Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Anyone who doesn't take truth seriously in small matters cannot be trusted in large ones either.
Umeambiwa ukweli wote wazi wazi hutaki kuyakinisha,sasa unataka tukusaidie vipi??
Mie naangalia mashindano ya farasi Abu Dhabi Sports.
Baada ya hapo unakuja kubisha kila uambiwalo
mkuu nasikia Shekhe Ilunga kakamatwa kwa uchochezi, utapona kweli?Son...
Hapana sishindani na yeyote.
Mimi nimeandika kitabu tu.
Acha utoto huo....
...Sasa nakwambia tena ukweli wewe mfuasi wa shehe Ilunga, Hizo laana mnazomuombea mwalimu Nyerere hazitakaa zimpate, zitawapata ninyi mtakuwa watu wa kulalamika hadi kiama! mara mnaonewa, mara hamtendewi haki, huku viongozi wenu wakivaa ndala zilizo chanika....
Hapo ndipo mtajua huyo Mungu mnaemwomba atoe laana ni wa kweli au feki.....
Ritz, katika huu mjadala peke yake mpaka dakika hii umefikisha posti 840, mimi hata 150 sijafikisha!...mtu pekee aliyekuzidi ni huyo mchochezi, mwalimu wako Mohamed Said, kwa posti zinazokaribia 2,000! Yaani katika siku 45 za huu mjadala amechangia mara 2000 sawa na post mbili kila baada ya saa moja!Nanren, Mimi nimezijua dhulma za Nyerere dhidi ya Waislam kabla ya Mohamed Said ajaandika kitabu.
Ritz, katika huu mjadala peke yake mpaka dakika hii umefikisha posti 840, mimi hata 150 sijafikisha!...mtu pekee aliyekuzidi ni huyo mchochezi, mwalimu wako Mohamed Said, kwa posti zinazokaribia 2,000! Yaani katika siku 45 za huu mjadala amechangia mara 2000 sawa na post mbili kila baada ya saa moja!
Sehemu kubwa ya michango yako unamtaka asimulie historia ya wazee wa Kimanyema wa Gerezani, simulizi ambazo tayari anadai ziko ndani ya vitabu alivyoandika...kwa nini usinunue tu hivyo vitabu uvisome ama kama huwezi hivyo umtumie PM akusimulie kama vile alivyosimuliwa na wazee wake?
Mada inasema "Uchochezi wa Mohamed Said...", wewe badala ya kukaa kimya kwa sababu huna lolote jipya la kuchangia, eti unamuomba azidi kumwaga ngano zake humu, et tu Brutus? Ungemsaidia zaidi kama ungemshauri mwalimu wako ajibu maswali anayoulizwa badala ya kushabikia porojo zisizo na mshiko.
Sasa mfikishie haya maswali;
Mwisho natoa ombi kwa jamii yote ya JF mnaofuatilia huu mjadala...kwa kweli ni bahati ilioje tumepata fursa ya kuona jinsi uongo ukirudiwa rudiwa bila kuhojiwa, huweza kuwaathiri wengi akiwepo na huyo aliyeuanzisha. Wazee wetu walipigania uhuru si kama Waislaam au Wakristo, si kama wazawa au wakuja, si kama wapwani au wabara, si kama Wazaramo au Wahaya, Wadengereko au Wasukuma, Wamanyema au Wachaga, Warufiji au Wanyakyusa...walipigana kama Watanganyika, period.
- Ni lini EAMWS iliyoanzishwa na wakuja (immigrants) na ikapata upingamizi mkubwa kutoka kwa wenye mji wakati wa kuanzishwa kwake, ilitwaliwa na hao wenye nchi (wazee wake!) kama jumuiya na mali yao?
- Ni kitu gani kilipelekea kutoelewana baina ya Waislaam wazawa na Waislaam wakuja wakati wa kuanzishwa kwa Jamaitul al-Islamiyya mwaka 1930s hadi kukawa na misikiti aina mbili...ya wakuja na ya "viroboto"?
