Iko wapi hiyo hotuba uliyojidai utaileta? Nnashaka umeisikiliza ikakuumbuwa ukaona noma kuileta.
aji
KIPAAZA SAUTI- SI UNAJUA MUTU ZA DAR KELELE NYINGI-wala huitaji loudspeaker
Utacheka mpaka ufe lakini ukweli utabakia palepale, madai yenu hayana maana yoyote - You are fighting with unknown GIANT!
Mbona zinalimwa sana Musoma maeneo ya Mwitongo.
N,
Kinyume cha hivyo.
Abdu hakuwa mtu wa kupenda cheo.
Chief Kidaha aliporudi kutoka Uingereza masomoni
akachaguliwa kuwa mjumbe Baraza la Kutunga
Sheria.
Chief Kidaha alikuwa kati ya machifu wakubwa wa
kutajika kama Abdiel Shangali, Marealle, Fundikira
na wengineo.
Waingereza wakisikizananae sana.
TAA 1950 ilikuwa inataka kujigeuza iwe fully fledged
political party.
Abdu alikuwa anajua kuwa kwa ule uongozi wa New
Street peke yake bila ya kupata mtu kutoka bara na
Mkristo TAA itabakia ya "Waswahili."
Abdu alimtaka Chief Kidaha kwa sababu nyingine kuwa
alikuwa chifu wa Wasukuma na kama angechukua uongozi
wa TANU Kidaha angekuja na watu wake wote.
Ile stiff election na Nyerere Abdu hakuitegemea kabisa na
ndiyo maana Nyerere alipochukua uongozi wa TAA chama
kikafa.
Katika uongozi wakati ule hapakuwa na ushindani wa uadui.
Kwanza ilikuwa kazi ya hatari na kiongozi ndiye alitegemewa
kukiendesha chama kwa fedha zake.
Hili lilikuwa jambo gumu na mzigo mzito sana kuubeba.
Ndiyo maana ukaona TAA ikawa mikononi mwa akina Sykes
kwa robo karne na uongozi wa juu ukawa ni Rupia na Dossa.
Moja ya sababu kuu ni ule uwezo wao na kujitolea kutoa mali
zao katika kupigania nchi.
Halafu ngoja nikupe kitu.
Kidaha hakuwa push over.
He was the best of the best and flamboyant kama
Abdu.
Pangechimbika.
Bingwa wa "spin" Mohamed Said...! Halafu kuna watu eti wanaamini hizi ngano, inasikitisha! Mbona humtaji kwa jina lake kamili Chief David Kidaha Makwaia, Mkatoliki? Mbona hutaji wazee wako walivyokaa mbali naye baada ya kubadili dini na kuacha Uislaam? Mbona hapakuchimbika Mkatoliki mwingine, Julius Kambarage Nyerere alipopambana na "born town" Abdulwahid Sykes?
sisi wapagani tunabaguliwa na mfumo upi? mfumo kristu au mfumo uislamu?
Huna jingine?
Uislaam si mfumo, Uislaam ni kujisalimisha kwa aliyekuumba, mmoja tu, hajazaa wala hakuzaliwa.
Jiulize, wapagani na Waislaam wepi ni wengi? ukipata jibu, nna-uhakika jibu litakuwa Waislaam ni wengi zaidi ya "wapagani", kama mfumokristo umeweza kuwabagua waliowengi, utashindwa kuwabagua wali kidogo?
Bingwa wa "spin" Mohamed Said...! Halafu kuna watu eti wanaamini hizi ngano, inasikitisha! Mbona humtaji kwa jina lake kamili Chief David Kidaha Makwaia, Mkatoliki? Mbona hutaji wazee wako walivyokaa mbali naye baada ya kubadili dini na kuacha Uislaam? Mbona hapakuchimbika Mkatoliki mwingine, Julius Kambarage Nyerere alipopambana na "born town" Abdulwahid Sykes?
Mag3,
Wakati mwingine nashindwa kwa hakika kuelewa kipi
kinachokuhangaisha.
Hivi kosa langu lipo kwa kuweka Kidaha badala ya David.
Unasema niloeleza ni uongo.
Ntakueleza mengine kukujulisha kuwa naijua historia hii.
Abdu akimpenda sana Chief Kidaha na kila alipokuja Dar
es Salaam kutoka Shinyanga kuhudhuria Legico Abdu
akimfanyia dhifa nyumbani kwake.
Ama hilo la "kuchimbika" maana yangu ilikuwa ni stiff
election.
Nakijua kisa chote cha Chief Kidaha kuritadi na pia kuritadi
kwa mdogo wake.
