Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hujanielewa! siongelei maradhi aliyonayo bali alitaka kuwa Rais wa nchi hii kwa udi na uvumba lakini matokeo yake viti vinawaka moto havikaliki! kila chama kinamtema! sasa kabaki peke yake! yeye ndie Mwenyekiti, mwanachama, na kama sio Kikwete kumnusuru na kumwachia Ubunge, tungekuwa tunaongea mengine! Yaani Mrema amebaki kuwa mtu wa kuchunga ubunge na uenyekiti wa chama kama hicho?

Bila shaka Waislamu hawakumuombea dua ili apate kisukari na mbalanga au kupepesuka! hayo kayapata tokana na stress za misukosuko ya kugombea madaraka lakini dua za Waislamu zinajikita ktk kupoteza madaraka aliyokuwa nayo kuanzia Naibu Waziri Mkuu. Waziri mambo ya ndani, waziri wa kazi, Mwenyekiti NCCR, Rais mtarajiwa hewa, na kuishia uenyekiti na ubunge wa kuonewa huruma!
Na haya ya kuchinjana kwenye mabucha na kutwangana risasi ni dua zenu pia?
 
WC,

Unataka kushinda hoja kwa semantics?
Mjanja sana wewe halafu unanilaumu mimi.

Ehe Mzee Mohamed unakwepa hiki.
Ehe Mzee Mohamed hivi na hivi.

Au WC unafata nyayo za mzee wako na kisha wewe sasa unaboresha
zaidi?

''Wild Card'' hii nikiitumia wakati huo kijana mwanafunzi Ughaibuni najifunza
computer nasoma Dos.

Nyie mmekuta windows.
Dos Command ni wazimu tosha.

Computer Room nikiona kama ''mortuary.''

We umetoka Africa hujaigusa PC hata siku moja sasa Wazungu wanakukabidhi
hilo dude unapoteza spread sheet ya kurasa 10 hujui kuwa ipo command ya
kurejesha hizo figure!

Home Work inatakiwa na mwalimu asubuhi.
Kimbembe.

Spot on mkuu - usipoteza muda ndugu Moh, sijui hata kama wanajua maana ya *.* achilia mbali command line interfaces nyingine zenye umuhimu wa pekee ambazo ndio primitives za softwares. Tatizo la Watanzaia wengi wako windowscentric na GUIs zake basi!! - Bill Gates aliwapatia kweli, hawatakaa hata siku moja wakajua what goes on inside the hood - utashanga linapotokea tatizo la kutatuliwa kwa kutumia CLI tu, wanafanya mambo ya kushangaza na kupoteza muda.
 
Ritz,

Hebu acha hatari.
Sheki ya tende imetiwa na njugu na kidogo abasoda.

Huyu sahib wangu nachelea asije pindukwa na tumbo!

atazoe tu tutamfungia na vipopo na mkate wa chila pamoja na catles za jodari...khabari kubwa hizi.
 
Propaganda sisi za nini??

Nenda kaangalie...
Hizo ndio akili ndogo, wewe uko tayari kusikiliza upande wa kina Ponda, Ilunga, Redio Imaan na kusoma na kuamini vitabu vya mtunzi mmoja tu Mohammed Said tu.
Maandishi na documentaries za wengine ni propaganda!
Weledi, uchambuzi na umakini utavipataje?
 
Bwana mdogo inaonekana maandishi ya mwanakijiji yanakukosesha usingizi kabisa toka huko nyuma umekazana, tumempuuza, tumpuuze..... lakini kinachoonekana wewe ndiye uliyepuuzwa, maana mwanakijiji hajibishani na wwewe lakini kila akitundika post yake umesharukia sasa nani aliyepuuzwa hapa inaonekana kabisa huna hoja yoyote ya kuchangia zaidi ya upambe kwa Mohamed Said. Man up toa hoja ujibiwe hoja sio kukurupukia tu maandiko ya wenzio. Nakunong'oneza tu kama ulikuwa hujui Mwanakijiji amekupuuza....

Kakutuma uje umjibie??

Haya karibu sana JAMII FORUM..

