Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed Saidi, mpaka kufikia page hii umegalagazwa vibaya sana! Yaani hauna hoja ya maana bali una viroja na ubishi wa kutokubali kushindwa. Hata nafsi yako inakuambia kama umeshindwa ila akili yako imejaa ubishi wa kijihadi.

Ukweli ni kwamba umeshindwa ila unaona aibu kuondoka kwenye mjadala huu. Pia utambue kati ya hao watu 75,000 wanao
fatilia mjadala huu ni watu 50 au 70 tu ndiyo watakaokubaliana na hizi ngano zako na hao wengi waliobakia wanakucheka,
kukudharau na kukupuuza. Acha ubishi kubali umeshindwa.
 

BD,

Umerudi.
Karibu.

Wakuamua mshindi hivi ni wewe?
 
Karibu rafiki yangu Yericko.

Nani angenijua mie JF kama
si wewe?
binafsi nimekujua kwenye mnakasha huu,
wewe ndo mtunzi wa vitabu vile vya hadith?


  • Kisima cha Giningi
  • Dni Kuna Watu
  • Kosa la Bwana Msa
  • Siri ya sifuri
  • Mwana wa yungi hulewa
  • Mzimu wa watu wa kale
  • Mke mmoja waume watatu
  • Duniani kuna watu
  • Kisima cha Giningi.

 
Mbona unarudia
makosa yaleyale? Kitabu chako si historia halisi ya harakati za uhuru
bali ni simulizi/ngano za wazee wako tu,

Mkuu Yericko, Tunakushukuru sana kwa Hekima zako ingekuwa bila wewe
kuanzisha hii mada, hawa watu 75000+ ambao hawakujua upande wa pili wa
historia iliyofichwa leo wamejua, maswali yako yamethibitisha kwamba
japo kuna watu waliojitolea kwa hali na mali kama kina Oscar Kambona, Kasela Bantu na
Abdu Sykes lakini kwa kutaka sifa kama madictator wengine alijaribu kuwapoteza mashujaa hao ili yeye pekee awe shujaa
 
Mohamed Said,

Watu wanajifunza vingi kutoka kwako endelea kutoa darsa.

Cha kufurahisha hata wale wote wanakupinga wanajifunza kutoka kwako.

Tunaendelea kukusoma kwa miwani ya 3D.
 
Last edited by a moderator:

Z,

Hapana Mohamed Said aliyeandika vitabu hivyo si mimi.
Mohamed Said mimi ni mwingine.

Nilichoandika hiki hapa:


BOOKS


1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi 2006

3. Contributing author African Anthology, The Mermaid of Msambweni, Oxford University Press, 2008 Nairobi

4. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009

5. Broken Dreams: The Life of Ally Sykes, Phoenix Publishers, Nairobi forthcoming

PART OF RESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London)

2. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London)

3. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

4. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

5. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam)

6. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

7. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003)

8. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004)

9. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004)

10.Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006)

11. The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (Paper Presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa, University of Johannesburg 1 - 3 September, 2006 (the paper was again presented to Islamic Propagation Centre International, Durban)

12. Visiting Scholar, University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago, Illinois, USA, Presented paper Islam and Politics in Tanzania, April 2011

13. Visiting Researcher Zentrum Moderner Orient, Berlin Germany, Presented Paper Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania, July 2011
 
sasa nimekupata!
kumbe vitabu vyako na pepa zako zote zinahusu dini?
basi huyu yericko hakuwa na sababu ya kuweka huu mnakasha hapa, maana historia yako imelenga dini yako na wazee wako kama tittle za vitabu vyako zinavyojieleza.
 
Hapana. Haijanjikata maini hata kidogo. The key word hapa ni "was to form the basis." Kwamba maudhui na malengo ya ile document yalizingatiwa na Nyerere lakini hotuba na lugha iliyotumiwa katika hotuba ni classic Nyerere. Wewe ulitaka tuamini kuwa Nyerere aliisoma hotuba iliyoandikwa na Abdulwahid kwenye UNO verbatim. Badala ya kunikata maini, inazidi kuonyesha ujanja wako wa kutaka kupotosha ukweli. Indeed the truth makes us free. Nikuulize na wewe, kwa nini hukusema tu kwamba hotuba aliyoitoa Nyerere UNO basis yake ilikuwa ni document ya TAA? Tusingekuwa na debate hii saa hizi.
 
sasa nimekupata!
kumbe vitabu vyako na pepa zako zote zinahusu dini?
basi huyu yericko hakuwa na sababu ya kuweka huu mnakasha hapa, maana historia yako imelenga dini yako na wazee wako kama tittle za vitabu vyako zinavyojieleza.

Z,

Hapana sio dini.

Hiyo ni political science.
Huo Uislam unaouona hapo ni sehemu tu ya sayansi ya jamii (social science).

Dini ukiwa na maana ya ''tawhid'' hiyo ni bahari mie siingii kwa kuwa sina ujuzi.
 

Jasusi,

Kwani hukusoma kitabu changu?
Mbona yote hayo yamo humo?
 
Na mwingine amesema alipokusikiliza radio iman aliamini sana ulichosema.
Alipoingia JF ametupa hata nakala chache alizokuwa nazo.

Nasi tumepata fursa ya kuuonyesha umma kile kilichomo between the lines and the motive behind your books.
Kikubwa zaidi ni kuonyesha who can take our house down if left unchecked.

We have shown the clear link between Ilunga, Ponda, Mohamed et al in relation to the instability of the country.
We have been able to show the public and country at large the imminent danger posed by color and odorless poison lingering in our society in the name of religion.

Above all we have proved you wrong hundreds times!
Next time you will think first before you cook another story.
 
Nimekisoma. Hayakuwa wazi kama tulivyobainisha hapa. Kwa kitabu chako mtu angetoka pale akiamini kuwa hotuba ya Nyerere UNO iliandikwa na Abdulwahid. There was no clarification.

Jasusi,
Toa hofu mambo yote sasa shwari kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…