Mundungus Fletcher
JF-Expert Member
- Jun 7, 2009
- 327
- 79
Mundungus,
Ahsante sana soma hii hapa chini:
TANU, New Street 1954
''My transfer saddened Nyerere.
But by a strange turn of fate it was not the colonial government, which, succeeded in haunting and ousting me and my brother Abdulwahid and other TANU founding members out of politics and out of history...''
Well mzee akawa ananiambia kuwa moja ya sababu ya some of waasisi wa TANU kupoteza nafasi au kushika nafasi za juu na active role katika chama ni hizo. Mfano wa Ally sykes baada kuchukua uhamisho na ndo influence yake ikaanza kuishia kwenye chama. Waliobakia wakachukua nafasi.
Mohamed Said,
Hii ndiyo picha walioichakachuwa.
The Tanganyika African Union (TANU) which
struggled to earn Tanzania's political
independence had a branch in London.
Some of the pioneers of the branch in the
1950s are still common faces in major
Tanzanian towns like Arusha, Moshi,
Dar es Salaam and Mwanza as this photo
taken on May 9, 1959 shows: We can only
identify a few of them. From right front row,
standing are: Mark Bomani (Former Attorney
General and now chairman of the probe committee
into Mining Contracts); Jesse Kiritta (Former
State Attorney, now involved in private practice );
The late Emmanuel Bomani of the Victoria Cooperative
Union); Juma Mawalla ( Moshi-based advocate in private
practice); and Oscar Kambona (Law student, then Foreign
Affairs Minister and Secretary General of TANU).
Baba yangu aliwahi kunambia kuna sura za watu zilifutwa/kuchakachiliwa hapo, sikumbuki vizuri ni akina nani labda Mkuu Moh anaweza kutujuza!
Buk,
Mstari wa mwisho waliosimama.
Aliyevaa suti n miwani ya jua ni Abdu Sykes.
Anaefatia kwenda kulia ni picha iliyochomekwa mwaka 1974.
Hiyo ni sura ya Joseph Kasella Bantu.
Kuna haja gani kuniita mshenzi?Yericko,
Nimekukanya huko nyuma.
Baba yako akimuheshimu sana Abdu Sykes.
Shangazi yako Bi Sophia na mumewe Bwana
Lawrence walikuwa wakimstahi sana Abdu Sykes.
Ikiwa hujui waulize ''cousins'' wako watoto wa marehemu
Bi Sophia.
Watakuwa wamehifadhi kumbukumbu.
Usiwe mshenzi mwizi wa fadhila.
Nisikia waliochakachuwa ni wasomi wetu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kuna haja gani kuniita mshenzi?
Maelezo yako katika kitabu chako yanamfifisha dhahiri Mwalimu Nyerere na kuwatanguliza mbele akina Sykes huku ukijenga dhana ya uasisi wa TAA na kupindisha uhalisia wa uasisi wa AA
Nazaidi huitaji AA kwa undani yaani umedonoa juu juu tu, lakini ni ukweli kuwa umekwepa kuwazika rasmi wahamiaji wenzio akina Sykes ikiwa ungezama kwa AA. Yote hiyo ni kumkwepa Sir Cameron na Cesil Matola ambao ndio hasa asili ya AA.
Hakuna kilichochakachuliw ndugu, usilushwe ngano hizo,
Picha imepigwa kama ilivyo hapo ilipo,
Teknolojia ya udahiri na usanifu wa picha kwa njia ya kompyuta imeingia nchini miaka ya 2000, sasa tungeshuhudia hiyo picha ama ni yakuchorwa na wanafunzi wa chuo cha ardhi hapo Udsm ama vinginevyo,
Msiishi kama kuku wa kienyeji nyie viumbe wa Mungu.
Peleka ushirikina wako kwa wajinga wenzako! karne hii bado unashindwa kuelezea mambo kisayansi, bado umeng'ang'a na ushirikiana! aibu.Kweli hujui matokeo ya laana! unamjua huyu hapa chini ni nani?
Watoto wa Marehemu Shekh Kassim bin Jumaa aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mtoro Dar bado wanaendelea kulia huku Waislamu wakiendelea kulaani ktk dua zao! hawajasahau mateso na vitimbi vya Mzee huyu! wewe hujui laana!
Nilishwe ngano na nani tena wakati mie ndiyo nimeileta humu jamvini hiyo picha.
na imeshanikaa kichwani, haitoki tena, ila kisambaa si copy.kwa ninavyo kujua mkuu hii utakuwa umeicopy na kupaste from somewhere,
Nilijua wewe hutakosa kumtetea huyu nabii wenu wa maangamizi, pole sana bwana mdogo wa Mzumbe!Sikushangai sana kwani haya ndio matunda ya kuipeleka akili yako kwa mtu akushikie!Unatusmbua kuweka Post ndeefu na isiyo na mashiko kama hiii,,
Kitabu kina miaka 15 sasa kinasomwa,kama wewe umeamua kuweka hisia zako na kuuona huu kama ni uchochezi unaosababisha kuvunja undugu ni juu yako,hatuwez kukaa kinyonge na kuacha kuzungumza uhalisia,kuwaachia watu wanapotosha kwa makusudi,wazi wazi,
Uongo huo uachwe,usirekebishwe,ukweli usisemwe eti kwa kuhofia ukisemwa ukweli huo watu wasio na upeo kama wewe watakuja na kunyoosha vidole eti ya kwamba fulani mchochez fulani mpandikiza chuki,hilo halitavumilika hata kidogo..
Tulishakuonya tabia ya kuwasemea watu,wewe huna mamlaka hayo,na huwez kuwashikia watu akili zao,waache watu wasome na kwa kutumia akili zao waamue wao wenyewe..
Wewe kama unaumia kwa ukweli huu kusemwa ni shauri yako,kimpango wako...
"The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything."
Nilijua wewe hutakosa kumtetea huyu nabii wenu wa maangamizi, pole sana bwana mdogo wa Mzumbe!Sikushangai sana kwani haya ndio matunda ya kuipeleka akili yako kwa mtu akushikie!
Kuna haja gani kuniita mshenzi?
Maelezo yako katika kitabu chako yanamfifisha dhahiri Mwalimu Nyerere na kuwatanguliza mbele akina Sykes huku ukijenga dhana ya uasisi wa TAA na kupindisha uhalisia wa uasisi wa AA
Nazaidi huitaji AA kwa undani yaani umedonoa juu juu tu, lakini ni ukweli kuwa umekwepa kuwazika rasmi wahamiaji wenzio akina Sykes ikiwa ungezama kwa AA. Yote hiyo ni kumkwepa Sir Cameron na Cesil Matola ambao ndio hasa asili ya AA.
Kweli Ritz akili yako wakati mwingine inachekesha! unataka kumumiliki Njozi? Na sisi tulie mfundisha Njozi darasani tusemeje?Wewe jamaa bana eti Prof. Njozi tatizo lake ni CCM umemuhoji.
Vitu vingine inabidi mtu ucheke tu humjui Prof. Njozi wewe ulimuhoji sisi tumeishi naye. Ulimuuliza kuhusu Nyerere anamchukuliaje?