatua hazikuchukuliwa. Waislam waliuwawa pale Mwebechai kwa maelekezo ya Paroko Lwambano!

Hiki wanachofanya akina Pengo ni dalili tosha kuwa ni panic,kuona mfumo kristo unapoteza mwelekeo. Nani asiyejua hujuma zinazofanywa kuangamiza shule za kata ili wanafunzi wengi wasipate nafasi ya kuendelea na masomo na kuzipaisha shule za kikristo na hatimaye kuendeleza mfumo kristo.
 
Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.

MM,

Abdu Sykes ndiye aliyeunda TANU.

Fuatilia kwanza historia ya baba yake kisha njoo yake
mwenyewe.

Si lazima uanzie Burma.

Anza na mchango wake katika kisa cha Dockworkers Union
akiwa kiongozi.

Kisha njoo katika TAA Political Subcommittee 1950.

Si kuwa Abdu Sykes alikuwa kiongozi mwana siasa...

Abdu alikuwa mmoja wa wafadhili wakubwa wa harakati
za kudai uhuru.

Sisi hatushughulishwi na nyie kuikataa historia hii.
Sisi huko tushapita.

Sisi hivi sasa hii ndiyo historia tunayoisomesha na ndiyo
historia tunayoitambua sasa mwaka wa 15.
 
Ritz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.
Ha ha haa mwaka huu povu litakutoka sanaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CHEZEA RITZ
 
Ritz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.

Wala sijakubatiza wasiwasi wako tu ili la Wakirsto wote kuungana na NECTA mpaka Chadema nzima lipo wazi.

Hakuna sehemu yeyote nimekuambia wewe ni Mkirsto unajistukia mie nimetaja Wakirsto wote.

Hii habari wote tumeisikia kwenye vyombo vya habari kutoka kwa mmiliki wa shule mwenyewe kuwa kuna wanafunzi wamefahulu wakati wao walikuwa wamewasimamisha shule hawakufanya hata mtihani.

Wewe ambaye unapinga na serikali ya CCM unakuja na majibu la rahisi wewe na mmiliki wa shule Bujugo tena ni diwani wa CCM tumuamini nani.

Kwa nini wewe uamini habari NECTA kwenye ili halafu usiamiani habari za mmiliki wa shule, kuna nini hapa.
 
DM,

Ndiyo maana historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika inawatisha.

Wakaona salama iko katika kutengezeza historia mbadala na rasmi
ili wawaondoe Waislam na mchango wao.

Utaeleza vipi Abdu Sykes kumleta Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA?

Utaeleza vipi Abdu na Dossa kumpeleka Nyerere kwa Mufti Sheikh Hassan
bin Amir?

Utaelezaje Sheikh Suleiman Takadir kuwa ndiyo mwenye dhamana ya
kumtambulisha Nyerere kwa wananchi kwenye mikutano ya mwanzo ya
TANU pale Mnazi Mmoja?

Utaeleza vipi Idd Tosiri na Idd Faiz kumchukua Nyerere mguu kwa mguu
hadi Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Mohamed Ramia?

Utaeleza vipi kuja kwa Ali Mnjale na Salum Mpunga Dar es salaam mwaka
1955 kuja kumtaka Nyerere aende Jimbo la Kusini kuzima fitna za Kanisa
Katoliki lililokuwa likitisha waumini wake wasijiunge na TANU?

Na vipi iwe Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe ndiyo wafuatane na Nyerere
kwenda Jimbo la Kusini kuzima fitna ile?

Utaeleza vipi, utaeleza vipi, utaeleza vipi....?

Bila shaka ni ngumu kuelezeka kwao na kuaminika kwao,,

Wao wanasema sana,tukisema sisi wanasema tuna GUBU...

Kuandikwa kwa hawa waliofutwa kwa makusudi,wao wanasema ukristo unapigwa vita na udini wa mrengo wa kiislam unashabikiwa eti kisa walioandwikwa wanaonekana wana majina ya kiislam..