- Kwa nini Waislaam ambao ndio wanadaiwa vinara wa harakati za uhuru na walikuwa wengi maradufu miongoni mwa waasisi wa TANU hawakumpa uongozi Muislaam mwenzao Abdulwahid Sykes badala ya Mkatoliki Nyerere?
- Na hata baada ya kumpa uongozi huku uwezo wake ukiwa haumfikii kijana wao mpendwa Abdulwahid Sykes na dai la dalili za upendeleo kwa Wakristo kuanza kuonekana wazi wazi kwa nini hawakumtosa mapema Nyerere kabla ya uhuru?
- Kwa nini huyu mchochezi anadai Mwalimu Nyerere aliwageuka Waislaam baada ya uhuru na huku ushahidi upo wazi kwamba wakorofi ambao hawakumtaka walikuwapo hata kabla ya uhuru, mfano mkubwa ukiwa AMNUT?
- Kwa nini kila serikali ya awamu ya kwanza ilipochukua hatua dhidi ya wakorofi wachache, lawama anapewa Nyerere lakini hivi sasa wakorofi wanaposhughulikiwa, hakuna anayemnyooshea kidole Jakaya Kikwete?
- Kwa nini fujo za Mwembe Chai zilizofanyika wakati wa Rais Ali Hasan Mwinyi, ambazo ndizo chimbuko la zile za mwaka 1998 huyu mdini anazifumbia macho lakini zilizotokea wakati wa Benjamin Mkapa kazishupalia sana?
- Ingawaje kwa sasa viongozi wote wa juu ni Waislaam, ni mfumo Kristo ndio unaolaumiwa kama kiini cha matatizo yetu, je mambo yangekuwaje hivi leo kama viongozi wote wa juu hivi leo wangekuwa Wakristo?
- Wakati Mwalimu anataifisha shule ili Watanganyika wote waweze kupata elimu bila kubaguana kwa misingi ya dini, ni shule ngapi za wazee wa huyu mchochezi zilitaifishwa? Ama hao wazee tayari walikuwa wamebinafsisha shule za AgaKhan na Bohora?
Hivyo si ajabu kwamba hata yeye Mohamed Said hivi sasa anaamini kwa dhati kuwa anayoyasimulia ndiyo ya ukweli, hiyo ndiyo tabia chafu ya uwongo, haimbakizi mtu pamoja na aliyeuanza! Uongo usiachwe bila kupingwa kwani wako waovu miongoni mwetu ambao watautumia huo mwanya kutugawa na kututoa katika misingi imara ya undugu na upendo uliojengeka kwa muda mrefu. Bahati mbaya tunayo serikali iliyojipa likizo, ina macho lakini haioni, ina masikio lakini haisikii...ipo kwenye usingizi mzito na viongozi wake wapo wapo tu. Ni kweli watu kama Mohamed Said, kwenye utawala usioogopa kuchukua hatua madhubuti kwa wakati muafaka, hangedumu akipanda hii mbegu ya chuki, angeshughulikiwa na vyombo vya dola mara moja...my heart bleeds for my country!
Kwa hiyo mmemroga!Kweli hujui matokeo ya laana! unamjua huyu hapa chini ni nani?
Watoto wa Marehemu Shekh Kassim bin Jumaa aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mtoro Dar bado wanaendelea kulia huku Waislamu wakiendelea kulaani ktk dua zao! hawajasahau mateso na vitimbi vya Mzee huyu! wewe hujui laana!

Na mwingine amesema alipokusikiliza radio iman aliamini sana ulichosema.
Alipoingia JF ametupa hata nakala chache alizokuwa nazo.
Nasi tumepata fursa ya kuuonyesha umma kile kilichomo between the lines and the motive behind your books.
Kikubwa zaidi ni kuonyesha who can take our house down if left unchecked.
We have shown the clear link between Ilunga, Ponda, Mohamed et al in relation to the instability of the country.
We have been able to show the public and country at large the imminent danger posed by color and odorless poison lingering in our society in the name of religion.
