Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wakristo walikuwa wanatakiwa wao ndio wawe mstari wa mbele kuupiga vita mfumokristo.
Watakuwaje msitari wa mbele? Hujui serikali inaongozwa na Al Haj Jakaya Mrisho Kikwete...aah, kulingana na dai la Muislaam Safi, Mohamed Saidi, Kikwete kama walivyo viongozi na wanachama wa BAKWATA, si Waislaam!
 
Kikwete anaongoza kwa sheria za kiislam au kwa sheria za katiba ya kidemokrasia?
Unapata tabu sana,na utateseka sana kwa hilo..
 
Watakuwaje msitari wa mbele? Hujui serikali inaongozwa na Al Haj Jakaya Mrisho Kikwete...aah, kulingana na dai la Muislaam Safi, Mohamed Saidi, Kikwete kama walivyo viongozi na wanachama wa BAKWATA, si Waislaam!

Unao ushahidi kwa uyasemayo au mradi useme tu?

Jee, wewe hutaki kuupiga vita mfumokristo?
 
Kikwete anaongoza kwa sheria za kiislam au kwa sheria za katiba ya kidemokrasia? Unapata tabu sana,na utateseka sana kwa hilo..
Pole sana kijana naona ulidandia mada bila kujua kiini cha mjadala...kaanzie mwanzo na usome kwa makini ujue kwa nini mada hii ililetwa hapa...kama huo ndio ungekuwa msimamo wa mwalimu wako wa darsa, Mohamed Said, hatungekuwa na ugomvi wowote.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe wewe una ugimvi tena??
Sisi tulikuwa hatujui hili,yan kuandikwa kwa wale walioachwa na hstoria ya nchi hii kwa wengine imekuwa ni ugomvi tena?
Basi nakupa pole sana,punguza hasira na jazba..
 
Kumbe wewe una ugimvi tena??
Sisi tulikuwa hatujui hili,yan kuandikwa kwa wale walioachwa na hstoria ya nchi hii kwa wengine imekuwa ni ugomvi tena? Basi nakupa pole sana,punguza hasira na jazba..
Duh...! DULLAH MSAVIVOR, I am afraid I can only make things as simple as possible BUT not simpler, I give up!
 
Last edited by a moderator:
Wakristo walikuwa wanatakiwa wao ndio wawe mstari wa mbele kuupiga vita mfumokristo.
Kwa nini tuupige vita mfumokristo? Mohamed anasema sisi ndio tunaofaidika nao, sasa why take me away from my comfort zone? Halafu ni mfumo gani utachukua nafasi yake? Mfumoislam?
 
Wala hilo halina tatizo, tatizo linakuja pale ambapo mtu atavaa joho la uislam kwasababu zake na kulifanya suala hilo la kiislam na waislam.

Nyote nimewauliza, hivi ikidhihirika kuna tatizo juu ya haya Mohamed anayoyasema, itakuwa ni tatizo lake au la waislam na Uislam?

Je, wale wanaokataa hoja zake wapo kundi gani katika uislam kufuatana na Mohamed na mliOshikamana naye katika suala hili ambalo sidhani ni la mwenyezi mungu. (Ugomvi wa Mohamed na watu wengine si suala la dini)

Maswali yapo wazi kabisa, naona wenzetu mmeshtuka sana, mna hamaki!

N,

Kuwa kuna dhulma dhidi ya Waislam si suala lenye kuwatatiza Waislam.
Katika hili wengi sasa wanalifahamu.

Na ndiyo sababu ya hili joto lililokumba nchi yetu kuanzia miaka ya 1980.
 
Ni mimi DULLAH MSAVIVOR,na bado nitashikilia msimamo huo..
Kwan wapi katika maandiko yake Mohamed Said kakuonesha waislam/Uislam una chuki binafsi na ukristo au wengine wasioamin kaataika Uislam?
Huwez kututoa kwenye mantiki kuu hata kidogo..

DM,

Ndiyo maana historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika inawatisha.

Wakaona salama iko katika kutengezeza historia mbadala na rasmi
ili wawaondoe Waislam na mchango wao.

Utaeleza vipi Abdu Sykes kumleta Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA?

Utaeleza vipi Abdu na Dossa kumpeleka Nyerere kwa Mufti Sheikh Hassan
bin Amir?

Utaelezaje Sheikh Suleiman Takadir kuwa ndiyo mwenye dhamana ya
kumtambulisha Nyerere kwa wananchi kwenye mikutano ya mwanzo ya
TANU pale Mnazi Mmoja?

Utaeleza vipi Idd Tosiri na Idd Faiz kumchukua Nyerere mguu kwa mguu
hadi Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Mohamed Ramia?

Utaeleza vipi kuja kwa Ali Mnjale na Salum Mpunga Dar es salaam mwaka
1955 kuja kumtaka Nyerere aende Jimbo la Kusini kuzima fitna za Kanisa
Katoliki lililokuwa likitisha waumini wake wasijiunge na TANU?

Na vipi iwe Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe ndiyo wafuatane na Nyerere
kwenda Jimbo la Kusini kuzima fitna ile?

Utaeleza vipi, utaeleza vipi, utaeleza vipi....?
 