Hapa kazi yetu kubwa ni kuwatoa ufaham na kuonesha ujinga wa wale unaowaona wa maana na unaowahusudu kama huyo aliekutuma kuja kumjibia...!

Kwa taarifa yako tuh,adabu tutamshikisha na historia hii tutahakikisha yeye atakuwa kinara wa kuitangaza..
 
Hizo ndio akili ndogo, wewe uko tayari kusikiliza upande wa kina Ponda, Ilunga, Redio Imaan na kusoma na kuamini vitabu vya mtunzi mmoja tu Mohammed Said tu.
Maandishi na documentaries za wengine ni propaganda!
Weledi, uchambuzi na umakini utavipataje?

Propaganda dawa yake ni kuzipuuzia tuh..

Tumeshaziona nyingi sana,kinachofanywa sasa na hao ni marudio yale yale tuh ya Propaganda zao..
 
Bila shaka upo tayari kuwasemea na kuwajibia waislamu chochote tutakacho taka kujua juu ya uislamu tanzania?

Yericko samahani kama nitakuwa nimekukosea adabu lile swali uliloulizwa na kama sijakosea Andrew Nyerere kuwa mama yako ni nani mbona mpaka sasa hujajibu au ndio tuseme mkuki kwa nguruwe?
 
Nilimsikia kidogo kwenye makoloni ya Wareno.

Mwaka 1985 Nyerere alipokuwa anamtunuku digrii ya heshima Basil Davidson, alitoa changamoto kwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam anawambia andikeni historia ya kweli ya Tanganyika.
 
Mwaka 1985 Nyerere alipokuwa anamtunuku digrii ya heshima Basil Davidson, alitoa changamoto kwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam anawambia andikeni historia ya kweli ya Tanganyika.
Hawakuandika maProfesa wetu. Mohamed Said, mtoto wa Kimanyema, akaitumia fursa hiyo kuwakumbuka wazee wake na DINI yake.
 
Last edited by a moderator:
Yerichko Kambarage Nyerere.
Ahalan Wasaalan sahib wangu.

Bila ya wewe nani angenipa darsa kusomesha.
Kesho Ijumaa nakualika Mandi mchana.

Tutashushia na juice bardiiiiii ya matunda mchanganyiko
Insha Allah.
Ni kweli hakuna ambae angekujua kwaundani hivi, hata mimi sikukujua awali kama ilivyo sasa,

Naaaaam nafurahi kukujua wala sina hofu na wewe tena, nimeijua mbinu yakukukemea kama vile muamini wa kristo amkemeavyo shetwani tu.

Na nimefarijika zaidi kuona watanzania wengi wamekujua na wamepata mbinu ya kukukemea bila kikihoro tena.

Huu ndio uzuri wa ukimujua jina mbwa yeyote aliyemkali.
 
Kwa maneno haya akawa amepigania uhuru kwelikweli! Ally Sykes bado yupo. Mwalimu alimpeleka Italia akawa Balozi wetu mzuri tu huko. Akastaafu, akarudi hapa. Akawa Mwenyekiti wa bodi ya ATC,..., hakusahaulika sana mzee huyu.

Labda wenzetu walitaka ukoo wa akina Sykes urithishwe urais
 
Labda wenzetu walitaka ukoo wa akina Sykes urithishwe urais
Tatizo likawa moja: Akina Sykes na wazee wake Mohamed walipigania uhuru wetu hapohapo mitaani kwao. Wengi wao, kama sio wote, hatukuwasikia kwenda bara kusaka uhuru wetu, kuwaunganisha WaTanganyika, wakazidiwa kete hata na mwanamke, Bibi Titi Mohamed!
 
Ondoa tu lugha hizo za ''kuzidiwa kete,'' zitatuondolea majadala wa watu makini.
Usinitazame mimi.

Tuna wasikizaji 80,000 plus wametutegea masikio.
Tuwape heshima zao.

Umesema kweli kuwa Abdulwahid hakupanda jukwaani kuhutubia wala hakuonekana
kokote katika majimbo.