Lakini sikuona kama katika hayo niloandika ilikuwapo haja
ya kueleza kisa kile cha kutoka Uislam.
Utaeleza vipi kuwa Cecil Matola alikuwa msomi zaidi ya Sykes na ndiye Rais wa kwanza wa TAA?DM,
Ndiyo maana historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika inawatisha.
Wakaona salama iko katika kutengezeza historia mbadala na rasmi
ili wawaondoe Waislam na mchango wao.
Utaeleza vipi Abdu Sykes kumleta Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA?
Utaeleza vipi Abdu na Dossa kumpeleka Nyerere kwa Mufti Sheikh Hassan
bin Amir?
Utaelezaje Sheikh Suleiman Takadir kuwa ndiyo mwenye dhamana ya
kumtambulisha Nyerere kwa wananchi kwenye mikutano ya mwanzo ya
TANU pale Mnazi Mmoja?
Utaeleza vipi Idd Tosiri na Idd Faiz kumchukua Nyerere mguu kwa mguu
hadi Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Mohamed Ramia?
Utaeleza vipi kuja kwa Ali Mnjale na Salum Mpunga Dar es salaam mwaka
1955 kuja kumtaka Nyerere aende Jimbo la Kusini kuzima fitna za Kanisa
Katoliki lililokuwa likitisha waumini wake wasijiunge na TANU?
Na vipi iwe Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe ndiyo wafuatane na Nyerere
kwenda Jimbo la Kusini kuzima fitna ile?
Utaeleza vipi, utaeleza vipi, utaeleza vipi....?
Utaeleza vipi kuwa Cecil Matola alikuwa msomi zaidi ya Sykes na ndiye Rais wa kwanza wa TAA?
Utaeleza vipi kuwa assest za TAA ziliishia mikononi mwa familia ya Sykes kwa ufisadi?
Utaeleza vipi kuwa Nyerere alikuwa katibu wa tawi AA Tabora?
Utaeleza vipi kuwa alifika Dar kabla ya kutambyulishwa kwa Sykes
Utaeleza vipi kuwa Dr Kyaruzi alikuwa Rais wa TAA kwa nyakati fulani?
Utaeleza vipi kuwa Nyerere alimbwaga Sykes katika kugombea uongozi?
Utaeleza vipi kuwa Ali Mnjale na Salum Mpunga walimfuata Nyerere na siyo Sykes kwenda kusini kuzima maasi.
Utaeleza vipi kuwa Maryknoll walitoa ticket ya ndege na wala si wazee wake peke yake?
Kwani hili dogo?
Siyo mwaka 1948 kama ulivyoandika katika post moja. Kwahiyo tumekubaliana kimsingi kabisa kuwa TANU ilianzishwa mwaka 1954. Thank you MohamedMohamed Said;5760198]Jasusi,
Hii Kanisa kuwatisha waumini wake kujiunga na TANU ilikuwa 1954
chama kilipoanzishwa
Mohamed ukitumia neno kanisa na kusahau kuwa waliokuja na dini ni wazungu na katika miaka ya 1950 wao walikuwa wawakilishi wa malikia, basi atazuka mtu na kusema biashara ya utumwa ilipokuwa inakomeshwa waarab walikataa kwa mantiki kuwa Waislam walikataa kukomeshwa kwa biashara hiyo! kuna ukweli hapo au uongo?Kama kanisa lilikuja badilika hii itakuwa baada ya Nyerere kujrejea UNO Machi 1955 na ukweli kudhihiri kuwa TANU ilikuwa ina nguvu
Kwanini unadhani ushahidi ni muhimu ili hali tukikuuliza wewe kuhusu ushahidi huruka kimanga na kuleta hadithi. Yeye kasema kanisa halikuzuia wakristo kama wewe unaposema kanisa lilishiriki kuua EAMWS bila ushahidi hata wa kufikirika.Ikiwa wewe una ushahidi kuwa Kanisa liliunga mkono TANU toka
1954 sina ugomvi na hilo
Kwani hii ya pili wazee wako hawakuchangia? kwanini udhani ni ya piliNa kama lilichangia safari ya UNO hii itakuwa ni ile safari ya pili ya
Nyerere mwaka 1956.
Ushahidi uliomuomba Jasusi uko wapi wakwako?Lakini Salum Mpunga na Yusuf Chembera niliwafanya mahojiano
Lindi wakanieleza kuwa Kanisa Katoliki lilipinga TANU
"I come not to bring peace, but to bring a sword" (Gospel of Matthew 10:34)
Mtume alioa mkewe akiwa na miaka mingapi?