Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Nguruvi3,

Hilo la kuwa mimi ninauhusiano na Sheikh Ponda, Sheikh Ilunga na wengine wengi
si habari.

Hawa mimi ni ndugu zangu tunajuana miaka mingi sana.

Dunia nzima wanalijua hilo.
Hujasema kitu kigeni.

Ama hayo mengine sina haja ya kuyasemea.
 
Mzizi,

Umekwenda mbali.
Mimi fikra yangu ni sisi kujiuliza tumefikaje katika hali hii?

Kisha tunaweza sasa tukalaumiana kwa kule kusemezana
na kupeana laana.

Mbali umekwenda wewe, unaetaka "tufukue kaburi la Nyerere tumtandike viboko"!

Mwalimu alijitahidi kuongoza nchi kwa uadilifu na kila mwenye akili anaona, noi kweli hakuwa malaika alifanya makosa na yeye alikiri hivyi...
Ssa kichekesho ni nyie mnaotaka tuendelee kula mema yake ya nchi ilhali ni wwadhaifu ki uongozi!!
Kagame aaliikuta Rwanda 1994 ikiwa imesambaratika kabisa na wananchi wameuawa mamilioni kwa ubaguzi wa kijinga tu..lakini yeye bila kukaa kumlaumu mtu anaangalia mbele, angalia alipoipeleka Rwanda sasa!! sote tunataka tuwe kama vile!!

Sie tunataka Mwalimu aendelee kutulea mikate nyumbani na kutunyia mitihani kwenye seminari zetu ilhali aliondoka madarakani mwaka 1984!! Kagame imechukua mika mingapi kuweka mamo sawa? sie tunatafuta mchawi akili hii!?
 
Una habari zozote za Tanganyika kama nchi chini ya udhamini wa umoja wa mataifa.

Acha utoto huo....

...Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....

Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
 
Nimekisoma. Hayakuwa wazi kama tulivyobainisha hapa. Kwa kitabu chako mtu angetoka pale akiamini kuwa hotuba ya Nyerere UNO iliandikwa na Abdulwahid. There was no clarification.

Any intelligent fool can make things bigger and more complex. It takes a touch of genius and a lot of courage to move in the opposite direction.
 


Wewe mbona unapenda sana kurudia rudia haya maneno??

Kwani nyerere akilaaniwa wewe unapungukiwa nini?au unaumizwa na nin??
 
Wewe mbona unapenda sana kurudia rudia haya maneno??

Kwani nyerere akilaaniwa wewe unapungukiwa nini?au unaumizwa na nin??

Hayo ndio maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga....

...Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....

Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
 
Inawezekana umeuelewa huu mnakasha lakini hujauelewa kwaumakini,

Mwalimu Nyerere hakuwahi kufikiria ama kutenda kabisa kitendo hicho chakufifisha ushujaa wa wanaukombozi wenzie,

Zingatia kuwa wale wana TANU walioasi chama na kutaka kuipindua serikali halali ya kiraia iliyokuwa chini ya Mzee Nyerere walizimwa kwa hekima ya Mtakatifu Julius K.Nyerere.
 

Mzizi,
Nimekusoma.
 

Anyone who doesn't take truth seriously in small matters cannot be trusted in large ones either.


Umeambiwa ukweli wote wazi wazi hutaki kuyakinisha,sasa unataka tukusaidie vipi??
 

Haya tumekusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…