zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Yericko Nyerere
Siku za nyuma nilikuandikia hivi;
Mpaka leo limekushinda hilo?
Na bado una ubavu wa kusimama hapa na kuitetea hoja yako uliyoshindwa kuithibitisha?
Siku za nyuma nilikuandikia hivi;
Iko wapi hiyo hotuba uliyojidai utaileta? Nnashaka umeisikiliza ikakuumbuwa ukaona noma kuileta.
Mpaka leo limekushinda hilo?
Na bado una ubavu wa kusimama hapa na kuitetea hoja yako uliyoshindwa kuithibitisha?