Above all we have proved you wrong hundreds times!
Next time you will think first before you cook another story.
Ritz, katika huu mjadala peke yake mpaka dakika hii umefikisha posti 840, mimi hata 150 sijafikisha!...mtu pekee aliyekuzidi ni huyo mchochezi, mwalimu wako Mohamed Said, kwa posti zinazokaribia 2,000! Yaani katika siku 45 za huu mjadala amechangia mara 2000 sawa na post mbili kila baada ya saa moja!
Sehemu kubwa ya michango yako unamtaka asimulie historia ya wazee wa Kimanyema wa Gerezani, simulizi ambazo tayari anadai ziko ndani ya vitabu alivyoandika...kwa nini usinunue tu hivyo vitabu uvisome ama kama huwezi hivyo umtumie PM akusimulie kama vile alivyosimuliwa na wazee wake?
Mada inasema "Uchochezi wa Mohamed Said...", wewe badala ya kukaa kimya kwa sababu huna lolote jipya la kuchangia, eti unamuomba azidi kumwaga ngano zake humu, et tu Brutus? Ungemsaidia zaidi kama ungemshauri mwalimu wako ajibu maswali anayoulizwa badala ya kushabikia porojo zisizo na mshiko.
Sasa mfikishie haya maswali;
Mwisho natoa ombi kwa jamii yote ya JF mnaofuatilia huu mjadala...kwa kweli ni bahati ilioje tumepata fursa ya kuona jinsi uongo ukirudiwa rudiwa bila kuhojiwa, huweza kuwaathiri wengi akiwepo na huyo aliyeuanzisha. Wazee wetu walipigania uhuru si kama Waislaam au Wakristo, si kama wazawa au wakuja, si kama wapwani au wabara, si kama Wazaramo au Wahaya, Wadengereko au Wasukuma, Wamanyema au Wachaga, Warufiji au Wanyakyusa...walipigana kama Watanganyika, period.
- Ni lini EAMWS iliyoanzishwa na wakuja (immigrants) na ikapata upingamizi mkubwa kutoka kwa wenye mji wakati wa kuanzishwa kwake, ilitwaliwa na hao wenye nchi (wazee wake!) kama jumuiya na mali yao?
- Ni kitu gani kilipelekea kutoelewana baina ya Waislaam wazawa na Waislaam wakuja wakati wa kuanzishwa kwa Jamaitul al-Islamiyya mwaka 1930s hadi kukawa na misikiti aina mbili...ya wakuja na ya "viroboto"?
- Kwa nini Waislaam ambao ndio wanadaiwa vinara wa harakati za uhuru na walikuwa wengi maradufu miongoni mwa waasisi wa TANU hawakumpa uongozi Muislaam mwenzao Abdulwahid Sykes badala ya Mkatoliki Nyerere?
- Na hata baada ya kumpa uongozi huku uwezo wake ukiwa haumfikii kijana wao mpendwa Abdulwahid Sykes na dai la dalili za upendeleo kwa Wakristo kuanza kuonekana wazi wazi kwa nini hawakumtosa mapema Nyerere kabla ya uhuru?
- Kwa nini huyu mchochezi anadai Mwalimu Nyerere aliwageuka Waislaam baada ya uhuru na huku ushahidi upo wazi kwamba wakorofi ambao hawakumtaka walikuwapo hata kabla ya uhuru, mfano mkubwa ukiwa AMNUT?
- Kwa nini kila serikali ya awamu ya kwanza ilipochukua hatua dhidi ya wakorofi wachache, lawama anapewa Nyerere lakini hivi sasa wakorofi wanaposhughulikiwa, hakuna anayemnyooshea kidole Jakaya Kikwete?
- Kwa nini fujo za Mwembe Chai zilizofanyika wakati wa Rais Ali Hasan Mwinyi, ambazo ndizo chimbuko la zile za mwaka 1998 huyu mdini anazifumbia macho lakini zilizotokea wakati wa Benjamin Mkapa kazishupalia sana?