Abdu Sykes, Hamza Mwapachu, Dr Michael Lugazia na wengine wengi hawakutoka
New Street kwenda Masasi, Newala na kwingineko kupambana na Kanisa liwaruhusu
Wakristo wajiuge na TANU.

Huko walikwenda Nyerere, Ali Mwinyi Tambwe na Rajab Diwani.

Na huko kusini wakaungana na akina Salum Mpunga, Shariffa bint Mzee, Sheikh Yusuf
Badi, Yusuf Chembera, Suleiman Masudi Mnonji na wengineo wengi.

Lakini ukweli ni kuwa Abdu Sykes na mdogo wake Ally, Dossa na Rupia ndiyo ''party
financiers'' wawezeshaji wa mengi katika harakati.

Sasa ikiwa unataka kumlenga Abdu peke yake na umjue hayo ni mengine.

Yapo mengi yaliyofanyika hadi kufikia pale TANU inaundwa na ni historia iliyoanza nyuma
sana toka miaka ya 1920s.
 
Labda wenzetu walitaka ukoo wa akina Sykes urithishwe urais

Yericko,

Nimekukanya huko nyuma.
Baba yako akimuheshimu sana Abdu Sykes.

Shangazi yako Bi Sophia na mumewe Bwana
Lawrence walikuwa wakimstahi sana Abdu Sykes.

Ikiwa hujui waulize ''cousins'' wako watoto wa marehemu
Bi Sophia.

Watakuwa wamehifadhi kumbukumbu.
Usiwe mshenzi mwizi wa fadhila.
 
Spot on mkuu - usipoteza muda ndugu Moh, sijui hata kama wanajua maana ya *.* achilia mbali command line interfaces nyingine zenye umuhimu wa pekee ambazo ndio primitives za softwares. Tatizo la Watanzaia wengi wako windowscentric na GUIs zake basi!! - Bill Gates aliwapatia kweli, hawatakaa hata siku moja wakajua what goes on inside the hood - utashanga linapotokea tatizo la kutatuliwa kwa kutumia CLI tu, wanafanya mambo ya kushangaza na kupoteza muda.

Buk,

Umenipeleka mbali sana.
Ahsante sana.
 
Tatizo likawa moja: Akina Sykes na wazee wake Mohamed walipigania uhuru wetu hapohapo mitaani kwao. Wengi wao, kama sio wote, hatukuwasikia kwenda bara kusaka uhuru wetu, kuwaunganisha WaTanganyika, wakazidiwa kete hata na mwanamke, Bibi Titi Mohamed!

Kuna mzee wangu mmoja kati ya vijana wa kwanza kwanza wa TANU aliniambia Ally Sykes alikuwa mfanyakazi wa serikali, hivyo wakoloni katika juhudi za kuzima harakati za ukombozi wakamwamishia kazi kumpeleka nimesahau nadhani Maeneo ya Pwani (mnaweza kunisahihisha).

Wenzake wakawa wanajaribu kumshawishi asiende huko, abaki kujenga chams na kuendeleza harakati za ukombozi. Lakini alienda. Wenzake walisononeka.
 
Mundungus,
Ahsante sana soma hii hapa chini:

TANU, New Street 1954

''My transfer saddened Nyerere.

We all knew that the transfer was politically motivated as a way to weaken the new political party.

I also knew that so long as the British were in control of our country people like me who cherish aspirations for freedom will always be haunted and intimidated.

The government could have dismissed me from government service but that would have made me a martyr.

The best decision was take me out of the political limelight in Dar es Salaam.

This feeling rather than dampen my enthusiasm for TANU increased my zeal to struggle and fight back against the British until independence was achieved.

Zuberi Mtemvu had warned me of the consequence in challenging the government.

In letter which Zuberi Mtemvu wrote to me he had this to say:

"You will never be transferred back to Dar es Salaam or earmarked not to have any responsible post for ever while in Government."

But by a strange turn of fate it was not the colonial government, which, succeeded in haunting and ousting me and my brother Abdulwahid and other TANU founding members out of politics and out of history...''
 
Back
Top Bottom