Kwa nini tuupige vita mfumokristo? Mohamed anasema sisi ndio tunaofaidika nao, sasa why take me away from my comfort zone? Halafu ni mfumo gani utachukua nafasi yake? Mfumoislam?

Jikumbushe; "You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time. - Abraham Lincoln.
 
DM,

Ndiyo maana historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika inawatisha.

Wakaona salama iko katika kutengezeza historia mbadala na rasmi
ili wawaondoe Waislam na mchango wao.

Utaeleza vipi Abdu Sykes kumleta Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA?

Utaeleza vipi Abdu na Dossa kumpeleka Nyerere kwa Mufti Sheikh Hassan
bin Amir?

Utaelezaje Sheikh Suleiman Takadir kuwa ndiyo mwenye dhamana ya
kumtambulisha Nyerere kwa wananchi kwenye mikutano ya mwanzo ya
TANU pale Mnazi Mmoja?

Utaeleza vipi Idd Tosiri na Idd Faiz kumchukua Nyerere mguu kwa mguu
hadi Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Mohamed Ramia?

Utaeleza vipi kuja kwa Ali Mnjale na Salum Mpunga Dar es salaam mwaka
1955 kuja kumtaka Nyerere aende Jimbo la Kusini kuzima fitna za Kanisa
Katoliki lililokuwa likitisha waumini wake wasijiunge na TANU?

Na vipi iwe Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe ndiyo wafuatane na Nyerere
kwenda Jimbo la Kusini kuzima fitna ile?

Utaeleza vipi, utaeleza vipi, utaeleza vipi....?

Huyu Nyerere alikuwa ni nani kiasi kwamba wote hawa wamzunguke hivyo na kila mmoja atake kuonekana naye? Kwanini hawakumfanyia hivi Abdul Sykes - Muislamu mwenzao?

Halafu huyu huyu Nyerere ambaye alikuwa anatumiwa na Kanisa, kasomeshwa na Kanisa, kafadhiliwa na Kanisa huyu huyu Waislamu wanampa taarifa ya kwenda Kusini kupambana na fitna ya Kanisa na anakwenda na bila ya shaka alifanikiwa? Mkatoliki huyo ambaye anathubutu kwenda kupambana na kanisa lake mwenyewe na kusababisha watu wengi kuingia TANU huko Kusini ndiye huyu huyu ambaye mnahubiri kuwa aliweka maslahi ya Kanisa mbele? Kwanini alikubali kupambana na Kanisa lake mwenyewe?

Leo hii ni kiongozi gani Muislamu anaweza kupambana na fitna ya baadhi ya Waislamu na akabakia salama?
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, sikuzote nimekuwa nikikikukubali kama mpiga hadithi mzuri na kuzifurahia simulizi zako kwa jinsi ile ile ile nilivyofurahia simulizi .za Alfu Lela U Lela tatizo langu na wewe ni dogo tuu , ni ile "ill motive behind" hivyo mimi kukuita "a man with a mission" na sasa tumeisha hit watu 75,000 tunaelekea watu 100,000!, you must be very happy kwa sababu "the mission" imeishaanza kuwa accomplished!. Hongera ila naomba nikutahadharishe hala hala hala 2015 kikigeuka!, usije utatafuta pa kutokea!.
Pasco.
 
Angalia Mfumo Kiristo unavyofanya kazi Tanzania kupitia NECTA.

Mkurugenzi wa shule ya Green Acres ya Dar es Salaam Bujungo. Anashanga kuna wanafunzi ambao hawakufanya mtihani lakini wamepata alama za ufaulu.

Amewataja kwa majina hao wanafunzi Huphrex Sanga na Martin Rushaingwa.

Huu ndiyo mfumo Kirsto ndani ya NECTA, kwa habari zaidi tembelea jukwaa la elimu.
Taarifa hii haikuwa sahihi, mkuu huyo wa shule hakufanya utafiti kabla ya kuitisha vyombo vya habari.
 
Leo hii umekuwa msemaji wa serikali ya CCM kweli mfumo Kirsto kiboko ukija kwenye swala la NECTA Wakirsto wote wanarudi CCM.
 
Huyu Nyerere alikuwa ni nani kiasi kwamba wote hawa wamzunguke hivyo na kila mmoja atake kuonekana naye? Kwanini hawakumfanyia hivi Abdul Sykes - Muislamu mwenzao?

Halafu huyu huyu Nyerere ambaye alikuwa anatumiwa na Kanisa, kasomeshwa na Kanisa, kafadhiliwa na Kanisa huyu huyu Waislamu wanampa taarifa ya kwenda Kusini kupambana na fitna ya Kanisa na anakwenda na bila ya shaka alifanikiwa? Mkatoliki huyo ambaye anathubutu kwenda kupambana na kanisa lake mwenyewe na kusababisha watu wengi kuingia TANU huko Kusini ndiye huyu huyu ambaye mnahubiri kuwa aliweka maslahi ya Kanisa mbele? Kwanini alikubali kupambana na Kanisa lake mwenyewe?

Leo hii ni kiongozi gani Muislamu anaweza kupambana na fitna ya baadhi ya Waislamu na akabakia salama?

Kwanini haujiulizi Abdulwahid Sykes ni nani mpaka msomi Nyerere aelekezwe kwake na amtafute?
 
Back
Top Bottom