- Ingawaje kwa sasa viongozi wote wa juu ni Waislaam, ni mfumo Kristo ndio unaolaumiwa kama kiini cha matatizo yetu, je mambo yangekuwaje hivi leo kama viongozi wote wa juu hivi leo wangekuwa Wakristo?
- Wakati Mwalimu anataifisha shule ili Watanganyika wote waweze kupata elimu bila kubaguana kwa misingi ya dini, ni shule ngapi za wazee wa huyu mchochezi zilitaifishwa? Ama hao wazee tayari walikuwa wamebinafsisha shule za AgaKhan na Bohora?
Hivyo si ajabu kwamba hata yeye Mohamed Said hivi sasa anaamini kwa dhati kuwa anayoyasimulia ndiyo ya ukweli, hiyo ndiyo tabia chafu ya uwongo, haimbakizi mtu pamoja na aliyeuanza! Uongo usiachwe bila kupingwa kwani wako waovu miongoni mwetu ambao watautumia huo mwanya kutugawa na kututoa katika misingi imara ya undugu na upendo uliojengeka kwa muda mrefu. Bahati mbaya tunayo serikali iliyojipa likizo, ina macho lakini haioni, ina masikio lakini haisikii...ipo kwenye usingizi mzito na viongozi wake wapo wapo tu. Ni kweli watu kama Mohamed Said, kwenye utawala usioogopa kuchukua hatua madhubuti kwa wakati muafaka, hangedumu akipanda hii mbegu ya chuki, angeshughulikiwa na vyombo vya dola mara moja...my heart bleeds for my country!
Sawa, ila wako wanaoshikiwa akili na mchochezi kama Mohamed Said...I do hope you are not one of them? Ritz, the world can be a very dangerous place to live; not because of people who are evil but because of sycophants who wont do anything about it!Mag3, blah blah blah...bahati nzuri wasomaji siyo watu wakushikiwa akili na wewe.
Exactly that is point.
Kusema kweli mara ya kwanza nimemsoma mwaka 2004 kidogo niingie mtegoni. Ingawa ni kweli anajua kuyaweka maandishi yake kwenye mtirriko mzuri kiasi kwamba usipokuwa makini utamkubali. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuupata ukweli fulani kuhusu motives zake kwenye barza moja maarufu ya kahawa, hayakuwa maongezi ya wazi sana lakini niliwaelewa.
Lakini pia ndani ya JF amewekwa wazi sana ingawa ana courage ya kuzungusha maneno. Amewasomba wengi kwa miaka kadhaa hasa kutoka imani fulani japo miongoni mwao wameanza kuwa na mashaka, ndio maana utasikia "Niko hapa kutoa darsa".........Huwa nacheka sana"
Kweli hujui matokeo ya laana! unamjua huyu hapa chini ni nani?
Watoto wa Marehemu Shekh Kassim bin Jumaa aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mtoro Dar bado wanaendelea kulia huku Waislamu wakiendelea kulaani ktk dua zao! hawajasahau mateso na vitimbi vya Mzee huyu! wewe hujui laana!
Sawa, ila wako wanaoshikiwa akili na mchochezi kama Mohamed Said...I do hope you are not one of them? Ritz, the world can be a very dangerous place to live; not because of people who are evil but because of sycophants who wont do anything about it!
Endelea kucheka sasa hivi kitabu kina miaka 15 wewe bado unacheka tu wanywa kahawa wanazidi kukisoma mikoani wanakitafuta copy zimekuwa chache hazitoshi wewe unacheka tu wewe endelea kucheka sana kitabu kipo toleo la tatu sasa.
Kuwa kwenye mwaka wa kumi tano maana yake kimeingia uraiani mwaka wa 1998. Vipo pia vitabu ambavyo vimeandikwa mwaka 1990 sasa vina miaka 23. Vipo pia vya mwaka 2012 vina mwaka 1!! Sikumbuki cha Obama "The dream of my father" kinachompa mtu positive courage (sio chuki na koleza chumvi) kina mwaka wa ngapi sasa......Na orodha inaendelea.