Bila shaka itakuwa ngumu sana kwao kuiamini hii..

Lakini sisi tutausimamia ukweli daima..
 
Kwa nini tuupige vita mfumokristo? Mohamed anasema sisi ndio tunaofaidika nao, sasa why take me away from my comfort zone? Halafu ni mfumo gani utachukua nafasi yake? Mfumoislam?

Jikumbushe; "You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time. - Abraham Lincoln.
zomba jibu lako halina ushirikiano na swali lililoulizwa na Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.

I do not see the difference between you and shekhe ilunga...

Kuna kitu kipo nyuma yako kinakusukuma,sisi tunausimamia ukweli tuh..
 
  • Mkuu Maalim Mohamed Said, sikuzote nimekuwa nikikikukubali kama mpiga hadithi mzuri na kuzifurahia simulizi zako kwa jinsi ile ile ile nilivyofurahia simulizi .za Alfu Lela U Lela tatizo langu na wewe ni dogo tuu , ni ile "ill motive behind" hivyo mimi kukuita "a man with a mission" na sasa tumeisha hit watu 75,000 tunaelekea watu 100,000!, you must be very happy kwa sababu "the mission" imeishaanza kuwa accomplished!. Hongera ila naomba nikutahadharishe hala hala hala 2015 kikigeuka!, usije utatafuta pa kutokea!.
    Pasco.

  • kumbe huy MS ndo mtunzi wa kile kitabu???
    basi sishangazwi na hadithi za majini mwanzo mwisho....
 
Tatizo lako kubwa ilm, mimi huwaambia nyinyi mnaanza shule, sisi tunaanza chuo. Wewe mpaka ufike chuoni lini?
hapo red hilo ndo tatizo lenu kuu, mngeanza na shule mngekuwa na uwezo wa kufanya reasoning, sasa kwasababu mnaanza kinyume lazima uathirike kiakili hivyo kila fundisho linalotolewa hata na mlezi kwako unalichukua kama limetoka mbinguni.
 
Kiarabu kusoma kinyume kinyume hujui
 
Wala sijakubatiza wasiwasi wako tu ili la Wakirsto wote kuungana na NECTA mpaka Chadema nzima lipo wazi.

Hakuna sehemu yeyote nimekuambia wewe ni Mkirsto unajistukia mie nimetaja Wakirsto wote.

Hii habari wote tumeisikia kwenye vyombo vya habari kutoka kwa mmiliki wa shule mwenyewe kuwa kuna wanafunzi wamefahulu wakati wao walikuwa wamewasimamisha shule hawakufanya hata mtihani.

Wewe ambaye unapinga na serikali ya CCM unakuja na majibu la rahisi wewe na mmiliki wa shule Bujugo tena ni diwani wa CCM tumuamini nani.

Kwa nini wewe uamini habari NECTA kwenye ili halafu usiamiani habari za mmiliki wa shule, kuna nini hapa.
Ritz, NECTA wamekanusha kupitia vyombo vya habari, huyo mkuu wako amekaa kimya hajaja kutupa taarifa mpya zaidi. Sasa kuna sababu gani itatuzuia kuamini kwamba NECTA wako sahihi na sio huyo mkuu wako? Tatizo ni kuwa wewe ulisha tanguliza chuki dhidi ya NECTA kwa hiyo chochote kibaya dhidi yake utakishangilia.
 
attachment.php

soma na huu waraka wa nduguzo.

Je inawezekana kweli kwa mtu mwenye akili kuandika waraka kama huu na kujitambulisha.

pasi na shaka yoyote yaliandikwa haya kule sunday school katika kutaka kutia fitna kati ya UAMSHO na SUK. kwani Uamsho ni kiboko yenu.

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.

Na lazima mtaumbuka mwaka na fitna zenu hizo za kutaka kuficha ukweli
 
Back
Top Bottom